id = 'NAM - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version' rem = 'Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.' headers = h = 'Nahumu' toc1 = 'Nahumu' toc2 = 'Nahumu' toc3 = 'Nah' mt1 = 'Nahumu' ¬headers = chapters = c = '1' p = '' c# = '1' v = '1' v~ = 'Neno alilosema Mungu kuhusu Ninawi. Kitabu cha maono cha Nahumu, Mwelkoshi.' ¬v = '1' ¬p = b = '' v= = '2' s1 = 'Hasira Ya Mungu Dhidi Ya Ninawi' q1 = '' v = '2' v~ = '\\nd Bwana\\nd* ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi;' 'Bwana ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi;' ¬q1 = q2 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu.' 'Bwana hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* hulipiza kisasi juu ya watesi wake,' 'Bwana hulipiza kisasi juu ya watesi wake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = '\\nd Bwana\\nd* si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu,' 'Bwana si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* hataacha kuadhibu wenye hatia.' 'Bwana hataacha kuadhibu wenye hatia.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Njia yake ipo katika kisulisuli na tufani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mawingu ni vumbi la miguu yake.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Anakemea bahari na kuikausha,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'anafanya mito yote kukauka.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Bashani na Karmeli zinanyauka' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na maua ya Lebanoni hukauka.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Milima hutikisika mbele yake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na vilima huyeyuka.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nchi hutetemeka mbele yake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'dunia na wote waishio ndani yake.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Nani awezaye kuvumilia hasira yake kali?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ghadhabu yake imemiminwa kama moto,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na miamba inapasuka mbele zake.' ¬q2 = ¬v = '6' b = '' q1 = '' v = '7' v~ = '\\nd Bwana\\nd* ni Mwema,' 'Bwana ni Mwema,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kimbilio wakati wa taabu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Huwatunza wale wanaomtegemea,' ¬q1 = ¬v = '7' q2 = '' v = '8' v~ = 'lakini kwa mafuriko makubwa,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ataangamiza Ninawi;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'atafuatilia adui zake hadi gizani.' ¬q2 = ¬v = '8' b = '' q1 = '' v = '9' v~ = 'Shauri baya lolote wapangalo dhidi ya \\nd Bwana\\nd*' 'Shauri baya lolote wapangalo dhidi ya Bwana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yeye atalikomesha;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'taabu haitatokea mara ya pili.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Watasongwa katikati ya miiba' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kulewa kwa mvinyo wao.' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Watateketezwa kama mabua makavu.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Ee Ninawi, kutoka kwako amejitokeza mmoja,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambaye anapanga shauri baya' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'dhidi ya \\nd Bwana\\nd*' 'dhidi ya Bwana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kushauri uovu.' ¬q2 = ¬v = '11' p = '' v = '12' v~ = 'Hili ndilo asemalo \\nd Bwana\\nd*:' 'Hili ndilo asemalo Bwana:' ¬p = q1 = '' p~ = '“Ingawa wana muungano nao ni wengi sana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watakatiliwa mbali na kuangamia.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ingawa nimekutesa wewe, ee Yuda,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'sitakutesa tena.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nami nitazivunjilia mbali pingu zako.”' ¬q2 = ¬v = '13' b = '' q1 = '' v = '14' v~ = 'Hii ndiyo amri \\nd Bwana\\nd* aliyoitoa kukuhusu wewe, Ninawi:' 'Hii ndiyo amri Bwana aliyoitoa kukuhusu wewe, Ninawi:' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Hutakuwa na wazao' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'watakaoendeleza jina lako.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nitaharibu sanamu za kuchonga na sanamu za kuyeyusha' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambazo zipo katika hekalu la miungu yenu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nitaandaa kaburi lako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa maana wewe ni mwovu kabisa.”' ¬q2 = ¬v = '14' b = '' q1 = '' v = '15' v~ = 'Tazama, huko juu milimani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'miguu ya huyo mmoja aletaye habari njema,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ambaye anatangaza amani!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ee Yuda, sherehekea sikukuu zako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nawe utimize nadhiri zako.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Waovu hawatakuvamia tena;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wataangamizwa kabisa.' ¬v = '15' ¬q2 = ¬c = '1' c = '2' v= = '1' s1 = 'Ninawi Kuanguka' q1 = '' c# = '2' v = '1' v~ = 'Mshambuliaji anasogea dhidi yako, Ninawi.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Linda ngome,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'chunga barabara,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'jitieni nguvu wenyewe,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kusanya nguvu zako zote!' