Freely-Given.org Bible AMO Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in AMO -1:0

Showing 1 out of 531 priority errors

Fix Text Errors

AMO -1:0 Removed trailing space in id: AMO - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

AMO -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

AMO -1:2 Removed trailing space in h: Amosi

AMO -1:3 Removed trailing space in toc1: Amosi

AMO -1:4 Removed trailing space in toc2: Amosi

AMO -1:5 Removed trailing space in toc3: Amo

AMO -1:6 Removed trailing space in mt1: Amosi

AMO 1:0 Extra space after chapter number

AMO 1:0 Removed trailing space in c: 1

AMO 1:1 Removed trailing space in v~: Maneno ya Amosi, mmoja wa wachunga wanyama wa Tekoa: yale aliyoyaona kuhusu Israeli miaka miwili kabla ya tetemeko la ardhi, wakati Uzia alikuwa mfalme wa Yuda, na Yeroboamu mwana wa Yehoashi alikuwa mfalme wa Israeli.

AMO 1:2 Removed trailing space in v~: Alisema:

AMO 1:2 Removed trailing space in p~: “\nd Bwana\nd* ananguruma toka Sayuni,

AMO 1:2 Removed trailing space in p~: pia ananguruma kutoka Yerusalemu;

AMO 1:2 Removed trailing space in p~: malisho ya wachunga wanyama yanakauka,

AMO 1:2 Removed trailing space in p~: kilele cha Karmeli kinanyauka.”

AMO 1:2 Removed trailing space in s1: Hukumu Juu Ya Majirani Wa Israeli

AMO 1:3 Removed trailing space in v~: Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

AMO 1:3 Removed trailing space in p~: “Kwa dhambi tatu za Dameski,

AMO 1:3 Removed trailing space in p~: hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.

AMO 1:3 Removed trailing space in p~: Kwa sababu aliipura Gileadi

AMO 1:3 Removed trailing space in p~: kwa vyombo vya chuma vyenye meno.

AMO 1:4 Removed trailing space in v~: Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli

AMO 1:4 Removed trailing space in p~: ambao utateketeza ngome za Ben-Hadadi.

AMO 1:5 Removed trailing space in v~: Nitalivunja lango la Dameski;

AMO 1:5 Removed trailing space in p~: nitamwangamiza mfalme aliyeko katika Bonde la Aveni,\f + \fr 1:5 \ft Bonde la Aveni maana yake Bonde la Uovu.\f*

AMO 1:5 Removed trailing space in p~: na yeye ambaye anaishika fimbo ya utawala katika Beth-Edeni.

AMO 1:5 Removed trailing space in p~: Watu wote wa Aramu watakwenda uhamishoni huko Kiri,”

AMO 1:5 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 1:6 Removed trailing space in v~: Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

AMO 1:6 Removed trailing space in p~: “Kwa dhambi tatu za Gaza,

AMO 1:6 Removed trailing space in p~: hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.

AMO 1:6 Removed trailing space in p~: Kwa sababu walichukua mateka jumuiya nzima

AMO 1:6 Removed trailing space in p~: na kuwauza kwa Edomu,

AMO 1:7 Removed trailing space in v~: nitatuma moto juu ya kuta za Gaza

AMO 1:7 Removed trailing space in p~: ambao utateketeza ngome zake.

AMO 1:8 Removed trailing space in v~: Nitamwangamiza mfalme wa Ashdodi

AMO 1:8 Removed trailing space in p~: na yeye aishikaye fimbo ya utawala katika Ashkeloni.

AMO 1:8 Removed trailing space in p~: Nitaugeuza mkono wangu dhidi ya Ekroni,

AMO 1:8 Removed trailing space in p~: hadi Mfilisti wa mwisho atakapokufa,”

AMO 1:8 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.

AMO 1:9 Removed trailing space in v~: Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

AMO 1:9 Removed trailing space in p~: “Kwa dhambi tatu za Tiro,

AMO 1:9 Removed trailing space in p~: hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.

AMO 1:9 Removed trailing space in p~: Kwa sababu ameuza jumuiya nzima ya mateka kwa Edomu,

AMO 1:9 Removed trailing space in p~: na kutokujali mapatano ya undugu,

AMO 1:10 Removed trailing space in v~: Nitatuma moto kwenye kuta za Tiro

AMO 1:10 Removed trailing space in p~: ambao utateketeza ngome zake.”

AMO 1:11 Removed trailing space in v~: Hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo:

AMO 1:11 Removed trailing space in p~: “Kwa dhambi tatu za Edomu,

AMO 1:11 Removed trailing space in p~: hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.

AMO 1:11 Removed trailing space in p~: Kwa sababu alimfuatia ndugu yake kwa upanga,

AMO 1:11 Removed trailing space in p~: alikataa kuonyesha huruma yoyote,

AMO 1:11 Removed trailing space in p~: kwa sababu hasira yake kali iliendelea kupanda wakati wote

AMO 1:11 Removed trailing space in p~: na ghadhabu iliwaka bila kuzuiliwa.

AMO 1:12 Removed trailing space in v~: Nitatuma moto juu ya Temani

AMO 1:12 Removed trailing space in p~: ambao utateketeza ngome za Bosra.”

AMO 1:13 Removed trailing space in v~: Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

AMO 1:13 Removed trailing space in p~: “Kwa dhambi tatu za Amoni,

AMO 1:13 Removed trailing space in p~: hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.

AMO 1:13 Removed trailing space in p~: Kwa sababu aliwatumbua wanawake wajawazito wa Gileadi

AMO 1:13 Removed trailing space in p~: ili kuongeza mipaka yake.

AMO 1:14 Removed trailing space in v~: Nitatuma moto kwenye kuta za Raba

AMO 1:14 Removed trailing space in p~: ambao utateketeza ngome zake

AMO 1:14 Removed trailing space in p~: katikati ya vilio vya vita katika siku ya mapigano,

AMO 1:14 Removed trailing space in p~: katikati ya upepo mkali katika siku ya dhoruba.

AMO 1:15 Removed trailing space in v~: Mfalme wake atakwenda uhamishoni,

AMO 1:15 Removed trailing space in p~: yeye pamoja na maafisa wake,”

AMO 1:15 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 2:0 Extra space after chapter number

AMO 2:0 Removed trailing space in c: 2

AMO 2:1 Removed trailing space in v~: Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

AMO 2:1 Removed trailing space in p~: “Kwa dhambi tatu za Moabu,

AMO 2:1 Removed trailing space in p~: hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.

AMO 2:1 Removed trailing space in p~: Kwa sababu alichoma mifupa ya mfalme wa Edomu,

AMO 2:1 Removed trailing space in p~: ikawa kama chokaa.

AMO 2:2 Removed trailing space in v~: Nitatuma moto juu ya Moabu

AMO 2:2 Removed trailing space in p~: ambao utateketeza ngome za Keriothi.

