Freely-Given.org Bible EPH Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in EPH -1:0

Showing 1 out of 199 priority errors

Fix Text Errors

EPH -1:0 Removed trailing space in id: EPH - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

EPH -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

EPH -1:2 Removed trailing space in h: Waefeso

EPH -1:3 Removed trailing space in toc1: Waefeso

EPH -1:4 Removed trailing space in toc2: Waefeso

EPH -1:5 Removed trailing space in toc3: Efe

EPH -1:6 Removed trailing space in mt1: Waefeso

EPH 1:0 Extra space after chapter number

EPH 1:0 Removed trailing space in c: 1

EPH 1:0 Removed trailing space in s1: Salamu

EPH 1:1 Removed trailing space in v~: Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa mapenzi ya Mungu:

EPH 1:1 Removed trailing space in p~: Kwa watakatifu walioko Efeso, walio waaminifu katika Kristo Yesu:

EPH 1:2 Removed trailing space in v~: Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.

EPH 1:2 Removed trailing space in s1: Baraka Za Kiroho Katika Kristo Yesu

EPH 1:3 Removed trailing space in v~: Ahimidiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki sisi kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho ndani ya Kristo.

EPH 1:4 Removed trailing space in v~: Kwa maana alituchagua katika yeye kabla ya kuumbwa ulimwengu ili tuwe watakatifu na bila lawama mbele zake. Kwa upendo

EPH 1:5 Removed trailing space in v~: alitangulia kutuchagua tuwe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo kwa furaha yake na mapenzi yake mwenyewe.

EPH 1:6 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo tunamsifu Mungu kwa huruma zake kuu alizotumiminia sisi katika Mwanawe Mpendwa.

EPH 1:7 Removed trailing space in v~: Ndani yake tunao ukombozi kwa njia ya damu yake, yaani, msamaha wa dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake

EPH 1:8 Removed trailing space in v~: aliyotumiminia kwa wingi, kwa hekima yote na maarifa yote.

EPH 1:9 Removed trailing space in v~: Naye alitujulisha siri ya mapenzi yake sawasawa na uradhi wa mapenzi yake, ambayo alikusudia katika Kristo,

EPH 1:10 Removed trailing space in v~: ili yapate kutimizwa wakati mkamilifu utakapowadia, yaani, kuvitia vitu vyote vya mbinguni na vya duniani pamoja, chini ya kiongozi mmoja, ndiye Kristo.

EPH 1:11 Removed trailing space in v~: Katika Kristo sisi nasi tumepata urithi, tukisha kuchaguliwa sawasawa na kusudi la Mungu, yeye ambaye hufanya mambo yote kulingana na kusudi la mapenzi yake,

EPH 1:12 Removed trailing space in v~: ili kwamba, sisi tuliokuwa wa kwanza kuweka tumaini katika Kristo, tupate kuishi kwa sifa ya utukufu wake.

EPH 1:13 Removed trailing space in v~: Ninyi pia mliingia ndani ya Kristo mliposikia Neno la kweli, Injili ya wokovu wenu. Mkiisha kuamini, ndani yake mlitiwa muhuri, yaani, Roho Mtakatifu mliyeahidiwa,

EPH 1:14 Removed trailing space in v~: yeye ambaye ni amana yetu akituhakikishia urithi wetu hadi ukombozi wa wale walio milki ya Mungu kwa sifa ya utukufu wake.

EPH 1:14 Removed trailing space in s1: Shukrani Na Maombi

EPH 1:15 Removed trailing space in v~: Kwa sababu hii, tangu niliposikia juu ya imani yenu katika Bwana Yesu na upendo wenu kwa watakatifu wote,

EPH 1:16 Removed trailing space in v~: sijaacha kumshukuru Mungu kwa ajili yenu, nikiwakumbuka katika maombi yangu.

EPH 1:17 Removed trailing space in v~: Nazidi kumwomba Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awajalieni ninyi roho ya hekima na ya ufunuo, ili mpate kumjua zaidi.

