id = 'HAB - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version' rem = 'Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.' headers = h = 'Habakuki' toc1 = 'Habakuki' toc2 = 'Habakuki' toc3 = 'Hab' mt1 = 'Habakuki' ¬headers = chapters = c = '1' p = '' c# = '1' v = '1' v~ = 'Neno alilopokea nabii Habakuki.' ¬v = '1' ¬p = b = '' v= = '2' s1 = 'Lalamiko La Habakuki' q1 = '' v = '2' v~ = 'Ee \\nd Bwana\\nd*, hata lini nitakuomba msaada,' 'Ee Bwana, hata lini nitakuomba msaada,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini wewe husikilizi?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Au kukulilia, “Udhalimu!”' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Lakini hutaki kuokoa?' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Kwa nini unanifanya nitazame dhuluma?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Kwa nini unavumilia makosa?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Uharibifu na udhalimu viko mbele yangu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuna mabishano na mapambano kwa wingi.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Kwa hiyo sheria imepotoshwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nayo haki haipo kabisa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Waovu wanawazunguka wenye haki,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa hiyo haki imepotoshwa.' ¬q2 = ¬v = '4' v= = '5' s1 = 'Jibu La \\nd Bwana\\nd*' 'Jibu La Bwana' q1 = '' v = '5' v~ = '“Yatazame mataifa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'uangalie na ushangae kabisa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa sababu katika siku zako nitafanya kitu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ambacho hungeamini,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hata kama ungeambiwa.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Nitawainua Wakaldayo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watu hao wakatili na wenye haraka,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambao hupita dunia yote' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuteka mahali pa kuishi pasipo pao wenyewe.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Ni watu wanoogopwa na wanaotisha;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wenyewe ndio sheria yao,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na huinua heshima yao wenyewe.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Farasi wao ni wepesi kuliko chui,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na wakali kuliko mbwa mwitu wakati wa machweo.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Askari wapanda farasi wao huenda mbio;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'waendesha farasi wao wanatoka mbali.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wanaruka kasi kama tai ili kurarua;' ¬q1 = ¬v = '8' q2 = '' v = '9' v~ = 'wote wanakuja tayari kwa fujo.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Makundi yao ya wajeuri yanasonga mbele' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama upepo wa jangwani,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na kukusanya wafungwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama mchanga.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Wanawabeza wafalme,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuwadhihaki watawala.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wanaicheka miji yote iliyozungushiwa maboma;' ¬q1 = q1 = '' p~ = 'wanafanya malundo ya udongo na kuiteka hiyo miji.' ¬q1 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Kisha wanapita kasi kama upepo na kusonga mbele:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watu wenye hatia, ambao nguvu zao ndio mungu wao.”' ¬q2 = ¬v = '11' v= = '12' s1 = 'Lalamiko La Pili La Habakuki' q1 = '' v = '12' v~ = 'Ee \\nd Bwana\\nd*, je, wewe sio wa tangu milele?' 'Ee Bwana, je, wewe sio wa tangu milele?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Mungu wangu, Uliye Mtakatifu wangu, hatutakufa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ee \\nd Bwana\\nd*, umewachagua wao ili watekeleze hukumu;' 'Ee Bwana, umewachagua wao ili watekeleze hukumu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ee Mwamba, umewaamuru watuadhibu.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Macho yako ni safi mno hata yasiweze kuutazama uovu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wala huwezi kuvumilia makosa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa nini basi unawavumilia wadanganyifu?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Kwa nini unakuwa kimya wakati waovu' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wanawameza wale wenye haki' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuliko wao wenyewe?' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Umewafanya watu kama samaki baharini,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama viumbe wa bahari wasio na mtawala.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'anawakamata katika wavu wake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'anawakusanya katika juya lake;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa hiyo anashangilia na anafurahi.' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Kwa hiyo anatoa kafara kwa wavu wake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuchoma uvumba kwa juya lake,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa kuwa kwa wavu wake anaishi kwa starehe,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na anafurahia chakula kizuri.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Je, aendelee kuwatoa walio katika wavu wake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'akiangamiza mataifa bila huruma?' ¬v = '17' ¬q2 = ¬c = '1' c = '2' q1 = '' c# = '2' v = '1' v~ = 'Nitasimama katika zamu yangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kujiweka mwenyewe juu ya maboma;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nitatazama nione atakaloniambia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na ni jibu gani nitakalotoa kuhusu lalamiko hili.' ¬q2 = ¬v = '1' v= = '2' s1 = 'Jibu La \\nd Bwana\\nd*' 'Jibu La Bwana' p = '' v = '2' v~ = 'Kisha \\nd Bwana\\nd* akajibu:' 'Kisha Bwana akajibu:' ¬p = q1 = '' p~ = '“Andika ufunuo huu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na ukaufanye wazi juu ya vibao,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ili mpiga mbiu akimbie nao.