KCV.USFM.Demo home
Freely-Given home
News
Overview
Heroes
Bible originals
Bible translations
Open English Translation (OET)
Bible maps
Bible translation
Apps
Software
Bible Organisational System
Bible Drop Box
Demo outputs
Biblelator editor
Bible Door app
Bible standards
Bible reference
Music and songs
Images
Bible studies
Bible teaching
Sermons
FM radio
The Bible Man Van
About
Opportunities
Links
Contact
Donate
Trailing space at end of line in COL -1:0
Showing 1 out of 121 priority errors
COL -1:0 Removed trailing space in id: COL - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version
COL -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.
COL -1:2 Removed trailing space in h: Wakolosai
COL -1:3 Removed trailing space in toc1: Wakolosai
COL -1:4 Removed trailing space in toc2: Wakolosai
COL -1:5 Removed trailing space in toc3: Kol
COL -1:6 Removed trailing space in mt1: Wakolosai
COL 1:0 Extra space after chapter number
COL 1:0 Removed trailing space in c: 1
COL 1:0 Removed trailing space in s1: Salamu
COL 1:1 Removed trailing space in v~: Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu:
COL 1:2 Removed trailing space in v~: Kwa ndugu watakatifu na waaminifu katika Kristo, waishio Kolosai:
COL 1:2 Removed trailing space in p~: Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu ziwe nanyi.
COL 1:2 Removed trailing space in s1: Shukrani Na Maombi
COL 1:3 Removed trailing space in v~: Siku zote tunamshukuru Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, tunapowaombea ninyi,
COL 1:4 Removed trailing space in v~: kwa sababu tumesikia kuhusu imani yenu katika Kristo Yesu, na upendo wenu mlio nao kwa watakatifu wote:
COL 1:5 Removed trailing space in v~: imani na upendo ule utokao katika tumaini mlilowekewa akiba mbinguni, na ambalo mmesikia habari zake katika neno la kweli, yaani, ile Injili
COL 1:6 Removed trailing space in v~: iliyowafikia ninyi. Duniani kote Injili hii inazaa matunda na kuenea kama ilivyokuwa kwenu tangu siku ile mlipoisikia na kuielewa neema ya Mungu katika kweli yote.
COL 1:7 Removed trailing space in v~: Mlijifunza habari zake kutoka kwa Epafra, mtumishi mwenzetu mpendwa, yeye aliye mhudumu mwaminifu wa Kristo kwa ajili yenu,
COL 1:8 Removed trailing space in v~: ambaye pia ametuambia kuhusu upendo wenu katika Roho.
COL 1:9 Removed trailing space in v~: Kwa sababu hii, tangu siku ile tuliposikia habari zenu, hatujakoma kuomba kwa ajili yenu na kumsihi Mungu awajaze ninyi maarifa ya mapenzi yake katika hekima yote ya kiroho na ufahamu.
COL 1:10 Removed trailing space in v~: Nasi tunaomba haya ili mpate kuishi maisha yanayostahili mbele za Bwana, na mpate kumpendeza kwa kila namna: mkizaa matunda kwa kila kazi njema, mkikua katika kumjua Mungu,
COL 1:11 Removed trailing space in v~: mkiwa mmetiwa nguvu kwa uwezo wote kwa kadiri ya nguvu yake yenye utukufu, ili mpate kuwa na wingi wa saburi na uvumilivu. Nanyi kwa furaha
COL 1:12 Removed trailing space in v~: mkimshukuru Baba, ambaye amewastahilisha kushiriki katika urithi wa watakatifu katika ufalme wa nuru.
COL 1:13 Removed trailing space in v~: Kwa maana ametuokoa kutoka ufalme wa giza na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake mpendwa,
COL 1:14 Removed trailing space in v~: ambaye katika yeye tunao ukombozi, yaani msamaha wa dhambi.
COL 1:14 Removed trailing space in s1: Ukuu Wa Kristo
COL 1:15 Removed trailing space in v~: Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
COL 1:16 Removed trailing space in v~: Kwake yeye vitu vyote vilivyoko mbinguni na juu ya nchi viliumbwa: vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, viwe ni viti vya enzi au falme, au wenye mamlaka au watawala; vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake.
COL 1:17 Removed trailing space in v~: Yeye alikuwepo kabla ya vitu vyote, na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja.