AMO 2:2 Removed trailing space in p~: Moabu ataanguka kwa ghasia kubwa

AMO 2:2 Removed trailing space in p~: katikati ya vilio vya vita na mlio wa tarumbeta.

AMO 2:3 Removed trailing space in v~: Nitamwangamiza mtawala wake

AMO 2:3 Removed trailing space in p~: na kuwaua maafisa wake wote pamoja naye,”

AMO 2:3 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 2:4 Removed trailing space in v~: Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

AMO 2:4 Removed trailing space in p~: “Kwa dhambi tatu za Yuda,

AMO 2:4 Removed trailing space in p~: hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.

AMO 2:4 Removed trailing space in p~: Kwa sababu wameikataa sheria ya \nd Bwana\nd*

AMO 2:4 Removed trailing space in p~: na hawakuzishika amri zake,

AMO 2:4 Removed trailing space in p~: kwa sababu wamepotoshwa na miungu ya uongo,

AMO 2:4 Removed trailing space in p~: miungu ambayo babu zao waliifuata.

AMO 2:5 Removed trailing space in v~: Nitatuma moto juu ya Yuda

AMO 2:5 Removed trailing space in p~: ambao utateketeza ngome za Yerusalemu.”

AMO 2:5 Removed trailing space in s1: Hukumu Juu Ya Israeli

AMO 2:6 Removed trailing space in v~: Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

AMO 2:6 Removed trailing space in p~: “Kwa dhambi tatu za Israeli,

AMO 2:6 Removed trailing space in p~: hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.

AMO 2:6 Removed trailing space in p~: Wanawauza wenye haki kwa fedha,

AMO 2:6 Removed trailing space in p~: na maskini kwa jozi ya viatu.

AMO 2:7 Removed trailing space in v~: Wanakanyaga juu ya vichwa vya maskini,

AMO 2:7 Removed trailing space in p~: kama vile juu ya mavumbi ya nchi,

AMO 2:7 Removed trailing space in p~: na kukataa haki kwa walioonewa.

AMO 2:7 Removed trailing space in p~: Baba na mwanawe hushiriki msichana mmoja,

AMO 2:7 Removed trailing space in p~: kwa hivyo hulinajisi Jina langu takatifu.

AMO 2:8 Removed trailing space in v~: Watu hulala kando ya kila madhabahu

AMO 2:8 Removed trailing space in p~: juu ya nguo zilizowekwa rehani.

AMO 2:8 Removed trailing space in p~: Katika nyumba ya mungu wao hunywa mvinyo

AMO 2:8 Removed trailing space in p~: ulionunuliwa kwa fedha walizotozwa watu.

AMO 2:9 Removed trailing space in v~: “Nilimwangamiza Mwamori mbele yao,

AMO 2:9 Removed trailing space in p~: ingawa alikuwa mrefu kama mierezi,

AMO 2:9 Removed trailing space in p~: na mwenye nguvu kama mialoni.

AMO 2:9 Removed trailing space in p~: Niliyaangamiza matunda yake juu

AMO 2:9 Removed trailing space in p~: na mizizi yake chini.

AMO 2:10 Removed trailing space in v~: “Niliwapandisha toka Misri,

AMO 2:10 Removed trailing space in p~: na nikawaongoza miaka arobaini jangwani

AMO 2:10 Removed trailing space in p~: niwape nchi ya Waamori.

AMO 2:11 Removed trailing space in v~: Pia niliinua manabii kutoka miongoni mwa wana wenu

AMO 2:11 Removed trailing space in p~: na Wanadhiri kutoka miongoni mwa vijana wenu.

AMO 2:11 Removed trailing space in p~: Je, hii si kweli, enyi watu wa Israeli?”

AMO 2:11 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 2:12 Removed trailing space in v~: “Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo

AMO 2:12 Removed trailing space in p~: na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.

AMO 2:13 Removed trailing space in v~: “Sasa basi, nitawaponda

AMO 2:13 Removed trailing space in p~: kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka.

AMO 2:14 Removed trailing space in v~: Mkimbiaji hodari hatanusurika,

AMO 2:14 Removed trailing space in p~: wenye nguvu wataishiwa nguvu zao,

AMO 2:14 Removed trailing space in p~: na shujaa hataweza kuokoa maisha yake.

AMO 2:15 Removed trailing space in v~: Mpiga upinde atakimbia,

AMO 2:15 Removed trailing space in p~: askari wapiga mbio hawataweza kutoroka,

AMO 2:15 Removed trailing space in p~: na mpanda farasi hataokoa maisha yake.

AMO 2:16 Removed trailing space in v~: Hata askari walio mashujaa sana

AMO 2:16 Removed trailing space in p~: siku hiyo watakimbia uchi,”

AMO 2:16 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 3:0 Extra space after chapter number

AMO 3:0 Removed trailing space in c: 3

AMO 3:0 Removed trailing space in s1: Mashahidi Waitwa Dhidi Ya Israeli

AMO 3:1 Removed trailing space in v~: Sikilizeni neno hili alilosema \nd Bwana\nd* dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri:

AMO 3:2 Removed trailing space in v~: “Ni ninyi tu niliowachagua

AMO 3:2 Removed trailing space in p~: kati ya jamaa zote za dunia;

AMO 3:2 Removed trailing space in p~: kwa hiyo nitawaadhibu

AMO 3:2 Removed trailing space in p~: kwa ajili ya dhambi zenu zote.”

AMO 3:3 Removed trailing space in v~: Je, watu wawili hutembea pamoja

AMO 3:3 Removed trailing space in p~: wasipokubaliana kufanya hivyo?

AMO 3:4 Removed trailing space in v~: Je, simba hunguruma katika kichaka

AMO 3:4 Removed trailing space in p~: wakati hana mawindo?

AMO 3:4 Removed trailing space in p~: Aweza kuvuma katika pango

AMO 3:4 Removed trailing space in p~: wakati ambao hajakamata chochote?

AMO 3:5 Removed trailing space in v~: Je, ndege aweza kuanguka kwenye mtego ulio ardhini

AMO 3:5 Removed trailing space in p~: ambapo hajategewa chambo?

AMO 3:5 Removed trailing space in p~: Je, mtego unaweza kufyatuka toka ardhini

AMO 3:5 Removed trailing space in p~: wakati ambapo hakuna chochote cha kunasa?

AMO 3:6 Removed trailing space in v~: Je, tarumbeta inapopigwa mjini kujulisha hatari,

AMO 3:6 Removed trailing space in p~: watu hawatetemeki?

AMO 3:6 Removed trailing space in p~: Mji upatwapo na maafa,

AMO 3:6 Removed trailing space in p~: je, si \nd Bwana\nd* amesababisha?

AMO 3:7 Removed trailing space in v~: Hakika \nd Bwana\nd* Mwenyezi hatafanya neno lolote

AMO 3:7 Removed trailing space in p~: bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.

