id = 'MIC - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version' rem = 'Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.' headers = h = 'Mika' toc1 = 'Mika' toc2 = 'Mika' toc3 = 'Mik' mt1 = 'Mika' ¬headers = chapters = c = '1' p = '' c# = '1' v = '1' v~ = 'Neno la \\nd Bwana\\nd* lilimjia Mika, Mmoreshethi, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu.' 'Neno la Bwana lilimjia Mika, Mmoreshethi, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu.' ¬v = '1' ¬p = b = '' b = '' q1 = '' v = '2' v~ = 'Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'sikilizeni, ee dunia na wote mliomo ndani yake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ili \\nd Bwana\\nd* Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu,' 'ili Bwana Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Bwana kutoka Hekalu lake takatifu.' ¬q2 = ¬v = '2' v= = '3' s1 = 'Hukumu Dhidi Ya Samaria Na Yerusalemu' q1 = '' v = '3' v~ = 'Tazama! \\nd Bwana\\nd* anakuja kutoka mahali pake;' 'Tazama! Bwana anakuja kutoka mahali pake;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'anashuka na kukanyaga' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'mahali palipoinuka juu pa dunia.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Milima inayeyuka chini yake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mabonde yanagawanyika' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kama nta mbele ya moto,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama maji yatiririkayo kasi' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kwenye mteremko.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Yote haya ni kwa sababu ya kosa la Yakobo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni kwa sababu ya dhambi za nyumba ya Israeli.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kosa la Yakobo ni lipi?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Je, sio Samaria?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, mahali pa juu pa Yuda pa kuabudia miungu ni nini?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Je, sio Yerusalemu?' ¬q2 = ¬v = '5' b = '' q1 = '' v = '6' v~ = '“Kwa hiyo nitaufanya Samaria kuwa lundo la kokoto,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mahali pa kuotesha mizabibu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nitayamwaga mawe yake katika bonde' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuacha wazi misingi yake.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Sanamu zake zote' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'zitavunjwa vipande vipande;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'zawadi zake zote za Hekalu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'zitachomwa kwa moto;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'nitaharibu vinyago vyake vyote.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa kuwa alikusanya zawadi zake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutokana na ujira wa kahaba,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nazo zitatumika tena' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kulipa mishahara ya kahaba.”' ¬q2 = ¬v = '7' v= = '8' s1 = 'Kulia Na Kuomboleza' q1 = '' v = '8' v~ = 'Kwa ajili ya hili nitalia na kuomboleza;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitatembea bila viatu na tena uchi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nitabweka kama mbweha' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuomboleza kama bundi.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Kwa sababu jeraha lake halitibiki;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'limekuja Yuda.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Limefika hasa kwenye lango la watu wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hata Yerusalemu kwenyewe.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Usiliseme hili huko Gathi;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'usilie hata kidogo.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Huko Beth-le-Afra' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'gaagaa mavumbini.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Piteni mkiwa uchi na wenye aibu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ninyi mkaao Shafiri.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wale waishio Saanani' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hawatatoka nje.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Beth-Eseli iko katika maombolezo;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kinga yake imeondolewa kwako.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Wale waishio Marothi wanagaagaa kwa maumivu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakingoja msaada,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa sababu maangamizi yamekuja' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka kwa \\nd Bwana\\nd*,' 'kutoka kwa Bwana,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hata katika lango la Yerusalemu.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Enyi mkaao Lakishi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'fungeni farasi kwenye magari ya vita.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mlikuwa chanzo cha dhambi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa Binti Sayuni,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa kuwa makosa ya Israeli' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yalikutwa kwako.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Kwa hiyo utaipa Moresheth-Gathi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'zawadi za kuagana.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mji wa Akzibu utaonyesha wazi udanganyifu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa wafalme wa Israeli.