\p \v=3 \v~=Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: “Nitarudi Sayuni na kufanya makao Yerusalemu. Kisha Yerusalemu utaitwa mji wa kweli, mlima wa \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote utaitwa Mlima Mtakatifu.” \¬v \¬p