id = 'SNG - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version' rem = 'Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.' headers = h = 'Wimbo Ulio Bora' toc1 = 'Wimbo Ulio Bora' toc2 = 'Wimbo' toc3 = 'Wim' mt1 = 'Wimbo Ulio Bora' ¬headers = chapters = c = '1' p = '' c# = '1' v = '1' v~ = 'Wimbo ulio bora wa Solomoni.' ¬v = '1' ¬p = b = '' v= = '2' s1 = 'Shairi La Kwanza' v= = '2' sp = 'Mpendwa' q1 = '' v = '2' v~ = 'Unibusu kwa busu la kinywa chako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa maana upendo wako unafurahisha kuliko divai.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Manukato yako yananukia vizuri,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ndiyo sababu wanawali wanakupenda!' ¬q1 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Nichukue twende nawe, na tufanye haraka!' ¬q1 = q1 = '' p~ = 'Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake.' sp = 'Marafiki' ¬q1 = q1 = '' p~ = 'Tunakushangilia na kukufurahia,' ¬q1 = q1 = '' p~ = 'tutasifu upendo wako zaidi kuliko divai.' sp = 'Mpendwa' ¬q1 = q1 = '' p~ = 'Tazama jinsi ilivyo bora wakupende!' ¬q1 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Mimi ni mweusi, lakini napendeza,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'enyi binti za Yerusalemu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'mweusi kama mahema ya Kedari,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kama mapazia ya hema la Solomoni.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Usinikazie macho kwa sababu mimi ni mweusi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu nimefanywa mweusi na jua.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wana wa mama yangu walinikasirikia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kunifanya niwe mtunza mashamba ya mizabibu.' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Shamba langu mwenyewe la mizabibu nimeliacha.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Niambie, wewe ambaye ninakupenda,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'unalisha wapi kundi lako la kondoo' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na ni wapi unapowapumzisha kondoo wako adhuhuri.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa nini niwe kama mwanamke aliyefunikwa shela' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'karibu na makundi ya rafiki zako?' sp = 'Marafiki' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Kama hujui, ewe mwanamke mzuri kuliko wote,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'fuata nyayo za kondoo,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na kulisha wana-mbuzi wako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'karibu na hema za wachungaji.' sp = 'Mpenzi' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Mpenzi wangu, ninakufananisha na farasi jike' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'aliyefungwa katika mojawapo ya magari ya vita ya Farao.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Mashavu yako yanapendeza yakiwa na vipuli,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'shingo yako ikiwa na mikufu ya vito.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Tutakufanyia vipuli vya dhahabu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'vyenye kupambwa kwa fedha.' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Wakati mfalme alipokuwa mezani pake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'manukato yangu yalisambaza harufu yake nzuri.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Mpenzi wangu kwangu mimi ni kifuko cha manemane' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kati ya matiti yangu.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya mhina' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka mashamba ya mizabibu ya En-Gedi.' sp = 'Mpenzi' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Tazama jinsi ulivyo mzuri!' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Macho yako ni kama ya hua.' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ee, tazama jinsi unavyopendeza!' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Na kitanda chetu ni cha majani mazuri.' sp = 'Mpenzi' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Nguzo za nyumba yetu ni mierezi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mapao yetu ni miberoshi.' ¬v = '17' ¬q2 = ¬c = '1' c = '2' v= = '1' sp = 'Mpendwa' q1 = '' c# = '2' v = '1' v~ = 'Mimi ni ua la Sharoni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yungiyungi ya bondeni.' sp = 'Mpenzi' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Kama yungiyungi katikati ya miiba' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ndivyo alivyo mpenzi wangu katikati ya wanawali.' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Kama mti wa mtofaa miongoni mwa miti ya msituni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ndivyo alivyo mpenzi wangu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'miongoni mwa wanaume vijana.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ninafurahia kuketi kivulini mwa mwanaume huyu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na tunda lake ni tamu kwangu.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Amenichukua mpaka kwenye ukumbi wa karamu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na bendera ya huyu mwanaume' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'juu yangu ni upendo.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Nitie nguvu kwa zabibu kavu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'niburudishe kwa matofaa,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kwa maana ninazimia kwa mapenzi.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mkono wake wa kuume unanikumbatia.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Binti za Yerusalemu, ninawaagiza' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa paa na kwa ayala wa shambani:' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Msichochee wala kuamsha mapenzi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hata yatakapotaka yenyewe.' ¬q2 = ¬v = '7' b = '' v= = '8' s1 = 'Shairi La Pili' v= = '8' sp = 'Mpendwa' q1 = '' v = '8' v~ = 'Sikiliza! Mpenzi wangu!