COL 1:18 Removed trailing space in v~: Yeye ndiye kichwa cha mwili, yaani kanisa, naye ndiye mwanzo na mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu, ili yeye awe mkuu katika vitu vyote.
COL 1:19 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa ilimpendeza Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake,
COL 1:20 Removed trailing space in v~: na kwa njia yake aweze kuvipatanisha vitu vyote na yeye mwenyewe, viwe ni vitu vilivyo duniani au vilivyo mbinguni, kwa kufanya amani kwa damu yake, iliyomwagika msalabani.
COL 1:21 Removed trailing space in v~: Hapo kwanza mlikuwa mmetengana na Mungu, na mlikuwa adui zake katika nia zenu kwa sababu ya mienendo yenu mibaya.
COL 1:22 Removed trailing space in v~: Lakini sasa Mungu amewapatanisha ninyi kwa njia ya mwili wa Kristo kupitia mauti, ili awalete mbele zake mkiwa watakatifu, bila dosari wala lawama,
COL 1:23 Removed trailing space in v~: ikiwa mnaendelea katika imani yenu mkiwa imara na thabiti, pasipo kuliacha tumaini lililoahidiwa katika Injili. Hii ndiyo ile Injili mliyoisikia, ambayo imehubiriwa kwa kila kiumbe chini ya mbingu, na ambayo mimi Paulo nimekuwa mtumwa wake.
COL 1:23 Removed trailing space in s1: Taabu Ya Paulo Kwa Ajili Ya Kanisa
COL 1:24 Removed trailing space in v~: Sasa nafurahia kule kuteseka kwangu kwa ajili yenu, na katika mwili wangu ninatimiliza yale yaliyopungua katika mateso ya Kristo kwa ajili ya mwili wake, ambao ni kanisa.
COL 1:25 Removed trailing space in v~: Mimi nimekuwa mtumishi wa kanisa kwa wajibu alionipa Mungu ili kuwaletea ninyi Neno la Mungu kwa ukamilifu:
COL 1:26 Removed trailing space in v~: Hii ni siri iliyokuwa imefichika tangu zamani na kwa vizazi vingi, lakini sasa imefunuliwa kwa watakatifu.
COL 1:27 Removed trailing space in v~: Kwao, Mungu amechagua kujulisha miongoni mwa watu wa Mataifa utukufu wa utajiri wa siri hii, ambayo ni Kristo ndani yenu, tumaini la utukufu.
COL 1:28 Removed trailing space in v~: Yeye ndiye tunayemtangaza, tukimwonya kila mtu na kumfundisha kila mtu kwa hekima yote ili tuweze kumleta kila mmoja akiwa amekamilika katika Kristo.
COL 1:29 Removed trailing space in v~: Kwa ajili ya jambo hili, ninajitaabisha, nikijitahidi kwa kadiri ya nguvu zake ambazo hutenda kazi ndani yangu kwa uweza mwingi.
COL 2:0 Extra space after chapter number
COL 2:0 Removed trailing space in c: 2
COL 2:1 Removed trailing space in v~: Nataka mjue jinsi ninavyojitaabisha kwa ajili yenu na kwa ajili ya wale walioko Laodikia, na pia kwa ajili ya wote ambao hawajapata kuniona mimi binafsi.
COL 2:2 Removed trailing space in v~: Kusudi langu ni watiwe moyo na kuunganishwa katika upendo, ili wapate ule utajiri wa ufahamu mkamilifu, ili waijue siri ya Mungu, yaani, Kristo mwenyewe,
COL 2:3 Removed trailing space in v~: ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.
COL 2:4 Removed trailing space in v~: Nawaambia mambo haya ili mtu yeyote asiwadanganye kwa maneno ya kuwashawishi.
COL 2:5 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa ingawa mimi siko pamoja nanyi kimwili, lakini niko pamoja nanyi kiroho, nami nafurahi kuuona utaratibu wenu na jinsi uthabiti wa imani yenu katika Kristo ulivyo.
COL 2:5 Removed trailing space in s1: Ukamilifu Wa Maisha Katika Kristo
COL 2:6 Removed trailing space in v~: Hivyo basi, kama vile mlivyompokea Kristo Yesu kuwa Bwana, endeleeni kukaa ndani yake,
COL 2:7 Removed trailing space in v~: mkiwa na mizizi, na mmejengwa ndani yake, mkiimarishwa katika imani kama mlivyofundishwa, na kufurika kwa wingi wa shukrani.