AMO 3:8 Removed trailing space in v~: Simba amenguruma:

AMO 3:8 Removed trailing space in p~: je, ni nani ambaye hataogopa?

AMO 3:8 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* Mwenyezi ametamka:

AMO 3:8 Removed trailing space in p~: je, ni nani awezaye kukosa kutoa unabii?

AMO 3:9 Removed trailing space in v~: Tangazeni katika ngome za Ashdodi

AMO 3:9 Removed trailing space in p~: na katika ngome za Misri:

AMO 3:9 Removed trailing space in p~: “Kusanyikeni juu ya milima ya Samaria;

AMO 3:9 Removed trailing space in p~: angalieni wingi wa wasiwasi ulio ndani yake,

AMO 3:9 Removed trailing space in p~: na uonevu ulio miongoni mwa watu wake.”

AMO 3:10 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* asema: “Hawajui kutenda lililo jema,

AMO 3:10 Removed trailing space in p~: wale ambao hujilundikia nyara

AMO 3:10 Removed trailing space in p~: na vitu vilivyotekwa katika ngome zao.”

AMO 3:11 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* Mwenyezi:

AMO 3:11 Removed trailing space in p~: “Adui ataizingira nchi;

AMO 3:11 Removed trailing space in p~: ataangusha chini ngome zenu

AMO 3:11 Removed trailing space in p~: na kuteka nyara maboma yenu.”

AMO 3:12 Removed trailing space in v~: Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

AMO 3:12 Removed trailing space in p~: “Kama vile mchungaji aokoavyo kinywani mwa simba

AMO 3:12 Removed trailing space in p~: vipande viwili tu vya mfupa wa mguu

AMO 3:12 Removed trailing space in p~: au kipande cha sikio,

AMO 3:12 Removed trailing space in p~: hivyo ndivyo Waisraeli watakavyookolewa,

AMO 3:12 Removed trailing space in p~: wale wakaao Samaria

AMO 3:12 Removed trailing space in p~: kwenye kingo za vitanda vyao,

AMO 3:12 Removed trailing space in p~: na katika Dameski

AMO 3:12 Removed trailing space in p~: kwenye viti vyao vya fahari.”

AMO 3:13 Removed trailing space in v~: “Sikia hili na ushuhudie dhidi ya nyumba ya Yakobo,” asema Bwana, \nd Bwana\nd* Mungu Mwenye Nguvu Zote.

AMO 3:14 Removed trailing space in v~: “Siku nitakapomwadhibu Israeli kwa sababu ya dhambi zake,

AMO 3:14 Removed trailing space in p~: nitaharibu madhabahu za Betheli;

AMO 3:14 Removed trailing space in p~: pembe za madhabahu zitakatiliwa mbali

AMO 3:14 Removed trailing space in p~: na kuanguka chini.

AMO 3:15 Removed trailing space in v~: Nitabomoa nyumba ya wakati wa masika,

AMO 3:15 Removed trailing space in p~: pamoja na nyumba ya wakati wa kiangazi;

AMO 3:15 Removed trailing space in p~: nyumba zilizonakshiwa kwa pembe za ndovu

AMO 3:15 Removed trailing space in p~: na majumba makubwa ya fahari yatabomolewa,”

AMO 3:15 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 4:0 Extra space after chapter number

AMO 4:0 Removed trailing space in c: 4

AMO 4:0 Removed trailing space in s1: Israeli Hajarudi Kwa Mungu

AMO 4:1 Removed trailing space in v~: Sikilizeni neno hili, ninyi ngʼombe wa Bashani

AMO 4:1 Removed trailing space in p~: mlioko juu ya Mlima Samaria,

AMO 4:1 Removed trailing space in p~: ninyi wanawake mnaowaonea maskini,

AMO 4:1 Removed trailing space in p~: na kuwagandamiza wahitaji,

AMO 4:1 Removed trailing space in p~: na kuwaambia wanaume wenu,

AMO 4:1 Removed trailing space in p~: “Tuleteeni vinywaji!”

AMO 4:2 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* Mwenyezi ameapa kwa utakatifu wake:

AMO 4:2 Removed trailing space in p~: “Hakika wakati utakuja

AMO 4:2 Removed trailing space in p~: mtakapochukuliwa na kulabu,

AMO 4:2 Removed trailing space in p~: na wanaosalia kwa ndoana za samaki.

AMO 4:3 Removed trailing space in v~: Nanyi mtakwenda moja kwa moja

AMO 4:3 Removed trailing space in p~: kupitia mahali palipobomolewa kwenye ukuta,

AMO 4:3 Removed trailing space in p~: nanyi mtatupwa nje kuelekea Harmoni,”

AMO 4:3 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 4:4 Removed trailing space in v~: “Nendeni Betheli mkatende dhambi;

AMO 4:4 Removed trailing space in p~: nendeni Gilgali mkazidi kutenda dhambi.

AMO 4:4 Removed trailing space in p~: Leteni dhabihu zenu kila asubuhi,

AMO 4:4 Removed trailing space in p~: zaka zenu kila mwaka wa tatu.

AMO 4:5 Removed trailing space in v~: Mchome mkate uliotiwa chachu kama sadaka ya shukrani,

AMO 4:5 Removed trailing space in p~: jisifuni kuhusu sadaka zenu za hiari:

AMO 4:5 Removed trailing space in p~: jigambeni kwa ajili ya sadaka hizo, enyi Waisraeli,

AMO 4:5 Removed trailing space in p~: kwa kuwa hili ndilo mnalopenda kulitenda,”

AMO 4:5 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.

AMO 4:6 Removed trailing space in v~: “Niliwapa njaa kwenye kila mji,

AMO 4:6 Removed trailing space in p~: na ukosefu wa chakula katika kila mji,

AMO 4:6 Removed trailing space in p~: hata hivyo bado hamjanirudia mimi,”

AMO 4:6 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 4:7 Removed trailing space in v~: “Pia niliwazuilia ninyi mvua miezi mitatu

AMO 4:7 Removed trailing space in p~: kabla ya kufikia mavuno.

AMO 4:7 Removed trailing space in p~: Nilinyesha mvua kwenye mji mmoja,

AMO 4:7 Removed trailing space in p~: lakini niliizuia mvua isinyeshe mji mwingine.

AMO 4:7 Removed trailing space in p~: Shamba moja lilipata mvua,

AMO 4:7 Removed trailing space in p~: na lingine halikupata, nalo likakauka.

AMO 4:8 Removed trailing space in v~: Watu walitangatanga mji hata mji kutafuta maji,

AMO 4:8 Removed trailing space in p~: lakini hawakupata ya kuwatosha kunywa,

AMO 4:8 Removed trailing space in p~: hata hivyo hamjanirudia mimi,”

AMO 4:8 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 4:9 Removed trailing space in v~: “Mara nyingi nilizipiga bustani zenu na mashamba ya mizabibu,

AMO 4:9 Removed trailing space in p~: niliyapiga kwa kutu na ukungu.