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Tazama! Huyu hapa anakuja,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'akirukaruka juu milimani' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'akizunguka juu ya vilima.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Mpenzi wangu ni kama paa au ayala kijana.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Tazama! Anasimama nyuma ya ukuta wetu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'akitazama kupitia madirishani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'akichungulia kimiani.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Mpenzi wangu alizungumza na kuniambia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Inuka, mpenzi wangu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'mrembo wangu, tufuatane.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Tazama! Wakati wa masika umepita,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mvua imekwisha na ikapita.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Maua yanatokea juu ya nchi;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'majira ya kuimba yamewadia,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'sauti za njiwa zinasikika' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika nchi yetu.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Mtini unatunga matunda yake ya mwanzoni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'zabibu zinazochanua zaeneza harufu nzuri.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Inuka, njoo mpenzi wangu.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Mrembo wangu, tufuatane.”' sp = 'Mpenzi' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Hua wangu penye nyufa za majabali,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mafichoni pembezoni mwa mlima,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nionyeshe uso wako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na niisikie sauti yako,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa maana sauti yako ni tamu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na uso wako unapendeza.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Tukamatie mbweha,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mbweha wale wadogo' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wanaoharibu mashamba ya mizabibu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mashamba yetu ya mizabibu yaliyochanua.' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yeye hujilisha katikati ya yungiyungi.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Mpaka jua linapochomoza,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na vivuli vikimbie,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'rudi, mpenzi wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na uwe kama paa,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'au kama ayala kijana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'juu ya vilima vya Betheri.' ¬q2 = ¬v = '17' b = '' ¬c = '2' c = '3' q1 = '' c# = '3' v = '1' v~ = 'Usiku kucha kwenye kitanda changu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nilimtafuta yule moyo wangu umpendaye;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'nilimtafuta, lakini sikumpata.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Sasa nitaondoka na kuzunguka mjini,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika barabara zake na viwanja;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nitamtafuta yule moyo wangu umpendaye.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Kwa hiyo nilimtafuta lakini sikumpata.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Walinzi walinikuta' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'walipokuwa wakizunguka mji.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nikawauliza, “Je, mmemwona' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yule moyo wangu umpendaye?”' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Kitambo kidogo tu baada ya kuwapita' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nilimpata yule moyo wangu umpendaye.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nilimshika na sikumwachia aende' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mpaka nilipomleta katika nyumba ya mama yangu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'katika chumba cha yule aliyenichukua mimba.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Binti za Yerusalemu, ninawaagiza' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa paa na kwa ayala wa shambani:' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Msichochee wala kuamsha mapenzi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hata yatakapotaka yenyewe.' ¬q2 = ¬v = '5' b = '' v= = '6' s1 = 'Shairi La Tatu' v= = '6' sp = 'Mpenzi' q1 = '' v = '6' v~ = 'Ni nani huyu anayekuja kutoka jangwani' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama nguzo ya moshi,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'anayenukia manemane na uvumba' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'iliyotengenezwa kwa vikolezo vyote' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'vya mfanyabiashara?' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Tazama! Ni gari la Solomoni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lisindikizwalo na mashujaa sitini,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'walio wakuu sana wa Israeli,' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'wote wamevaa panga,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wote wazoefu katika vita,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kila mmoja na upanga wake pajani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wamejiandaa kwa ajili ya hofu za usiku.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Mfalme Solomoni alijitengenezea gari;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'alilitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Nguzo zake alizitengeneza kwa fedha,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kitako chake kwa dhahabu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kiti chake kilipambwa kwa zambarau,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'gari lake likanakshiwa njumu kwa upendo' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na binti za Yerusalemu.