COL 2:8 Removed trailing space in v~: Angalieni mtu yeyote asiwafanye ninyi mateka kwa elimu batili na madanganyo matupu yanayotegemea mapokeo ya wanadamu na mafundisho ya ulimwengu badala ya Kristo.
COL 2:9 Removed trailing space in v~: Maana ukamilifu wote wa Uungu umo ndani ya Kristo katika umbile la mwili wa kibinadamu,
COL 2:10 Removed trailing space in v~: nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Kristo, ambaye ndiye mkuu juu ya kila enzi na kila mamlaka.
COL 2:11 Removed trailing space in v~: Katika Kristo pia mlitahiriwa kwa kutengwa mbali na asili ya dhambi, si kwa tohara inayofanywa kwa mikono ya wanadamu, bali kwa ile tohara iliyofanywa na Kristo,
COL 2:12 Removed trailing space in v~: mkiwa mmezikwa pamoja naye katika ubatizo, na kufufuliwa pamoja naye kwa njia ya imani yenu katika uweza wa Mungu, aliyemfufua kutoka kwa wafu.
COL 2:13 Removed trailing space in v~: Mlipokuwa wafu katika dhambi zenu na kutokutahiriwa katika asili yenu ya dhambi, Mungu aliwafanya mwe hai pamoja na Kristo. Alitusamehe dhambi zetu zote,
COL 2:14 Removed trailing space in v~: akiisha kuifuta ile hati yenye mashtaka yaliyokuwa yanatukabili, pamoja na maagizo yake. Aliiondoa isiwepo tena, akiigongomea kwenye msalaba wake.
COL 2:15 Removed trailing space in v~: Mungu akiisha kuzivua enzi na mamlaka, alizifanya kuwa kitu cha fedheha hadharani kwa kuziburura kwa ujasiri, akizishinda katika msalaba wa Kristo.
COL 2:16 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo mtu asiwahukumu ninyi kuhusu vyakula au vinywaji, au kuhusu kuadhimisha sikukuu za dini, au Sikukuu za Mwezi Mwandamo au siku ya Sabato.
COL 2:17 Removed trailing space in v~: Hizi zilikuwa kivuli cha mambo ambayo yangekuja, lakini ile iliyo halisi imo ndani ya Kristo.
COL 2:18 Removed trailing space in v~: Mtu yeyote asiwaondolee thawabu yenu kwa kusisitiza kunyenyekea kwake na kuabudu malaika. Mtu kama huyo hudumu katika maono yake, akijivuna bila sababu katika mawazo ya kibinadamu.
COL 2:19 Removed trailing space in v~: Yeye amepoteza ushirikiano na Kichwa, ambaye kutoka kwake mwili wote unalishwa na kushikamanishwa pamoja kwa viungo na mishipa, nao hukua kwa ukuaji utokao kwa Mungu.
COL 2:19 Removed trailing space in s1: Maonyo Dhidi Ya Walimu Wa Uongo
COL 2:20 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa mlikufa pamoja na Kristo, mkayaacha yale mafundisho ya msingi ya ulimwengu huu, kwa nini bado mnaishi kama ninyi ni wa ulimwengu? Kwa nini mnajitia chini ya amri:
COL 2:21 Removed trailing space in v~: “Msishike! Msionje! Msiguse!”?
COL 2:22 Removed trailing space in v~: Haya yote mwisho wake ni kuharibika yanapotumiwa, kwa sababu msingi wake ni katika maagizo na mafundisho ya wanadamu.
COL 2:23 Removed trailing space in v~: Kwa kweli amri kama hizo huonekana kama zina hekima, katika namna za ibada walizojitungia wenyewe, na unyenyekevu wa uongo na kuutawala mwili kwa ukali, lakini hayafai kitu katika kuzuia tamaa za mwili.
COL 3:0 Extra space after chapter number
COL 3:0 Removed trailing space in c: 3
COL 3:0 Removed trailing space in s1: Kanuni Za Kuishi Maisha Matakatifu
COL 3:1 Removed trailing space in v~: Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu.
COL 3:2 Removed trailing space in v~: Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani.
