id = 'LAM - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version' rem = 'Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.' headers = h = 'Maombolezo' toc1 = 'Maombolezo' toc2 = 'Maombolezo' toc3 = 'Mao' mt1 = 'Maombolezo' ¬headers = chapters = c = '1' q1 = '' p~ = '' EXTRA( fn @ 0 = '+ \\fr 1 \\ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari katika lile beti, na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.') c# = '1' v = '1' v~ = 'Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mji ambao zamani ulikuwa umejaa watu!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Jinsi ambavyo umekuwa kama mama mjane,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambaye wakati fulani alikuwa maarufu miongoni mwa mataifa!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Yule ambaye alikuwa malkia miongoni mwa majimbo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'sasa amekuwa mtumwa.' ¬q2 = ¬v = '1' b = '' q1 = '' v = '2' v~ = 'Kwa uchungu, hulia sana usiku,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'machozi yapo kwenye mashavu yake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Miongoni mwa wapenzi wake wote' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna yeyote wa kumfariji.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Rafiki zake wote wamemsaliti,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wamekuwa adui zake.' ¬q2 = ¬v = '2' b = '' q1 = '' v = '3' v~ = 'Baada ya mateso na kufanyishwa kazi kikatili,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Yuda amekwenda uhamishoni.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Anakaa miongoni mwa mataifa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hapati mahali pa kupumzika.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wote ambao wanamsaka wamemkamata' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katikati ya dhiki yake.' ¬q2 = ¬v = '3' b = '' q1 = '' v = '4' v~ = 'Barabara zielekeazo Sayuni zaomboleza,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kuwa hakuna yeyote anayekuja' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kwenye sikukuu zake zilizoamriwa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Malango yake yote yamekuwa ukiwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'makuhani wake wanalia kwa uchungu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wanawali wake wanahuzunika,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'naye yuko katika uchungu wa maumivu makuu.' ¬q2 = ¬v = '4' b = '' q1 = '' v = '5' v~ = 'Adui zake wamekuwa mabwana zake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watesi wake wana raha.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* amemletea huzuni' 'Bwana amemletea huzuni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu ya dhambi zake nyingi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watoto wake wamekwenda uhamishoni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mateka mbele ya adui.' ¬q2 = ¬v = '5' b = '' q1 = '' v = '6' v~ = 'Fahari yote imeondoka' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka kwa Binti Sayuni.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wakuu wake wako kama ayala' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambaye hapati malisho,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'katika udhaifu wamekimbia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mbele ya anayewasaka.' ¬q2 = ¬v = '6' b = '' q1 = '' v = '7' v~ = 'Katika siku za mateso yake na kutangatanga,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Yerusalemu hukumbuka hazina zote' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ambazo zilikuwa zake siku za kale.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wakati watu wake walipoanguka katika mikono ya adui,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hapakuwepo na yeyote wa kumsaidia.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watesi wake walimtazama' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kumcheka katika maangamizi yake.' ¬q2 = ¬v = '7' b = '' q1 = '' v = '8' v~ = 'Yerusalemu ametenda dhambi sana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa hiyo amekuwa najisi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wote waliomheshimu wanamdharau,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa maana wameuona uchi wake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Yeye mwenyewe anapiga kite' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kugeukia mbali.' ¬q2 = ¬v = '8' b = '' q1 = '' v = '9' v~ = 'Uchafu wake umegandamana na nguo zake;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuwaza juu ya maisha yake ya baadaye.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Anguko lake lilikuwa la kushangaza,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hapakuwepo na yeyote wa kumfariji.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '“Tazama, Ee \\nd Bwana\\nd*, teso langu,' '“Tazama, Ee Bwana, teso langu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa maana adui ameshinda.”' ¬q2 = ¬v = '9' b = '' q1 = '' v = '10' v~ = 'Adui ametia mikono' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'juu ya hazina zake zote,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'aliona mataifa ya kipagani' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakiingia mahali patakatifu pake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wale uliowakataza kuingia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwenye kusanyiko lako.' ¬q2 = ¬v = '10' b = '' q1 = '' v = '11' v~ = 'Watu wake wote wanalia kwa uchungu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watafutapo chakula;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wanabadilisha hazina zao kwa chakula' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili waweze kuendelea kuishi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '“Tazama, Ee \\nd Bwana\\nd*, ufikiri,' '“Tazama, Ee Bwana, ufikiri,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa maana nimedharauliwa.”' ¬q2 = ¬v = '11' b = '' q1 = '' v = '12' v~ = '“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Angalieni kote mwone.