AMO 4:9 Removed trailing space in p~: Nzige walitafuna tini zenu na miti ya mizeituni,

AMO 4:9 Removed trailing space in p~: hata hivyo hamjanirudia mimi,”

AMO 4:9 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 4:10 Removed trailing space in v~: “Niliwapelekea tauni miongoni mwenu

AMO 4:10 Removed trailing space in p~: kama nilivyofanya kule Misri.

AMO 4:10 Removed trailing space in p~: Niliwaua vijana wenu wa kiume kwa upanga,

AMO 4:10 Removed trailing space in p~: niliwachukua farasi wenu.

AMO 4:10 Removed trailing space in p~: Nilijaza pua zenu kwa uvundo kutoka kwenye kambi zenu,

AMO 4:10 Removed trailing space in p~: hata hivyo hamjanirudia mimi,”

AMO 4:10 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 4:11 Removed trailing space in v~: “Niliwaangamiza baadhi yenu kama

AMO 4:11 Removed trailing space in p~: nilivyoangamiza Sodoma na Gomora.

AMO 4:11 Removed trailing space in p~: Mlikuwa kama kijiti kiwakacho kilichonyakuliwa motoni,

AMO 4:11 Removed trailing space in p~: hata hivyo hamjanirudia,”

AMO 4:11 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 4:12 Removed trailing space in v~: “Kwa hiyo hili ndilo nitakalowafanyia, Israeli,

AMO 4:12 Removed trailing space in p~: na kwa sababu nitawafanyia hili,

AMO 4:12 Removed trailing space in p~: jiandaeni kukutana na Mungu wenu, ee Israeli.”

AMO 4:13 Removed trailing space in v~: Yeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo,

AMO 4:13 Removed trailing space in p~: na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu,

AMO 4:13 Removed trailing space in p~: yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza,

AMO 4:13 Removed trailing space in p~: na kukanyaga mahali pa juu pa nchi:

AMO 4:13 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* Mungu Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.

AMO 5:0 Extra space after chapter number

AMO 5:0 Removed trailing space in c: 5

AMO 5:0 Removed trailing space in s1: Maombolezo Na Wito Wa Toba

AMO 5:1 Removed trailing space in v~: Sikia neno hili, ee nyumba ya Israeli, ombolezo hili ninalifanya kuwahusu ninyi:

AMO 5:2 Removed trailing space in v~: “Bikira Israeli ameanguka,

AMO 5:2 Removed trailing space in p~: kamwe hatainuka tena,

AMO 5:2 Removed trailing space in p~: ameachwa pweke katika nchi yake,

AMO 5:2 Removed trailing space in p~: hakuna yeyote wa kumwinua.”

AMO 5:3 Removed trailing space in v~: Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo:

AMO 5:3 Removed trailing space in p~: “Wakati mmoja wa miji yako utakapopeleka watu elfu moja vitani kwa ajili ya Israeli,

AMO 5:3 Removed trailing space in p~: mia moja tu watarudi;

AMO 5:3 Removed trailing space in p~: wakati mji utakapopeleka mia moja,

AMO 5:3 Removed trailing space in p~: kumi tu ndio watarudi hai.”

AMO 5:4 Removed trailing space in v~: Hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo kwa nyumba ya Israeli:

AMO 5:4 Removed trailing space in p~: “Nitafuteni mpate kuishi;

AMO 5:5 Removed trailing space in v~: msitafute Betheli,

AMO 5:5 Removed trailing space in p~: msiende Gilgali,

AMO 5:5 Removed trailing space in p~: msisafiri kwenda Beer-Sheba.

AMO 5:5 Removed trailing space in p~: Kwa maana kwa hakika Gilgali itakwenda uhamishoni,

AMO 5:5 Removed trailing space in p~: na Betheli itafanywa kuwa si kitu.”\f + \fr 5:5 \ft Yaani \fqa Aveni \ft kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni, jina lingine la Betheli kwa dhihaka.\f*

AMO 5:6 Removed trailing space in v~: Mtafuteni \nd Bwana\nd* mpate kuishi,

AMO 5:6 Removed trailing space in p~: au atafagia nyumba ya Yosefu kama moto;

AMO 5:6 Removed trailing space in p~: utawateketeza, nayo Betheli

AMO 5:6 Removed trailing space in p~: haitakuwa na yeyote wa kuuzima.

AMO 5:7 Removed trailing space in v~: Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu

AMO 5:7 Removed trailing space in p~: na kuiangusha haki chini

AMO 5:8 Removed trailing space in v~: (yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni,

AMO 5:8 Removed trailing space in p~: ambaye hugeuza giza kuwa mapambazuko

AMO 5:8 Removed trailing space in p~: na mchana kuwa usiku,

AMO 5:8 Removed trailing space in p~: ambaye huyaita maji ya bahari

AMO 5:8 Removed trailing space in p~: na kuyamwaga juu ya uso wa nchi:

AMO 5:8 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* ndilo jina lake;

AMO 5:9 Removed trailing space in v~: yeye hufanya maangamizo kwenye ngome

AMO 5:9 Removed trailing space in p~: na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa),

AMO 5:10 Removed trailing space in v~: mnamchukia yule akemeaye mahakamani,

AMO 5:10 Removed trailing space in p~: na kumdharau yule ambaye husema kweli.

AMO 5:11 Removed trailing space in v~: Mnamgandamiza maskini

AMO 5:11 Removed trailing space in p~: na kumlazimisha awape nafaka.

AMO 5:11 Removed trailing space in p~: Kwa hiyo, ingawa mmejenga majumba ya mawe ya fahari,

AMO 5:11 Removed trailing space in p~: hamtaishi ndani yake;

AMO 5:11 Removed trailing space in p~: ingawa mmepanda mashamba mazuri ya mizabibu,

AMO 5:11 Removed trailing space in p~: hamtakunywa divai yake.

AMO 5:12 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa ninajua hesabu ya makosa yenu

AMO 5:12 Removed trailing space in p~: na ukubwa wa dhambi zenu.

AMO 5:12 Removed trailing space in p~: Mmewaonea wenye haki na kupokea rushwa

AMO 5:12 Removed trailing space in p~: na kuzuia haki ya maskini mahakamani.

AMO 5:13 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza kimya nyakati kama hizo,

AMO 5:13 Removed trailing space in p~: kwa kuwa nyakati ni mbaya.

AMO 5:14 Removed trailing space in v~: Tafuteni mema, wala si mabaya,

AMO 5:14 Removed trailing space in p~: ili mpate kuishi.

AMO 5:14 Removed trailing space in p~: Ndipo \nd Bwana\nd* Mungu Mwenye Nguvu Zote atakuwa pamoja nanyi,

AMO 5:14 Removed trailing space in p~: kama msemavyo yupo nanyi.

