\v=15 \v~=Wale walio mbali sana watakuja na kusaidia kulijenga Hekalu la \nd Bwana\nd*, nanyi mtajua ya kwamba \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote amenituma kwenu. Hili litatokea ikiwa mtamtii \nd Bwana\nd* Mungu wenu kwa bidii.” \¬v \¬p \¬c