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = '\\nd Bwana\\nd* atarudisha fahari ya Yakobo,' 'Bwana atarudisha fahari ya Yakobo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama fahari ya Israeli,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ingawa waangamizi wamewaacha ukiwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na wameharibu mizabibu yao.' ¬q2 = ¬v = '2' b = '' q1 = '' v = '3' v~ = 'Ngao za askari wake ni nyekundu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mashujaa wamevaa nguo nyekundu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Chuma kwenye magari ya vita chametameta,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika siku aliyoyaweka tayari,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'mikuki ya mierezi inametameta.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Magari ya vita yanafanya msukosuko barabarani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yakikimbia nyuma na mbele uwanjani.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Yanaonekana kama mienge ya moto;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yanakwenda kasi kama umeme.' ¬q2 = ¬v = '4' b = '' q1 = '' v = '5' v~ = 'Anaita vikosi vilivyochaguliwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini bado wanajikwaa njiani.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wanakimbilia haraka kwenye ukuta wa mji,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ile ngao ya kuwakinga imetayarishwa.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Malango ya mto yamefunguliwa wazi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na jumba la kifalme limeanguka.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Imeagizwa kwamba mji uchukuliwe' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na upelekwe uhamishoni.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Vijakazi wake wanaomboleza kama hua' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kupigapiga vifua vyao.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Ninawi ni kama dimbwi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nayo maji yake yanakauka.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wanalia, “Simama! Simama!”' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Lakini hakuna anayegeuka nyuma.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Chukueni nyara za fedha!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Chukueni nyara za dhahabu!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wingi wake hauna mwisho,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'utajiri kutoka hazina zake zote!' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Ameharibiwa, ametekwa nyara, ameachwa uchi!' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Mioyo inayeyuka, magoti yanalegea,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'miili inatetemeka,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kila uso umebadilika rangi.' ¬q2 = ¬v = '10' b = '' q1 = '' v = '11' v~ = 'Liko wapi sasa pango la simba,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mahali ambapo waliwalisha watoto wao,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambapo simba dume na simba jike walikwenda' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na ambapo wana simba walikwenda' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'bila kuogopa chochote?' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Simba aliua mawindo ya kutosha watoto wake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'alinyonga mawindo kwa ajili ya mwenzi wake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'akijaza makao yake kwa alivyoua' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mapango yake kwa mawindo.' ¬q2 = ¬v = '12' b = '' q1 = '' v = '13' v~ = '\\nd Bwana\\nd* Mwenye Nguvu Zote anatangaza,' 'Bwana Mwenye Nguvu Zote anatangaza,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Mimi ni kinyume na ninyi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Magari yenu ya vita nitayateketeza kwa moto,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na upanga utakula wana simba wako.' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Sitawaachia mawindo juu ya nchi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Sauti za wajumbe wako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hazitasikika tena.”' ¬v = '13' ¬q2 = ¬c = '2' c = '3' v= = '1' s1 = 'Ole Wa Ninawi' q1 = '' c# = '3' v = '1' v~ = 'Ole wa mji umwagao damu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uliojaa uongo,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'umejaa nyara,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'usiokosa kuwa na vitu vya kuteka nyara.' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Kelele za mijeledi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'vishindo vya magurudumu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'farasi waendao mbio' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mshtuo wa magari ya vita!' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Wapanda farasi wanaenda mbio,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'panga zinameremeta,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na mikuki inangʼaa!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Majeruhi wengi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'malundo ya maiti,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'idadi kubwa ya miili isiyohesabika,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watu wanajikwaa juu ya mizoga:' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'yote haya kwa sababu ya wingi wa tamaa za kahaba,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'anayeshawishi, bibi wa mambo ya uchawi,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'anayewatia utumwani mataifa kwa ukahaba wake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na pia jamaa za watu kwa ulozi wake.' ¬q2 = ¬v = '4' b = '' q1 = '' v = '5' v~ = '\\nd Bwana\\nd* Mwenye Nguvu Zote anasema,' 'Bwana Mwenye Nguvu Zote anasema,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Mimi ni kinyume na ninyi.' