Freely-Given.org Bible GAL Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in GAL -1:0

Showing 1 out of 157 priority errors

Fix Text Errors

GAL -1:0 Removed trailing space in id: GAL - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

GAL -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

GAL -1:2 Removed trailing space in h: Wagalatia

GAL -1:3 Removed trailing space in toc1: Wagalatia

GAL -1:4 Removed trailing space in toc2: Wagalatia

GAL -1:5 Removed trailing space in toc3: Gal

GAL -1:6 Removed trailing space in mt1: Wagalatia

GAL 1:0 Extra space after chapter number

GAL 1:0 Removed trailing space in c: 1

GAL 1:0 Removed trailing space in s1: Salamu

GAL 1:1 Removed trailing space in v~: Paulo mtume: si mtume wa wanadamu wala aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu;

GAL 1:2 Removed trailing space in v~: na ndugu wote walio pamoja nami:

GAL 1:2 Removed trailing space in p~: Kwa makanisa ya Galatia:

GAL 1:3 Removed trailing space in v~: Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo,

GAL 1:4 Removed trailing space in v~: aliyejitoa kwa ajili ya dhambi zetu ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu wa sasa ulio mbaya, sawasawa na mapenzi yake yeye aliye Mungu na Baba yetu.

GAL 1:5 Removed trailing space in v~: Utukufu una yeye milele na milele. Amen.

GAL 1:5 Removed trailing space in s1: Hakuna Injili Nyingine

GAL 1:6 Removed trailing space in v~: Nashangaa kwamba mnamwacha upesi hivyo yeye aliyewaita kwa neema ya Kristo na kuifuata Injili nyingine,

GAL 1:7 Removed trailing space in v~: ambayo kwa kweli si Injili kamwe, ila kwa dhahiri kuna watu wanaowachanganya na wanaotaka kuipotosha Injili ya Kristo.

GAL 1:8 Removed trailing space in v~: Lakini hata ikiwa sisi au malaika atokaye mbinguni akihubiri Injili nyingine tofauti na ile tuliyowahubiria sisi, basi mtu huyo alaaniwe milele!

GAL 1:9 Removed trailing space in v~: Kama vile tulivyokwisha kusema kabla, sasa nasema tena, ikiwa mtu yeyote atawahubiria Injili kinyume na ile mliyoipokea na alaaniwe milele!

GAL 1:10 Removed trailing space in v~: Je, sasa mimi ninatafuta kukubaliwa na wanadamu au kukubaliwa na Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa bado najaribu kuwapendeza wanadamu, nisingekuwa mtumishi wa Kristo.

GAL 1:10 Removed trailing space in s1: Paulo Ameitwa Na Mungu

GAL 1:11 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, nataka mjue kwamba Injili niliyowahubiria haikutokana na wanadamu.

GAL 1:12 Removed trailing space in v~: Kwa maana mimi sikuipokea hiyo Injili kutoka kwa mwanadamu, wala sikufundishwa na mtu, bali niliipata kwa ufunuo kutoka kwa Yesu Kristo.

GAL 1:13 Removed trailing space in v~: Ninyi mmekwisha kusikia juu ya maisha yangu ya zamani nilipokuwa katika dini ya Kiyahudi, jinsi nilivyolitesa kanisa la Mungu kwa nguvu na kujaribu kuliangamiza.

GAL 1:14 Removed trailing space in v~: Nami niliendelea sana katika dini ya Kiyahudi kuliko Wayahudi wengi wa rika yangu maana nilijitahidi sana katika desturi za baba zangu.

GAL 1:15 Removed trailing space in v~: Lakini ilipompendeza Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu na kuniita kwa neema yake,

GAL 1:16 Removed trailing space in v~: alimdhihirisha Mwanawe kwangu, ili nipate kumhubiri miongoni mwa watu wa Mataifa. Mimi sikushauriana na mwanadamu yeyote,

GAL 1:17 Removed trailing space in v~: wala sikupanda kwenda Yerusalemu kuwaona hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilikwenda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski.