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, kuna maumivu kama maumivu yangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yale yaliyotiwa juu yangu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'yale \\nd Bwana\\nd* aliyoyaleta juu yangu' 'yale Bwana aliyoyaleta juu yangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku ya hasira yake kali?' ¬q2 = ¬v = '12' b = '' q1 = '' v = '13' v~ = '“Kutoka juu alipeleka moto,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'akaushusha katika mifupa yangu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Aliitandia wavu miguu yangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na akanirudisha nyuma.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Akanifanya mkiwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mdhaifu mchana kutwa.' ¬q2 = ¬v = '13' b = '' q1 = '' v = '14' v~ = '“Dhambi zangu zimefungwa kwenye nira,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa mikono yake zilifumwa pamoja.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Zimefika shingoni mwangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na Bwana ameziondoa nguvu zangu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Amenitia mikononi mwa wale' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambao siwezi kushindana nao.' ¬q2 = ¬v = '14' b = '' q1 = '' v = '15' v~ = '“Bwana amewakataa wapiganaji wa vita' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wote walio kati yangu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ameagiza jeshi dhidi yangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuwaponda vijana wangu wa kiume.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Katika shinikizo lake la divai Bwana amemkanyaga' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Bikira Binti Yuda.' ¬q2 = ¬v = '15' b = '' q1 = '' v = '16' v~ = '“Hii ndiyo sababu ninalia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na macho yangu yanafurika machozi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Hakuna yeyote aliye karibu kunifariji,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna yeyote wa kuhuisha roho yangu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watoto wangu ni wakiwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu adui ameshinda.”' ¬q2 = ¬v = '16' b = '' q1 = '' v = '17' v~ = 'Sayuni ananyoosha mikono yake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini hakuna yeyote wa kumfariji.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* ametoa amri kwa ajili ya Yakobo' 'Bwana ametoa amri kwa ajili ya Yakobo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwamba majirani zake wawe adui zake;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Yerusalemu umekuwa' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kitu najisi miongoni mwao.' ¬q2 = ¬v = '17' b = '' q1 = '' v = '18' v~ = '“\\nd Bwana\\nd* ni mwenye haki,' '“Bwana ni mwenye haki,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hata hivyo niliasi dhidi ya amri yake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Sikilizeni, enyi mataifa yote,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tazameni maumivu yangu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wavulana wangu na wasichana wangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wamekwenda uhamishoni.' ¬q2 = ¬v = '18' b = '' q1 = '' v = '19' v~ = '“Niliita washirika wangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini walinisaliti.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Makuhani wangu na wazee wangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'waliangamia mjini' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'walipokuwa wakitafuta chakula' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili waweze kuishi.' ¬q2 = ¬v = '19' b = '' q1 = '' v = '20' v~ = '“Angalia, Ee \\nd Bwana\\nd*, jinsi nilivyo katika dhiki!' '“Angalia, Ee Bwana, jinsi nilivyo katika dhiki!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Nina maumivu makali ndani yangu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nami ninahangaika moyoni mwangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kuwa nimekuwa mwasi sana.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Huko nje, upanga unaua watu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ndani, kipo kifo tu.' ¬q2 = ¬v = '20' b = '' q1 = '' v = '21' v~ = '“Watu wamesikia ninavyolia kwa uchungu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini hakuna yeyote wa kunifariji.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Adui zangu wote wamesikia juu ya dhiki yangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wanafurahia lile ulilolitenda.