COL 3:3 Removed trailing space in v~: Kwa maana ninyi mlikufa, nao uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.
COL 3:4 Removed trailing space in v~: Wakati Kristo, aliye uzima wenu, atakapotokea, ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
COL 3:5 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, ueni kabisa chochote kilicho ndani yenu cha asili ya kidunia: yaani uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya na ulafi, ambayo ndiyo ibada ya sanamu.
COL 3:6 Removed trailing space in v~: Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja.
COL 3:7 Removed trailing space in v~: Ninyi pia zamani mlienenda katika mambo haya mlipoishi maisha hayo.
COL 3:8 Removed trailing space in v~: Lakini sasa yawekeni mbali nanyi mambo kama haya yote: yaani hasira, ghadhabu, uovu, masingizio na lugha chafu kutoka midomoni mwenu.
COL 3:9 Removed trailing space in v~: Msiambiane uongo, kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake,
COL 3:10 Removed trailing space in v~: nanyi mmevaa utu mpya, unaofanywa upya katika ufahamu sawasawa na mfano wa Muumba wake.
COL 3:11 Removed trailing space in v~: Hapa hakuna Myunani wala Myahudi, aliyetahiriwa wala asiyetahiriwa, asiyestaarabika wala aliyestaarabika, mtumwa wala mtu huru, bali Kristo ni yote, na ndani ya wote.
COL 3:12 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, kwa kuwa ninyi mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao sana, jivikeni moyo wa huruma, utu wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu.
COL 3:13 Removed trailing space in v~: Vumilianeni na kusameheana mtu akiwa na lalamiko lolote dhidi ya mwenzake. Sameheaneni kama vile Bwana alivyowasamehe ninyi.
COL 3:14 Removed trailing space in v~: Zaidi ya maadili haya yote jivikeni upendo, ambao ndio unaofunga kila kitu pamoja katika umoja mkamilifu.
COL 3:15 Removed trailing space in v~: Amani ya Kristo na itawale mioyoni mwenu, kwa kuwa ninyi kama viungo vya mwili mmoja mmeitiwa amani. Tena kuweni watu wa shukrani.
COL 3:16 Removed trailing space in v~: Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.
COL 3:17 Removed trailing space in v~: Lolote mfanyalo, ikiwa ni kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba katika yeye.
COL 3:17 Removed trailing space in s1: Kanuni Katika Madaraka Ya Nyumbani
COL 3:18 Removed trailing space in v~: Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana.
COL 3:19 Removed trailing space in v~: Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao.
COL 3:20 Removed trailing space in v~: Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana.
COL 3:21 Removed trailing space in v~: Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa.
COL 3:22 Removed trailing space in v~: Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu wa hapa duniani katika mambo yote. Fanyeni hivyo si wakiwepo tu, wala si kwa kutafuta upendeleo wao, bali kwa moyo mnyofu na kumcha Bwana.
COL 3:23 Removed trailing space in v~: Lolote mfanyalo, fanyeni kwa moyo kama watu wanaomtumikia Bwana, na si wanadamu,
COL 3:24 Removed trailing space in v~: kwa kuwa mnajua kwamba mtapokea urithi wenu kutoka kwa Bwana ukiwa thawabu yenu. Ni Bwana Yesu Kristo mnayemtumikia.
COL 3:25 Removed trailing space in v~: Yeyote atendaye mabaya atalipwa kwa ajili ya mabaya yake, wala hakuna upendeleo.
COL 4:0 Extra space after chapter number
COL 4:0 Removed trailing space in c: 4
COL 4:1 Removed trailing space in v~: Ninyi mabwana, watendeeni watumwa wenu yaliyo haki na yanayostahili, mkitambua ya kwamba ninyi pia mnaye Bwana mbinguni.
COL 4:1 Removed trailing space in s1: Maagizo Zaidi
COL 4:2 Removed trailing space in v~: Dumuni sana katika maombi, mkikesha katika hayo pamoja na kushukuru.
COL 4:3 Removed trailing space in v~: Pia tuombeeni na sisi ili Mungu atufungulie mlango wa kunena, ili tupate kuitangaza siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake pia mimi nimefungwa.
COL 4:4 Removed trailing space in v~: Ombeni ili nipate kuitangaza Injili kwa udhahiri kama ipasavyo kunena.