AMO 5:15 Removed trailing space in v~: Yachukieni maovu, yapendeni mema;

AMO 5:15 Removed trailing space in p~: dumisheni haki mahakamani.

AMO 5:15 Removed trailing space in p~: Yamkini \nd Bwana\nd* Mungu Mwenye Nguvu Zote

AMO 5:15 Removed trailing space in p~: atawahurumia mabaki ya Yosefu.

AMO 5:16 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo hili ndilo Bwana, \nd Bwana\nd* Mungu Mwenye Nguvu Zote, asemalo:

AMO 5:16 Removed trailing space in p~: “Kutakuwepo maombolezo katika barabara zote

AMO 5:16 Removed trailing space in p~: na vilio vya uchungu katika njia kuu zote.

AMO 5:16 Removed trailing space in p~: Wakulima wataitwa kuja kulia,

AMO 5:16 Removed trailing space in p~: na waombolezaji waje kuomboleza.

AMO 5:17 Removed trailing space in v~: Kutakuwepo kuomboleza katika mashamba yote ya mizabibu,

AMO 5:17 Removed trailing space in p~: kwa kuwa nitapita katikati yenu,”

AMO 5:17 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 5:17 Removed trailing space in s1: Siku Ya \nd Bwana\nd*

AMO 5:18 Removed trailing space in v~: Ole wenu ninyi mnaoitamani

AMO 5:18 Removed trailing space in p~: siku ya \nd Bwana\nd*!

AMO 5:18 Removed trailing space in p~: Kwa nini mnaitamani siku ya \nd Bwana\nd*?

AMO 5:18 Removed trailing space in p~: Siku hiyo itakuwa giza, si nuru.

AMO 5:19 Removed trailing space in v~: Itakuwa kama vile mtu aliyemkimbia simba

AMO 5:19 Removed trailing space in p~: kumbe akakutana na dubu,

AMO 5:19 Removed trailing space in p~: kama vile mtu aliyeingia nyumbani mwake

AMO 5:19 Removed trailing space in p~: na kuupumzisha mkono wake kwenye ukuta,

AMO 5:19 Removed trailing space in p~: kumbe akaumwa na nyoka.

AMO 5:20 Removed trailing space in v~: Je, siku ya \nd Bwana\nd* haitakuwa giza, na si nuru:

AMO 5:20 Removed trailing space in p~: giza nene, bila mwonzi wa mwanga?

AMO 5:21 Removed trailing space in v~: “Ninachukia, ninazidharau sikukuu zenu za dini;

AMO 5:21 Removed trailing space in p~: siwezi kuvumilia makusanyiko yenu.

AMO 5:22 Removed trailing space in v~: Hata ingawa mnaniletea sadaka zenu za kuteketezwa na sadaka za nafaka,

AMO 5:22 Removed trailing space in p~: sitazikubali.

AMO 5:22 Removed trailing space in p~: Ingawa mnaniletea sadaka nzuri za amani,

AMO 5:22 Removed trailing space in p~: sitazitambua.

AMO 5:23 Removed trailing space in v~: Niondoleeni kelele za nyimbo zenu!

AMO 5:23 Removed trailing space in p~: Sitasikiliza sauti za vinubi vyenu.

AMO 5:24 Removed trailing space in v~: Lakini acheni haki itiririke kama mto,

AMO 5:24 Removed trailing space in p~: na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka!

AMO 5:25 Removed trailing space in v~: “Je, mliniletea dhabihu na sadaka

AMO 5:25 Removed trailing space in p~: kwa miaka arobaini kule jangwani,

AMO 5:25 Removed trailing space in p~: ee nyumba ya Israeli?

AMO 5:26 Removed trailing space in v~: Mmeyainua madhabahu ya mfalme wenu,

AMO 5:26 Removed trailing space in p~: Sikuthi mungu wenu mtawala,

AMO 5:26 Removed trailing space in p~: na Kiuni mungu wenu wa nyota,

AMO 5:26 Removed trailing space in p~: ambao mliwatengeneza wenyewe.

AMO 5:27 Removed trailing space in v~: Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,”

AMO 5:27 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.

AMO 6:0 Extra space after chapter number

AMO 6:0 Removed trailing space in c: 6

AMO 6:0 Removed trailing space in s1: Ole Kwa Wanaoridhika

AMO 6:1 Removed trailing space in v~: Ole wenu ninyi mnaostarehe na kuridhika katika Sayuni,

AMO 6:1 Removed trailing space in p~: na ninyi mnaojisikia salama juu ya Mlima Samaria,

AMO 6:1 Removed trailing space in p~: ninyi watu mashuhuri wa taifa lililoendelea kuliko mataifa mengine,

AMO 6:1 Removed trailing space in p~: ambao watu wa Israeli wanawategemea!

AMO 6:2 Removed trailing space in v~: Nendeni Kalne mkaone kutoka huko;

AMO 6:2 Removed trailing space in p~: mwende hadi Hamathi iliyo kuu,

AMO 6:2 Removed trailing space in p~: kisha mshuke hadi Gathi ya Wafilisti.

AMO 6:2 Removed trailing space in p~: Je, wao ni bora kuliko falme zenu mbili?

AMO 6:2 Removed trailing space in p~: Je, nchi yao ni kubwa kuliko yenu?

AMO 6:3 Removed trailing space in v~: Mnaiweka mbali siku iliyo mbaya

AMO 6:3 Removed trailing space in p~: na kuleta karibu utawala wa kuogofya.

AMO 6:4 Removed trailing space in v~: Ninyi mnalala juu ya vitanda vilivyofunikwa kwa pembe za ndovu,

AMO 6:4 Removed trailing space in p~: na kujinyoosha juu ya viti vya fahari.

AMO 6:4 Removed trailing space in p~: Mnajilisha kwa wana-kondoo wazuri

AMO 6:4 Removed trailing space in p~: na ndama walionenepeshwa.

AMO 6:5 Removed trailing space in v~: Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi,

AMO 6:5 Removed trailing space in p~: huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali.

AMO 6:6 Removed trailing space in v~: Mnakunywa mvinyo kwa bakuli zilizojazwa,

AMO 6:6 Removed trailing space in p~: na mnajipaka mafuta mazuri,

AMO 6:6 Removed trailing space in p~: lakini hamhuzuniki kwa maangamizi ya Yosefu.

AMO 6:7 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo mtakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kwenda uhamishoni;

AMO 6:7 Removed trailing space in p~: karamu zenu na kustarehe kutakoma.

AMO 6:7 Removed trailing space in s1: \nd Bwana\nd* Anachukia Kiburi Cha Israeli

AMO 6:8 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* Mwenyezi ameapa kwa nafsi yake mwenyewe: \nd Bwana\nd* Mungu Mwenye Nguvu Zote asema:

AMO 6:8 Removed trailing space in p~: “Nachukia kiburi cha Yakobo,

AMO 6:8 Removed trailing space in p~: nachukia ngome zake;

AMO 6:8 Removed trailing space in p~: nitautoa mji wao na kila kitu

AMO 6:8 Removed trailing space in p~: kilichomo ndani mwake.”