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Nitawaleteeni atakayewashinda' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ninyi mnaoishi Maresha.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Yeye aliye utukufu wa Israeli' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'atakuja Adulamu.' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Nyoeni nywele zenu katika kuomboleza' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa ajili ya watoto wenu mnaowafurahia;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'jifanyieni upara kama tai,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kuwa watawaacha' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kwenda uhamishoni.' ¬v = '16' ¬q2 = ¬c = '1' c = '2' v= = '1' s1 = 'Mipango Ya Mwanadamu Na Ya Mungu' q1 = '' c# = '2' v = '1' v~ = 'Ole kwa wale wapangao uovu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa wale wafanyao shauri la hila vitandani mwao!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kunapopambazuka wanalitimiza' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu uko katika uwezo wao kutekeleza.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Wanatamani mashamba na kuyakamata,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'pia nyumba na kuzichukua.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wanamlaghai mwanaume nyumba yake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mwanadamu mwenzake urithi wake.' ¬q2 = ¬v = '2' p = '' v = '3' v~ = 'Kwa hiyo, \\nd Bwana\\nd* asema:' 'Kwa hiyo, Bwana asema:' ¬p = q1 = '' p~ = '“Ninapanga maangamizi dhidi ya watu hawa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambayo hamwezi kujiokoa wenyewe.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Hamtatembea tena kwa majivuno,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kuwa utakuwa ni wakati wa maafa.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Siku hiyo watu watawadhihaki,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watawafanyia mzaha' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kwa wimbo huu wa maombolezo:' ¬q2 = q1 = '' p~ = '‘Tumeangamizwa kabisa;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mali ya watu wangu imegawanywa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ameninyangʼanya!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ametoa mashamba yetu kwa wasaliti.’\u2006”' ¬q2 = ¬v = '4' b = '' q1 = '' v = '5' v~ = 'Kwa hiyo hutakuwa na yeyote katika kusanyiko la \\nd Bwana\\nd*' 'Kwa hiyo hutakuwa na yeyote katika kusanyiko la Bwana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wa kugawanya mashamba kwa kura.' ¬q2 = ¬v = '5' v= = '6' s1 = 'Manabii Wa Uongo' q1 = '' v = '6' v~ = 'Manabii wao husema, “Usitabiri.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Usitabiri kuhusu vitu hivi;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'aibu haitatupata.”' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Je, ingesemwa, ee nyumba ya Yakobo:' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Je, Roho wa \\nd Bwana\\nd* amekasirika?' '“Je, Roho wa Bwana amekasirika?' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Je, yeye hufanya vitu kama hivyo?”' ¬q2 = b = '' q1 = '' p~ = '“Je, maneno yangu hayamfanyii mema' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yeye ambaye njia zake ni nyofu?' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Siku hizi watu wangu wameinuka' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama adui.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Unawavua joho la kitajiri wale wanaopita' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'pasipo kujali,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kama watu warudio kutoka vitani.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Unawahamisha wanawake wa watu wangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka kwenye nyumba zao za kupendeza.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Unaondoa baraka yangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa watoto wao milele.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Inuka, nenda zako!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Kwa maana hapa sio mahali pako pa kupumzikia,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa sababu pametiwa unajisi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'pameharibiwa, wala hapatengenezeki tena.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Ikiwa mwongo na mdanganyifu atakuja na kusema,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '‘Nitawatabiria divai na pombe kwa wingi,’' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'angekuwa ndiye nabii' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'anayekubalika na watu hawa!' ¬q2 = ¬v = '11' v= = '12' s1 = 'Ahadi Ya Ukombozi' q1 = '' v = '12' v~ = '“Hakika nitawakusanya ninyi nyote, ee Yakobo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Hakika nitawaleta pamoja mabaki ya Israeli.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nitawaleta pamoja kama kondoo ndani ya zizi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama kundi kwenye malisho yake,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'mahali hapa patakuwa na msongamano wa watu.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Yeye afunguaye njia atawatangulia;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watapita kwenye lango na kutoka nje.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mfalme wao atawatangulia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* atakuwa kiongozi.”' 