Freely-Given.org Bible JAM Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in JAM -1:0

Showing 1 out of 144 priority errors

Fix Text Errors

JAM -1:0 Removed trailing space in id: JAS - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

JAM -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

JAM -1:2 Removed trailing space in h: Yakobo

JAM -1:3 Removed trailing space in toc1: Yakobo

JAM -1:4 Removed trailing space in toc2: Yakobo

JAM -1:5 Removed trailing space in toc3: Yak

JAM -1:6 Removed trailing space in mt1: Yakobo

JAM 1:0 Extra space after chapter number

JAM 1:0 Removed trailing space in c: 1

JAM 1:1 Removed trailing space in v~: Yakobo, mtumwa wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo:

JAM 1:1 Removed trailing space in p~: Kwa makabila kumi na mawili yaliyotawanyika ulimwenguni:

JAM 1:1 Removed trailing space in p~: Salamu.

JAM 1:1 Removed trailing space in s1: Imani Na Hekima

JAM 1:2 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, hesabuni kuwa ni furaha tupu mnapopatwa na majaribu mbalimbali,

JAM 1:3 Removed trailing space in v~: kwa sababu mnajua ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.

JAM 1:4 Removed trailing space in v~: Saburi na iwe na kazi timilifu, ili mpate kuwa wakamilifu, mmekamilishwa, bila kupungukiwa na kitu chochote.

JAM 1:5 Removed trailing space in v~: Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima na amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa.

JAM 1:6 Removed trailing space in v~: Lakini anapoomba, lazima aamini wala asiwe na shaka, kwa sababu mtu aliye na shaka ni kama wimbi la bahari, lililochukuliwa na upepo na kutupwa huku na huku.

JAM 1:7 Removed trailing space in v~: Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana.

JAM 1:8 Removed trailing space in v~: Yeye ni mtu mwenye nia mbili, mwenye kusitasita katika njia zake zote.

JAM 1:8 Removed trailing space in s1: Umaskini Na Utajiri

JAM 1:9 Removed trailing space in v~: Ndugu asiye na cheo kikubwa yampasa ajivunie hali hiyo maana ametukuzwa.

JAM 1:10 Removed trailing space in v~: Lakini yeye aliye tajiri afurahi kwa kuwa ameshushwa, kwa sababu atatoweka kama ua la shambani.

JAM 1:11 Removed trailing space in v~: Kwa maana jua kali lenye kuchoma huchomoza na kuliunguza, likayakausha majani, na ua lake likapukutika, nao uzuri wake huharibika. Vivyo hivyo tajiri naye atanyauka akiwa anaendelea na shughuli zake.

JAM 1:11 Removed trailing space in s1: Kujaribiwa

JAM 1:12 Removed trailing space in v~: Heri mtu anayevumilia wakati wa majaribu, kwa sababu akiisha kushinda hilo jaribio atapewa taji la uzima Mungu alilowaahidia wale wampendao.

JAM 1:13 Removed trailing space in v~: Mtu anapojaribiwa asiseme, “Ninajaribiwa na Mungu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu wala yeye hamjaribu mtu yeyote.

JAM 1:14 Removed trailing space in v~: Lakini kila mtu hujaribiwa wakati anapovutwa na kudanganywa na tamaa zake mwenyewe zilizo mbaya.

JAM 1:15 Removed trailing space in v~: Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba, huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa, huzaa mauti.

JAM 1:16 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu wapendwa, msidanganyike.

JAM 1:17 Removed trailing space in v~: Kila kitolewacho kilicho chema na kilicho kamili, hutoka juu, na hushuka kutoka kwa Baba wa mianga, ambaye kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.

JAM 1:18 Removed trailing space in v~: Kwa mapenzi yake mwenyewe alituzaa kwa neno la kweli, kusudi tuwe kama mazao ya kwanza katika viumbe vyake vyote.

JAM 1:18 Removed trailing space in s1: Kusikia Na Kutenda

JAM 1:19 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu wapendwa, fahamuni jambo hili: Kila mtu awe mwepesi wa kusikiliza, lakini asiwe mwepesi wa kusema wala wa kukasirika.