GAL 1:18 Removed trailing space in v~: Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa\f + \fr 1:18 \ft Yaani Petro.\f* na nilikaa naye siku kumi na tano.

GAL 1:19 Removed trailing space in v~: Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.

GAL 1:20 Removed trailing space in v~: Nawahakikishia mbele za Mungu kuwa ninayowaandikia si uongo.

GAL 1:21 Removed trailing space in v~: Baadaye nilikwenda sehemu za Syria\f + \fr 1:21 \ft Syria hapa ina maana ya Shamu.\f* na Kilikia.

GAL 1:22 Removed trailing space in v~: Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makanisa ya huko Uyahudi yaliyo katika Kristo.

GAL 1:23 Removed trailing space in v~: Wao walisikia habari tu kwamba, “Mtu yule ambaye hapo kwanza alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akijaribu kuiangamiza.”

GAL 1:24 Removed trailing space in v~: Nao wakamtukuza Mungu kwa sababu yangu.

GAL 2:0 Extra space after chapter number

GAL 2:0 Removed trailing space in c: 2

GAL 2:0 Removed trailing space in s1: Paulo Akubaliwa Na Mitume

GAL 2:1 Removed trailing space in v~: Kisha, baada ya miaka kumi na minne, nilipanda tena kwenda Yerusalemu pamoja na Barnaba, nikamchukua na Tito ili awe pamoja nami.

GAL 2:2 Removed trailing space in v~: Nilikwenda kwa sababu nilikuwa nimefunuliwa na Mungu, ili nikawaeleze kwa faragha wale walioonekana kuwa viongozi, ile Injili ninayoihubiri kwa watu wa Mataifa. Nilifanya hivyo kwa kuhofia kwamba nisije nikawa nilikuwa ninakimbia au nilikimbia bure.

GAL 2:3 Removed trailing space in v~: Lakini hata Tito ambaye alikuwa Myunani, hakulazimika kutahiriwa.

GAL 2:4 Removed trailing space in v~: Lakini kwa sababu ya ndugu wa uongo ambao walijiingiza kwa siri katikati yetu ili kupeleleza uhuru wetu tulio nao katika Kristo Yesu, wapate kututia utumwani,

GAL 2:5 Removed trailing space in v~: hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili kwamba ukweli wa Injili ubaki nanyi.

GAL 2:6 Removed trailing space in v~: Kwa habari ya wale waliokuwa wakubaliwe kuwa viongozi (kwangu mimi sikujali vyeo vyao, maana Mungu hana upendeleo), wale watu hawakuniongezea chochote.

GAL 2:7 Removed trailing space in v~: Badala yake walitambua kwamba nilikuwa nimekabidhiwa kazi ya kuhubiri Injili kwa watu wa Mataifa, kama vile Petro alivyokabidhiwa kuhubiri Injili kwa Wayahudi.

GAL 2:8 Removed trailing space in v~: Kwa maana, Mungu aliyekuwa akitenda kazi katika huduma ya Petro kama mtume kwa Wayahudi, ndiye pia aliyekuwa anatenda kazi katika huduma yangu kama mtume kwa watu wa Mataifa.

GAL 2:9 Removed trailing space in v~: Basi, Yakobo, Kefa\f + \fr 2:9 \ft Yaani Petro, pia mstari 11, 14.\f* na Yohana, walioonekana kama nguzo za kanisa, walitupa mkono wa shirika, mimi na Barnaba walipotambua ile neema niliyopewa. Wakakubali kwamba sisi twende kwa watu wa Mataifa na wao waende kwa Wayahudi.

GAL 2:10 Removed trailing space in v~: Walichotuomba ni kwamba tuendelee kuwakumbuka maskini, jambo ambalo ndilo nililokuwa na shauku ya kulifanya.

GAL 2:10 Removed trailing space in s1: Paulo Ampinga Petro Huko Antiokia

GAL 2:11 Removed trailing space in v~: Lakini Petro alipofika Antiokia, mimi nilimpinga ana kwa ana kwa sababu alikuwa amekosea kwa wazi.

