\v=13 \v~=Ni yeye atakayejenga Hekalu la \nd Bwana\nd*, naye atavikwa utukufu na ataketi kumiliki katika kiti cha enzi naye atakuwa kuhani katika kiti chake cha enzi. Hapo patakuwa amani kati ya hao wawili.’ \¬v