Zaburi. 117. Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote. Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Bwana unadumu milele. Msifuni Bwana.