JAM 1:20 Removed trailing space in v~: Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.

JAM 1:21 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, ondoleeni mbali uchafu wote na uovu ambao umezidi kuwa mwingi, mkalipokee kwa unyenyekevu lile Neno lililopandwa ndani yenu ambalo laweza kuokoa nafsi zenu.

JAM 1:22 Removed trailing space in v~: Basi kuweni watendaji wa Neno wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu.

JAM 1:23 Removed trailing space in v~: Kwa maana kama mtu ni msikiaji tu wa Neno wala hatendi kile linachosema, yeye ni kama mtu ajitazamaye uso wake kwenye kioo

JAM 1:24 Removed trailing space in v~: na baada ya kujiona alivyo, huenda zake na mara husahau jinsi alivyo.

JAM 1:25 Removed trailing space in v~: Lakini yeye anayeangalia kwa bidii katika sheria kamilifu, ile iletayo uhuru, naye akaendelea kufanya hivyo bila kusahau alichosikia, bali akalitenda, atabarikiwa katika kile anachofanya.

JAM 1:26 Removed trailing space in v~: Kama mtu akidhani ya kuwa anayo dini lakini hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hujidanganya moyoni mwake, wala dini yake mtu huyo haifai kitu.

JAM 1:27 Removed trailing space in v~: Dini iliyo safi, isiyo na uchafu, inayokubalika mbele za Mungu Baba yetu, ndiyo hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao na kujilinda usitiwe madoa na dunia.

JAM 2:0 Extra space after chapter number

JAM 2:0 Removed trailing space in c: 2

JAM 2:0 Removed trailing space in s1: Onyo Kuhusu Upendeleo

JAM 2:1 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, kama waaminio katika imani ya Bwana wetu Yesu Kristo, Bwana wa utukufu, msiwe na upendeleo kwa watu.

JAM 2:2 Removed trailing space in v~: Kwa maana kama akija mtu katika kusanyiko lenu akiwa amevaa pete ya dhahabu na mavazi mazuri, pia akaingia mtu maskini mwenye mavazi yaliyochakaa,

JAM 2:3 Removed trailing space in v~: nanyi mkampa heshima yule aliyevaa mavazi mazuri na kumwambia, “Keti hapa mahali pazuri,” lakini yule maskini mkamwambia, “Wewe simama pale,” au “Keti hapa sakafuni karibu na miguu yangu,”

JAM 2:4 Removed trailing space in v~: je, hamjawabagua na kuwa mahakimu mioyoni mwenu mkihukumu kwa mawazo yenu maovu?

JAM 2:5 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, sikilizeni: Je, Mungu hakuwachagua wale walio maskini machoni pa ulimwengu kuwa matajiri katika imani na kuurithi Ufalme aliowaahidi wale wampendao?

JAM 2:6 Removed trailing space in v~: Lakini ninyi mmemdharau yule aliye maskini. Je, hao matajiri si ndio wanaowadhulumu na kuwaburuta mahakamani?

JAM 2:7 Removed trailing space in v~: Je, si wao wanaolikufuru Jina lile lililo bora sana mliloitiwa?

JAM 2:8 Removed trailing space in v~: Kama kweli mnaitimiza ile sheria ya kifalme inayopatikana katika Maandiko isemayo, “Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako,” mnafanya vyema.

JAM 2:9 Removed trailing space in v~: Lakini kama mnakuwa na upendeleo kwa watu, mnatenda dhambi, na sheria inawahukumu kuwa ninyi ni wakosaji.

JAM 2:10 Removed trailing space in v~: Kwa maana mtu yeyote anayeishika sheria yote lakini akajikwaa katika kipengele kimoja tu, ana hatia ya kuivunja sheria yote.

JAM 2:11 Removed trailing space in v~: Kwa sababu yeye aliyesema, “Usizini,” alisema pia, “Usiue.” Basi kama huzini lakini unaua, umekuwa mvunjaji wa sheria.

JAM 2:12 Removed trailing space in v~: Hivyo semeni na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ile iletayo uhuru.