GAL 2:12 Removed trailing space in v~: Kabla baadhi ya watu waliotoka kwa Yakobo hawajafika, alikuwa akila pamoja na watu wa Mataifa. Lakini hao watu walipofika alianza kujiondoa na kujitenga na watu wa Mataifa kwa sababu aliwaogopa wale wa kundi la tohara.

GAL 2:13 Removed trailing space in v~: Pia Wayahudi wengine waliungana naye katika unafiki huu, hata Barnaba naye akapotoshwa na unafiki wao.

GAL 2:14 Removed trailing space in v~: Nilipoona kwamba hawatendi sawasawa na kweli ya Injili, nilimwambia Petro mbele ya wote, “Wewe ni Myahudi, nawe unaishi kama mtu wa Mataifa na wala si kama Myahudi. Imekuwaje basi, mnawalazimisha watu wa Mataifa kufuata desturi za Kiyahudi?

GAL 2:14 Removed trailing space in s1: Wayahudi Na Watu Wa Mataifa Wanaokolewa Kwa Imani

GAL 2:15 Removed trailing space in v~: “Sisi wenyewe ni Wayahudi kwa kuzaliwa na si watu wenye dhambi kama watu wa Mataifa,

GAL 2:16 Removed trailing space in v~: bado tunajua ya kwamba mtu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria bali kwa njia ya imani katika Yesu Kristo. Hivyo sisi pia, tumemwamini Kristo Yesu ili tupate kuhesabiwa haki kwa njia ya imani katika Kristo, wala si kwa matendo ya sheria, kwa sababu kwa kushika sheria hakuna hata mtu mmoja atakayehesabiwa haki.

GAL 2:17 Removed trailing space in v~: “Lakini tukitafuta kuhesabiwa haki katika Kristo, inakuwa dhahiri kwamba sisi ni wenye dhambi. Je, ina maana kwamba Kristo amekuwa mtumishi wa dhambi? La hasha!

GAL 2:18 Removed trailing space in v~: Lakini ikiwa mimi ninajenga tena kile ambacho nimekwisha kukibomoa, basi ninaonyesha kwamba mimi ni mkosaji.

GAL 2:19 Removed trailing space in v~: Kwa maana mimi kwa njia ya sheria, nimeifia sheria ili nipate kuishi kwa ajili ya Mungu.

GAL 2:20 Removed trailing space in v~: Nimesulubiwa pamoja na Kristo, wala si mimi tena ninayeishi, bali Kristo ndiye aishiye ndani yangu. Uhai nilio nao sasa katika mwili, ninaishi kwa imani ya Mwana wa Mungu, aliyenipenda na kujitoa kwa ajili yangu.

GAL 2:21 Removed trailing space in v~: Siibatilishi neema ya Mungu, kwa maana kama haki ingeweza kupatikana kwa njia ya sheria, basi Kristo alikufa bure!”

GAL 4:0 Extra space after chapter number

GAL 4:0 Removed trailing space in c: 4

GAL 4:1 Removed trailing space in v~: Lile nisemalo ni kwamba wakati wote mrithi bado ni mtoto, hana tofauti na mtumwa, ingawa ndiye mmiliki wa mali yote.

GAL 4:2 Removed trailing space in v~: Yeye huwa yuko chini ya uangalizi wa walezi na wadhamini mpaka ufike wakati uliowekwa na baba yake.

GAL 4:3 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo na sisi, tulipokuwa bado watoto wadogo, tulikuwa utumwani chini ya taratibu za kawaida za ulimwengu.

GAL 4:4 Removed trailing space in v~: Lakini ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe, ambaye alizaliwa na mwanamke, akazaliwa chini ya sheria,

GAL 4:5 Removed trailing space in v~: kusudi awakomboe wale waliokuwa chini ya sheria, ili tupate kupokea zile haki kamili za kufanywa watoto wa Mungu.