EPH 1:18 Removed trailing space in v~: Ninaomba pia kwamba macho ya mioyo yenu yatiwe nuru ili mpate kujua tumaini mliloitiwa, utajiri wa urithi wa utukufu wake kwa watakatifu

EPH 1:19 Removed trailing space in v~: na uweza wake mkuu usiolinganishwa kwa ajili yetu sisi tuaminio. Uweza huo unaofanya kazi ndani yetu, ni sawa na ile nguvu kuu mno

EPH 1:20 Removed trailing space in v~: aliyoitumia katika Kristo alipomfufua kutoka kwa wafu, na akamketisha mkono wake wa kuume huko mbinguni,

EPH 1:21 Removed trailing space in v~: juu sana kuliko falme zote na mamlaka, enzi na milki, na juu ya kila jina litajwalo, si katika ulimwengu huu tu, bali katika ule ujao pia.

EPH 1:22 Removed trailing space in v~: Naye Mungu ameweka vitu vyote viwe chini ya miguu yake na amemfanya yeye awe kichwa cha vitu vyote kwa ajili ya Kanisa,

EPH 1:23 Removed trailing space in v~: ambalo ndilo mwili wake, ukamilifu wake yeye aliye yote katika yote.

EPH 2:0 Extra space after chapter number

EPH 2:0 Removed trailing space in c: 2

EPH 2:0 Removed trailing space in s1: Tumefanywa Kuwa Hai Ndani Ya Kristo

EPH 2:1 Removed trailing space in v~: Kwa habari zenu, mlikuwa wafu katika makosa na dhambi zenu,

EPH 2:2 Removed trailing space in v~: ambazo mlizitenda mlipofuatisha namna ya ulimwengu huu na za yule mtawala wa ufalme wa anga, yule roho atendaye kazi sasa ndani ya wale wasiotii.

EPH 2:3 Removed trailing space in v~: Sisi sote pia tuliishi katikati yao hapo zamani, tukitimiza tamaa za asili yetu ya dhambi na kufuata tamaa zake na mawazo yake. Nasi kwa asili tulikuwa wana wa ghadhabu, kama mtu mwingine yeyote.

EPH 2:4 Removed trailing space in v~: Lakini Mungu kwa upendo wake mwingi kwetu sisi, ambaye ni mwingi wa rehema,

EPH 2:5 Removed trailing space in v~: hata tulipokuwa wafu kwa ajili ya makosa yetu, alitufanya tuwe hai pamoja na Kristo Yesu, yaani, mmeokolewa kwa neema.

EPH 2:6 Removed trailing space in v~: Mungu alitufufua pamoja na Kristo na kutuketisha pamoja naye katika ulimwengu wa roho katika Kristo Yesu,

EPH 2:7 Removed trailing space in v~: ili katika ule ulimwengu ujao apate kuonyesha wingi wa neema yake isiyopimika, iliyodhihirishwa kwetu kwa wema wake ndani ya Kristo Yesu.

EPH 2:8 Removed trailing space in v~: Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani, wala si kwa matendo yenu mema. Hii ni zawadi kutoka kwa Mungu,

EPH 2:9 Removed trailing space in v~: si kwa matendo, ili mtu yeyote asije akajisifu.

EPH 2:10 Removed trailing space in v~: Kwa maana sisi ni kazi ya mikono ya Mungu, tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tupate kutenda matendo mema, ambayo Mungu alitangulia kuyaandaa tupate kuishi katika hayo.

EPH 2:10 Removed trailing space in s1: Wamoja Katika Kristo

EPH 2:11 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo kumbukeni kwamba ninyi ambao hapo awali mlikuwa watu wa Mataifa kwa kuzaliwa na kuitwa “wasiotahiriwa” na wale wanaojiita “waliotahiriwa” (yaani tohara ifanyikayo katika mwili kwa mikono ya wanadamu),

EPH 2:12 Removed trailing space in v~: kumbukeni kwamba wakati ule mlikuwa mbali na Kristo, mkiwa mmetengwa kutoka jumuiya ya Israeli, na mkiwa wageni katika yale maagano ya ahadi, nanyi mkiwa hamna tumaini wala Mungu duniani.