AMO 6:9 Removed trailing space in v~: Kama watu kumi watabaki katika nyumba moja, wao pia watakufa.

AMO 6:10 Removed trailing space in v~: Kama jamaa ambaye atachoma miili akija ili kuitoa nje ya nyumba, na kumuuliza yeyote ambaye bado anajificha humo, “Je, yuko mtu yeyote pamoja nawe?” Naye akisema, “Hapana,” ndipo atakaposema, “Nyamaza kimya! Haturuhusiwi kutaja jina la \nd Bwana\nd*.”

AMO 6:11 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa \nd Bwana\nd* ameamuru,

AMO 6:11 Removed trailing space in p~: naye atabomoa jumba kubwa vipande vipande

AMO 6:11 Removed trailing space in p~: na nyumba ndogo vipande vidogo vidogo.

AMO 6:12 Removed trailing space in v~: Je, farasi waweza kukimbia kwenye miamba mikali?

AMO 6:12 Removed trailing space in p~: Je, aweza mtu kulima huko kwa maksai?

AMO 6:12 Removed trailing space in p~: Lakini mmegeuza haki kuwa sumu

AMO 6:12 Removed trailing space in p~: na matunda ya uadilifu kuwa uchungu:

AMO 6:13 Removed trailing space in v~: ninyi mnaoshangilia kushindwa kwa Lo-Debari

AMO 6:13 Removed trailing space in p~: na kusema, “Je, hatukuteka Karnaimu kwa nguvu zetu wenyewe?”

AMO 6:14 Removed trailing space in v~: Maana \nd Bwana\nd* Mungu Mwenye Nguvu Zote asema,

AMO 6:14 Removed trailing space in p~: “Nitainua taifa dhidi yenu, ee nyumba ya Israeli,

AMO 6:14 Removed trailing space in p~: nalo litawatesa kuanzia Lebo-Hamathi

AMO 6:14 Removed trailing space in p~: hadi Bonde la Araba.”

AMO 7:0 Extra space after chapter number

AMO 7:0 Removed trailing space in c: 7

AMO 7:0 Removed trailing space in s1: Maono Ya Kwanza: Nzige

AMO 7:1 Removed trailing space in v~: Hili ndilo alilonionyesha \nd Bwana\nd* Mwenyezi katika maono: Alikuwa anaandaa makundi ya nzige baada ya kuvunwa fungu la mfalme na wakati ule tu mimea ya pili ilipokuwa ikichipua.

AMO 7:2 Removed trailing space in v~: Wakati nzige walikuwa wamekula mimea yote ya nchi, nililia kwa sauti kuu, “\nd Bwana\nd* Mwenyezi, samehe! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”

AMO 7:3 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo \nd Bwana\nd* akaghairi.

AMO 7:3 Removed trailing space in p~: Kisha \nd Bwana\nd* akasema, “Hili halitatokea.”

AMO 7:3 Removed trailing space in s1: Maono Ya Pili: Moto

AMO 7:4 Removed trailing space in v~: Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi alilonionyesha katika maono: \nd Bwana\nd* Mwenyezi alikuwa akiita hukumu ya moto; nao ulikausha vilindi vikuu, ukateketeza nchi.

AMO 7:5 Removed trailing space in v~: Ndipo nikalia, “\nd Bwana\nd* Mwenyezi, nakusihi, zuia! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”

AMO 7:6 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo \nd Bwana\nd* akaghairi.

AMO 7:6 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* Mwenyezi akasema, “Hili nalo halitatokea.”

AMO 7:6 Removed trailing space in s1: Maono Ya Tatu: Timazi

AMO 7:7 Removed trailing space in v~: Hili ndilo alilonionyesha katika maono: Bwana alikuwa amesimama karibu na ukuta ambao ulikuwa umejengwa kwa timazi, akiwa na uzi wa timazi mkononi mwake.

AMO 7:8 Removed trailing space in v~: Naye \nd Bwana\nd* akaniuliza, “Je, Amosi unaona nini?”

AMO 7:8 Removed trailing space in p~: Nikamjibu, “Uzi wa timazi.”

AMO 7:8 Removed trailing space in p~: Kisha Bwana akasema, “Tazama, ninaweka uzi wa timazi miongoni mwa watu wangu Israeli; sitawahurumia tena.

AMO 7:9 Removed trailing space in v~: “Mahali pa Isaki pa juu pa kuabudia miungu pataangamizwa,

AMO 7:9 Removed trailing space in p~: na mahali patakatifu pa Israeli pa kuabudia pataharibiwa;

AMO 7:9 Removed trailing space in p~: kwa upanga wangu nitainuka

AMO 7:9 Removed trailing space in p~: dhidi ya nyumba ya Yeroboamu.”

AMO 7:9 Removed trailing space in s1: Amosi Na Amazia

AMO 7:10 Removed trailing space in v~: Kisha Amazia kuhani wa Betheli akatuma ujumbe kwa Yeroboamu mfalme wa Israeli, akisema: “Amosi analeta fitina juu yako katikati ya Israeli. Nchi haiwezi kuvumilia maneno yake yote.

AMO 7:11 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa hili ndilo Amosi analosema:

AMO 7:11 Removed trailing space in p~: “ ‘Yeroboamu atakufa kwa upanga,

AMO 7:11 Removed trailing space in p~: na kwa hakika Israeli watakwenda uhamishoni,

AMO 7:11 Removed trailing space in p~: mbali na nchi yao.’ ”

AMO 7:12 Removed trailing space in v~: Kisha Amazia akamwambia Amosi, “Nenda zako, ewe mwonaji! Urudi katika nchi ya Yuda. Ujipatie riziki yako huko na kutoa unabii wako.

AMO 7:13 Removed trailing space in v~: Usiendelee kutoa unabii katika Betheli, kwa sababu hapa ni mahali pa mfalme pa kuabudia na Hekalu la ufalme huu.”

AMO 7:14 Removed trailing space in v~: Amosi akamjibu Amazia, “Mimi sikuwa nabii wala mwana wa nabii, lakini nilikuwa mchungaji wa kondoo na mtunza mikuyu.

AMO 7:15 Removed trailing space in v~: Lakini \nd Bwana\nd* akanitoa kutoka kuchunga kondoo na kuniambia, ‘Nenda, ukawatabirie watu wangu Israeli.’

AMO 7:16 Removed trailing space in v~: Sasa basi, sikieni neno la \nd Bwana\nd*. Ninyi mnasema,

AMO 7:16 Removed trailing space in p~: “ ‘Usitabiri dhidi ya Israeli,

AMO 7:16 Removed trailing space in p~: na uache kuhubiri dhidi ya nyumba ya Isaki.’