GAL 4:6 Removed trailing space in v~: Kwa sababu ninyi ni watoto wa Mungu, Mungu amemtuma Roho wa Mwanawe mioyoni mwetu, anayelia, “Abba,\f + \fr 4:6 \ft Abba ni neno la Kiaramu ambalo maana yake ni Baba; lingeweza kutumiwa tu na mtoto wa kuzaa.\f* Baba.”

GAL 4:7 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, wewe si mtumwa tena, bali ni mtoto, kwa kuwa wewe ni mtoto, Mungu amekufanya wewe pia kuwa mrithi kwa kupitia Kristo.

GAL 4:7 Removed trailing space in s1: Paulo Awashawishi Wagalatia

GAL 4:8 Removed trailing space in v~: Zamani, mlipokuwa hammjui Mungu, mlikuwa watumwa wa viumbe ambavyo kwa asili si Mungu.

GAL 4:9 Removed trailing space in v~: Lakini sasa kwa kuwa mmemjua Mungu, au zaidi mmejulikana na Mungu, inakuwaje mnarejea tena katika zile kanuni za kwanza zenye udhaifu na upungufu? Mnataka ziwafanye tena watumwa?

GAL 4:10 Removed trailing space in v~: Mnaadhimisha siku maalum, miezi, nyakati na miaka!

GAL 4:11 Removed trailing space in v~: Nina hofu juu yenu, kwamba kazi niliyofanya kwa ajili yenu inaweza kuwa nimejitaabisha bure.

GAL 4:12 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, nawasihi mwe kama mimi, kwa sababu mimi nimekuwa kama ninyi. Hamkunitendea jambo lolote baya.

GAL 4:13 Removed trailing space in v~: Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili.

GAL 4:14 Removed trailing space in v~: Ingawa hali yangu iliwatia majaribuni, hamkunidharau wala kunidhihaki, bali mlinikaribisha kama malaika wa Mungu, kama vile Kristo Yesu.

GAL 4:15 Removed trailing space in v~: Ile hali ya furaha mliyokuwa nayo imekwenda wapi? Naweza kushuhudia kwamba, kama ingewezekana mngengʼoa macho yenu na kunipa mimi.

GAL 4:16 Removed trailing space in v~: Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa kuwaambia kweli?

GAL 4:17 Removed trailing space in v~: Hao wana shauku ya kuwapata lakini si kwa kusudi zuri. Wanachotaka ni kuwatenga mbali nasi, ili ninyi mpate kuwaonea wao shauku.

GAL 4:18 Removed trailing space in v~: Ni vizuri wakati wote kuwa na shauku kwa ajili ya kusudi zuri, si wakati nikiwa pamoja nanyi tu.

GAL 4:19 Removed trailing space in v~: Watoto wangu wapendwa, ambao kwa mara nyingine ninawaonea utungu, ninatamani kwamba Kristo aumbike ndani yenu.

GAL 4:20 Removed trailing space in v~: Natamani kama ningekuwa pamoja nanyi sasa, pengine ningebadilisha sauti yangu. Kwa maana nina wasiwasi kwa ajili yenu.

GAL 4:20 Removed trailing space in s1: Mfano Wa Hagari Na Sara

GAL 4:21 Removed trailing space in v~: Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je, hamjui sheria inavyosema?

GAL 4:22 Removed trailing space in v~: Kwa maana imeandikwa kwamba Abrahamu alikuwa na wana wawili, mmoja wa mwanamke mtumwa na wa pili wa mwanamke huru.

GAL 4:23 Removed trailing space in v~: Lakini, mtoto wa mwanamke mtumwa alizaliwa kwa mapenzi ya mwili, na yule mwingine wa mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.

GAL 4:24 Removed trailing space in v~: Mambo haya yanaweza kuchukuliwa kama mfano. Kwa maana hao wanawake wawili ni mfano wa maagano mawili: Agano la kwanza, ni lile lililofanyika katika Mlima Sinai, lizaalo watoto wa utumwa. Hili ndilo huyo Hagari.

GAL 4:25 Removed trailing space in v~: Basi Hagari anawakilisha Mlima Sinai ulioko Arabuni, na unafanana na Yerusalemu ya sasa ambayo iko utumwani pamoja na watoto wake.

