Zaburi
<
117
>
Zaburi 117
Sifa Za
Bwana
1
Msifuni
Bwana
, enyi mataifa yote;
mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2
Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,
uaminifu wa
Bwana
unadumu milele.
Msifuni
Bwana
.
Zaburi
<
117
>
© Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.