JAM 2:13 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa hukumu bila huruma itatolewa kwa mtu yeyote asiyekuwa na huruma. Huruma huishinda hukumu.

JAM 2:13 Removed trailing space in s1: Imani Na Matendo

JAM 2:14 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, yafaa nini ikiwa mtu atadai kuwa anayo imani lakini hana matendo? Je, imani kama hiyo yaweza kumwokoa?

JAM 2:15 Removed trailing space in v~: Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula,

JAM 2:16 Removed trailing space in v~: mmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini?

JAM 2:17 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa.

JAM 2:18 Removed trailing space in v~: Lakini mtu mwingine atasema, “Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo.”

JAM 2:18 Removed trailing space in p~: Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo.

JAM 2:19 Removed trailing space in v~: Unaamini kwamba kuna Mungu mmoja. Vyema! Hata mashetani yanaamini hivyo na kutetemeka.

JAM 2:20 Removed trailing space in v~: Ewe mpumbavu! Je, wataka kujua kwamba imani bila matendo haifai kitu?

JAM 2:21 Removed trailing space in v~: Je, Abrahamu baba yetu hakuhesabiwa haki kwa kile alichotenda, alipomtoa mwanawe Isaki madhabahuni?

JAM 2:22 Removed trailing space in v~: Unaona jinsi ambavyo imani yake na matendo yake vilikuwa vinatenda kazi pamoja, nayo imani yake ikakamilishwa na kile alichotenda.

JAM 2:23 Removed trailing space in v~: Kwa njia hiyo yakatimizwa yale Maandiko yasemayo, “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki,” naye akaitwa rafiki wa Mungu.

JAM 2:24 Removed trailing space in v~: Mnaona ya kwamba mtu huhesabiwa haki kwa yale anayotenda wala si kwa imani peke yake.

JAM 2:25 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, hata Rahabu, yule kahaba, hakuhesabiwa haki kwa yale aliyotenda alipowapokea wale wapelelezi na kuwaambia waende njia nyingine?

JAM 2:26 Removed trailing space in v~: Kama vile ambavyo mwili pasipo roho umekufa, kadhalika nayo imani pasipo matendo imekufa.

JAM 3:0 Extra space after chapter number

JAM 3:0 Removed trailing space in c: 3

JAM 3:0 Removed trailing space in s1: Kuufuga Ulimi

JAM 3:1 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, msiwe walimu wengi, kwa maana mnafahamu kwamba sisi tufundishao tutahukumiwa vikali zaidi.

JAM 3:2 Removed trailing space in v~: Sisi sote tunajikwaa katika mambo mengi. Ikiwa mtu yeyote hakosei kamwe katika yale anayosema, yeye ni mkamilifu, naye anaweza kuuzuia pia na mwili wake wote.

JAM 3:3 Removed trailing space in v~: Tunapotia lijamu kwenye vinywa vya farasi ili kuwafanya watutii, tunaweza kuigeuza miili yao yote.

JAM 3:4 Removed trailing space in v~: Au angalia pia meli, ingawa ni kubwa sana, nazo huchukuliwa na upepo mkali, lakini hugeuzwa kwa usukani mdogo sana, kokote anakotaka nahodha.

JAM 3:5 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo ulimi ni kiungo kidogo sana katika mwili, lakini hujivuna majivuno makuu. Fikirini jinsi moto mdogo unavyoweza kuteketeza msitu mkubwa!

JAM 3:6 Removed trailing space in v~: Ulimi pia ni moto, ndio ulimwengu wa uovu kati ya viungo vya mwili. Ulimi huutia mwili wote wa mtu unajisi na kuuwasha moto mfumo mzima wa maisha yake, nao wenyewe huchomwa moto wa jehanamu.

JAM 3:7 Removed trailing space in v~: Kwa maana kila aina ya wanyama, ndege, wanyama watambaao na viumbe vya baharini vinafugika na vimefugwa na binadamu,

JAM 3:8 Removed trailing space in v~: lakini hakuna mtu awezaye kuufuga ulimi. Ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti.