'Bwana atakuwa kiongozi.”' ¬v = '13' ¬q2 = ¬c = '2' c = '3' v= = '1' s1 = 'Viongozi Na Manabii Wakemewa' p = '' c# = '3' v = '1' v~ = 'Kisha nikasema,' ¬p = q1 = '' p~ = '“Sikilizeni enyi viongozi wa Yakobo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'enyi watawala wa nyumba ya Israeli.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, hampaswi kujua hukumu,' ¬q1 = ¬v = '1' q2 = '' v = '2' v~ = 'ninyi mnaochukia mema' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kupenda maovu;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ninyi mnaowachuna watu wangu ngozi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuondoa nyama kwenye mifupa yao;' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'ninyi mnaokula nyama ya watu wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mnaowachuna ngozi' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kuvunja mifupa yao vipande vipande;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'mnaowakatakata kama nyama' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ya kuwekwa kwenye sufuria' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na kama nyama' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ya kuwekwa kwenye chungu?”' ¬q2 = ¬v = '3' b = '' q1 = '' v = '4' v~ = 'Kisha watamlilia \\nd Bwana\\nd*,' 'Kisha watamlilia Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini hatawajibu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wakati huo atawaficha uso wake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu ya uovu waliotenda.' ¬q2 = ¬v = '4' p = '' v = '5' v~ = 'Hili ndilo asemalo \\nd Bwana\\nd*:' 'Hili ndilo asemalo Bwana:' ¬p = q1 = '' p~ = '“Kuhusu manabii wanaowapotosha watu wangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mtu akiwalisha,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'wanatangaza ‘amani’;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kama hakufanya hivyo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wanaandaa kupigana vita dhidi yake.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Kwa hiyo usiku utawajieni, msiweze kuwa na maono,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na giza, msiweze kubashiri.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Jua litawachwea manabii hao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nao mchana utakuwa giza kwao.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Waonaji wataaibika' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na waaguzi watafedheheka.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wote watafunika nyuso zao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu hakuna jibu litokalo kwa Mungu.”' ¬q2 = ¬v = '7' b = '' q1 = '' v = '8' v~ = 'Lakini kuhusu mimi, nimejazwa nguvu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nimejazwa Roho wa \\nd Bwana\\nd*,' 'nimejazwa Roho wa Bwana,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'haki na uweza,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kumtangazia Yakobo kosa lake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na Israeli dhambi yake.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Sikieni hili, enyi viongozi wa nyumba ya Yakobo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'enyi watawala wa nyumba ya Israeli,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'mnaodharau haki' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kupotosha kila lililo sawa;' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'mnaojenga Sayuni kwa kumwaga damu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na Yerusalemu kwa uovu.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Viongozi wake wanahukumu kwa rushwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na makuhani wake wanafundisha kwa malipo,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'nao manabii wake wanatabiri kwa fedha.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Hata hivyo wanamwegemea \\nd Bwana\\nd* na kusema,' 'Hata hivyo wanamwegemea Bwana na kusema,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Je, \\nd Bwana\\nd* si yumo miongoni mwetu?' '“Je, Bwana si yumo miongoni mwetu?' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Hakuna maafa yatakayotupata.”' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Kwa hiyo kwa sababu yenu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Sayuni italimwa kama shamba,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Yerusalemu itakuwa lundo la kokoto,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kilima cha Hekalu' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kitakuwa kichuguu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kilichofunikwa na vichaka.' ¬v = '12' ¬q2 = ¬c = '3' c = '4' v= = '1' s1 = 'Mlima Wa \\nd Bwana\\nd*' 'Mlima Wa Bwana' r = '(Isaya 2:2-4)' p = '' c# = '4' v = '1' v~ = 'Katika siku za mwisho' ¬p = q1 = '' p~ = 'mlima wa Hekalu la \\nd Bwana\\nd* utaimarishwa' 'mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'utainuliwa juu ya vilima,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na watu wa mataifa watamiminika humo.' ¬q2 = ¬v = '1' p = '' v = '2' v~ = 'Mataifa mengi yatakuja na kusema,' ¬p = q1 = '' p~ = '“Njooni, twendeni mlimani mwa \\nd Bwana\\nd*,' '“Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Atatufundisha njia zake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili tuweze kuenenda katika mapito yake.”' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Sheria itatoka Sayuni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'neno la \\nd Bwana\\nd* litatoka Yerusalemu.' 'neno la Bwana litatoka Yerusalemu.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Atahukumu kati ya mataifa mengi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na ataamua migogoro ya mataifa' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'yenye nguvu na yaliyo mbali.