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Naomba uilete siku uliyoitangaza' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili wawe kama mimi.' ¬q2 = ¬v = '21' b = '' q1 = '' v = '22' v~ = '“Uovu wao wote na uje mbele zako;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uwashughulikie wao' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kama vile ulivyonishughulikia mimi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu ya dhambi zangu zote.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kulia kwangu kwa uchungu ni kwingi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na moyo wangu umedhoofika.”' ¬v = '22' ¬q2 = ¬c = '1' c = '2' q1 = '' p~ = '' EXTRA( fn @ 0 = '+ \\fr 2 \\ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari katika lile beti, na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.') c# = '2' v = '1' v~ = 'Tazama jinsi Bwana alivyomfunika Binti Sayuni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa wingu la hasira yake!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ameitupa chini fahari ya Israeli' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka mbinguni mpaka duniani,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'hakukumbuka kiti chake cha kuwekea miguu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku ya hasira yake.' ¬q2 = ¬v = '1' b = '' q1 = '' v = '2' v~ = 'Bila huruma Bwana ameyameza' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'makao yote ya Yakobo;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'katika ghadhabu yake amebomoa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ngome za Binti Yuda.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ameuangusha ufalme wake na wakuu wake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'chini kwa aibu.' ¬q2 = ¬v = '2' b = '' q1 = '' v = '3' v~ = 'Katika hasira kali amevunja' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kila pembe ya Israeli.' EXTRA( fn @ 10 = '+ \\fr 2:3 \\ft Pembe inawakilisha nguvu; pia 2:17.') ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ameuondoa mkono wake wa kuume' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'alipokaribia adui.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Amemteketeza Yakobo kama moto uwakao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ule uteketezao kila kitu kinachouzunguka.' ¬q2 = ¬v = '3' b = '' q1 = '' v = '4' v~ = 'Ameupinda upinde wake kama adui,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mkono wake wa kuume uko tayari.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kama vile adui amewachinja' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wote waliokuwa wanapendeza jicho,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'amemwaga ghadhabu yake kama moto' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'juu ya hema la Binti Sayuni.' ¬q2 = ¬v = '4' b = '' q1 = '' v = '5' v~ = 'Bwana ni kama adui;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'amemmeza Israeli.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Amemeza majumba yake yote ya kifalme' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuangamiza ngome zake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ameongeza huzuni na maombolezo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa ajili ya Binti Yuda.' ¬q2 = ¬v = '5' b = '' q1 = '' v = '6' v~ = 'Ameharibu maskani yake kama bustani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ameharibu mahali pake pa mkutano.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* amemfanya Sayuni kusahau' 'Bwana amemfanya Sayuni kusahau' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'sikukuu zake zilizoamriwa na Sabato zake;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'katika hasira yake kali amewadharau' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mfalme na kuhani.' ¬q2 = ¬v = '6' b = '' q1 = '' v = '7' v~ = 'Bwana amekataa madhabahu yake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuacha mahali patakatifu pake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Amemkabidhi adui kuta' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'za majumba yake ya kifalme;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wamepiga kelele katika nyumba ya \\nd Bwana\\nd*' 'wamepiga kelele katika nyumba ya Bwana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama katika siku ya sikukuu iliyoamriwa.' ¬q2 = ¬v = '7' b = '' q1 = '' v = '8' v~ = '\\nd Bwana\\nd* alikusudia kuangusha' 'Bwana alikusudia kuangusha' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ukuta uliomzunguka Binti Sayuni.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ameinyoosha kamba ya kupimia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na hakuuzuia mkono wake usiangamize.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Alifanya maboma na kuta ziomboleze,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'vyote vikaharibika pamoja.' ¬q2 = ¬v = '8' b = '' q1 = '' v = '9' v~ = 'Malango yake yamezama ardhini,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'makomeo yake ameyavunja na kuyaharibu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mfalme wake na wakuu wake wamepelekwa uhamishoni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'miongoni mwa mataifa,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'sheria haipo tena,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na manabii wake hawapati tena' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'maono kutoka kwa \\nd Bwana\\nd*.' 'maono kutoka kwa Bwana.' ¬q2 = ¬v = '9' b = '' q1 = '' v = '10' v~ = 'Wazee wa Binti Sayuni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wanaketi chini kimya,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wamenyunyiza mavumbi kwenye vichwa vyao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuvaa nguo za gunia.