JAM 3:9 Removed trailing space in v~: Kwa ulimi tunamhimidi Bwana, yaani Baba yetu, na kwa huo twawalaani watu walioumbwa kwa mfano wa Mungu.

JAM 3:10 Removed trailing space in v~: Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, haistahili kuwa hivyo.

JAM 3:11 Removed trailing space in v~: Je, chemchemi yaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji ya chumvi?

JAM 3:12 Removed trailing space in v~: Je, ndugu zangu, mtini waweza kuzaa zeituni, au mzabibu kuzaa tini? Wala chemchemi ya maji ya chumvi haiwezi kutoa maji matamu.

JAM 3:12 Removed trailing space in s1: Aina Mbili Za Hekima

JAM 3:13 Removed trailing space in v~: Ni nani aliye na hekima na ufahamu miongoni mwenu? Basi na aionyeshe hiyo kwa maisha yake mema na kwa matendo yake yaliyotendwa kwa unyenyekevu utokanao na hekima.

JAM 3:14 Removed trailing space in v~: Lakini ikiwa mna wivu na ni wenye chuki na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu kwa ajili ya hayo wala msiikatae kweli.

JAM 3:15 Removed trailing space in v~: Hekima ya namna hiyo haishuki kutoka mbinguni, bali ni ya kidunia, isiyo ya kiroho, na ya kishetani.

JAM 3:16 Removed trailing space in v~: Kwa maana panapokuwa na wivu na ubinafsi, ndipo penye machafuko na uovu wa kila namna.

JAM 3:17 Removed trailing space in v~: Lakini hekima itokayo mbinguni kwanza ni safi, kisha inapenda amani, tena ni ya upole, iliyo tayari kusikiliza wengine kwa unyenyekevu, iliyojaa huruma na matunda mema, isiyopendelea mtu, tena isiyokuwa na unafiki.

JAM 3:18 Removed trailing space in v~: Mavuno ya haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.

JAM 4:0 Extra space after chapter number

JAM 4:0 Removed trailing space in c: 4

JAM 4:0 Removed trailing space in s1: Jinyenyekezeni Kwa Mungu

JAM 4:1 Removed trailing space in v~: Ni kitu gani kinachosababisha mapigano na ugomvi miongoni mwenu? Je, haya hayatokani na tamaa zenu zinazoshindana ndani yenu?

JAM 4:2 Removed trailing space in v~: Mnatamani lakini hampati, kwa hiyo mwaua. Mwatamani kupata lakini hampati vile mnavyotaka, kwa hiyo mnajitia katika magomvi na mapigano. Mmepungukiwa kwa sababu hammwombi Mungu.

JAM 4:3 Removed trailing space in v~: Mnapoomba hampati kwa sababu mnaomba kwa nia mbaya, ili mpate kuvitumia hivyo mtakavyopata kwa tamaa zenu.

JAM 4:4 Removed trailing space in v~: Ninyi wanaume na wanawake wazinzi, hamjui ya kwamba urafiki na dunia ni uadui na Mungu? Kwa hiyo mtu yeyote anayetaka kuwa rafiki wa dunia hufanyika adui wa Mungu.

JAM 4:5 Removed trailing space in v~: Au mwadhani kwamba Andiko lasema bure kuwa huyo Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu?

JAM 4:6 Removed trailing space in v~: Lakini yeye hutupatia neema zaidi. Hii ndiyo sababu Andiko husema:

JAM 4:6 Removed trailing space in p~: “Mungu huwapinga wenye kiburi,

JAM 4:6 Removed trailing space in p~: lakini huwapa wanyenyekevu neema.”

JAM 4:7 Removed trailing space in v~: Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia.

JAM 4:8 Removed trailing space in v~: Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu ninyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu ninyi wenye nia mbili.

JAM 4:9 Removed trailing space in v~: Huzunikeni, ombolezeni na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni.

JAM 4:10 Removed trailing space in v~: Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawainua.