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watafua panga zao ziwe majembe,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wala hawatajifunza vita tena.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Kila mtu ataketi chini ya mzabibu wake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na chini ya mtini wake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wala hakuna mtu atakayewaogopesha,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kuwa \\nd Bwana\\nd* Mwenye Nguvu Zote amesema.' 'kwa kuwa Bwana Mwenye Nguvu Zote amesema.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Mataifa yote yanaweza kutembea' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika jina la miungu yao;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'sisi tutatembea katika jina la \\nd Bwana\\nd*' 'sisi tutatembea katika jina la Bwana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Mungu wetu milele na milele.' ¬q2 = ¬v = '5' v= = '6' s1 = 'Mpango Wa \\nd Bwana\\nd*' 'Mpango Wa Bwana' p = '' v = '6' v~ = '“Katika siku hiyo,” asema \\nd Bwana\\nd*,' '“Katika siku hiyo,” asema Bwana,' ¬p = q1 = '' p~ = '“nitawakusanya walemavu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitawakusanya walio uhamishoni' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na wale niliowahuzunisha.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Nitawafanya walemavu kuwa mabaki,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wale waliofukuzwa kuwa taifa lenye nguvu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* atatawala juu yao katika Mlima Sayuni' 'Bwana atatawala juu yao katika Mlima Sayuni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuanzia siku hiyo na hata milele.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Lakini kuhusu wewe, ee mnara wa ulinzi wa kundi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ee ngome ya Binti Sayuni,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'milki ya awali itarudishwa kwako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ufalme utakuja kwa Binti Yerusalemu.”' ¬q2 = ¬v = '8' b = '' q1 = '' v = '9' v~ = 'Kwa nini sasa unalia kwa nguvu:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwani huna mfalme?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, mshauri wako amekufa, hata maumivu yakukamate' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama ya mwanamke' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'aliye na utungu wa kuzaa?' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Gaagaa kwa utungu, ee Binti Sayuni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama mwanamke mwenye utungu wa kuzaa,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa kuwa sasa ni lazima uuache mji' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ukapige kambi uwanjani.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Utakwenda Babeli;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'huko utaokolewa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Huko \\nd Bwana\\nd* atakukomboa' 'Huko Bwana atakukomboa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka mikononi mwa adui zako.' ¬q2 = ¬v = '10' b = '' q1 = '' v = '11' v~ = 'Lakini sasa mataifa mengi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yamekusanyika dhidi yako.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wanasema, “Mwache anajisiwe,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'macho yetu na yatazame Sayuni kwa furaha!”' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Lakini hawayajui' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mawazo ya \\nd Bwana\\nd*;' 'mawazo ya Bwana;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'hawauelewi mpango wake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yeye awakusanyaye kama miganda' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kwenye sakafu ya kupuria.' ¬q2 = ¬v = '12' b = '' q1 = '' v = '13' v~ = '“Inuka upure, ee Binti Sayuni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kuwa nitakupa pembe za chuma;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nitakupa kwato za shaba' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na utavunja vipande vipande mataifa mengi.”' ¬q2 = b = '' q1 = '' p~ = 'Utatoa mapato yao waliopata kwa udanganyifu kwa \\nd Bwana\\nd*,' 'Utatoa mapato yao waliopata kwa udanganyifu kwa Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'utajiri wao kwa Bwana wa dunia yote.' ¬v = '13' ¬q2 = ¬c = '4' c = '5' v= = '1' s1 = 'Mtawala Aliyeahidiwa Kutoka Bethlehemu' q1 = '' c# = '5' v = '1' v~ = 'Panga majeshi yako, ee mji wa majeshi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kuwa kuzingirwa kumepangwa dhidi yetu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watampiga mtawala wa Israeli' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'shavuni kwa fimbo.' ¬q2 = ¬v = '1' b = '' q1 = '' v = '2' v~ = '“Lakini wewe, Bethlehemu Efrathi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ingawa u mdogo miongoni mwa koo za Yuda,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kutoka kwako atatokea kwa ajili yangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambaye asili yake ni kutoka zamani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka milele.”' ¬q2 = ¬v = '2' b = '' q1 = '' v = '3' v~ = 'Kwa hiyo Israeli utaachwa mpaka wakati' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mwanamke aliye na utungu atakapozaa' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na ndugu zake wengine warudi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kujiunga na Waisraeli.' ¬q2 = ¬v = '3' b = '' q1 = '' v = '4' v~ = 'Atasimama na kulichunga kundi lake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika nguvu ya \\nd Bwana\\nd*,' 'katika nguvu ya Bwana,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'katika utukufu wa jina la \\nd Bwana\\nd* Mungu wake.' 