EPH 2:13 Removed trailing space in v~: Lakini sasa katika Kristo Yesu, ninyi ambao hapo kwanza mlikuwa mbali na Mungu, sasa mmeletwa karibu kwa njia ya damu ya Kristo.

EPH 2:14 Removed trailing space in v~: Kwa maana yeye mwenyewe ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi tuliokuwa wawili, yaani, Wayahudi na watu wa Mataifa, tuwe wamoja kwa kuvunja kizuizi na kubomoa ule ukuta wa uadui uliokuwa kati yetu,

EPH 2:15 Removed trailing space in v~: kwa kuibatilisha ile sheria pamoja na amri zake na maagizo yake alipoutoa mwili wake, ili apate kufanya ndani yake mtu mmoja mpya badala ya hao wawili, hivyo akifanya amani,

EPH 2:16 Removed trailing space in v~: naye katika mwili huu mmoja awapatanishe wote wawili na Mungu kupitia msalaba, ili kwa huo msalaba akaangamiza uadui wao.

EPH 2:17 Removed trailing space in v~: Alikuja na kuhubiri amani kwenu ninyi mliokuwa mbali na pia akahubiri amani kwao waliokuwa karibu.

EPH 2:18 Removed trailing space in v~: Kwa maana kwa kupitia kwake, sisi sote tunaweza kumkaribia Baba katika Roho mmoja.

EPH 2:19 Removed trailing space in v~: Hivyo basi, ninyi sasa si wageni tena wala wapitaji, bali mmekuwa wenyeji pamoja na watakatifu na pia jamaa wa nyumbani mwake Mungu.

EPH 2:20 Removed trailing space in v~: Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ndiye jiwe kuu la pembeni.

EPH 2:21 Removed trailing space in v~: Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kusimamishwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Bwana.

EPH 2:22 Removed trailing space in v~: Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mungu anaishi ndani yake kwa njia ya Roho wake.

EPH 3:0 Extra space after chapter number

EPH 3:0 Removed trailing space in c: 3

EPH 3:0 Removed trailing space in s1: Huduma Ya Paulo Kwa Watu Wa Mataifa

EPH 3:1 Removed trailing space in v~: Kwa sababu hii, mimi Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi watu wa Mataifa:

EPH 3:2 Removed trailing space in v~: Kwa hakika mmekwisha kusikia kuhusu ile huduma ya neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu,

EPH 3:3 Removed trailing space in v~: yaani, ile siri iliodhihirishwa kwangu kwa njia ya ufunuo, kama nilivyotangulia kuandika kwa kifupi.

EPH 3:4 Removed trailing space in v~: Kwa kusoma haya, basi mtaweza kuelewa ufahamu wangu katika siri ya Kristo.

EPH 3:5 Removed trailing space in v~: Siri hii haikudhihirishwa kwa wanadamu katika vizazi vingine kama vile sasa ilivyodhihirishwa na Roho kwa mitume na manabii watakatifu wa Mungu.

EPH 3:6 Removed trailing space in v~: Siri hii ni kwamba, kwa njia ya Injili, watu wa Mataifa ni warithi pamoja na Israeli, viungo vya mwili mmoja na washiriki pamoja wa ahadi katika Kristo Yesu.

EPH 3:7 Removed trailing space in v~: Nimekuwa mtumishi wa Injili hii kwa kipawa cha neema ya Mungu niliyopewa kwa nguvu yake itendayo kazi.

EPH 3:8 Removed trailing space in v~: Ingawa mimi ni mdogo kuliko aliye mdogo kabisa miongoni mwa watakatifu wote, nilipewa neema hii: ili niwahubirie watu wa Mataifa kuhusu utajiri usiopimika ulio ndani ya Kristo,

EPH 3:9 Removed trailing space in v~: na kuweka wazi kwa kila mtu siri hii iliyokuwa imefichwa tangu zamani katika Mungu, aliyeumba vitu vyote.