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Tokeni nje, ninyi binti za Sayuni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mkamtazame Mfalme Solomoni akiwa amevaa taji,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'taji ambalo mama yake alimvika' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'siku ya arusi yake,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'siku ambayo moyo wake ulishangilia.' ¬v = '11' ¬q2 = ¬c = '3' c = '4' v= = '1' sp = 'Mpenzi' q1 = '' c# = '4' v = '1' v~ = 'Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ee, jinsi ulivyo mzuri!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Macho yako nyuma ya shela yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni kama ya hua.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nywele zako ni kama kundi la mbuzi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'zikishuka kutoka Mlima Gileadi.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Meno yako ni kama kundi la kondoo waliokatwa manyoya sasa hivi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watokao kuogeshwa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kila mmoja ana pacha lake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna hata mmoja aliye peke yake.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Midomo yako ni kama uzi mwekundu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kinywa chako kinapendeza.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mashavu yako nyuma ya shela yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni kama vipande viwili vya komamanga.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Shingo yako ni kama mnara wa Daudi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uliojengwa kwa madaha,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'juu yake zimetundikwa ngao elfu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'zote ni ngao za mashujaa.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Matiti yako mawili ni kama wana-paa wawili,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama wana-paa mapacha' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'wajilishao katikati ya yungiyungi.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Hata kupambazuke na vivuli vikimbie,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitakwenda kwenye mlima wa manemane' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kwenye kilima cha uvumba.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Wewe ni mzuri kote, mpenzi wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna hitilafu ndani yako.' ¬q2 = ¬v = '7' b = '' q1 = '' v = '8' v~ = 'Enda nami kutoka Lebanoni, bibi arusi wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'enda nami kutoka Lebanoni.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Shuka kutoka ncha ya Amana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka juu ya Seniri, kilele cha Hermoni,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kutoka mapango ya simba' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kutoka mlima wapendapo kukaa chui.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Umeiba moyo wangu, dada yangu, bibi arusi wangu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'umeiba moyo wangu' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa mtazamo mmoja wa macho yako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kito kimoja cha mkufu wako.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Tazama jinsi pendo lako linavyofurahisha,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'dada yangu, bibi arusi wangu!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Pendo lako linafurahisha aje zaidi ya divai,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na harufu ya manukato yako zaidi ya kikolezo chochote!' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Midomo yako inadondosha utamu kama sega la asali,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bibi arusi wangu;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'maziwa na asali viko chini ya ulimi wako.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Harufu nzuri ya mavazi yako ni kama ile ya Lebanoni.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Wewe ni bustani iliyofungwa, dada yangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bibi arusi wangu;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wewe ni chanzo cha maji kilichozungushiwa kabisa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'chemchemi yangu peke yangu.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Mimea yako ni bustani ya mikomamanga' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yenye matunda mazuri sana,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'yenye hina na nardo,' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'nardo na zafarani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mchai na mdalasini,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'pamoja na kila aina ya mti wa uvumba,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'manemane na udi,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na aina zote za vikolezo bora kuliko vyote.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Wewe ni chemchemi ya bustani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kisima cha maji yatiririkayo,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'yakitiririka kutoka Lebanoni.' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Amka, upepo wa kaskazini,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na uje, upepo wa kusini!' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Vuma juu ya bustani yangu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ngʼambo.