COL 4:5 Removed trailing space in v~: Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
COL 4:6 Removed trailing space in v~: Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo na inavyofaa kumjibu kila mtu.
COL 4:6 Removed trailing space in s1: Salamu Za Mwisho
COL 4:7 Removed trailing space in v~: Tikiko atawaambia habari zangu zote. Yeye ni ndugu mpendwa, mtendakazi mwaminifu na mtumishi mwenzangu katika Bwana.
COL 4:8 Removed trailing space in v~: Nimemtuma kwenu kwa madhumuni haya ili mpate kufahamu hali yetu, na pia awatie moyo.
COL 4:9 Removed trailing space in v~: Anakuja pamoja na Onesimo, ndugu yetu mpendwa na mwaminifu, ambaye ni mmoja wenu. Watawaambia mambo yote yanayotendeka hapa kwetu.
COL 4:10 Removed trailing space in v~: Aristarko aliye mfungwa pamoja nami anawasalimu, vivyo hivyo Marko, binamu yake Barnaba. (Mmeshapata maagizo yanayomhusu; akija kwenu, mpokeeni.)
COL 4:11 Removed trailing space in v~: Yesu, yeye aitwaye Yusto, pia anawasalimu. Hawa peke yao ndio Wayahudi miongoni mwa watendakazi wenzangu kwa ajili ya Ufalme wa Mungu, nao wamekuwa faraja kwangu.
COL 4:12 Removed trailing space in v~: Epafra, ambaye ni mmoja wenu na mtumishi wa Kristo Yesu, anawasalimu. Yeye siku zote anawaombea kwa bidii kwamba msimame imara katika mapenzi yote ya Mungu, mkiwa wakamilifu na thabiti.
COL 4:13 Removed trailing space in v~: Ninashuhudia kumhusu kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, na kwa ajili ya ndugu wa Laodikia na wale wa Hierapoli.
COL 4:14 Removed trailing space in v~: Rafiki yetu mpenzi Luka yule tabibu, pamoja na Dema, wanawasalimu.
COL 4:15 Removed trailing space in v~: Wasalimuni ndugu wote wa Laodikia, na pia Nimfa, pamoja na kanisa linalokutana katika nyumba yake.
COL 4:16 Removed trailing space in v~: Baada ya barua hii kusomwa kwenu, hakikisheni kwamba inasomwa pia katika kanisa la Walaodikia. Nanyi pia msome barua inayotoka Laodikia.
COL 4:17 Removed trailing space in v~: Mwambieni Arkipo hivi: “Hakikisha kuwa unakamilisha ile huduma uliyopokea katika Bwana.”
COL 4:18 Removed trailing space in v~: Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni minyororo yangu. Neema iwe nanyi. Amen.
c: 4 h: 1 id: 1 mt1: 1 p: 32 rem: 1 s1: 10 toc1: 1 toc2: 1 toc3: 1 Total: 148 v: 95
id: 1 rem: 1 h: 1 toc1: 1 toc2: 1 toc3: 1 mt1: 1 c: 4 s1: 10 p: 32 v: 95 Total: 148
Book Header: 1 Book ID: 1 Chapters: 4 Paragraphs: 32 Verses: 95
Book ID: 1 Book Header: 1 Chapters: 4 Paragraphs: 32 Verses: 95