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wanawali wa Yerusalemu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wamesujudu hadi ardhini.' ¬q2 = ¬v = '10' b = '' q1 = '' v = '11' v~ = 'Macho yangu yamedhoofika kwa kulia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nina maumivu makali ndani,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'moyo wangu umemiminwa ardhini' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu watu wangu wameangamizwa,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa sababu watoto na wanyonyao wanazimia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwenye barabara za mji.' ¬q2 = ¬v = '11' b = '' q1 = '' v = '12' v~ = 'Wanawaambia mama zao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Wapi mkate na divai?”' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wazimiapo kama watu waliojeruhiwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika barabara za mji,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'maisha yao yadhoofikavyo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mikononi mwa mama zao.' ¬q2 = ¬v = '12' b = '' q1 = '' v = '13' v~ = 'Ninaweza kusema nini kwa ajili yako?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Nikulinganishe na nini,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ee Binti Yerusalemu?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nitakufananisha na nini,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili nipate kukufariji,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ee Bikira Binti Sayuni?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Jeraha lako lina kina kama bahari.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ni nani awezaye kukuponya?' ¬q2 = ¬v = '13' b = '' q1 = '' v = '14' v~ = 'Maono ya manabii wako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yalikuwa ya uongo na yasiyofaa kitu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'hawakuifunua dhambi yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili kukuzuilia kwenda utumwani.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Maneno waliyokupa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yalikuwa ya uongo na ya kupotosha.' ¬q2 = ¬v = '14' b = '' q1 = '' v = '15' v~ = 'Wote wapitiao njia yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wanakupigia makofi,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wanakudhihaki na kutikisa vichwa vyao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa Binti Yerusalemu:' ¬q2 = q1 = '' p~ = '“Huu ndio ule mji ulioitwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mkamilifu wa uzuri,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'furaha ya dunia yote?”' ¬q2 = ¬v = '15' b = '' q1 = '' v = '16' v~ = 'Adui zako wote wanapanua' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'vinywa vyao dhidi yako,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wanadhihaki na kusaga meno yao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kusema, “Tumemmeza.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Hii ndiyo siku tuliyoingojea,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tumeishi na kuiona.”' ¬q2 = ¬v = '16' b = '' q1 = '' v = '17' v~ = '\\nd Bwana\\nd* amefanya lile alilolipanga;' 'Bwana amefanya lile alilolipanga;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ametimiza neno lake' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'aliloliamuru siku za kale.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Amekuangusha bila huruma,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'amewaacha adui wakusimange,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ametukuza pembe ya adui yako.' ¬q2 = ¬v = '17' b = '' q1 = '' v = '18' v~ = 'Mioyo ya watu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'inamlilia Bwana.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ee ukuta wa Binti Sayuni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'machozi yako na yatiririke kama mto' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'usiku na mchana;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'usijipe nafuu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'macho yako yasipumzike.' ¬q2 = ¬v = '18' b = '' q1 = '' v = '19' v~ = 'Inuka, lia usiku,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'zamu za usiku zianzapo;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'mimina moyo wako kama maji' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mbele za Bwana.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mwinulie yeye mikono yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa ajili ya maisha ya watoto wako,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambao wanazimia kwa njaa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwenye kila mwanzo wa barabara.' ¬q2 = ¬v = '19' b = '' q1 = '' v = '20' v~ = '“Tazama, Ee \\nd Bwana\\nd*, ufikirie:' '“Tazama, Ee Bwana, ufikirie:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ni nani ambaye umepata' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kumtendea namna hii?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, wanawake wakule wazao wao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watoto waliowalea?