JAM 4:10 Removed trailing space in s1: Onyo Kuhusu Kuhukumu Wengine

JAM 4:11 Removed trailing space in v~: Ndugu, msineneane mabaya ninyi kwa ninyi. Mtu yeyote anayesema mabaya dhidi ya ndugu yake au kumhukumu anasema dhidi ya sheria na kuihukumu. Unapoihukumu sheria, basi huishiki sheria bali umekuwa hakimu wa kuihukumu hiyo sheria.

JAM 4:12 Removed trailing space in v~: Yuko Mtoa sheria mmoja tu na yeye peke yake ndiye Hakimu, ndiye awezaye kuokoa au kuangamiza. Lakini wewe ni nani hata umhukumu jirani yako?

JAM 4:12 Removed trailing space in s1: Kujivuna Kwa Ajili Ya Kesho

JAM 4:13 Removed trailing space in v~: Basi sikilizeni ninyi msemao, “Leo au kesho tutakwenda katika mji huu ama ule tukae humo mwaka mmoja, tufanye biashara na kupata faida.”

JAM 4:14 Removed trailing space in v~: Lakini hamjui hata litakalotukia kesho. Maisha yenu ni nini? Ninyi ni ukungu ambao huonekana kwa kitambo kidogo kisha hutoweka.

JAM 4:15 Removed trailing space in v~: Badala yake, inawapasa kusema, “Kama Bwana akipenda, tutaishi na kufanya hili ama lile.”

JAM 4:16 Removed trailing space in v~: Kama ilivyo sasa, mnajisifu na kujigamba. Kujisifu kwa namna hiyo ni uovu.

JAM 4:17 Removed trailing space in v~: Basi mtu yeyote anayejua jema limpasalo kutenda, lakini asilitende, mtu huyo anatenda dhambi.

JAM 5:0 Extra space after chapter number

JAM 5:0 Removed trailing space in c: 5

JAM 5:0 Removed trailing space in s1: Onyo Kwa Matajiri

JAM 5:1 Removed trailing space in v~: Basi sikilizeni, ninyi matajiri, lieni na kuomboleza kwa ajili ya hali mbaya sana inayowajia.

JAM 5:2 Removed trailing space in v~: Utajiri wenu umeoza na mavazi yenu yameliwa na nondo.

JAM 5:3 Removed trailing space in v~: Dhahabu yenu na fedha yenu vimeliwa na kutu. Kutu yake itashuhudia dhidi yenu nayo itaila miili yenu kama vile moto. Mmejiwekea hazina kwa ajili ya siku za mwisho.

JAM 5:4 Removed trailing space in v~: Angalieni! Ule ujira wa vibarua waliolima mashamba yenu mliouzuia kwa hila unapiga kelele dhidi yenu na vilio vya wavunaji vimefika masikioni mwa Bwana Mwenye Nguvu Zote.

JAM 5:5 Removed trailing space in v~: Mmeishi duniani kwa anasa na kwa starehe, mmejinenepesha tayari kwa siku ya kuchinjwa.

JAM 5:6 Removed trailing space in v~: Mmewahukumu na kuwaua watu wenye haki, waliokuwa hawapingani nanyi.

JAM 5:6 Removed trailing space in s1: Uvumilivu Katika Mateso

JAM 5:7 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, ndugu zangu, vumilieni hadi kuja kwake Bwana. Angalieni jinsi mkulima angojavyo ardhi itoe mavuno yake yaliyo ya thamani na jinsi anavyovumilia kwa ajili ya kupata mvua za kwanza na za mwisho.

JAM 5:8 Removed trailing space in v~: Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana kumekaribia.

JAM 5:9 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, msinungʼunikiane msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni!

JAM 5:10 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, waangalieni manabii walionena kwa Jina la Bwana, ili kuwa mfano wa uvumilivu katika kukabiliana na mateso.

JAM 5:11 Removed trailing space in v~: Kama mnavyojua, tunawahesabu kuwa wabarikiwa wale waliovumilia. Mmesikia habari za uvumilivu wake Ayubu na mmeona kile ambacho hatimaye Bwana alimtendea. Bwana ni mwingi wa huruma, na amejaa rehema.