GAL 4:26 Removed trailing space in v~: Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu.

GAL 4:27 Removed trailing space in v~: Kwa maana imeandikwa:

GAL 4:27 Removed trailing space in p~: “Furahi, ewe mwanamke tasa,

GAL 4:27 Removed trailing space in p~: wewe usiyezaa;

GAL 4:27 Removed trailing space in p~: paza sauti, na kuimba kwa furaha,

GAL 4:27 Removed trailing space in p~: wewe usiyepatwa na utungu wa kuzaa;

GAL 4:27 Removed trailing space in p~: kwa maana watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengi

GAL 4:27 Removed trailing space in p~: kuliko wa mwanamke mwenye mume.”

GAL 4:28 Removed trailing space in v~: Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaki, tu watoto wa ahadi.

GAL 4:29 Removed trailing space in v~: Lakini, kama vile ilivyokuwa siku zile yule aliyezaliwa kwa mwili alivyomchokoza yule aliyezaliwa kwa Roho, ndivyo ilivyo hata sasa.

GAL 4:30 Removed trailing space in v~: Lakini Maandiko yasemaje? “Mwondoe mwanamke mtumwa pamoja na mwanawe, kwa sababu mwana wa mwanamke mtumwa kamwe hatarithi pamoja na mwana wa aliye huru.”

GAL 4:31 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo ndugu zangu, sisi si watoto wa mwanamke mtumwa, bali wa yule aliye huru.

GAL 5:0 Extra space after chapter number

GAL 5:0 Removed trailing space in c: 5

GAL 5:0 Removed trailing space in s1: Uhuru Ndani Ya Kristo

GAL 5:1 Removed trailing space in v~: Kristo alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Hivyo simameni imara wala msikubali tena kulemewa na kongwa la utumwa.

GAL 5:2 Removed trailing space in v~: Sikilizeni! Mimi, Paulo, nawaambieni kwamba kama mkikubali kutahiriwa, basi Kristo hatawafaidia chochote.

GAL 5:3 Removed trailing space in v~: Namshuhudia tena kila mtu anayekubali kutahiriwa kwamba inampasa kushika sheria yote.

GAL 5:4 Removed trailing space in v~: Ninyi mnaotafuta kuhesabiwa haki kwa njia ya sheria mmetengwa na Kristo, mko mbali na neema ya Mungu.

GAL 5:5 Removed trailing space in v~: Kwa maana, kwa njia ya Roho kwa imani, tunangojea kwa shauku tumaini la haki.

GAL 5:6 Removed trailing space in v~: Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo.

GAL 5:7 Removed trailing space in v~: Mlikuwa mkipiga mbio vizuri. Ni nani aliyewazuia msiitii kweli?

GAL 5:8 Removed trailing space in v~: Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita.

GAL 5:9 Removed trailing space in v~: “Chachu kidogo huchachua donge zima.”

GAL 5:10 Removed trailing space in v~: Nina hakika katika Bwana kwamba hamtakuwa na msimamo mwingine. Mtu anayewachanganya anastahili adhabu, hata awe nani.

GAL 5:11 Removed trailing space in v~: Lakini ndugu zangu, kama mimi bado ninahubiri kuhusu kutahiriwa, kwa nini bado ninateswa? Katika hiyo hali basi, kwazo la msalaba limeondolewa.

GAL 5:12 Removed trailing space in v~: Laiti hao wanaowavuruga wangejihasi wao wenyewe!

GAL 5:13 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, ninyi mliitwa ili mwe huru, hivyo msitumie uhuru wenu kama fursa ya kufuata tamaa za mwili, bali tumikianeni ninyi kwa ninyi kwa upendo.

GAL 5:14 Removed trailing space in v~: Kwa maana sheria yote hukamilika katika amri moja: “Mpende jirani yako kama nafsi yako.”

GAL 5:15 Removed trailing space in v~: Kama mkiumana na kutafunana, angalieni, msije mkaangamizana.

