\p \v=7 \v~=Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote: “Nitawaokoa watu wangu kutoka nchi za mashariki na magharibi. \¬v