\v=3 \v~=kwa kuwauliza makuhani wa nyumba ya \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote na manabii, “Je, imempasa kuomboleza na kufunga katika mwezi wa tano, kama ambavyo nimekuwa nikifanya kwa miaka mingi?” \¬v \¬p