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Nitafunika uso wako kwa gauni lako.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nitaonyesha mataifa uchi wako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na falme aibu yako.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Nitakutupia uchafu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitakufanyia dharau' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kukufanya kioja.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Wote wanaokuona watakukimbia na kusema,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '‘Ninawi ipo katika kuangamia:' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ni nani atakayeomboleza kwa ajili yake?’' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Nitampata wapi yeyote wa kukufariji?”' ¬q2 = ¬v = '7' b = '' q1 = '' v = '8' v~ = 'Je, wewe ni bora kuliko No-Amoni,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uliopo katika Mto Naili,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'uliozungukwa na maji?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mto ulikuwa kinga yake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nayo maji yalikuwa ukuta wake.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Kushi na Misri walikuwa nguvu zake zisizo na mpaka;' EXTRA( fn @ 5 = '+ \\fr 3:9 \\ft Kushi ni Ethiopia.') ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Putu na Libia walikuwa miongoni mwa wale walioungana naye.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Hata hivyo alichukuliwa mateka' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kwenda uhamishoni.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watoto wake wachanga walivunjwa vunjwa vipande' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwenye mwanzo wa kila barabara.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kura zilipigwa kwa watu wake wenye heshima,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na watu wake wote wakuu walifungwa kwa minyororo.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Wewe pia utalewa;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'utakwenda mafichoni' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kutafuta kimbilio kutoka kwa adui.' ¬q2 = ¬v = '11' b = '' q1 = '' v = '12' v~ = 'Ngome zako zote ni kama mitini' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yenye matunda yake ya kwanza yaliyoiva;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wakati inapotikiswa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'tini huanguka kwenye kinywa chake alaye.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Tazama vikosi vyako:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wote ni wanawake!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Malango ya nchi yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yamekuwa wazi kwa adui zako;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'moto umeteketeza mapingo yake.' ¬q2 = ¬v = '13' b = '' q1 = '' v = '14' v~ = 'Teka maji kwa ajili ya kuzingirwa kwako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'imarisha ulinzi wako,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ufanyie udongo wa mfinyanzi kazi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yakanyage matope,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'karabati tanuru la kuchomea matofali!' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Huko moto utakuteketeza,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'huko upanga utakuangusha chini' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kama vile panzi, watakumaliza.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ongezeka kama panzi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ongezeka kama nzige!' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Umeongeza idadi ya wafanyabiashara wako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mpaka wamekuwa wengi kuliko nyota za angani,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'lakini kama nzige wanaacha nchi tupu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kisha huruka na kwenda zake.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Walinzi wako ni kama nzige,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'maafisa wako ni kama makundi ya nzige' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'watuao kwenye kuta wakati wa siku ya baridi:' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'lakini wakati jua linapotokea wanaruka kwenda zao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na hakuna ajuaye waendako.' ¬q2 = ¬v = '17' b = '' q1 = '' v = '18' v~ = 'Ee mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wanasinzia;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakuu wako wanalala chini mavumbini kupumzika.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watu wako wametawanyika juu ya milima' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'bila kuwa na mtu yeyote wa kuwakusanya.' ¬q2 = ¬v = '18' q1 = '' v = '19' v~ = 'Hakuna kitu kinachoweza kuponya jeraha lako;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'jeraha lako ni la kukuua.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kila anayesikia habari zako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hupiga makofi kwa kuanguka kwako,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa kuwa ni nani ambaye hajaguswa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na ukatili wako usio na mwisho?' ¬q2 = ¬v = '19' ¬c = '3' ¬chapters =