\v=14 \v~=Taji itatolewa kwa Heldai, Tobia, Yedaya na Heni mwana wa Sefania kama kumbukumbu ndani ya Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v