AMO 7:17 Removed trailing space in v~: “Kwa hiyo hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

AMO 7:17 Removed trailing space in p~: “ ‘Mke wako atakuwa kahaba mjini,

AMO 7:17 Removed trailing space in p~: nao wana wako na binti zako watauawa kwa upanga.

AMO 7:17 Removed trailing space in p~: Shamba lako litapimwa na kugawanywa,

AMO 7:17 Removed trailing space in p~: na wewe mwenyewe utafia katika nchi ya kipagani.

AMO 7:17 Removed trailing space in p~: Nayo Israeli kwa hakika itakwenda uhamishoni,

AMO 7:17 Removed trailing space in p~: mbali na nchi yao.’ ”

AMO 9:0 Extra space after chapter number

AMO 9:0 Removed trailing space in c: 9

AMO 9:0 Removed trailing space in s1: Israeli Kuangamizwa

AMO 9:1 Removed trailing space in v~: Nilimwona Bwana akiwa amesimama kando ya madhabahu, naye akasema:

AMO 9:1 Removed trailing space in p~: “Piga vichwa vya nguzo

AMO 9:1 Removed trailing space in p~: ili vizingiti vitikisike.

AMO 9:1 Removed trailing space in p~: Viangushe juu ya vichwa vya watu wote;

AMO 9:1 Removed trailing space in p~: na wale watakaosalia nitawaua kwa upanga.

AMO 9:1 Removed trailing space in p~: Hakuna awaye yote atakayekimbia,

AMO 9:1 Removed trailing space in p~: hakuna atakayetoroka.

AMO 9:2 Removed trailing space in v~: Wajapojichimbia chini mpaka kwenye vina vya kuzimu,

AMO 9:2 Removed trailing space in p~: kutoka huko mkono wangu utawatoa.

AMO 9:2 Removed trailing space in p~: Wajapopanda juu hadi kwenye mbingu,

AMO 9:2 Removed trailing space in p~: kutoka huko nitawashusha.

AMO 9:3 Removed trailing space in v~: Wajapojificha juu ya kilele cha Karmeli,

AMO 9:3 Removed trailing space in p~: huko nitawawinda na kuwakamata.

AMO 9:3 Removed trailing space in p~: Wajapojificha kutoka kwenye uso wangu

AMO 9:3 Removed trailing space in p~: katika vilindi vya bahari,

AMO 9:3 Removed trailing space in p~: huko nako nitaamuru joka kuwauma.

AMO 9:4 Removed trailing space in v~: Wajapopelekwa uhamishoni na adui zao,

AMO 9:4 Removed trailing space in p~: huko nako nitaamuru upanga uwaue.

AMO 9:4 Removed trailing space in p~: Nitawakazia macho yangu kwa mabaya

AMO 9:4 Removed trailing space in p~: wala si kwa mazuri.”

AMO 9:5 Removed trailing space in v~: Bwana, \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote,

AMO 9:5 Removed trailing space in p~: yeye agusaye dunia nayo ikayeyuka,

AMO 9:5 Removed trailing space in p~: na wote wakaao ndani mwake wakaomboleza:

AMO 9:5 Removed trailing space in p~: nayo nchi yote huinuka kama Naili,

AMO 9:5 Removed trailing space in p~: kisha hushuka kama mto wa Misri;

AMO 9:6 Removed trailing space in v~: yeye ambaye hujenga jumba lake la kifalme katika mbingu

AMO 9:6 Removed trailing space in p~: na kuisimika misingi yake juu ya dunia,

AMO 9:6 Removed trailing space in p~: yeye aitaye maji ya bahari

AMO 9:6 Removed trailing space in p~: na kuyamwaga juu ya uso wa nchi:

AMO 9:6 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* ndilo jina lake.

AMO 9:7 Removed trailing space in v~: “Je, Waisraeli,

AMO 9:7 Removed trailing space in p~: ninyi si sawa kwangu kama Wakushi?”

AMO 9:7 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 9:7 Removed trailing space in p~: “Je, sikuleta Israeli kutoka Misri,

AMO 9:7 Removed trailing space in p~: Wafilisti kutoka Kaftori,\f + \fr 9:7 \ft Yaani Krete.\f*

AMO 9:7 Removed trailing space in p~: na Washamu kutoka Kiri?

AMO 9:8 Removed trailing space in v~: “Hakika macho ya \nd Bwana\nd* Mwenyezi

AMO 9:8 Removed trailing space in p~: yako juu ya ufalme wenye dhambi.

AMO 9:8 Removed trailing space in p~: Nami nitauangamiza

AMO 9:8 Removed trailing space in p~: kutoka kwenye uso wa dunia:

AMO 9:8 Removed trailing space in p~: hata hivyo sitaiangamiza kabisa

AMO 9:8 Removed trailing space in p~: nyumba ya Yakobo,”

AMO 9:8 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

AMO 9:9 Removed trailing space in v~: “Kwa kuwa nitatoa amri,

AMO 9:9 Removed trailing space in p~: na nitaipepeta nyumba ya Israeli

AMO 9:9 Removed trailing space in p~: miongoni mwa mataifa yote,

AMO 9:9 Removed trailing space in p~: kama vile nafaka ipepetwavyo katika ungo,

AMO 9:9 Removed trailing space in p~: na hakuna hata punje moja itakayoanguka chini.

AMO 9:10 Removed trailing space in v~: Watenda dhambi wote miongoni mwa watu wangu

AMO 9:10 Removed trailing space in p~: watauawa kwa upanga,

AMO 9:10 Removed trailing space in p~: wale wote wasemao,

AMO 9:10 Removed trailing space in p~: ‘Maafa hayatatupata wala kutukuta.’

AMO 9:10 Removed trailing space in s1: Kurejezwa Kwa Israeli

AMO 9:11 Removed trailing space in v~: “Katika siku ile nitaisimamisha

AMO 9:11 Removed trailing space in p~: hema ya Daudi iliyoanguka.

AMO 9:11 Removed trailing space in p~: Nitakarabati mahali palipobomoka

AMO 9:11 Removed trailing space in p~: na kujenga upya magofu yake,

AMO 9:11 Removed trailing space in p~: na kuijenga kama ilivyokuwa awali,

AMO 9:12 Removed trailing space in v~: ili wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu,

AMO 9:12 Removed trailing space in p~: na mataifa yote yale yanayobeba Jina langu,”

AMO 9:12 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd* ambaye atafanya mambo haya.

AMO 9:13 Removed trailing space in v~: “Siku zinakuja,” asema \nd Bwana\nd*,

AMO 9:13 Removed trailing space in p~: “wakati mvunaji atatanguliwa na mkulima,

AMO 9:13 Removed trailing space in p~: naye mpanzi atatanguliwa na yeye akamuaye zabibu.

AMO 9:13 Removed trailing space in p~: Divai mpya itadondoka kutoka milimani,

AMO 9:13 Removed trailing space in p~: na kutiririka kutoka vilima vyote.