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mpendwa wangu na aje bustanini mwake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuonja matunda mazuri sana.' ¬v = '16' ¬q2 = ¬c = '4' c = '5' v= = '1' sp = 'Mpenzi' q1 = '' c# = '5' v = '1' v~ = 'Nimekuja kwenye bustani yangu, dada yangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bibi arusi wangu;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nimekusanya manemane yangu pamoja' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kikolezo changu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nimekula sega langu la asali na asali yangu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nimekunywa divai yangu na maziwa yangu.' sp = 'Marafiki' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kuleni, enyi marafiki, mnywe;' ¬q1 = q1 = '' p~ = 'kunyweni ya kutosha, ee wapenzi.' ¬q1 = ¬v = '1' b = '' v= = '2' s1 = 'Shairi La Nne' v= = '2' sp = 'Mpendwa' q1 = '' v = '2' v~ = 'Nililala lakini moyo wangu ulikuwa macho.' ¬q1 = q1 = '' p~ = 'Sikiliza! Mpenzi wangu anabisha:' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Nifungulie, dada yangu, mpenzi wangu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hua wangu, asiye na hitilafu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kichwa changu kimeloa umande,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na nywele zangu manyunyu ya usiku.”' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Nimevua joho langu:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'je, ni lazima nivae tena?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nimenawa miguu yangu:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'je, ni lazima niichafue tena?' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Mpenzi wangu aliweka mkono wake kwenye tundu la komeo;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'moyo wangu ulianza kugonga kwa ajili yake.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Niliinuka kumfungulia mpenzi wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mikono yangu ikidondosha manemane,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'vidole vyangu vikitiririka manemane,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'penye vipini vya komeo.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Nilimfungulia mpenzi wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini mpenzi wangu alishaondoka;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'alikuwa amekwenda zake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Moyo wangu ulishuka kwa kuondoka kwake.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Nilimtafuta lakini sikumpata.' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Nilimwita lakini hakunijibu.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Walinzi walinikuta' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'walipokuwa wakifanya zamu za ulinzi mjini.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Walinipiga, wakanijeruhi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakaninyangʼanya joho langu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hao walinzi wa kuta!' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Enyi binti za Yerusalemu, ninawaagiza:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama mkimpata mpenzi wangu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'mtamwambia nini?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Mwambieni ninazimia kwa mapenzi.' sp = 'Marafiki' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Je, mpendwa wako ni bora kuliko wengine namna gani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wewe uliye mzuri kupita wanawake wote?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, mpendwa wako ni mzuri kuliko wengine, namna gani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hata unatuagiza hivyo?' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Mpenzi wangu anangʼaa, tena ni mwekundu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wa kuvutia miongoni mwa wanaume kumi elfu.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Kichwa chake ni dhahabu safi kuliko zote,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nywele zake ni za mawimbi' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na ni nyeusi kama kunguru.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Macho yake ni kama ya hua' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kandokando ya vijito vya maji,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'aliyeogeshwa kwenye maziwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yaliyopangwa kama vito vya thamani.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Mashavu yake ni kama matuta ya vikolezo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yakitoa manukato.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Midomo yake ni kama yungiyungi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'inayodondosha manemane.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Mikono yake ni fimbo za dhahabu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'iliyopambwa kwa krisolitho.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mwili wake ni kama pembe ya ndovu iliyongʼarishwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'iliyopambwa na yakuti samawi.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Miguu yake ni nguzo za marmar' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'zilizosimikwa katika vitako vya dhahabu safi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Sura yake ni kama Lebanoni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bora kama miti yake ya mierezi.' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Kinywa chake chenyewe ni utamu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa ujumla yeye ni wa kupendeza.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Huyu ndiye mpenzi wangu, huyu ndiye rafiki yangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ee binti za Yerusalemu.' ¬v = '16' ¬q2 = ¬c = '5' c = '6' v= = '1' sp = 'Marafiki' q1 = '' c# = '6' v = '1' v~ = 'Mpenzi wako amekwenda wapi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ewe mzuri kupita wanawake wote?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mpenzi wako amegeukia njia ipi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tupate kumtafuta pamoja nawe?' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Mpenzi wangu amekwenda bustanini mwake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwenye vitalu vya vikolezo,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kujilisha bustanini' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kukusanya yungiyungi.