'katika utukufu wa jina la Bwana Mungu wake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nao wataishi kwa usalama, kwa kuwa wakati huo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ukuu wake utaenea hadi miisho ya dunia.' ¬q2 = ¬v = '4' q2 = '' v = '5' v~ = 'Naye atakuwa amani yao.' ¬q2 = s1 = 'Ukombozi Na Uharibifu' q1 = '' p~ = 'Wakati Mwashuru atakapovamia nchi yetu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kupita katika ngome zetu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'tutawainua wachungaji saba dhidi yake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hata viongozi wanane wa watu.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Wataitawala nchi ya Ashuru kwa upanga,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nchi ya Nimrodi kwa upanga.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Atatuokoa kutoka kwa Mwashuru' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'atakapoivamia nchi yetu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kuingia katika mipaka yetu.' ¬q2 = ¬v = '6' b = '' q1 = '' v = '7' v~ = 'Mabaki ya Yakobo yatakuwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katikati ya mataifa mengi' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kama umande kutoka kwa \\nd Bwana\\nd*,' 'kama umande kutoka kwa Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama manyunyu juu ya majani,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambayo hayamngoji mtu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wala kukawia kwa mwanadamu.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Mabaki ya Yakobo yatakuwa miongoni mwa mataifa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katikati ya mataifa mengi,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kama simba miongoni mwa wanyama wa msituni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama mwana simba miongoni' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'mwa makundi ya kondoo,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambaye anaumiza vibaya na kuwararua' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kila anapopita katikati yao,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'wala hakuna awezaye kuokoa.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Mkono wako utainuliwa juu kwa ushindi juu ya watesi wako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nao adui zako wote wataangamizwa.' ¬q2 = ¬v = '9' p = '' v = '10' v~ = '“Katika siku ile,” asema \\nd Bwana\\nd*,' '“Katika siku ile,” asema Bwana,' ¬p = q1 = '' p~ = '“nitaangamiza farasi zenu katikati yenu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kubomoa magari yenu ya vita.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Nitaiangamiza miji ya nchi yenu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuziangusha chini ngome zenu zote.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Nitaangamiza uchawi wenu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na hamtapiga tena ramli.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'hamtasujudia tena' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kazi ya mikono yenu.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Nitangʼoa nguzo za Ashera katikati yenu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kubomoa miji yenu.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Nitalipiza kisasi kwa hasira na ghadhabu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'juu ya mataifa ambayo hayajanitii.”' ¬v = '15' ¬q2 = ¬c = '5' c = '6' v= = '1' s1 = 'Shauri La \\nd Bwana\\nd* Dhidi Ya Israeli' 'Shauri La Bwana Dhidi Ya Israeli' p = '' c# = '6' v = '1' v~ = 'Sikiliza asemalo \\nd Bwana\\nd*:' 'Sikiliza asemalo Bwana:' ¬p = q1 = '' p~ = '“Simama, tetea shauri lako mbele ya milima;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'vilima na visikie lile unalotaka kusema.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya \\nd Bwana\\nd*,' 'Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa kuwa \\nd Bwana\\nd* ana shauri dhidi ya watu wake;' 'Kwa kuwa Bwana ana shauri dhidi ya watu wake;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'anatoa mashtaka dhidi ya Israeli.' ¬q2 = ¬v = '2' b = '' q1 = '' v = '3' v~ = '“Watu wangu, nimewatendea nini?' ¬q1 = q1 = '' p~ = 'Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu.' ¬q1 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Nimewatoa kutoka Misri na kuwakomboa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka nchi ya utumwa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nilimtuma Mose awaongoze,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'pia Aroni na Miriamu.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Watu wangu, kumbukeni jinsi Balaki mfalme wa Moabu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'alivyofanya shauri' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kile Balaamu mwana wa Beori alichojibu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kumbukeni safari yenu kutoka Shitimu mpaka Gilgali,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ili mfahamu matendo ya haki ya \\nd Bwana\\nd*.”' 'ili mfahamu matendo ya haki ya Bwana.”' ¬q2 = ¬v = '5' b = '' q1 = '' v = '6' v~ = 'Nimjie \\nd Bwana\\nd* na kitu gani na kusujudu' 'Nimjie Bwana na kitu gani na kusujudu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mbele za Mungu aliyetukuka?