id = 'OBA - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version' rem = 'Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.' headers = h = 'Obadia' toc1 = 'Obadia' toc2 = 'Obadia' toc3 = 'Oba' mt1 = 'Obadia' ¬headers = chapters = c = '1' p = '' c# = '1' v = '1' v~ = 'Maono ya Obadia.' b = '' b = '' ¬p = p = '' p~ = 'Hili ndilo asemalo \\nd Bwana\\nd* Mwenyezi kuhusu Edomu:' 'Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi kuhusu Edomu:' ¬p = q1 = '' p~ = 'Tumesikia ujumbe kutoka kwa \\nd Bwana\\nd*:' 'Tumesikia ujumbe kutoka kwa Bwana:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema,' ¬q2 = q1 = '' p~ = '“Inukeni, twendeni tukapigane vita dhidi yake.”' ¬q1 = ¬v = '1' b = '' q1 = '' v = '2' v~ = '“Angalieni, nitawafanya wadogo miongoni mwa mataifa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mtadharauliwa kabisa.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Kiburi cha moyo wako kimekudanganya,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wewe unayeishi katika majabali ya miamba' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kufanya makao yako juu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wewe unayejiambia mwenyewe,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Ingawa unapaa juu kama tai' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kufanya kiota chako kati ya nyota,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'nitakushusha chini kutoka huko,”' ¬q2 = q4 = '' p~ = 'asema \\nd Bwana\\nd*.' 'asema Bwana.' ¬q4 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = '“Ikiwa wevi wangekuja kwako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ikiwa wanyangʼanyi wangekujia usiku:' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Lo! Tazama ni maafa kiasi gani yangekuwa yanakungojea:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kama wachuma zabibu wangekuja kwako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'je, wasingebakiza zabibu chache?' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara!' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Wote ulioungana nao watakufukuza hadi mpakani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'rafiki zako watakudanganya na kukushinda,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wale wanaokula mkate wako watakutegea mtego,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini hutaweza kuugundua.' ¬q2 = ¬v = '7' b = '' q1 = '' v = '8' v~ = '“Katika siku hiyo,” asema \\nd Bwana\\nd*,' '“Katika siku hiyo,” asema Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“je, sitaangamiza watu wenye hekima wa Edomu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'watu wenye ufahamu katika milima ya Esau?' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Ee Temani, mashujaa wako watatiwa hofu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kila mmoja katika milima ya Esau' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ataangushwa chini kwa kuchinjwa.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Kwa sababu ya jeuri uliyofanya dhidi ya ndugu yako Yakobo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'aibu itakufunika;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'utaangamizwa milele.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Siku ile ulisimama mbali ukiangalia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakati wageni walipojichukulia utajiri wake' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na watu wa nchi nyingine walipoingia malango yake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakipiga kura kwa ajili ya Yerusalemu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ulikuwa kama mmoja wao.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Usingemdharau ndugu yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku ya msiba wake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wala kufurahia juu ya watu wa Yuda' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku ya maangamizi yao,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wala kujigamba sana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku ya taabu yao.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Usingeingia katika malango ya watu wangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku ya maafa yao,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wala kuwadharau katika janga lao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku ya maafa yao,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wala kunyangʼanya mali zao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku ya maafa yao.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Usingengoja kwenye njia panda' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuwaua wakimbizi wao,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wala kuwatoa watu wake waliosalia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku ya shida yao.' ¬q2 = ¬v = '14' b = '' q1 = '' v = '15' v~ = '“Siku ya \\nd Bwana\\nd* iko karibu' '“Siku ya Bwana iko karibu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa mataifa yote.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kama ulivyofanya, nawe utafanyiwa vivyo hivyo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'matendo yako yatakurudia juu ya kichwa chako.' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Kama vile ulivyokunywa juu ya mlima wangu mtakatifu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'vivyo hivyo mataifa yote watakunywa mfululizo,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'watakunywa na kunywa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nao watatoweka kana kwamba hawajawahi kuwepo.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Lakini katika Mlima Sayuni kutakuwepo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na wale watakaookoka;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'nao utakuwa mtakatifu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nayo nyumba ya Yakobo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'itamiliki urithi wake.' ¬q2 = ¬v = '17' q1 = '' v = '18' v~ = 'Nyumba ya Yakobo itakuwa moto,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na nyumba ya Yosefu itakuwa mwali wa moto;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nayo nyumba ya Esau itakuwa bua kavu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nao wataiwasha moto na kuiteketeza.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Hakutakuwa na watakaosalimika' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka nyumba ya Esau.”' ¬q2 = q4 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* amesema.' 'Bwana amesema.' ¬q4 = ¬v = '18' b = '' q1 = '' v = '19' v~ = 'Watu kutoka nchi ya Negebu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wataikalia milima ya Esau,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na watu kutoka miteremko ya vilima' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watamiliki nchi ya Wafilisti.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watayakalia mashamba ya Efraimu na Samaria,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'naye Benyamini atamiliki Gileadi.' ¬q2 = ¬v = '19' q1 = '' v = '20' v~ = 'Kundi la Waisraeli walioko uhamishoni Kanaani' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watarudi na kumiliki nchi mpaka Sarepta.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Walioko uhamishoni Sefaradi kutoka Yerusalemu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watamiliki miji ya Negebu.' ¬q2 = ¬v = '20' q1 = '' v = '21' v~ = 'Waokoaji watakwea juu ya Mlima Sayuni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutawala milima ya Esau.' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Nao ufalme utakuwa wa \\nd Bwana\\nd*.' 'Nao ufalme utakuwa wa Bwana.' ¬q2 = ¬v = '21' ¬c = '1' ¬chapters =