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Mimi ni wake mpenzi wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mpenzi wangu ni wangu;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'yeye hujilisha katikati ya yungiyungi.' ¬q2 = ¬v = '3' b = '' v= = '4' s1 = 'Shairi La Tano' v= = '4' sp = 'Mpenzi' q1 = '' v = '4' v~ = 'Wewe ni mzuri, mpenzi wangu, kama Tirsa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'upendezaye kama Yerusalemu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'umetukuka kama jeshi lenye bendera.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Uyageuze macho yako mbali nami,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yananigharikisha.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nywele zako ni kama kundi la mbuzi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wanaoteremka kutoka Gileadi.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Meno yako ni kama kundi la kondoo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watokao kuogeshwa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kila mmoja ana pacha lake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna hata mmoja aliye peke yake.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Mashavu yako nyuma ya shela yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni kama vipande viwili vya komamanga.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Panaweza kuwepo malkia sitini,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'masuria themanini' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na mabikira wasiohesabika;' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'lakini hua wangu, mkamilifu wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni wa namna ya pekee,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'binti pekee kwa mama yake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kipenzi cha yeye aliyemzaa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wanawali walimwona na kumwita aliyebarikiwa;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'malkia na masuria walimsifu.' sp = 'Marafiki' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Ni nani huyu atokeaye kama mapambazuko,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mzuri kama mwezi, mwangavu kama jua,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ametukuka kama nyota zifuatanazo?' sp = 'Mpenzi' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Niliteremka kwenye bustani ya miti ya milozi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili kutazama machipuko ya bondeni,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kuona kama mizabibu imechipua' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'au kama mikomamanga imechanua maua.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Kabla sijangʼamua,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'shauku yangu iliniweka' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'katikati ya magari ya kifalme ya kukokotwa na farasi ya watu wangu.' sp = 'Marafiki' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Rudi, rudi, ee Mshulami;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'rudi, rudi ili tupate kukutazama!' sp = 'Mpenzi' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa nini kumtazama Mshulami,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?' EXTRA( fn @ 33 = '+ \\fr 6:13 \\ft Mahanaimu hapa ina maana ya majeshi mawili.') ¬q2 = ¬v = '13' b = '' ¬c = '6' c = '7' q1 = '' c# = '7' v = '1' v~ = 'Ee binti wa mwana wa mfalme,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tazama jinsi inavyopendeza miguu yako katika viatu!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Miguu yako yenye madaha ni kama vito vya thamani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kazi ya mikono ya fundi stadi.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Kitovu chako ni kama bilauri ya mviringo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambayo kamwe haikosi divai iliyochanganywa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kiuno chako ni kichuguu cha ngano' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kilichozungukwa kwa yungiyungi.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Matiti yako ni kama wana-paa wawili,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mapacha wa paa.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Shingo yako ni kama mnara wa pembe ya ndovu.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Macho yako ni vidimbwi vya Heshboni' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'karibu na lango la Beth-Rabi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Pua lako ni kama mnara wa Lebanoni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ukitazama kuelekea Dameski.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Kichwa chako kinakuvika taji kama mlima Karmeli.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Nywele zako ni kama zulia la urujuani;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'mfalme ametekwa na mashungi yake.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Tazama jinsi ulivyo mzuri na unavyopendeza,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ee pendo, kwa uzuri wako!' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Umbo lako ni kama la mtende,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nayo matiti yako kama vishada vya matunda.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Nilisema, “Nitakwea mtende,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nami nitayashika matunda yake.”' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Matiti yako na yawe kama vishada vya mzabibu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'harufu nzuri ya pumzi yako kama matofaa,' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'na kinywa chako kama divai' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bora kuliko zote.' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Divai na iende moja kwa moja hadi kwa mpenzi wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ikitiririka polepole juu ya midomo na meno.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Mimi ni mali ya mpenzi wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nayo shauku yake ni juu yangu.