EPH 3:10 Removed trailing space in v~: Ili sasa kwa njia ya Kanisa, hekima yote ya Mungu ipate kujulikana kwa watawala na wenye mamlaka katika ulimwengu wa roho,

EPH 3:11 Removed trailing space in v~: sawasawa na kusudi lake la milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.

EPH 3:12 Removed trailing space in v~: Ndani yake na kwa njia ya imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri.

EPH 3:13 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu.

EPH 3:13 Removed trailing space in s1: Maombi Ya Paulo Kwa Waefeso

EPH 3:14 Removed trailing space in v~: Kwa sababu hii nampigia Baba magoti,

EPH 3:15 Removed trailing space in v~: ambaye ubaba wote wa kila jamaa za mbinguni na za duniani unatokana naye.

EPH 3:16 Removed trailing space in v~: Namwomba Mungu awaimarishe kwa kuwatia nguvu mioyo yenu kwa njia ya Roho wake kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake,

EPH 3:17 Removed trailing space in v~: ili kwamba, Kristo apate kukaa mioyoni mwenu kwa njia ya imani. Nami ninaomba kwamba ninyi mkiwa wenye mizizi tena imara katika msingi wa upendo,

EPH 3:18 Removed trailing space in v~: mwe na uwezo wa kufahamu pamoja na watakatifu wote jinsi ulivyo upana, urefu, kimo na kina upendo wa Kristo,

EPH 3:19 Removed trailing space in v~: na kujua upendo huu unaopita fahamu, ili mpate kujazwa na kufikia kipimo cha ukamilifu wote wa Mungu.

EPH 3:20 Removed trailing space in v~: Basi kwa yeye awezaye kutenda mambo ya ajabu yasiyopimika kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya uweza wake ule utendao kazi ndani yetu,

EPH 3:21 Removed trailing space in v~: yeye atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu kwa vizazi vyote, milele na milele. Amen.

EPH 4:0 Extra space after chapter number

EPH 4:0 Removed trailing space in c: 4

EPH 4:0 Removed trailing space in s1: Umoja Katika Mwili Wa Kristo

EPH 4:1 Removed trailing space in v~: Basi, mimi niliye mfungwa wa Bwana, nawasihi mwenende kama inavyostahili wito wenu mlioitiwa.

EPH 4:2 Removed trailing space in v~: Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo.

EPH 4:3 Removed trailing space in v~: Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani.

EPH 4:4 Removed trailing space in v~: Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile mlivyoitwa katika tumaini moja.

EPH 4:5 Removed trailing space in v~: Tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja,

EPH 4:6 Removed trailing space in v~: Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote na ndani ya yote.

EPH 4:7 Removed trailing space in v~: Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo.

EPH 4:8 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo husema:

EPH 4:8 Removed trailing space in p~: “Alipopaa juu zaidi, \f + \fr 4:8 \ft Juu zaidi hapa ina maana mbingu za mbingu.\f*

EPH 4:8 Found footnote preceded by a space in \p~: “Alipopaa juu zaidi, \f + \fr 4:8 \ft Juu zaidi hapa ina maana mbingu za mbingu.\f*

EPH 4:8 Removed trailing space before note in \p~: '“Alipopaa juu zaidi, \\f + \\fr 4:8 \\ft Juu zaidi hapa ina maana mbingu za mbingu.\\f* '

EPH 4:8 Removed trailing space in p~: aliteka mateka,

EPH 4:8 Removed trailing space in p~: akawapa wanadamu vipawa.”

EPH 4:9 Removed trailing space in v~: (Asemapo “alipaa juu,” maana yake nini isipokuwa ni kusema pia kwamba Kristo alishuka pande za chini sana za dunia?\f + \fr 4:9 \ft Pande za chini sana za dunia hapa maana yake Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu.\f*

EPH 4:10 Removed trailing space in v~: Yeye aliyeshuka ndiye alipaa juu zaidi kupita mbingu zote, ili apate kuujaza ulimwengu wote.)

