\v=21 \v~=na wenyeji wa mji mmoja watakwenda kwenye mji mwingine na kusema, ‘Twende mara moja na tukamsihi \nd Bwana\nd*, na kumtafuta \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. Mimi mwenyewe ninakwenda.’ \¬v