0: 7 1: 51 2: 32 3: 12 4: 11 5: 10 6: 9 7: 9 8: 9 9: 8 a: 54 A: 1 b: 3 D: 1 d: 3 f: 2 g: 2 h: 6 i: 30 j: 1 k: 11 K: 10 l: 11 m: 6 M: 8 n: 9 N: 2 o: 19 P: 1 r: 4 s: 11 S: 3 Space: 30 t: 6 T: 1 Total: 430 u: 14 U: 3 W: 8 w: 2 Y: 4 y: 2 Z: 3 z: 1
T: 1 P: 1 A: 1 j: 1 D: 1 z: 1 N: 2 w: 2 f: 2 y: 2 g: 2 S: 3 b: 3 U: 3 d: 3 Z: 3 r: 4 Y: 4 m: 6 h: 6 t: 6 0: 7 W: 8 M: 8 9: 8 n: 9 6: 9 7: 9 8: 9 K: 10 5: 10 k: 11 l: 11 s: 11 4: 11 3: 12 u: 14 o: 19 i: 30 Space: 30 2: 32 1: 51 a: 54 Total: 430
a: 54 A: 1 b: 3 D: 1 d: 3 f: 2 g: 2 h: 6 i: 30 j: 1 k: 11 K: 10 l: 11 m: 6 M: 8 n: 9 N: 2 o: 19 P: 1 r: 4 s: 11 S: 3 Space: 30 t: 6 T: 1 Total: 272 u: 14 U: 3 W: 8 w: 2 Y: 4 y: 2 Z: 3 z: 1
T: 1 P: 1 A: 1 j: 1 D: 1 z: 1 N: 2 w: 2 f: 2 y: 2 g: 2 S: 3 b: 3 U: 3 d: 3 Z: 3 r: 4 Y: 4 m: 6 h: 6 t: 6 W: 8 M: 8 n: 9 K: 10 k: 11 l: 11 s: 11 u: 14 o: 19 i: 30 Space: 30 a: 54 Total: 272
--Total--: 45 Ajili: 1 Dhidi: 1 Kanisa: 1 Kanuni: 2 Katika: 2 Kol: 1 Kristo: 2 Kuishi: 1 Kwa: 1 Maagizo: 1 Madaraka: 1 Maisha: 2 Maombi: 1 Maonyo: 1 Matakatifu: 1 Mwisho: 1 Na: 1 Nyumbani: 1 Paulo: 1 Salamu: 2 Shukrani: 1 Taabu: 1 Ukamilifu: 1 Ukuu: 1 Uongo: 1 Wa: 3 Wakolosai: 4 Walimu: 1 Ya: 4 Za: 2 Zaidi: 1
Kol: 1 Shukrani: 1 Na: 1 Maombi: 1 Ukuu: 1 Taabu: 1 Paulo: 1 Kwa: 1 Ajili: 1 Kanisa: 1 Ukamilifu: 1 Maonyo: 1 Dhidi: 1 Walimu: 1 Uongo: 1 Kuishi: 1 Matakatifu: 1 Madaraka: 1 Nyumbani: 1 Maagizo: 1 Zaidi: 1 Mwisho: 1 Salamu: 2 Kristo: 2 Maisha: 2 Katika: 2 Kanuni: 2 Za: 2 Wa: 3 Wakolosai: 4 Ya: 4 --Total--: 45
--Total--: 45 ajili: 1 dhidi: 1 kanisa: 1 kanuni: 2 katika: 2 kol: 1 kristo: 2 kuishi: 1 kwa: 1 maagizo: 1 madaraka: 1 maisha: 2 maombi: 1 maonyo: 1 matakatifu: 1 mwisho: 1 na: 1 nyumbani: 1 paulo: 1 salamu: 2 shukrani: 1 taabu: 1 ukamilifu: 1 ukuu: 1 uongo: 1 wa: 3 wakolosai: 4 walimu: 1 ya: 4 za: 2 zaidi: 1
kol: 1 shukrani: 1 na: 1 maombi: 1 ukuu: 1 taabu: 1 paulo: 1 kwa: 1 ajili: 1 kanisa: 1 ukamilifu: 1 maonyo: 1 dhidi: 1 walimu: 1 uongo: 1 kuishi: 1 matakatifu: 1 madaraka: 1 nyumbani: 1 maagizo: 1 zaidi: 1 mwisho: 1 salamu: 2 kristo: 2 maisha: 2 katika: 2 kanuni: 2 za: 2 wa: 3 wakolosai: 4 ya: 4 --Total--: 45
COL -1:6 Main Title 1: | Wakolosai |
COL 1:0 | Salamu |
COL 1:2 | Shukrani Na Maombi |
COL 1:14 | Ukuu Wa Kristo |
COL 1:23 | Taabu Ya Paulo Kwa Ajili Ya Kanisa |
COL 2:5 | Ukamilifu Wa Maisha Katika Kristo |
COL 2:19 | Maonyo Dhidi Ya Walimu Wa Uongo |
COL 3:0 | Kanuni Za Kuishi Maisha Matakatifu |
COL 3:17 | Kanuni Katika Madaraka Ya Nyumbani |
COL 4:1 | Maagizo Zaidi |
COL 4:6 | Salamu Za Mwisho |