AMO 9:14 Removed trailing space in v~: Nitawarejesha tena watu wangu Israeli waliohamishwa;

AMO 9:14 Removed trailing space in p~: wataijenga tena miji iliyoachwa magofu,

AMO 9:14 Removed trailing space in p~: nao wataishi ndani mwake.

AMO 9:14 Removed trailing space in p~: Watapanda mizabibu na kunywa divai yake;

AMO 9:14 Removed trailing space in p~: watalima bustani na kula matunda yake.

AMO 9:15 Removed trailing space in v~: Nitaipanda Israeli katika nchi yao wenyewe,

AMO 9:15 Removed trailing space in p~: hawatangʼolewa tena

AMO 9:15 Removed trailing space in p~: kutoka nchi ambayo nimewapa,”

AMO 9:15 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd* Mungu wenu.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 b: 31    c: 9    h: 1    id: 1    m: 1    mt1: 1    p: 42    q1: 212    q2: 243    q4: 19    rem: 1    s1: 15    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 725    v: 146  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    m: 1    c: 9    s1: 15    q4: 19    b: 31    p: 42    v: 146    q1: 212    q2: 243    Total: 725  

All Text Internal Marker Counts

 nd: 2    nd*: 2    Total: 4  

All Text Internal Marker Counts (sorted by count)

 nd: 2    nd*: 2    Total: 4  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 9    Paragraphs: 42    Verses: 146  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 9    Paragraphs: 42    Verses: 146  

Characters

All Character Counts

All Character Counts (sorted by count)

Letter Counts

 A: 8    a: 62    b: 3    B: 2    c: 1    C: 2    d: 5    D: 1    e: 13    g: 3    H: 3    h: 7    i: 37    I: 7    J: 2    j: 3    k: 6    K: 8    l: 11    m: 12    M: 10    n: 14    N: 4    o: 23    O: 1    P: 1    p: 1    r: 12    s: 13    S: 1    Space: 47    t: 5    T: 3    Total: 384    u: 21    v: 1    W: 5    w: 9    Y: 9    y: 1    z: 7  

Letter Counts (sorted by count)

 D: 1    S: 1    O: 1    c: 1    P: 1    p: 1    y: 1    v: 1    J: 2    B: 2    C: 2    H: 3    j: 3    g: 3    b: 3    T: 3    N: 4    W: 5    d: 5    t: 5    k: 6    I: 7    h: 7    z: 7    A: 8    K: 8    Y: 9    w: 9    M: 10    l: 11    m: 12    r: 12    s: 13    e: 13    n: 14    u: 21    o: 23    i: 37    Space: 47    a: 62    Total: 384  

Punctuation Counts

 :: 4    Total: 4  

Punctuation Counts (sorted by count)

 :: 4    Total: 4  

Speech Marks

Possible Matching Errors

AMO 7:9 Unclosed “ (opened at 7:8:p) speech marks before q1 (or improperly nested or reopened speech marks after q1)

AMO 7:10 Unclosed speech marks matching '“ (opened at 7:8:p)' before p marker

AMO 7:11 Unclosed “ (opened at 7:10:v) speech marks before q1 (or improperly nested or reopened speech marks after q1)

AMO 7:12 Unclosed speech marks matching '“ (opened at 7:10:v)' before v marker or missing reopening quotes at v12

AMO 7:16 Unclosed “ (opened at 7:14:v) speech marks before q1 (or improperly nested or reopened speech marks after q1)

AMO 7:17 Unclosed “ (opened at 7:16:q1,7:17:v) speech marks before q1 (or improperly nested or reopened speech marks after q1)

AMO 7:17 Lots of nested speech marks ['“ (opened at 7:14:v)', '“ (opened at 7:16:q1,7:17:v)', '“ (opened at 7:17:q1)', '‘ (opened at 7:17:q1)']

AMO 8:0 Unclosed speech marks matching ['“ (opened at 7:14:v)', '“ (opened at 7:16:q1,7:17:v)'] before p marker

AMO 8:8 Unclosed “ (opened at 8:7:v) speech marks before q1 (or improperly nested or reopened speech marks after q1)

AMO 8:9 Unclosed “ (opened at 8:7:v) speech marks before q1 (or improperly nested or reopened speech marks after q1)

AMO 8:11 Unclosed “ (opened at 8:7:v) speech marks before q2 (or improperly nested or reopened speech marks after q2)

AMO 8:13 Unclosed “ (opened at 8:11:q2,8:13:v) speech marks before q1 (or improperly nested or reopened speech marks after q1)

AMO 8:14 Lots of nested speech marks ['“ (opened at 8:7:v)', '“ (opened at 8:11:q2,8:13:v)', '“ (opened at 8:13:q1)', '‘ (opened at 8:14:q2)']

AMO 8:14 Lots of nested speech marks ['“ (opened at 8:7:v)', '“ (opened at 8:11:q2,8:13:v)', '“ (opened at 8:13:q1)', '‘ (opened at 8:14:q1)']

AMO 9:0 Unclosed speech marks matching ['“ (opened at 8:7:v)', '“ (opened at 8:11:q2,8:13:v)'] before p marker

AMO 9:11 Unclosed speech marks matching '“ (opened at 9:9:v)' before q1 marker

Words

All Word Counts

All Word Counts (sorted by count)

Case Insensitive Word Counts

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

Headings

Title Lines

AMO -1:6 Main Title 1:Amosi

Section Heading Lines

AMO 1:2Hukumu Juu Ya Majirani Wa Israeli
AMO 2:5Hukumu Juu Ya Israeli
AMO 3:0Mashahidi Waitwa Dhidi Ya Israeli
AMO 4:0Israeli Hajarudi Kwa Mungu
AMO 5:0Maombolezo Na Wito Wa Toba
AMO 5:17Siku Ya \nd Bwana\nd*
AMO 6:0Ole Kwa Wanaoridhika
AMO 6:7\nd Bwana\nd* Anachukia Kiburi Cha Israeli
AMO 7:0Maono Ya Kwanza: Nzige
AMO 7:3Maono Ya Pili: Moto
AMO 7:6Maono Ya Tatu: Timazi
AMO 7:9Amosi Na Amazia
AMO 8:0Maono Ya Nne: Kikapu Cha Matunda Yaliyoiva
AMO 9:0Israeli Kuangamizwa
AMO 9:10Kurejezwa Kwa Israeli

Notes

Footnote Lines

AMO 1:5+ \fr 1:5 \ft Bonde la Aveni maana yake Bonde la Uovu.
AMO 5:5+ \fr 5:5 \ft Yaani \fqa Aveni \ft kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aven…haka.
AMO 9:7+ \fr 9:7 \ft Yaani Krete.

Leader Counts

 Footnote leader '+': 3    Footnotes: 3  

Leader Counts (sorted by count)

 Footnotes: 3    Footnote leader '+': 3