id = 'ZEP - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version' rem = 'Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.' headers = h = 'Sefania' toc1 = 'Sefania' toc2 = 'Sefania' toc3 = 'Sef' mt1 = 'Sefania' ¬headers = chapters = c = '1' p = '' c# = '1' v = '1' v~ = 'Neno la \\nd Bwana\\nd* lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda:' 'Neno la Bwana lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda:' ¬v = '1' ¬p = b = '' v= = '2' s1 = 'Onyo La Maangamizi Yanayokuja' q1 = '' v = '2' v~ = '\\nd Bwana\\nd* asema,' 'Bwana asema,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Nitafagia kila kitu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'kutoka kwenye uso wa dunia.”' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = '“Nitafagilia mbali watu na wanyama;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitafagilia mbali ndege wa angani' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na samaki wa baharini.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wafanyao maovu watapata tu kokoto,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nami nitamkatilia mbali mwanadamu atoke katika dunia,”' ¬q2 = q4 = '' p~ = 'asema \\nd Bwana\\nd*.' 'asema Bwana.' ¬q4 = ¬v = '3' v= = '4' s1 = 'Dhidi Ya Yuda' q1 = '' v = '4' v~ = '“Nitaiadhibu Yuda' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na wote wakaao Yerusalemu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kutoka mahali hapa nitakatilia mbali' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kila mabaki ya Baali,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'majina ya wapagani na makuhani' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'waabuduo sanamu:' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'wale ambao husujudu juu ya mapaa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kuabudu jeshi la vitu vya angani,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wale ambao husujudu na kuapa kwa \\nd Bwana\\nd*' 'wale ambao husujudu na kuapa kwa Bwana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na ambao pia huapa kwa Malkamu,' ¬q2 = ¬v = '5' q1 = '' v = '6' v~ = 'wale wanaoacha kumfuata \\nd Bwana\\nd*,' 'wale wanaoacha kumfuata Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wala hawamtafuti \\nd Bwana\\nd*' 'wala hawamtafuti Bwana' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'wala kutaka shauri lake.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Nyamazeni mbele za \\nd Bwana\\nd* Mwenyezi,' 'Nyamazeni mbele za Bwana Mwenyezi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa maana siku ya \\nd Bwana\\nd* iko karibu.' 'kwa maana siku ya Bwana iko karibu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* ameandaa dhabihu,' 'Bwana ameandaa dhabihu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'amewaweka wakfu wale aliowaalika.' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = 'Katika siku ya dhabihu ya \\nd Bwana\\nd*' 'Katika siku ya dhabihu ya Bwana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitawaadhibu wakuu' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na wana wa mfalme' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na wale wote wanaovaa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nguo za kigeni.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Katika siku hiyo nitaadhibu wote ambao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hukwepa kukanyaga kizingiti,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambao hujaza hekalu la miungu yao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa dhuluma na udanganyifu.”' ¬q2 = ¬v = '9' b = '' q1 = '' v = '10' v~ = '\\nd Bwana\\nd* asema, “Katika siku hiyo' 'Bwana asema, “Katika siku hiyo' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kilio kitapanda juu kutoka lango la Samaki,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'maombolezo kutoka mtaa wa pili,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na mshindo mkubwa kutoka vilimani.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Ombolezeni, ninyi mnaoishi katika eneo la sokoni;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wafanyabiashara wenu wote wameangamizwa,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wote ambao wanafanya biashara ya fedha' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wataangamizwa.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Wakati huo nitasaka mji wa Yerusalemu kwa taa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuwaadhibu wale ambao' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'wanakaa katika hali ya kuridhika,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambao ni kama divai' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'iliyobaki kwenye machicha,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambao hudhani, ‘\\nd Bwana\\nd* hatafanya lolote,' 'ambao hudhani, ‘Bwana hatafanya lolote,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'jema au baya.’' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Utajiri wao utatekwa nyara,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nyumba zao zitabomolewa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watajenga nyumba,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini hawataishi ndani yake;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'watapanda mizabibu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'lakini hawatakunywa divai yake.' ¬q2 = ¬v = '13' v= = '14' s1 = 'Siku Kubwa Ya \\nd Bwana\\nd*' 'Siku Kubwa Ya Bwana' q1 = '' v = '14' v~ = '“Siku kubwa ya \\nd Bwana\\nd* iko karibu:' '“Siku kubwa ya Bwana iko karibu:' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'iko karibu na inakuja haraka.