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, nije mbele zake na sadaka za kuteketezwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nije na ndama za mwaka mmoja?' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Je, \\nd Bwana\\nd* atafurahishwa na kondoo dume elfu,' 'Je, Bwana atafurahishwa na kondoo dume elfu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'au mito elfu kumi ya mafuta?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, nimtoe mzaliwa wangu wa kwanza kwa ajili ya kosa langu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mtoto wangu mwenyewe' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kwa ajili ya dhambi ya nafsi yangu?' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Amekuonyesha yaliyo mema, ee mwanadamu.' ¬q1 = q2 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* anataka nini kwako?' 'Bwana anataka nini kwako?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ila kutenda kwa haki na kupenda rehema,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.' ¬q2 = ¬v = '8' v= = '9' s1 = 'Hatia Na Adhabu Ya Israeli' q1 = '' v = '9' v~ = 'Sikiliza! \\nd Bwana\\nd* anauita mji:' 'Sikiliza! Bwana anauita mji:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kulicha jina lako ni hekima:' ¬q2 = q2 = '' p~ = '“Tii hiyo fimbo na yeye aliyeiamuru.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Je, bado nisahau, ee nyumba ya uovu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hazina yako uliyopata kwa udanganyifu' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na vipimo vilivyopunguka,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambavyo vimelaaniwa?' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Je, naweza kuhukumu kuwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mtu mwenye mizani ya udanganyifu hana hatia,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'aliye na mfuko wa mawe ya kupimia ya uongo?' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Matajiri wake ni wajeuri;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watu wake ni waongo' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na ndimi zao zinazungumza' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa udanganyifu.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Kwa hiyo, nimeanza kukuharibu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuwaangamiza kwa sababu ya dhambi zenu.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Mtakula lakini hamtashiba;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'matumbo yenu bado yatakuwa matupu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mtaweka akiba lakini hamtaokoa chochote,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu mtakachoweka akiba' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'nitatoa kwa upanga.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Mtapanda lakini hamtavuna;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mtakamua zeituni lakini' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hamtatumia mafuta yake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mtakamua zabibu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini hamtakunywa hiyo divai.' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Mmezishika sheria za Omri' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na matendo yote ya nyumba ya Ahabu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'tena umefuata desturi zao.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa hiyo nitakutoa kwa maangamizi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na watu wako kuwa dhihaka;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'mtachukua dharau za mataifa.”' ¬v = '16' ¬q2 = ¬c = '6' c = '7' v= = '1' s1 = 'Taabu Ya Israeli' q1 = '' c# = '7' v = '1' v~ = 'Taabu gani hii niliyo nayo!' ¬q1 = q1 = '' p~ = 'Nimefanana na yule akusanyaye' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'matunda ya kiangazi,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'aokotaye masazo baada ya kuvunwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'shamba la mizabibu;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'hakuna kishada chenye matunda ya kula,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna hata ile tini ya mwanzoni ninayoitamani.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Wanaomcha Mungu wameondolewa kutoka nchi;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna mtu mnyofu hata mmoja aliyebaki.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watu wote wanavizia kumwaga damu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kila mmoja anamwinda ndugu yake kwa wavu.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Mikono yote miwili ni hodari katika kufanya ubaya,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mtawala anadai zawadi,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'hakimu anapokea rushwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wenye nguvu wanaamuru wanachotaka:' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'wote wanafanya shauri baya pamoja.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Aliye mwema kupita wote kati yao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni kama mchongoma,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'anayeonekana mnyofu zaidi miongoni mwao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni mbaya kuliko uzio wa miiba.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Siku ya walinzi wako imewadia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'siku atakayokutembelea Mungu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Sasa ni wakati wao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wa kuchanganyikiwa.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Usimtumaini jirani;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'usiweke matumaini kwa rafiki.