EPH 4:11 Removed trailing space in v~: Ndiye aliweka wengine kuwa mitume, wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti, wengine kuwa wachungaji na walimu,

EPH 4:12 Removed trailing space in v~: kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu kwa ajili ya kazi za huduma, ili kwamba mwili wa Kristo upate kujengwa

EPH 4:13 Removed trailing space in v~: mpaka sote tutakapoufikia umoja katika imani na katika kumjua sana Mwana wa Mungu na kuwa watu wazima kwa kufikia kimo cha ukamilifu wa Kristo.

EPH 4:14 Removed trailing space in v~: Ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwatupwa huku na huku na kuchukuliwa na kila upepo wa mafundisho kwa hila za watu, kwa ujanja, kwa kufuata njia zao za udanganyifu.

EPH 4:15 Removed trailing space in v~: Badala yake, tukiambiana kweli kwa upendo, katika mambo yote tukue, hata tumfikie yeye aliye kichwa, yaani, Kristo.

EPH 4:16 Removed trailing space in v~: Kutoka kwake, mwili wote ukiwa umeungamanishwa na kushikamanishwa pamoja kwa msaada wa kila kiungo, hukua na kujijenga wenyewe katika upendo, wakati kila kiungo kinafanya kazi yake.

EPH 4:16 Removed trailing space in s1: Maisha Ya Zamani Na Maisha Mapya

EPH 4:17 Removed trailing space in v~: Hivyo nawaambia hivi, nami nasisitiza katika Bwana kwamba, msiishi tena kama watu wa Mataifa waishivyo, katika ubatili wa mawazo yao.

EPH 4:18 Removed trailing space in v~: Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao.

EPH 4:19 Removed trailing space in v~: Wakiisha kufa ganzi, wamejitia katika mambo ya ufisadi na kupendelea kila aina ya uchafu, wakiendelea kutamani zaidi.

EPH 4:20 Removed trailing space in v~: Lakini ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Kristo.

EPH 4:21 Removed trailing space in v~: Kama hivyo ndivyo ilivyo, ninyi mmemsikia, tena mmefundishwa naye, vile kweli ilivyo katika Yesu.

EPH 4:22 Removed trailing space in v~: Mlifundishwa kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale, ulioharibiwa na tamaa zake za udanganyifu,

EPH 4:23 Removed trailing space in v~: ili mfanywe upya roho na nia zenu,

EPH 4:24 Removed trailing space in v~: mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu katika haki yote na utakatifu.

EPH 4:24 Removed trailing space in s1: Kanuni Za Maisha Mapya

EPH 4:25 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo kila mmoja wenu avue uongo na kuambiana kweli mtu na jirani yake, kwa maana sisi sote tu viungo vya mwili mmoja.

EPH 4:26 Removed trailing space in v~: Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika,

EPH 4:27 Removed trailing space in v~: wala msimpe ibilisi nafasi.

EPH 4:28 Removed trailing space in v~: Yeye ambaye amekuwa akiiba, asiibe tena, lakini lazima ajishughulishe, afanye kitu kifaacho kwa mikono yake mwenyewe, ili awe na kitu cha kuwagawia wahitaji.

EPH 4:29 Removed trailing space in v~: Maneno mabaya yasitoke vinywani mwenu, bali yale yafaayo kwa ajili ya kuwajenga wengine kulingana na mahitaji yao, ili yawafae wale wasikiao.

EPH 4:30 Removed trailing space in v~: Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu, ambaye kwake mlitiwa muhuri kwa ajili ya siku ya ukombozi.

EPH 4:31 Removed trailing space in v~: Ondoeni kabisa uchungu, ghadhabu, hasira, makelele na masingizio pamoja na kila aina ya uovu.

EPH 4:32 Removed trailing space in v~: Kuweni wafadhili na wenye kuhurumiana ninyi kwa ninyi, mkisameheana, kama vile naye Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi.