JAM 5:12 Removed trailing space in v~: Zaidi ya yote, ndugu zangu, msiape, iwe kwa mbingu au kwa dunia, au kwa kitu kingine chochote. “Ndiyo” yenu na iwe ndiyo, na “Hapana” yenu iwe hapana, la sivyo mtahukumiwa.

JAM 5:12 Removed trailing space in s1: Maombi Ya Imani

JAM 5:13 Removed trailing space in v~: Je, mtu yeyote miongoni mwenu amepatwa na taabu? Basi inampasa aombe. Je, kuna yeyote mwenye furaha? Basi na aimbe nyimbo za kusifu.

JAM 5:14 Removed trailing space in v~: Je, kuna yeyote miongoni mwenu aliye mgonjwa? Basi inampasa awaite wazee wa kanisa wamwombee na kumpaka mafuta kwa Jina la Bwana.

JAM 5:15 Removed trailing space in v~: Kule kuomba kwa imani kutamwokoa huyo mgonjwa, naye Bwana atamwinua na kama ametenda dhambi, atasamehewa.

JAM 5:16 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo ungamianeni dhambi zenu ninyi kwa ninyi na kuombeana ili mpate kuponywa. Maombi ya mwenye haki yana nguvu tena yanafaa sana.

JAM 5:17 Removed trailing space in v~: Eliya alikuwa mwanadamu kama sisi. Akaomba kwa bidii kwamba mvua isinyeshe, nayo haikunyesha juu ya nchi kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita.

JAM 5:18 Removed trailing space in v~: Kisha akaomba tena, nazo mbingu zikatoa mvua nayo ardhi ikatoa mazao yake.

JAM 5:19 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, yeyote miongoni mwenu akipotoka na kuicha kweli, naye akarejezwa na mtu mwingine,

JAM 5:20 Removed trailing space in v~: hamna budi kujua kwamba yeyote amrejezaye mwenye dhambi kutoka upotovu wake, ataiokoa roho ya huyo mwenye dhambi kutoka mauti na kusitiri wingi wa dhambi.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 5    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 38    q1: 1    q2: 1    rem: 1    s1: 14    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 174    v: 108  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    q1: 1    q2: 1    c: 5    s1: 14    p: 38    v: 108    Total: 174  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 5    Paragraphs: 38    Verses: 108  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 5    Paragraphs: 38    Verses: 108  

Characters

All Character Counts

 0: 8    1: 60    2: 29    3: 13    4: 13    5: 13    6: 12    7: 11    8: 9    9: 8    a: 36    A: 2    b: 7    d: 3    e: 15    f: 1    g: 3    H: 2    h: 4    I: 3    i: 30    j: 5    J: 1    k: 12    K: 13    l: 5    m: 10    M: 6    n: 18    N: 4    o: 16    O: 3    p: 1    r: 3    s: 6    Space: 29    t: 6    Total: 469    U: 5    u: 22    v: 3    w: 4    W: 1    Y: 7    y: 5    Z: 1    z: 1  

All Character Counts (sorted by count)

 p: 1    f: 1    Z: 1    J: 1    z: 1    W: 1    H: 2    A: 2    I: 3    r: 3    d: 3    O: 3    g: 3    v: 3    N: 4    w: 4    h: 4    U: 5    j: 5    y: 5    l: 5    s: 6    t: 6    M: 6    Y: 7    b: 7    9: 8    0: 8    8: 9    m: 10    7: 11    k: 12    6: 12    3: 13    4: 13    5: 13    K: 13    e: 15    o: 16    n: 18    u: 22    Space: 29    2: 29    i: 30    a: 36    1: 60    Total: 469  

Letter Counts

 a: 36    A: 2    b: 7    d: 3    e: 15    f: 1    g: 3    H: 2    h: 4    I: 3    i: 30    j: 5    J: 1    k: 12    K: 13    l: 5    m: 10    M: 6    n: 18    N: 4    o: 16    O: 3    p: 1    r: 3    s: 6    Space: 29    t: 6    Total: 293    U: 5    u: 22    v: 3    w: 4    W: 1    Y: 7    y: 5    Z: 1    z: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 p: 1    f: 1    Z: 1    J: 1    z: 1    W: 1    H: 2    A: 2    I: 3    r: 3    d: 3    O: 3    g: 3    v: 3    N: 4    w: 4    h: 4    U: 5    j: 5    y: 5    l: 5    s: 6    t: 6    M: 6    Y: 7    b: 7    m: 10    k: 12    K: 13    e: 15    o: 16    n: 18    u: 22    Space: 29    i: 30    a: 36    Total: 293  

