\c=1 \p \c#=1 \v=1 \v~=Neno la \nd Bwana\nd* lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda: \¬v \¬p