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Sikilizeni! Kilio katika siku ya \\nd Bwana\\nd*' 'Sikilizeni! Kilio katika siku ya Bwana' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kitakuwa kichungu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hata shujaa atapiga kelele.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Siku ile ni siku ya ghadhabu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'siku ya fadhaa na dhiki,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'siku ya uharibifu na ukiwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'siku ya giza na utusitusi,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'siku ya mawingu na giza nene,' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'siku ya tarumbeta na mlio wa vita' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'dhidi ya miji yenye ngome' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na dhidi ya minara mirefu.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = 'Nitawaletea watu dhiki,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nao watatembea kama vipofu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa sababu wametenda dhambi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'dhidi ya \\nd Bwana\\nd*.' 'dhidi ya Bwana.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Damu yao itamwagwa kama vumbi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na matumbo yao kama taka.' ¬q2 = ¬v = '17' q1 = '' v = '18' v~ = 'Fedha yao wala dhahabu yao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hazitaweza kuwaokoa' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'katika siku hiyo ya ghadhabu ya \\nd Bwana\\nd*.' 'katika siku hiyo ya ghadhabu ya Bwana.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Katika moto wa wivu wake' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'dunia yote itateketezwa,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa maana ataleta mwisho' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wa wote wanaoishi katika dunia ghafula.”' ¬v = '18' ¬q2 = ¬c = '1' c = '2' q1 = '' c# = '2' v = '1' v~ = 'Kusanyikeni pamoja, kusanyikeni pamoja,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'enyi taifa lisilo na aibu,' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'kabla ya wakati ulioamriwa haujafika' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na siku ile inayopeperusha kama makapi,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kabla hasira kali ya \\nd Bwana\\nd* haijaja juu yenu,' 'kabla hasira kali ya Bwana haijaja juu yenu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kabla siku ya ghadhabu ya \\nd Bwana\\nd*' 'kabla siku ya ghadhabu ya Bwana' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'haijaja juu yenu.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Mtafuteni \\nd Bwana\\nd*, enyi nyote wanyenyekevu wa nchi,' 'Mtafuteni Bwana, enyi nyote wanyenyekevu wa nchi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ninyi ambao hufanya lile analoamuru.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Tafuteni haki, tafuteni unyenyekevu;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'labda mtahifadhiwa' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'siku ya hasira ya \\nd Bwana\\nd*.' 'siku ya hasira ya Bwana.' ¬q2 = ¬v = '3' v= = '4' s1 = 'Dhidi Ya Ufilisti' q1 = '' v = '4' v~ = 'Gaza utaachwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na Ashkeloni utaachwa magofu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wakati wa adhuhuri Ashdodi utaachwa mtupu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na Ekroni utangʼolewa.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = 'Ole wenu ninyi ambao mnaishi kando ya bahari,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'enyi Wakerethi;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'neno la \\nd Bwana\\nd* liko dhidi yenu,' 'neno la Bwana liko dhidi yenu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ee Kanaani, nchi ya Wafilisti.' ¬q2 = b = '' q1 = '' p~ = '“Mimi nitawaangamiza,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na hakuna atakayebaki.”' ¬q2 = ¬v = '5' b = '' q1 = '' v = '6' v~ = 'Nchi kando ya bahari, mahali ambapo wanaishi Wakerethi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'patakuwa mahali pa wachungaji' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na mazizi ya kondoo.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Itakuwa mali ya mabaki ya nyumba ya Yuda,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hapo watapata malisho.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wakati wa jioni watajilaza chini' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika nyumba za Ashkeloni.