EPH 5:0 Extra space after chapter number

EPH 5:0 Removed trailing space in c: 5

EPH 5:0 Removed trailing space in s1: Kuenenda Nuruni

EPH 5:1 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, mfuateni Mungu kama watoto wapendwao,

EPH 5:2 Removed trailing space in v~: mkiishi maisha ya upendo, kama vile Kristo alivyotupenda sisi akajitoa kwa ajili yetu kuwa sadaka yenye harufu nzuri na dhabihu kwa Mungu.

EPH 5:3 Removed trailing space in v~: Lakini uasherati, usitajwe miongoni mwenu, wala uchafu wa aina yoyote, wala tamaa, kwa sababu mambo haya hayastahili miongoni mwa watakatifu.

EPH 5:4 Removed trailing space in v~: Wala pasiwepo mazungumzo machafu ya aibu, au maneno ya upuzi au mzaha, ambayo hayafai, badala yake mshukuruni Mungu.

EPH 5:5 Removed trailing space in v~: Kwa habari ya mambo haya mjue hakika kwamba: Msherati, wala mtu mwovu, wala mwenye tamaa mbaya, mtu kama huyo ni mwabudu sanamu, kamwe hataurithi Ufalme wa Kristo na wa Mungu.

EPH 5:6 Removed trailing space in v~: Mtu yeyote na asiwadanganye kwa maneno matupu, kwa kuwa hasira ya Mungu huwaka kwa sababu ya mambo kama haya juu ya wale wasiomtii.

EPH 5:7 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, msishirikiane nao.

EPH 5:8 Removed trailing space in v~: Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru

EPH 5:9 Removed trailing space in v~: (kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli),

EPH 5:10 Removed trailing space in v~: nanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana.

EPH 5:11 Removed trailing space in v~: Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.

EPH 5:12 Removed trailing space in v~: Kwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini.

EPH 5:13 Removed trailing space in v~: Lakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana,

EPH 5:14 Removed trailing space in v~: kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana:

EPH 5:14 Removed trailing space in p~: “Amka, wewe uliyelala,

EPH 5:14 Removed trailing space in p~: ufufuke kutoka kwa wafu,

EPH 5:14 Removed trailing space in p~: naye Kristo atakuangazia.”

EPH 5:15 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima,

EPH 5:16 Removed trailing space in v~: mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu.

EPH 5:17 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo msiwe wajinga, bali mpate kujua nini mapenzi ya Bwana.

EPH 5:18 Removed trailing space in v~: Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo ndani yake mna upotovu, bali mjazwe Roho.

EPH 5:19 Removed trailing space in v~: Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana mioyoni mwenu,

EPH 5:20 Removed trailing space in v~: siku zote mkimshukuru Mungu Baba kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

EPH 5:21 Removed trailing space in v~: Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo.

EPH 5:21 Removed trailing space in s1: Mafundisho Kuhusu Wake Na Waume

EPH 5:22 Removed trailing space in v~: Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana.

EPH 5:23 Removed trailing space in v~: Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Kristo ni Mwokozi wake.

EPH 5:24 Removed trailing space in v~: Basi, kama vile Kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo.

EPH 5:25 Removed trailing space in v~: Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama vile Kristo alivyolipenda Kanisa akajitoa kwa ajili yake

EPH 5:26 Removed trailing space in v~: kusudi alifanye takatifu, akilitakasa kwa kuliosha kwa maji katika Neno lake,

EPH 5:27 Removed trailing space in v~: apate kujiletea Kanisa tukufu lisilo na doa wala kunyanzi au waa lolote, bali takatifu na lisilo na hatia.

EPH 5:28 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.

EPH 5:29 Removed trailing space in v~: Hakuna mtu anayeuchukia mwili wake mwenyewe, bali huulisha na kuutunza vizuri, kama Kristo anavyolitunza Kanisa lake.

EPH 5:30 Removed trailing space in v~: Sisi tu viungo vya mwili wake.

EPH 5:31 Removed trailing space in v~: “Kwa sababu hii, mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.”

EPH 5:32 Removed trailing space in v~: Siri hii ni kubwa, bali mimi nanena kuhusu Kristo na Kanisa.

EPH 5:33 Removed trailing space in v~: Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe.