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, kuhani na nabii auawe' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mahali patakatifu pa Bwana?' ¬q2 = ¬v = '20' b = '' q1 = '' v = '21' v~ = '“Vijana na wazee hujilaza pamoja' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika mavumbi ya barabarani,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wavulana wangu na wasichana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wameanguka kwa upanga.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Umewaua katika siku ya hasira yako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'umewachinja bila huruma.' ¬q2 = ¬v = '21' b = '' q1 = '' v = '22' v~ = '“Kama ulivyoita siku ya karamu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ndivyo ulivyoagiza hofu kuu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'dhidi yangu kila upande.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Katika siku ya hasira ya \\nd Bwana\\nd*' 'Katika siku ya hasira ya Bwana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna yeyote aliyekwepa au kupona;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wale niliowatunza na kuwalea,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'adui yangu amewaangamiza.”' ¬v = '22' ¬q2 = ¬c = '2' c = '3' q1 = '' p~ = '' EXTRA( fn @ 0 = '+ \\fr 3 \\ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari katika lile beti, na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.') c# = '3' v = '1' v~ = 'Mimi ndiye mtu aliyeona mateso' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa fimbo ya ghadhabu yake.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Amenifukuzia mbali na kunifanya nitembee' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'gizani wala si katika nuru;' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'hakika, amegeuza mkono wake dhidi yangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tena na tena, mchana kutwa.' ¬q2 = ¬v = '3' b = '' q1 = '' v = '4' v~ = 'Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na ameivunja mifupa yangu.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Amenizingira na kunizunguka' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa uchungu na taabu.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Amenifanya niishi gizani' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama wale waliokufa.' ¬q2 = ¬v = '6' b = '' q1 = '' v = '7' v~ = 'Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'amenifunga kwa minyororo mizito.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'anakataa kupokea maombi yangu.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Ameizuia njia yangu kwa mapande ya mawe,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'amepotosha njia zangu.' ¬q2 = ¬v = '9' b = '' q1 = '' v = '10' v~ = 'Kama dubu aviziaye,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama simba mafichoni,' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'ameniburuta kutoka njia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'akanirarua na kuniacha bila msaada.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Amevuta upinde wake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kunifanya mimi niwe lengo' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kwa ajili ya mishale yake.' ¬q2 = ¬v = '12' b = '' q1 = '' v = '13' v~ = 'Alinichoma moyo wangu kwa mishale' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'iliyotoka kwenye podo lake.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Amenijaza kwa majani machungu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kunishibisha kwa nyongo.' ¬q2 = ¬v = '15' b = '' q1 = '' v = '16' v~ = 'Amevunja meno yangu kwa changarawe,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'amenikanyagia mavumbini.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Amani yangu imeondolewa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nimesahau kufanikiwa ni nini.' ¬q2 = ¬v = '17' q1 = '' v = '18' v~ = 'Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa \\nd Bwana\\nd*.”' 'na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Bwana.”' ¬q2 = ¬v = '18' b = '' q1 = '' v = '19' v~ = 'Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uchungu na nyongo.' ¬q2 = ¬v = '19' q1 = '' v = '20' v~ = 'Ninayakumbuka vyema,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu.' ¬q2 = ¬v = '20' q1 = '' v = '21' v~ = 'Hata hivyo najikumbusha neno hili' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kwa hiyo ninalo tumaini.' ¬q2 = ¬v = '21' b = '' q1 = '' v = '22' v~ = 'Kwa sababu ya upendo mkuu wa \\nd Bwana\\nd*, hatuangamii,' 'Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.' ¬q2 = ¬v = '22' q1 = '' v = '23' v~ = 'Ni mpya kila asubuhi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uaminifu wako ni mkuu.' ¬q2 = ¬v = '23' q1 = '' v = '24' v~ = 'Nimeiambia nafsi yangu, “\\nd Bwana\\nd* ni fungu langu,' 'Nimeiambia nafsi yangu, “Bwana ni fungu langu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa hiyo nitamngojea.”' ¬q2 = ¬v = '24' b = '' q1 = '' v = '25' v~ = '\\nd Bwana\\nd* ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake,' 'Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa yule ambaye humtafuta;' ¬q2 = ¬v = '25' q1 = '' v = '26' v~ = 'ni vyema kungojea kwa utulivu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa ajili ya wokovu wa \\nd Bwana\\nd*.' 'kwa ajili ya wokovu wa Bwana.' ¬q2 = ¬v = '26' q1 = '' v = '27' v~ = 'Ni vyema mtu kuchukua nira' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bado angali kijana.' ¬q2 = ¬v = '27' b = '' q1 = '' v = '28' v~ = 'Na akae peke yake awe kimya,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa maana \\nd Bwana\\nd* ameiweka juu yake.' 