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Kwa kuwa ufunuo huu unasubiri wakati uliokubalika;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'unazungumzia mambo ya mwisho,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kamwe hautakosea.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Iwapo utakawia, wewe usubiri;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa hakika utakuja na hautachelewa.' ¬q2 = ¬v = '3' b = '' q1 = '' v = '4' v~ = '“Tazama, amejaa majivuno;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'anavyovitamani si vya unyofu:' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake:' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'hakika mvinyo humsaliti;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni mwenye kiburi na hana amani.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa sababu ni mlafi kama kuzimu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kama kifo kamwe hatosheki;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'anajikusanyia mataifa yote' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuchukua watu wote mateka.' ¬q2 = ¬v = '5' p = '' v = '6' v~ = '“Je, watu wote hawatamsuta kwa dhihaka na kumbeza, wakisema,' ¬p = q1 = '' p~ = '“\u2006‘Ole wake yeye akusanyaye bidhaa zilizoibwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kujifanyia utajiri kwa kutoza kwa nguvu!' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Ataendelea hivi kwa muda gani?’' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Je, wadai wako hawatainuka ghafula?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Je, hawataamka na kukufanya utetemeke?' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Kisha utakuwa mhanga kwao.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Kwa kuwa umeteka nyara mataifa mengi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watu waliobaki watakuteka nyara wewe.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa kuwa umemwaga damu ya mtu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'umeharibu nchi na miji, na kila mmoja ndani yake.' ¬q2 = ¬v = '8' b = '' q1 = '' v = '9' v~ = '“Ole wake yeye ajengaye milki yake kwa mapato ya udhalimu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'awekaye kiota chake juu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ili kukimbia makucha ya uharibifu!' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Umefanya shauri la maangamizi ya watu wengi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ukiaibisha nyumba yako mwenyewe, na kupotewa na maisha yako.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Mawe ya kuta yatapiga kelele,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na mihimili ya kazi ya mbao itarudisha mwangwi wake.' ¬q2 = ¬v = '11' b = '' q1 = '' v = '12' v~ = '“Ole wake yeye ajengaye mji kwa kumwaga' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'damu na kuusimamisha mji kwa uhalifu!' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Je, \\nd Bwana\\nd* Mwenye Nguvu Zote hakuonyesha' 'Je, Bwana Mwenye Nguvu Zote hakuonyesha' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwamba kazi ya wanadamu ni mafuta tu kwa ajili ya moto,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na kwamba mataifa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yanajichosha bure?' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa \\nd Bwana\\nd*,' 'Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kama maji yaifunikavyo bahari.' ¬q2 = ¬v = '14' b = '' q1 = '' v = '15' v~ = '“Ole wake yeye awapaye jirani zake kileo,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'akiimimina kutoka kwenye kiriba' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'cha mvinyo mpaka wamelewa,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ili apate kutazama miili yao iliyo uchi.' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Utajazwa na aibu badala ya utukufu.' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Sasa ni zamu yako! Kunywa na ujifunue!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kikombe kutoka kwenye mkono wa kuume wa \\nd Bwana\\nd* kinakujia,' 'Kikombe kutoka kwenye mkono wa kuume wa Bwana kinakujia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na aibu itafunika utukufu wako.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Ukatili ulioifanyia Lebanoni utakufunika,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na uharibifu uliowafanyia wanyama utakutisha.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kwa sababu umemwaga damu ya mtu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'umeharibu nchi na miji na kila mmoja aliyeko ndani yake.' ¬q2 = ¬v = '17' b = '' q1 = '' v = '18' v~ = '“Sanamu ina thamani gani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwani mwanadamu ndiye alichonga?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ama kinyago kinachofundisha uongo?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Kwa kuwa yeye aliyekitengeneza' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'hutegemea kazi ya mikono yake mwenyewe;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hutengeneza sanamu zisizoweza kuzungumza.' ¬q2 = ¬v = '18' q1 = '' v = '19' v~ = 'Ole wake yeye auambiaye mti, ‘Uwe hai!’' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Ama asemaye na jiwe lisilo na uhai, ‘Amka!’' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, linaweza kuongoza?