EPH 6:0 Extra space after chapter number

EPH 6:0 Removed trailing space in c: 6

EPH 6:0 Removed trailing space in s1: Mafundisho Kuhusu Watoto Na Wazazi

EPH 6:1 Removed trailing space in v~: Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema.

EPH 6:2 Removed trailing space in v~: “Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi,

EPH 6:3 Removed trailing space in v~: “upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”

EPH 6:4 Removed trailing space in v~: Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana.

EPH 6:4 Removed trailing space in s1: Mafundisho Kuhusu Watumwa Na Mabwana

EPH 6:5 Removed trailing space in v~: Ninyi watumwa, watiini hao walio mabwana zenu hapa duniani kwa heshima na kwa kutetemeka na kwa moyo mmoja, kama vile mnavyomtii Kristo.

EPH 6:6 Removed trailing space in v~: Watiini, si tu wakati wakiwaona ili mpate upendeleo wao, bali mtumike kama watumwa wa Kristo, mkifanya mapenzi ya Mungu kwa moyo.

EPH 6:7 Removed trailing space in v~: Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mnamtumikia Bwana na si wanadamu.

EPH 6:8 Removed trailing space in v~: Mkijua kwamba Bwana atampa kila mtu thawabu kwa lolote jema alilotenda, kama yeye ni mtumwa au ni mtu huru.

EPH 6:9 Removed trailing space in v~: Nanyi mabwana, watendeeni watumwa wenu kwa jinsi iyo hiyo. Msiwatishe, kwa kuwa mnajua ya kwamba yeye aliye Bwana wenu na Bwana wao yuko mbinguni, naye hana upendeleo.

EPH 6:9 Removed trailing space in s1: Silaha Za Mungu

EPH 6:10 Removed trailing space in v~: Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.

EPH 6:11 Removed trailing space in v~: Vaeni silaha zote za Mungu ili kwamba mweze kuzipinga hila za ibilisi.

EPH 6:12 Removed trailing space in v~: Kwa maana kushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidi ya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

EPH 6:13 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo vaeni silaha zote za Mungu ili mweze kushindana siku ya uovu itakapokuja nanyi mkiisha kufanya yote, simameni imara.

EPH 6:14 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani,

EPH 6:15 Removed trailing space in v~: nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani.

EPH 6:16 Removed trailing space in v~: Zaidi ya haya yote, twaeni ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.

EPH 6:17 Removed trailing space in v~: Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu.

EPH 6:18 Removed trailing space in v~: Mkiomba kwa Roho siku zote katika sala zote na maombi, mkikesha kila wakati mkiwaombea watakatifu wote.

EPH 6:19 Removed trailing space in v~: Niombeeni na mimi pia, ili kila nifunguapo kinywa changu, nipewe maneno ya kusema, niweze kutangaza siri ya Injili kwa ujasiri,

EPH 6:20 Removed trailing space in v~: ambayo mimi ni balozi wake katika vifungo. Ombeni ili nipate kuhubiri kwa ujasiri kama inipasavyo.

EPH 6:20 Removed trailing space in s1: Salamu Za Mwisho

EPH 6:21 Removed trailing space in v~: Tikiko, aliye ndugu mpendwa na mtumishi mwaminifu katika Bwana, atawaambia kila kitu, ili pia mpate kujua hali yangu na kile ninachofanya sasa.

EPH 6:22 Removed trailing space in v~: Ninamtuma kwenu kwa ajili ya kusudi hili hasa, ili mpate kujua hali yetu, na awatie moyo.

EPH 6:23 Removed trailing space in v~: Amani iwe kwa ndugu, na pendo pamoja na imani kutoka kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo.