'kwa maana Bwana ameiweka juu yake.' ¬q2 = ¬v = '28' q1 = '' v = '29' v~ = 'Na azike uso wake mavumbini' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bado panawezekana kuwa na matumaini.' ¬q2 = ¬v = '29' q1 = '' v = '30' v~ = 'Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na ajazwe na aibu.' ¬q2 = ¬v = '30' b = '' q1 = '' v = '31' v~ = 'Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na Bwana milele.' ¬q2 = ¬v = '31' q1 = '' v = '32' v~ = 'Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu.' ¬q2 = ¬v = '32' q1 = '' v = '33' v~ = 'Kwa maana hapendi kuwaletea mateso' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'au huzuni watoto wa wanadamu.' ¬q2 = ¬v = '33' b = '' q1 = '' v = '34' v~ = 'Kuwaponda chini ya nyayo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wafungwa wote katika nchi,' ¬q2 = ¬v = '34' q1 = '' v = '35' v~ = 'Kumnyima mtu haki zake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mbele za Aliye Juu Sana,' ¬q2 = ¬v = '35' q1 = '' v = '36' v~ = 'kumnyima mtu haki:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Je, Bwana asione mambo kama haya?' ¬q2 = ¬v = '36' b = '' q1 = '' v = '37' v~ = 'Nani awezaye kusema nalo likatendeka' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama Bwana hajaamuru?' ¬q2 = ¬v = '37' q1 = '' v = '38' v~ = 'Je, si ni kwenye kinywa cha Aliye Juu Sana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ndiko yatokako maafa na mambo mema?' ¬q2 = ¬v = '38' q1 = '' v = '39' v~ = 'Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake?' ¬q2 = ¬v = '39' b = '' q1 = '' v = '40' v~ = 'Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na tumrudie \\nd Bwana\\nd* Mungu.' 'na tumrudie Bwana Mungu.' ¬q2 = ¬v = '40' q1 = '' v = '41' v~ = 'Tuinue mioyo yetu pamoja na mikono yetu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa Mungu mbinguni, na tuseme:' ¬q2 = ¬v = '41' q1 = '' v = '42' v~ = '“Tumetenda dhambi na kuasi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nawe hujasamehe.' ¬q2 = ¬v = '42' b = '' q1 = '' v = '43' v~ = '“Umejifunika mwenyewe kwa hasira na kutufuatilia;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'umetuchinja bila huruma.' ¬q2 = ¬v = '43' q1 = '' v = '44' v~ = 'Unajifunika mwenyewe kwa wingu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili pasiwe na ombi' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'litakaloweza kupenya.' ¬q2 = ¬v = '44' q1 = '' v = '45' v~ = 'Umetufanya takataka na uchafu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'miongoni mwa mataifa.' ¬q2 = ¬v = '45' b = '' q1 = '' v = '46' v~ = '“Adui zetu wote wamefumbua vinywa vyao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wazi dhidi yetu.' ¬q2 = ¬v = '46' q1 = '' v = '47' v~ = 'Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uharibifu na maangamizi.”' ¬q2 = ¬v = '47' q1 = '' v = '48' v~ = 'Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu watu wangu wameangamizwa.' ¬q2 = ¬v = '48' b = '' q1 = '' v = '49' v~ = 'Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bila kupata nafuu,' ¬q2 = ¬v = '49' q1 = '' v = '50' v~ = 'hadi \\nd Bwana\\nd* atazame chini' 'hadi Bwana atazame chini' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka mbinguni na kuona.' ¬q2 = ¬v = '50' q1 = '' v = '51' v~ = 'Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu.' ¬q2 = ¬v = '51' b = '' q1 = '' v = '52' v~ = 'Wale waliokuwa adui zangu bila sababu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wameniwinda kama ndege.' ¬q2 = ¬v = '52' q1 = '' v = '53' v~ = 'Walijaribu kukomesha maisha yangu ndani ya shimo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kunitupia mawe;' ¬q2 = ¬v = '53' q1 = '' v = '54' v~ = 'maji yalifunika juu ya kichwa changu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nami nikafikiri nilikuwa karibu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kukatiliwa mbali.' ¬q2 = ¬v = '54' b = '' q1 = '' v = '55' v~ = 'Nililiitia jina lako, Ee \\nd Bwana\\nd*,' 'Nililiitia jina lako, Ee Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka vina vya shimo.' ¬q2 = ¬v = '55' q1 = '' v = '56' v~ = 'Ulisikia ombi langu: “Usikizibie masikio yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kilio changu nikuombapo msaada.”' ¬q2 = ¬v = '56' q1 = '' v = '57' v~ = 'Ulikuja karibu nilipokuita,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nawe ukasema, “Usiogope.”' ¬q2 = ¬v = '57' b = '' q1 = '' v = '58' v~ = 'Ee Bwana, ulichukua shauri langu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ukaukomboa uhai wangu.' ¬q2 = ¬v = '58' q1 = '' v = '59' v~ = 'Umeona, Ee \\nd Bwana\\nd*, ubaya niliotendewa.' 'Umeona, Ee Bwana, ubaya niliotendewa.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Tetea shauri langu!' ¬q2 = ¬v = '59' q1 = '' v = '60' v~ = 'Umeona kina cha kisasi chao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mashauri yao yote mabaya dhidi yangu.' ¬q2 = ¬v = '60' b = '' q1 = '' v = '61' v~ = 'Ee \\nd Bwana\\nd*, umesikia matukano yao,' 'Ee Bwana, umesikia matukano yao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mashauri yao yote mabaya dhidi yangu:' ¬q2 = ¬v = '61' q1 = '' v = '62' v~ = 'kile adui zangu wanachonongʼona na kunungʼunikia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'dhidi yangu mchana kutwa.' ¬q2 = ¬v = '62' q1 = '' v = '63' v~ = 'Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wananidhihaki katika nyimbo zao.' ¬q2 = ¬v = '63' b = '' q1 = '' v = '64' v~ = 'Uwalipe kile wanachostahili, Ee \\nd Bwana\\nd*,' 'Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa yale ambayo mikono yao imetenda.' ¬q2 = ¬v = '64' q1 = '' v = '65' v~ = 'Weka pazia juu ya mioyo yao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'laana yako na iwe juu yao!' ¬q2 = ¬v = '65' q1 = '' v = '66' v~ = 'Wafuatilie katika hasira na uwaangamize' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka chini ya mbingu za \\nd Bwana\\nd*.' 