GAL 5:15 Removed trailing space in s1: Maisha Ya Kiroho

GAL 5:16 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo nasema, enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.

GAL 5:17 Removed trailing space in v~: Kwa maana mwili hutamani yale yaliyo kinyume na Roho, naye Roho hutamani yale yaliyo kinyume na mwili. Roho na mwili hupingana na kwa sababu hiyo hamwezi kufanya mnayotaka.

GAL 5:18 Removed trailing space in v~: Lakini kama mkiongozwa na Roho, hamko chini ya sheria.

GAL 5:19 Removed trailing space in v~: Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: Uasherati, uchafu, ufisadi,

GAL 5:20 Removed trailing space in v~: kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,

GAL 5:21 Removed trailing space in v~: husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha kuwaonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama hayo, hawataurithi Ufalme wa Mungu.

GAL 5:22 Removed trailing space in v~: Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,

GAL 5:23 Removed trailing space in v~: upole na kiasi. Katika mambo kama haya hakuna sheria.

GAL 5:24 Removed trailing space in v~: Wote walio wa Kristo Yesu wameusulubisha mwili na shauku zake pamoja na tamaa zake.

GAL 5:25 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa tunaishi kwa Roho, basi, tuenende kwa Roho.

GAL 5:26 Removed trailing space in v~: Tusijisifu bure, tukichokozana na kuoneana wivu.

GAL 6:0 Extra space after chapter number

GAL 6:0 Removed trailing space in c: 6

GAL 6:0 Removed trailing space in s1: Chukulianeni Mizigo

GAL 6:1 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, ikiwa mtu ameghafilika akatenda dhambi, basi ninyi mlio wa rohoni, mrejesheni upya mtu huyo kwa roho ya upole. Lakini jihadharini, ili ninyi wenyewe msije mkajaribiwa.

GAL 6:2 Removed trailing space in v~: Chukulianeni mizigo ninyi kwa ninyi, nanyi kwa njia hii mtatimiza sheria ya Kristo.

GAL 6:3 Removed trailing space in v~: Kama mtu yeyote akijiona kuwa yeye ni bora na kumbe sivyo, basi mtu huyo anajidanganya mwenyewe.

GAL 6:4 Removed trailing space in v~: Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo aweze kujisifu, bila kujilinganisha na mtu mwingine.

GAL 6:5 Removed trailing space in v~: Kwa maana, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.

GAL 6:6 Removed trailing space in v~: Basi, yeye afundishwaye katika neno na amshirikishe mwalimu wake mema yote.

GAL 6:7 Removed trailing space in v~: Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna.

GAL 6:8 Removed trailing space in v~: Apandaye kwa mwili, katika mwili wake atavuna uharibifu, lakini yeye apandaye katika Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.

GAL 6:9 Removed trailing space in v~: Hivyo, tusichoke katika kutenda mema, kwa kuwa tutavuna kwa wakati wake tusipokata tamaa.

GAL 6:10 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema, hasa wale wa jamaa ya waaminio.

GAL 6:10 Removed trailing space in s1: Si Kutahiriwa Bali Kuwa Kiumbe Kipya

GAL 6:11 Removed trailing space in v~: Angalieni herufi kubwa nitumiazo ninapowaandikia kwa mkono wangu mwenyewe!

GAL 6:12 Removed trailing space in v~: Wale wanaotaka kuonekana wazuri kwa mambo ya mwili wanataka wawalazimishe kutahiriwa. Sababu pekee ya kufanya hivyo ni kuepuka kuteswa kwa ajili ya msalaba wa Kristo.

GAL 6:13 Removed trailing space in v~: Hata wale waliotahiriwa wenyewe hawaitii sheria, lakini wanataka ninyi mtahiriwe ili wapate kujivuna kwa habari ya miili yenu.

GAL 6:14 Removed trailing space in v~: Mungu apishie mbali nisije nikajivunia kitu chochote isipokuwa msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kwa yeye ulimwengu umesulubiwa kwangu, nami nimesulubiwa kwa ulimwengu.