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Limefunikwa kwa dhahabu na fedha;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hakuna pumzi ndani yake.' ¬q2 = ¬v = '19' q1 = '' v = '20' v~ = 'Lakini \\nd Bwana\\nd* yuko katika Hekalu lake takatifu;' 'Lakini Bwana yuko katika Hekalu lake takatifu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'dunia yote na inyamaze mbele yake.”' ¬v = '20' ¬q2 = ¬c = '2' c = '3' v= = '1' s1 = 'Maombi Ya Habakuki' p = '' c# = '3' v = '1' v~ = 'Sala ya nabii Habakuki iliyoimbwa kwa shigionothi.' EXTRA( fn @ 50 = '+ \\fr 3:1 \\ft Ni kifaa cha uimbaji chenye nyuzi; pia maombi kutumia kifaa hiki.') ¬v = '1' ¬p = q1 = '' v = '2' v~ = '\\nd Bwana\\nd*, nimezisikia sifa zako;' 'Bwana, nimezisikia sifa zako;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nami naogopa kwa matendo yako, Ee \\nd Bwana\\nd*.' 'nami naogopa kwa matendo yako, Ee Bwana.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Fufua kazi yako katikati ya miaka,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katikati ya miaka tangaza habari yako;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'katika ghadhabu kumbuka rehema.' ¬q2 = ¬v = '2' b = '' q1 = '' v = '3' v~ = 'Mungu alitoka Temani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yeye Aliye Mtakatifu kutoka Mlima Parani.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Utukufu wake ulifunika mbingu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na sifa zake zikaifunika dunia.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Mngʼao wake ulikuwa kama jua lichomozalo;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mionzi ilimulika kutoka mkononi mwake,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ambako nguvu zake zilifichwa.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Tauni ilimtangulia;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'maradhi ya kuambukiza yalifuata nyayo zake.' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'Alisimama, akaitikisa dunia;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'alitazama, na kuyafanya mataifa yatetemeke.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Milima ya zamani iligeuka mavumbi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na vilima vilivyozeeka vikaanguka.' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Njia zake ni za milele.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Niliona watu wa Kushani katika dhiki,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na makazi ya Midiani katika maumivu makali.' ¬q2 = ¬v = '7' b = '' q1 = '' v = '8' v~ = 'Ee \\nd Bwana\\nd*, uliikasirikia mito?' 'Ee Bwana, uliikasirikia mito?' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Je, ghadhabu yako ilikuwa dhidi ya vijito?' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Je, ulighadhibikia bahari' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ulipoendesha farasi wako' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na magari yako ya ushindi?' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Uliufunua upinde wako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuita mishale mingi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Uliigawa dunia kwa mito;' ¬q1 = ¬v = '9' q2 = '' v = '10' v~ = 'milima ilikuona ikatetemeka.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mafuriko ya maji yakapita huko;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'vilindi vilinguruma' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kuinua mawimbi yake juu.' ¬q2 = ¬v = '10' b = '' q1 = '' v = '11' v~ = 'Jua na mwezi vilisimama kimya mbinguni' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika mngʼao wa mishale yako inayoruka,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na katika mngʼao wa mkuki wako umeremetao.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Kwa ghadhabu ulipita juu ya dunia,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na katika hasira ulikanyaga mataifa.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Ulikuja kuwaokoa watu wako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kumwokoa uliyemtia mafuta.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ulimponda kiongozi wa nchi ya uovu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ukamvua toka kichwani hadi wayo.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Kwa mkuki wake mwenyewe ulitoboa kichwa chake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakati mashujaa wake walifurika nje kwa kishindo kututawanya,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wakifurahi kama walio karibu kutafuna' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wale wanyonge waliokuwa mafichoni.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Ulikanyaga bahari kwa farasi wako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ukisukasuka maji makuu.' ¬q2 = ¬v = '15' b = '' q1 = '' v = '16' v~ = 'Nilisikia na moyo wangu ukagonga kwa nguvu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'midomo yangu ikatetemeka kwa hofu niliposikia sauti;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'uchakavu ukanyemelea mifupa yangu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na miguu yangu ikatetemeka.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Hata hivyo nitasubiri kwa uvumilivu siku ya maafa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuyajilia mataifa yaliyotuvamia.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Ingawa mtini hauchanui maua' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na hakuna zabibu juu ya mizabibu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ingawaje mzeituni hauzai,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na hata mashamba hayatoi chakula,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'iwapo hakuna kondoo katika banda,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wala ngʼombe katika zizi,' ¬q2 = ¬v = '17' q1 = '' v = '18' v~ = 'hata hivyo nitashangilia katika \\nd Bwana\\nd*,' 'hata hivyo nitashangilia katika Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitamfurahia Mungu Mwokozi wangu.' ¬q2 = ¬v = '18' b = '' q1 = '' v = '19' v~ = '\\nd Bwana\\nd* Mwenyezi ni nguvu yangu;' 'Bwana Mwenyezi ni nguvu yangu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'huifanya miguu yangu kama miguu ya ayala,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'huniwezesha kupita juu ya vilima.' ¬q2 = b = '' q1 = '' p~ = 'Kwa kiongozi wa uimbaji. Kwa vinanda vyangu vya nyuzi.' ¬q1 = ¬v = '19' ¬c = '3' ¬chapters =