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd* Mungu wao atawatunza,' 'Bwana Mungu wao atawatunza,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'naye atawarudishia wafungwa wao.' ¬q2 = ¬v = '7' v= = '8' s1 = 'Dhidi Ya Moabu Na Amoni' q1 = '' v = '8' v~ = '“Nimeyasikia matukano ya Moabu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nazo dhihaka za Waamoni,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambao waliwatukana watu wangu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kutoa vitisho dhidi ya nchi yao.' ¬q2 = ¬v = '8' q1 = '' v = '9' v~ = 'Hakika, kama niishivyo,”' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'asema \\nd Bwana\\nd* Mwenye Nguvu Zote,' 'asema Bwana Mwenye Nguvu Zote,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'Mungu wa Israeli,' ¬q2 = q1 = '' p~ = '“hakika Moabu itakuwa kama Sodoma,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'Waamoni kama Gomora:' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'mahali pa magugu na mashimo ya chumvi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nchi ya ukiwa milele.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mabaki ya watu wangu watawateka nyara;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mabaki ya taifa langu watarithi nchi yao.”' ¬q2 = ¬v = '9' b = '' q1 = '' v = '10' v~ = 'Hiki ndicho watarudishiwa kwa ajili ya kiburi chao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa kutukana na kudhihaki' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'watu wa \\nd Bwana\\nd* Mwenye Nguvu Zote.' 'watu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = '\\nd Bwana\\nd* atakuwa wa kuhofisha kwao' 'Bwana atakuwa wa kuhofisha kwao' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'atakapoangamiza miungu yote ya nchi.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mataifa katika kila pwani yatamwabudu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kila moja katika nchi yake.' ¬q2 = ¬v = '11' v= = '12' s1 = 'Dhidi Ya Kushi' q1 = '' v = '12' v~ = '“Ninyi pia, ee Wakushi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mtauawa kwa upanga wangu.”' ¬q2 = ¬v = '12' v= = '13' s1 = 'Dhidi Ya Ashuru' q1 = '' v = '13' v~ = 'Mungu atanyoosha mkono wake dhidi ya kaskazini' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuangamiza Waashuru,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'akiiacha Ninawi ukiwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na pakame kama jangwa.' ¬q2 = ¬v = '13' q1 = '' v = '14' v~ = 'Makundi ya kondoo na ngʼombe yatajilaza pale,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'viumbe vya kila aina.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Bundi wa jangwani na bundi waliao kwa sauti nyembamba' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wataishi juu ya nguzo zake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Mwangwi wa kuita kwao utapita madirishani,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kifusi kitakuwa milangoni,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'boriti za mierezi zitaachwa wazi.' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = 'Huu ndio mji uliotukuka na kuishi kwa furaha' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakijisikia salama.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ulisema moyoni mwako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Mimi ndimi, na wala hapana mwingine ila mimi.”' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Jinsi gani umekuwa gofu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mahali pa kulala wanyama pori!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Wote wanaopita kando yake wanauzomea' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kutikisa mkono kwa dharau.' ¬v = '15' ¬q2 = ¬c = '2' c = '3' v= = '1' s1 = 'Hatima Ya Yerusalemu' q1 = '' c# = '3' v = '1' v~ = 'Ole mji wa wadhalimu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'waasi na waliotiwa unajisi!' ¬q2 = ¬v = '1' q1 = '' v = '2' v~ = 'Hautii mtu yeyote,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'haukubali maonyo.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Haumtumaini \\nd Bwana\\nd*,' 'Haumtumaini Bwana,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'haukaribii karibu na Mungu wake.' ¬q2 = ¬v = '2' q1 = '' v = '3' v~ = 'Maafisa wake ni simba wangurumao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watawala wake ni mbwa mwitu wa jioni,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'ambao hawabakizi chochote' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa ajili ya asubuhi.' ¬q2 = ¬v = '3' q1 = '' v = '4' v~ = 'Manabii wake ni wenye kiburi,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ni wadanganyifu.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Makuhani wake hunajisi patakatifu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'na kuihalifu sheria.' ¬q2 = ¬v = '4' q1 = '' v = '5' v~ = '\\nd Bwana\\nd* aliye ndani yake ni mwenye haki,' 'Bwana aliye ndani yake ni mwenye haki,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hafanyi kosa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Asubuhi kwa asubuhi hutoa haki yake,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kila kukipambazuka huitimiza,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'bali mtu dhalimu hana aibu.' ¬q2 = ¬v = '5' b = '' q1 = '' v = '6' v~ = '“Nimeyafutilia mbali mataifa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ngome zao zimebomolewa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nimeziacha barabara ukiwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna anayepita humo.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Miji yao imeharibiwa;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hakuna mmoja atakayeachwa:' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hakuna hata mmoja.' ¬q2 = ¬v = '6' q1 = '' v = '7' v~ = 'Niliuambia huo mji,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '‘Hakika utaniogopa na kukubali maonyo!’' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Ndipo makao yake hayatafutiliwa mbali,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wala adhabu zangu zote hazitakuja juu yake.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Lakini walikuwa bado na shauku' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kutenda kwa upotovu katika yote waliyofanya.”' ¬q2 = ¬v = '7' q1 = '' v = '8' v~ = '\\nd Bwana\\nd* anasema,' 'Bwana anasema,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Kwa hiyo ningojee mimi,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'siku nitakayosimama kuteka nyara.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nimeamua kukusanya mataifa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kukusanya falme' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'na kumimina ghadhabu yangu juu yao,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hasira yangu kali yote.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Dunia yote itateketezwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa moto wa wivu wa hasira yangu.' ¬q2 = ¬v = '8' b = '' q1 = '' v = '9' v~ = '“Ndipo nitatakasa midomo ya mataifa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwamba wote waweze kuliitia jina la \\nd Bwana\\nd*' 'kwamba wote waweze kuliitia jina la Bwana' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'na kumtumikia kwa pamoja.' ¬q2 = ¬v = '9' q1 = '' v = '10' v~ = 'Kutoka ngʼambo ya mito ya Kushi' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'watu wangu wanaoniabudu,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'watu wangu waliotawanyika,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wataniletea sadaka.' ¬q2 = ¬v = '10' q1 = '' v = '11' v~ = 'Siku hiyo hutaaibishwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kwa ajili ya makosa yote ulionitendea,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'kwa sababu nitawaondoa kutoka mji huu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wale wote wanaoshangilia' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'katika kiburi chao.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Kamwe hutajivuna tena' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika kilima changu kitakatifu.' ¬q2 = ¬v = '11' q1 = '' v = '12' v~ = 'Lakini nitakuachia ndani yako' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wapole na wanyenyekevu,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'ambao wanatumaini jina la \\nd Bwana\\nd*.' 'ambao wanatumaini jina la Bwana.' ¬q2 = ¬v = '12' q1 = '' v = '13' v~ = 'Mabaki ya Israeli hayatafanya kosa;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'hawatasema uongo,' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wala udanganyifu hautakuwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika vinywa vyao.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Watakula na kulala' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wala hakuna yeyote' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'atakayewaogopesha.”' ¬q2 = ¬v = '13' b = '' q1 = '' v = '14' v~ = 'Imba, ee Binti Sayuni;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'paza sauti, ee Israeli!' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'ee Binti Yerusalemu!' ¬q2 = ¬v = '14' q1 = '' v = '15' v~ = '\\nd Bwana\\nd* amekuondolea adhabu yako,' 'Bwana amekuondolea adhabu yako,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'amewarudisha nyuma adui zako.' ¬q2 = q1 = '' p~ = '\\nd Bwana\\nd*, Mfalme wa Israeli, yu pamoja nawe;' 'Bwana, Mfalme wa Israeli, yu pamoja nawe;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'kamwe hutaogopa tena madhara yoyote.' ¬q2 = ¬v = '15' q1 = '' v = '16' v~ = 'Katika siku hiyo watauambia Yerusalemu,' ¬q1 = q2 = '' p~ = '“Usiogope, ee Sayuni;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'usiiache mikono yako ilegee.' ¬q2 = ¬v = '16' q1 = '' v = '17' v~ = '\\nd Bwana\\nd* Mungu wako yu pamoja nawe,' 'Bwana Mungu wako yu pamoja nawe,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'yeye ni mwenye nguvu kuokoa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Atakufurahia kwa furaha kubwa,' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'atakutuliza kwa pendo lake,' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'atakufurahia kwa kuimba.”' ¬q2 = ¬v = '17' b = '' q1 = '' v = '18' v~ = '“Huzuni katika sikukuu zilizoamriwa' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'nitaziondoa kwenu;' ¬q2 = q2 = '' p~ = 'hizo ni mzigo na fedheha kwenu.' ¬q2 = ¬v = '18' q1 = '' v = '19' v~ = 'Wakati huo nitawashughulikia' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wote waliokudhulumu;' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'nitaokoa vilema na kukusanya' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wale ambao wametawanywa.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nitawapa sifa na heshima' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'katika kila nchi ambayo waliaibishwa.' ¬q2 = ¬v = '19' q1 = '' v = '20' v~ = 'Wakati huo nitawakusanya;' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'wakati huo nitawaleta nyumbani.' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'Nitawapa sifa na heshima' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'miongoni mwa mataifa yote ya dunia' ¬q2 = q1 = '' p~ = 'wakati nitakapowarudishia mateka yenu' ¬q1 = q2 = '' p~ = 'mbele ya macho yenu hasa,”' ¬q2 = q4 = '' p~ = 'asema \\nd Bwana\\nd*.' 'asema Bwana.' ¬q4 = ¬v = '20' ¬c = '3' ¬chapters =