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Hata kwa yule alalaye kifuani mwako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uwe mwangalifu kwa maneno yako.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Kwa kuwa mwana humdharau baba yake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'naye binti huinuka dhidi ya mama yake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'mkwe kuwa kinyume na mama mkwe wake:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake hasa.' ¬q2 = ¬v = '6' b = '' q1 = '' v = '7' v~ = 'Lakini mimi, namtazama \\nd Bwana\\nd* kwa matumaini,' 'Lakini mimi, namtazama Bwana kwa matumaini,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'namngoja Mungu Mwokozi wangu;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Mungu wangu atanisikia mimi.' ¬q2 = ¬v = '7' v= = '8' s1 = 'Israeli Atainuka' q1 = '' v = '8' v~ = 'Usifurahie msiba wangu, ee adui yangu!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ingawa nimeanguka, nitainuka.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Japo ninaketi gizani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* atakuwa nuru yangu.' 'Bwana atakuwa nuru yangu.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Kwa sababu nimetenda dhambi dhidi yake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitabeba ghadhabu ya \\nd Bwana\\nd*,' 'nitabeba ghadhabu ya Bwana,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'mpaka atakaponitetea shauri langu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuithibitisha haki yangu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Atanileta nje kwenye mwanga,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nami nitaiona haki yake.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Kisha adui yangu ataliona' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'naye atafunikwa na aibu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'yule aliyeniambia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Yu wapi \\nd Bwana\\nd* Mungu wako?”' '“Yu wapi Bwana Mungu wako?”' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Macho yangu yataona kuanguka kwake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hata sasa atakanyagwa chini ya mguu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kama tope barabarani.' ¬q2 = ¬v = '10' b = '' q1 = '' v = '11' v~ = 'Siku ya kujenga kuta zako itawadia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'siku ya kupanua mipaka yako.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Siku hiyo watu watakuja kwako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutoka Ashuru na miji ya Misri,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'hata kutoka Misri hadi Frati' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kutoka bahari hadi bahari' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kutoka mlima hadi mlima.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Dunia itakuwa ukiwa kwa sababu ya wakazi wake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa sababu ya matunda ya matendo yao.' ¬q2 = ¬v = '13' v= = '14' s1 = 'Sala Na Sifa' q1 = '' v = '14' v~ = 'Wachunge watu wako kwa fimbo yako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kundi la urithi wako,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambalo linaishi peke yake msituni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika nchi ya malisho yenye rutuba.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Waache walishe katika Bashani na Gileadi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama ilivyokuwa siku za kale.' ¬q2 = ¬v = '14' b = '' q1 = '' v = '15' v~ = '“Kama siku zile mlipotoka Misri,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitawaonyesha maajabu yangu.”' ¬q2 = ¬v = '15' b = '' q1 = '' v = '16' v~ = 'Mataifa yataona na kuaibika,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'waliondolewa nguvu zao zote.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na masikio yao yatakuwa na uziwi.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Wataramba mavumbi kama nyoka,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama viumbe vitambaavyo juu ya ardhi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watatoka nje ya mapango yao wakitetemeka;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watamgeukia \\nd Bwana\\nd* Mungu wetu kwa hofu' 'watamgeukia Bwana Mungu wetu kwa hofu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'nao watakuogopa.' ¬q2 = ¬v = '17' q1 = '' v = '18' v~ = 'Ni nani Mungu kama wewe,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambaye anaachilia dhambi' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na kusamehe makosa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ya mabaki ya urithi wake?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wewe huwi na hasira milele,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bali unafurahia kuonyesha rehema.' ¬q2 = ¬v = '18' q1 = '' v = '19' v~ = 'Utatuhurumia tena,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'utazikanyaga dhambi zetu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'chini ya nyayo zako,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na kutupa maovu yetu yote' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika vilindi vya bahari.' ¬q2 = ¬v = '19' q1 = '' v = '20' v~ = 'Utakuwa wa kweli kwa Yakobo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nawe utamwonyesha Abrahamu rehema,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kama ulivyowaahidi kwa kiapo baba zetu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'siku za kale.' ¬q2 = ¬v = '20' ¬c = '7' ¬chapters =