Words

All Word Counts

 --Total--: 48    Aina: 1    Ajili: 1    Hekima: 2    Imani: 3    Jinyenyekezeni: 1    Katika: 1    Kesho: 1    Kuhukumu: 1    Kuhusu: 2    Kujaribiwa: 1    Kujivuna: 1    Kusikia: 1    Kutenda: 1    Kuufuga: 1    Kwa: 3    Maombi: 1    Matajiri: 1    Matendo: 1    Mateso: 1    Mbili: 1    Mungu: 1    Na: 4    Onyo: 3    Ulimi: 1    Umaskini: 1    Upendeleo: 1    Utajiri: 1    Uvumilivu: 1    Wengine: 1    Ya: 2    Yak: 1    Yakobo: 4    Za: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 Yak: 1    Umaskini: 1    Utajiri: 1    Kujaribiwa: 1    Kusikia: 1    Kutenda: 1    Upendeleo: 1    Matendo: 1    Kuufuga: 1    Ulimi: 1    Aina: 1    Mbili: 1    Za: 1    Jinyenyekezeni: 1    Mungu: 1    Kuhukumu: 1    Wengine: 1    Kujivuna: 1    Ajili: 1    Kesho: 1    Matajiri: 1    Uvumilivu: 1    Katika: 1    Mateso: 1    Maombi: 1    Hekima: 2    Kuhusu: 2    Ya: 2    Imani: 3    Onyo: 3    Kwa: 3    Yakobo: 4    Na: 4    --Total--: 48  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 48    aina: 1    ajili: 1    hekima: 2    imani: 3    jinyenyekezeni: 1    katika: 1    kesho: 1    kuhukumu: 1    kuhusu: 2    kujaribiwa: 1    kujivuna: 1    kusikia: 1    kutenda: 1    kuufuga: 1    kwa: 3    maombi: 1    matajiri: 1    matendo: 1    mateso: 1    mbili: 1    mungu: 1    na: 4    onyo: 3    ulimi: 1    umaskini: 1    upendeleo: 1    utajiri: 1    uvumilivu: 1    wengine: 1    ya: 2    yak: 1    yakobo: 4    za: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 yak: 1    umaskini: 1    utajiri: 1    kujaribiwa: 1    kusikia: 1    kutenda: 1    upendeleo: 1    matendo: 1    kuufuga: 1    ulimi: 1    aina: 1    mbili: 1    za: 1    jinyenyekezeni: 1    mungu: 1    kuhukumu: 1    wengine: 1    kujivuna: 1    ajili: 1    kesho: 1    matajiri: 1    uvumilivu: 1    katika: 1    mateso: 1    maombi: 1    hekima: 2    kuhusu: 2    ya: 2    imani: 3    onyo: 3    kwa: 3    yakobo: 4    na: 4    --Total--: 48  

Headings

Title Lines

JAM -1:6 Main Title 1:Yakobo

Section Heading Lines

JAM 1:1Imani Na Hekima
JAM 1:8Umaskini Na Utajiri
JAM 1:11Kujaribiwa
JAM 1:18Kusikia Na Kutenda
JAM 2:0Onyo Kuhusu Upendeleo
JAM 2:13Imani Na Matendo
JAM 3:0Kuufuga Ulimi
JAM 3:12Aina Mbili Za Hekima
JAM 4:0Jinyenyekezeni Kwa Mungu
JAM 4:10Onyo Kuhusu Kuhukumu Wengine
JAM 4:12Kujivuna Kwa Ajili Ya Kesho
JAM 5:0Onyo Kwa Matajiri
JAM 5:6Uvumilivu Katika Mateso
JAM 5:12Maombi Ya Imani