EPH 6:24 Removed trailing space in v~: Neema iwe na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo kwa upendo wa dhati. Amen.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 6    h: 1    id: 1    m: 1    mt1: 1    p: 37    q1: 2    q2: 4    rem: 1    s1: 16    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 228    v: 155  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    m: 1    q1: 2    q2: 4    c: 6    s1: 16    p: 37    v: 155    Total: 228  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 6    Paragraphs: 37    Verses: 155  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 6    Paragraphs: 37    Verses: 155  

Characters

All Character Counts

 0: 14    1: 81    2: 54    3: 25    4: 16    5: 15    6: 15    7: 14    8: 14    9: 14    a: 82    B: 1    b: 3    d: 6    e: 17    E: 1    f: 11    g: 1    h: 13    H: 2    i: 28    j: 2    k: 6    K: 16    l: 6    m: 11    M: 15    n: 14    N: 7    o: 23    P: 2    p: 2    r: 8    s: 20    S: 4    Space: 53    t: 12    T: 1    Total: 698    u: 31    U: 1    W: 14    w: 8    Y: 5    y: 3    Z: 5    z: 2  

All Character Counts (sorted by count)

 E: 1    B: 1    T: 1    U: 1    g: 1    H: 2    j: 2    P: 2    p: 2    z: 2    b: 3    y: 3    S: 4    Z: 5    Y: 5    l: 6    k: 6    d: 6    N: 7    r: 8    w: 8    f: 11    m: 11    t: 12    h: 13    W: 14    7: 14    8: 14    9: 14    0: 14    n: 14    5: 15    6: 15    M: 15    K: 16    4: 16    e: 17    s: 20    o: 23    3: 25    i: 28    u: 31    Space: 53    2: 54    1: 81    a: 82    Total: 698  

Letter Counts

 a: 82    B: 1    b: 3    d: 6    e: 17    E: 1    f: 11    g: 1    h: 13    H: 2    i: 28    j: 2    k: 6    K: 16    l: 6    m: 11    M: 15    n: 14    N: 7    o: 23    P: 2    p: 2    r: 8    s: 20    S: 4    Space: 53    t: 12    T: 1    Total: 436    u: 31    U: 1    W: 14    w: 8    Y: 5    y: 3    Z: 5    z: 2  

Letter Counts (sorted by count)

 E: 1    B: 1    T: 1    U: 1    g: 1    H: 2    j: 2    P: 2    p: 2    z: 2    b: 3    y: 3    S: 4    Z: 5    Y: 5    l: 6    k: 6    d: 6    N: 7    r: 8    w: 8    f: 11    m: 11    t: 12    h: 13    W: 14    n: 14    M: 15    K: 16    e: 17    s: 20    o: 23    i: 28    u: 31    Space: 53    a: 82    Total: 436  

Words

All Word Counts

All Word Counts (sorted by count)

Case Insensitive Word Counts

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

Headings

Title Lines

EPH -1:6 Main Title 1:Waefeso

Section Heading Lines

EPH 1:0Salamu
EPH 1:2Baraka Za Kiroho Katika Kristo Yesu
EPH 1:14Shukrani Na Maombi
EPH 2:0Tumefanywa Kuwa Hai Ndani Ya Kristo
EPH 2:10Wamoja Katika Kristo
EPH 3:0Huduma Ya Paulo Kwa Watu Wa Mataifa
EPH 3:13Maombi Ya Paulo Kwa Waefeso
EPH 4:0Umoja Katika Mwili Wa Kristo
EPH 4:16Maisha Ya Zamani Na Maisha Mapya
EPH 4:24Kanuni Za Maisha Mapya
EPH 5:0Kuenenda Nuruni
EPH 5:21Mafundisho Kuhusu Wake Na Waume
EPH 6:0Mafundisho Kuhusu Watoto Na Wazazi
EPH 6:4Mafundisho Kuhusu Watumwa Na Mabwana
EPH 6:9Silaha Za Mungu
EPH 6:20Salamu Za Mwisho

Notes

Footnote Lines

EPH 4:8+ \fr 4:8 \ft Juu zaidi hapa ina maana mbingu za mbingu.
EPH 4:9+ \fr 4:9 \ft Pande za chini sana za dunia hapa maana yake Sheol kwa K…zimu.

Leader Counts

 Footnote leader '+': 2    Footnotes: 2  

Leader Counts (sorted by count)

 Footnotes: 2    Footnote leader '+': 2