'kutoka chini ya mbingu za Bwana.' ¬v = '66' ¬q2 = ¬c = '3' c = '4' q1 = '' p~ = '' EXTRA( fn @ 0 = '+ \\fr 4 \\ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari katika lile beti, na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.') c# = '4' v = '1' v~ = 'Jinsi dhahabu ilivyopoteza mngʼao wake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'dhahabu iliyo safi haingʼai!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Vito vya thamani vimetawanywa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwenye mwanzo wa kila barabara.' ¬q2 = ¬v = '1' b = '' q1 = '' v = '2' v~ = 'Wana wa Sayuni wenye thamani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambao mwanzo uzito wa thamani yao' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ulikuwa wa dhahabu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'sasa wanaangaliwa kama vyungu vya udongo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kazi ya mikono ya mfinyanzi!' ¬q2 = ¬v = '2' b = '' q1 = '' v = '3' v~ = 'Hata mbweha hutoa matiti yao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kunyonyesha watoto wao,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama mbuni jangwani.' ¬q2 = ¬v = '3' b = '' q1 = '' v = '4' v~ = 'Kwa sababu ya kiu ulimi wa mtoto mchanga' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'umegandamana na kaakaa la kinywa chake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'watoto huomba mkate,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini hakuna yeyote awapaye.' ¬q2 = ¬v = '4' b = '' q1 = '' v = '5' v~ = 'Wale waliokula vyakula vya kifahari' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni maskini barabarani.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wale waliokuzwa wakivaa nguo za zambarau' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'sasa wanalalia majivu.' ¬q2 = ¬v = '5' b = '' q1 = '' v = '6' v~ = 'Adhabu ya watu wangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni kubwa kuliko ile ya Sodoma,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambayo ilipinduliwa ghafula' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bila kuwepo mkono wa msaada.' ¬q2 = ¬v = '6' b = '' q1 = '' v = '7' v~ = 'Wakuu wao walikuwa wamengʼaa kuliko theluji' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na weupe kuliko maziwa,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'miili yao ilikuwa myekundu kuliko marijani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuonekana kwao kama yakuti samawi.' ¬q2 = ¬v = '7' b = '' q1 = '' v = '8' v~ = 'Lakini sasa ni weusi kuliko masizi;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hawatambulikani barabarani.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ngozi yao imeshikamana juu ya mifupa yao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'imekuwa mikavu kama fimbo.' ¬q2 = ¬v = '8' b = '' q1 = '' v = '9' v~ = 'Wale waliouawa kwa upanga ni bora' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuliko wale wanaokufa njaa;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wanateseka kwa njaa, wanatokomea' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kukosa chakula kutoka shambani.' ¬q2 = ¬v = '9' b = '' q1 = '' v = '10' v~ = 'Kwa mikono yao wenyewe wanawake wenye huruma' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wanapika watoto wao wenyewe,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'waliokuwa chakula chao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watu wangu walipoangamizwa.' ¬q2 = ¬v = '10' b = '' q1 = '' v = '11' v~ = '\\nd Bwana\\nd* ametoa nafasi kamilifu ya ghadhabu yake;' 'Bwana ametoa nafasi kamilifu ya ghadhabu yake;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ameimwaga hasira yake kali.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Amewasha moto katika Sayuni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambao umeteketeza misingi yake.' ¬q2 = ¬v = '11' b = '' q1 = '' v = '12' v~ = 'Wafalme wa dunia hawakuamini,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wala mtu yeyote wa duniani,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwamba adui na watesi wangeweza kuingia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwenye malango ya Yerusalemu.' ¬q2 = ¬v = '12' b = '' q1 = '' v = '13' v~ = 'Lakini hili lilitokea kwa sababu ya dhambi za manabii wake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na maovu ya makuhani wake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'waliomwaga ndani yake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'damu ya wenye haki.' ¬q2 = ¬v = '13' b = '' q1 = '' v = '14' v~ = 'Sasa wanapapasa papasa barabarani' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama watu ambao ni vipofu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wamenajisiwa kabisa kwa damu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hata hakuna anayethubutu kugusa mavazi yao.' ¬q2 = ¬v = '14' b = '' q1 = '' v = '15' v~ = 'Watu wanawapigia kelele, “Ondokeni! Ninyi ni najisi!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ondokeni! Ondokeni! Msituguse!”' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wanapokimbia na kutangatanga huku na huko,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watu miongoni mwa mataifa wanasema,' ¬q2 = q2 = '' p~ = '“Hawawezi kukaa hapa zaidi.”' ¬q2 = ¬v = '15' b = '' q1 = '' v = '16' v~ = '\\nd Bwana\\nd* mwenyewe amewatawanya;' 'Bwana mwenyewe amewatawanya;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hawaangalii tena.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Makuhani hawaonyeshwi heshima,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wazee hawakubaliki.' ¬q2 = ¬v = '16' b = '' q1 = '' v = '17' v~ = 'Zaidi ya hayo, macho yetu yalichoka,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kutazamia bure msaada;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'tuliangalia kutoka minara yetu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa taifa lisiloweza kutuokoa.' ¬q2 = ¬v = '17' b = '' q1 = '' v = '18' v~ = 'Watu walituvizia katika kila hatua' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hata hatukuweza kutembea katika barabara zetu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mwisho wetu ulikuwa karibu, siku zetu zilikuwa zimetimia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa maana mwisho wetu ulikuwa umefika.' ¬q2 = ¬v = '18' b = '' q1 = '' v = '19' v~ = 'Waliotufuatia walikuwa wepesi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuliko tai angani;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'walitusaka juu milimani' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kutuvizia jangwani.' ¬q2 = ¬v = '19' b = '' q1 = '' v = '20' v~ = 'Mpakwa mafuta wa \\nd Bwana\\nd*, pumzi ya uhai wetu hasa,' 'Mpakwa mafuta wa Bwana, pumzi ya uhai wetu hasa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'alinaswa katika mitego yao.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Tulifikiri kwamba chini ya kivuli chake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tungeliweza kuishi miongoni mwa mataifa.' ¬q2 = ¬v = '20' b = '' q1 = '' v = '21' v~ = 'Shangilia na ufurahi, ee Binti Edomu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wewe unayeishi nchi ya Usi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Lakini kwako pia kikombe kitapitishwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Utalewa na kuvuliwa nguo ubaki uchi.' ¬q2 = ¬v = '21' b = '' q1 = '' v = '22' v~ = 'Ee Binti Sayuni, adhabu yako itaisha,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hatarefusha muda wako wa kukaa uhamishoni.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Lakini, ee Binti Edomu, ataadhibu dhambi yako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na atafunua uovu wako.' ¬v = '22' ¬q2 = ¬c = '4' c = '5' q1 = '' c# = '5' v = '1' v~ = 'Kumbuka, Ee \\nd Bwana\\nd*, yaliyotupata,' 'Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tazama, nawe uione aibu yetu.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na nyumba zetu kwa wageni.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Tumekuwa yatima wasio na baba,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mama zetu wamekuwa kama wajane.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Ni lazima tununue maji tunayokunywa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuni zetu zapatikana tu kwa kununua.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tumechoka na hakuna pumziko.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Tumejitolea kwa Misri na Ashuru' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tupate chakula cha kutosha.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na sisi tunachukua adhabu yao.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Watumwa wanatutawala' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na hakuna wa kutuokoa mikononi yao.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu ya upanga jangwani.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Ngozi yetu ina joto kama tanuru,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mabikira katika miji ya Yuda.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wazee hawapewi heshima.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Wazee wameondoka langoni la mji,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'vijana wameacha kuimba nyimbo zao.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Furaha imeondoka mioyoni mwetu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kucheza kwetu kumegeuka maombolezo.' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Taji imeanguka kutoka kichwani petu.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi!' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia,' ¬q2 = ¬v = '17' q1 = '' v = '18' v~ = 'kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nao mbweha wanatembea juu yake.' ¬q2 = ¬v = '18' q1 = '' v = '19' v~ = 'Wewe, Ee \\nd Bwana\\nd* unatawala milele,' 'Wewe, Ee Bwana unatawala milele,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi.' ¬q2 = ¬v = '19' q1 = '' v = '20' v~ = 'Kwa nini watusahau siku zote?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu?' ¬q2 = ¬v = '20' q1 = '' v = '21' v~ = 'Turudishe kwako mwenyewe, Ee \\nd Bwana\\nd*,' 'Turudishe kwako mwenyewe, Ee Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili tupate kurudi.' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale,' ¬q2 = ¬v = '21' q1 = '' v = '22' v~ = 'isipokuwa uwe umetukataa kabisa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na umetukasirikia pasipo kipimo.' ¬q2 = ¬v = '22' ¬c = '5' ¬chapters =