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Njoo, mpenzi wangu, twende mashambani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'twende tukalale huko vijijini.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Hebu na twende mapema' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika mashamba ya mizabibu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'tuone kama mizabibu imechipua,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kama maua yake yamefunguka,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kama mikomamanga imetoa maua:' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'huko nitakupa penzi langu.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Mitunguja hutoa harufu zake nzuri,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwenye milango yetu kuna matunda mazuri,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'mapya na ya zamani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambayo nimekuhifadhia wewe,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'mpenzi wangu.' ¬q2 = ¬v = '13' b = '' ¬c = '7' c = '8' q1 = '' c# = '8' v = '1' v~ = 'Laiti ungelikuwa kwangu kama ndugu wa kiume,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambaye aliyanyonya matiti ya mama yangu!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kisha, kama ningekukuta huko nje,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ningelikubusu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'wala hakuna mtu yeyote angelinidharau.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Ningelikuongoza na kukuleta' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika nyumba ya mama yangu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'yeye ambaye amenifundisha.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ningelikupa divai iliyokolezwa unywe,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'asali ya maua ya mikomamanga yangu.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mkono wake wa kuume unanikumbatia.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Binti za Yerusalemu, ninawaagiza:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'msichochee wala kuamsha mapenzi' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hata yatakapotaka yenyewe.' ¬q2 = ¬v = '4' b = '' v= = '5' s1 = 'Shairi La Sita' v= = '5' sp = 'Marafiki' q1 = '' v = '5' v~ = 'Ni nani huyu anayekuja kutoka nyikani' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'akimwegemea mpenzi wake?' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nilikuamsha chini ya mtofaa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'huko mama yako alipotunga mimba yako,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'huko yeye alipata utungu akakuzaa.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Nitie kama muhuri moyoni mwako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama muhuri kwenye mkono wako;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa maana upendo una nguvu kama mauti,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wivu wake ni mkatili kama kuzimu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Unachoma kama mwali wa moto,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama mwali mkubwa wa moto wa \\nd Bwana\\nd* hasa.' 'kama mwali mkubwa wa moto wa Bwana hasa.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mito haiwezi kuugharikisha.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kama mtu angelitoa mali yote ya nyumbani mwake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa ajili ya upendo,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'angelidharauliwa kabisa.' sp = 'Marafiki' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Tunaye dada mdogo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'matiti yake hayajakua bado.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Tutafanya nini kwa ajili ya dada yetu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakati atakapokuja kuposwa?' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Kama yeye ni ukuta,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tutajenga minara ya fedha juu yake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Na kama yeye ni mlango,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tutamzungushia mbao za mierezi.' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Mimi ni ukuta,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nayo matiti yangu ni kama minara.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ndivyo ambavyo nimekuwa machoni pake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama yule anayeleta utoshelevu.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Solomoni alikuwa na shamba la mizabibu huko Baal-Hamoni;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'alikodisha shamba lake la mizabibu kwa wapangaji.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kila mmoja angeleta kwa ajili ya matunda yake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'shekeli 1,000 za fedha.' EXTRA( fn @ 13 = '+ \\fr 8:11 \\ft Shekeli 1,000 ni kama kilo 11.5.') ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Lakini shamba langu la mizabibu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambalo ni langu mwenyewe' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ni langu kutoa;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'hizo shekeli 1,000 ni kwa ajili yako, ee Solomoni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na shekeli mia mbili ni kwa ajili' EXTRA( fn @ 20 = '+ \\fr 8:12 \\ft Shekeli 200 ni kama kilo 2.3.') ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ya wale wanaotunza matunda yake.' sp = 'Mpenzi' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Wewe ukaaye bustanini' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'pamoja na marafiki mliohudhuria,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hebu nisikie sauti yako!' sp = 'Mpendwa' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Njoo, mpenzi wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uwe kama swala' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'au kama ayala kijana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'juu ya milima iliyojaa vikolezo.' ¬q2 = ¬v = '14' ¬c = '8' ¬chapters =