id = '2JN - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version' rem = 'Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.' headers = h = '2 Yohana' toc1 = '2 Yohana' toc2 = '2 Yohana' toc3 = '2Yn' mt1 = '2 Yohana' ¬headers = chapters = c = '1' v= = '1' s1 = 'Salamu' p = '' c# = '1' v = '1' v~ = 'Mzee:' ¬p = p = '' p~ = 'Kwa bibi mteule na watoto wake, niwapendao katika kweli, wala si mimi tu, bali na wale wote waijuayo kweli:' ¬v = '1' v = '2' v~ = 'kwa sababu ya ile kweli ikaayo ndani yetu na ambayo itaendelea kukaa nasi milele:' ¬v = '2' ¬p = p = '' v = '3' v~ = 'Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwanawe Baba, itakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo.' ¬v = '3' ¬p = v= = '4' s1 = 'Kweli Na Upendo' p = '' v = '4' v~ = 'Imenipa furaha kuu kuona baadhi ya watoto wako wanaenenda katika kweli, kama vile Baba alivyotuagiza.' ¬v = '4' v = '5' v~ = 'Sasa, bibi mpendwa, si kwamba ninakuandikia amri mpya, bali ile tuliyokuwa nayo tangu mwanzo. Tupendane kila mmoja na mwenzake.' ¬v = '5' v = '6' v~ = 'Hili ndilo pendo, kwamba tuenende sawasawa na amri zake. Hii ndiyo amri yake kama vile mlivyosikia tangu mwanzo, kwamba mwenende katika upendo.' ¬v = '6' ¬p = p = '' v = '7' v~ = 'Wadanganyifu wengi, wasiokubali kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili, wametokea ulimwenguni. Mtu wa namna hiyo ni mdanganyifu na mpinga Kristo.' ¬v = '7' v = '8' v~ = 'Jihadharini msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate kupewa thawabu kamilifu.' ¬v = '8' v = '9' v~ = 'Mtu yeyote asiyedumu katika mafundisho ya Kristo, bali akayaacha, yeye hana Mungu. Yeyote anayedumu katika mafundisho ana Baba na Mwana pia.' ¬v = '9' v = '10' v~ = 'Msimpokee mtu yeyote anayewajia ambaye hawaletei mafundisho haya, wala msimkaribishe nyumbani mwenu.' ¬v = '10' v = '11' v~ = 'Yeyote amkaribishaye mtu wa namna hiyo anashiriki katika matendo maovu ya mtu huyo.' ¬v = '11' ¬p = v= = '12' s1 = 'Salamu Za Mwisho' p = '' v = '12' v~ = 'Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kwenu na kuongea nanyi ana kwa ana, ili furaha yetu ipate kuwa timilifu.' ¬v = '12' ¬p = p = '' v = '13' v~ = 'Watoto wa dada yako mteule wanakusalimu. Amen.' ¬v = '13' ¬p = ¬c = '1' ¬chapters =