GAL 6:15 Removed trailing space in v~: Kwa maana katika Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa si kitu, bali kule kuwa kiumbe kipya ni kila kitu!

GAL 6:16 Removed trailing space in v~: Amani na rehema viwe na wote wanaofuata kanuni hii, na juu ya Israeli wa Mungu.

GAL 6:17 Removed trailing space in v~: Hatimaye, tangu sasa mtu yeyote asinitaabishe, kwa maana nachukua katika mwili wangu chapa zake Yesu.

GAL 6:18 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 6    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 42    q1: 3    q2: 3    rem: 1    s1: 17    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 227    v: 149  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    q1: 3    q2: 3    c: 6    s1: 17    p: 42    v: 149    Total: 227  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 6    Paragraphs: 42    Verses: 149  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 6    Paragraphs: 42    Verses: 149  

Characters

All Character Counts

All Character Counts (sorted by count)

Letter Counts

 a: 84    A: 7    b: 2    B: 1    C: 1    d: 4    e: 11    f: 2    g: 11    G: 1    H: 3    h: 14    i: 43    I: 3    j: 1    k: 7    K: 9    l: 16    L: 2    m: 7    M: 7    n: 16    N: 8    o: 16    P: 5    p: 2    r: 11    S: 7    s: 6    Space: 47    t: 15    Total: 422    u: 26    U: 1    W: 12    w: 8    y: 3    Y: 2    z: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 G: 1    j: 1    U: 1    C: 1    z: 1    B: 1    b: 2    p: 2    f: 2    L: 2    Y: 2    H: 3    I: 3    y: 3    d: 4    P: 5    s: 6    S: 7    m: 7    k: 7    A: 7    M: 7    N: 8    w: 8    K: 9    g: 11    e: 11    r: 11    W: 12    h: 14    t: 15    l: 16    n: 16    o: 16    u: 26    i: 43    Space: 47    a: 84    Total: 422  

Punctuation Counts

 ?: 1    Total: 1  

Punctuation Counts (sorted by count)

 ?: 1    Total: 1  

Speech Marks

Possible Matching Errors

GAL 2:15 Unclosed speech marks matching '“ (opened at 2:14:v)' before p marker

Words

All Word Counts

All Word Counts (sorted by count)

Case Insensitive Word Counts

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

Headings

Title Lines

GAL -1:6 Main Title 1:Wagalatia

Section Heading Lines

GAL 1:0Salamu
GAL 1:5Hakuna Injili Nyingine
GAL 1:10Paulo Ameitwa Na Mungu
GAL 2:0Paulo Akubaliwa Na Mitume
GAL 2:10Paulo Ampinga Petro Huko Antiokia
GAL 2:14Wayahudi Na Watu Wa Mataifa Wanaokolewa Kwa Imani
GAL 3:0Imani Au Kushika Sheria?
GAL 3:9Sheria Na Laana
GAL 3:14Sheria Na Ahadi
GAL 3:18Kusudi La Sheria
GAL 3:25Watoto Wa Mungu
GAL 4:7Paulo Awashawishi Wagalatia
GAL 4:20Mfano Wa Hagari Na Sara
GAL 5:0Uhuru Ndani Ya Kristo
GAL 5:15Maisha Ya Kiroho
GAL 6:0Chukulianeni Mizigo
GAL 6:10Si Kutahiriwa Bali Kuwa Kiumbe Kipya

Notes

Footnote Lines

GAL 1:18+ \fr 1:18 \ft Yaani Petro.
GAL 1:21+ \fr 1:21 \ft Syria hapa ina maana ya Shamu.
GAL 2:9+ \fr 2:9 \ft Yaani Petro, pia mstari 11, 14.
GAL 4:6+ \fr 4:6 \ft Abba ni neno la Kiaramu ambalo maana yake ni Baba; linge…uzaa.

Leader Counts

 Footnote leader '+': 4    Footnotes: 4  

Leader Counts (sorted by count)

 Footnotes: 4    Footnote leader '+': 4