Freely-Given.org Bible JDE Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in JDE -1:0

Showing 1 out of 40 priority errors

Fix Text Errors

JDE -1:0 Removed trailing space in id: JUD - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

JDE -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

JDE -1:2 Removed trailing space in h: Yuda

JDE -1:3 Removed trailing space in toc1: Yuda

JDE -1:4 Removed trailing space in toc2: Yuda

JDE -1:5 Removed trailing space in toc3: Yud

JDE -1:6 Removed trailing space in mt1: Yuda

JDE 1:0 Extra space after chapter number

JDE 1:0 Removed trailing space in c: 1

JDE 1:0 Removed trailing space in s1: Salamu

JDE 1:1 Removed trailing space in v~: Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo na nduguye Yakobo:

JDE 1:1 Removed trailing space in p~: Kwa wale walioitwa, wapendwa katika Mungu Baba na kuhifadhiwa salama ndani ya Yesu Kristo:

JDE 1:2 Removed trailing space in v~: Rehema, amani na upendo viwe kwenu kwa wingi.

JDE 1:2 Removed trailing space in s1: Dhambi Na Hukumu Ya Watu Wasiomcha Mungu

JDE 1:3 Removed trailing space in v~: Wapendwa, ingawa nilikuwa ninatamani sana kuwaandikia kuhusu wokovu ambao tunaushiriki sisi sote, niliona imenipasa kuwaandikia na kuwasihi kwamba mwitetee imani iliyokabidhiwa watakatifu kwa nafasi moja itoshayo.

JDE 1:4 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa kuna watu waliojipenyeza kwa siri katikati yenu, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, waovu, wapotoshao neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi wakimkana yeye aliye Bwana wetu wa pekee, Bwana Yesu Kristo.

JDE 1:4 Removed trailing space in s1: Hukumu Kwa Walimu Wa Uongo

JDE 1:5 Removed trailing space in v~: Ingawa mmekwisha kujua haya yote, nataka niwakumbushe kuwa Bwana akiisha kuwaokoa watu wake kutoka nchi ya Misri, baadaye aliwaangamiza wale ambao hawakuamini.

JDE 1:6 Removed trailing space in v~: Nao malaika ambao hawakulinda nafasi zao, lakini wakayaacha makao yao, hawa amewaweka katika giza, wakiwa wamefungwa kwa minyororo ya milele kwa ajili ya hukumu Siku ile kuu.

JDE 1:7 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, Sodoma na Gomora na pia ile miji iliyokuwa kandokando, ambayo kwa jinsi moja na hao, walijifurahisha kwa uasherati na kufuata tamaa za mwili zisizo za asili, waliwekwa wawe mfano kwa kuadhibiwa katika moto wa milele.

JDE 1:8 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, hawa waotao ndoto huutia mwili unajisi, hukataa kuwa chini ya mamlaka na kunena mabaya juu ya wenye mamlaka.

JDE 1:9 Removed trailing space in v~: Lakini hata malaika mkuu Mikaeli alipokuwa anashindana na ibilisi juu ya mwili wa Mose, hakuthubutu kumlaumu, bali alimwambia, “Bwana na akukemee!”

JDE 1:10 Removed trailing space in v~: Lakini watu hawa hunena mabaya dhidi ya mambo wasiyoyafahamu. Na katika mambo yale wanayoyafahamu kwa hisia kama wanyama wasio na akili, hayo ndiyo hasa yanayowaharibu.

JDE 1:11 Removed trailing space in v~: Ole wao! Kwa kuwa wanaifuata njia ya Kaini, wamekimbilia faida katika kosa la Balaamu na kuangamia katika uasi wa Kora.

JDE 1:12 Removed trailing space in v~: Watu hawa ni dosari katika karamu zenu za upendo, wakila pamoja nanyi bila hofu, wakijilisha pasipo hofu. Wao ni mawingu yasiyokuwa na maji, yakichukuliwa na upepo, miti isiyo na matunda wakati wa mapukutiko, ambayo hunyauka, iliyokufa mara mbili na kungʼolewa kabisa.

JDE 1:13 Removed trailing space in v~: Wao ni mawimbi makali ya bahari, yakitoa povu la aibu yao wenyewe, ni nyota zipoteazo, ambao weusi wa giza ndio akiba waliowekewa milele.

JDE 1:14 Removed trailing space in v~: Enoki, mtu wa saba kuanzia Adamu alitoa unabii kuhusu watu hawa, akisema: “Tazama, Bwana anakuja pamoja na maelfu kwa maelfu ya watakatifu wake,

JDE 1:15 Removed trailing space in v~: ili kumhukumu kila mmoja na kuwapatiliza wote wasiomcha Mungu kwa matendo yao yote ya uasi waliyoyatenda, pamoja na maneno yote ya kuchukiza ambayo wenye dhambi wamesema dhidi yake.”

JDE 1:16 Removed trailing space in v~: Watu hawa ni wenye kunungʼunika na wenye kutafuta makosa; wao hufuata tamaa zao mbaya, hujisifu kwa maneno makuu kuhusu wao wenyewe na kuwasifu mno watu wenye vyeo kwa ajili ya kujipatia faida.

JDE 1:16 Removed trailing space in s1: Maonyo Na Mausia

JDE 1:17 Removed trailing space in v~: Lakini ninyi wapenzi, kumbukeni yale mitume wa Bwana Yesu Kristo waliyonena zamani.

JDE 1:18 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa waliwaambia, “Siku za mwisho kutakuwa na watu wenye kudhihaki, watakaofuata tamaa zao wenyewe za upotovu.”

JDE 1:19 Removed trailing space in v~: Hawa ndio watu wanaowagawa ninyi, wafuatao tamaa zao za asili, wala hawana Roho.

JDE 1:20 Removed trailing space in v~: Lakini ninyi wapendwa, jijengeni katika imani yenu iliyo takatifu sana tena ombeni katika Roho Mtakatifu.

JDE 1:21 Removed trailing space in v~: Jilindeni katika upendo wa Mungu mkitazamia kwa furaha rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo ili awalete katika uzima wa milele.

JDE 1:22 Removed trailing space in v~: Wahurumieni walio na mashaka;

JDE 1:23 Removed trailing space in v~: wengine waokoeni kwa kuwanyakua kutoka kwenye moto; nao wengine wahurumieni mkiwa na hofu, mkichukia hata vazi lenye mawaa na kutiwa unajisi na mwili.

JDE 1:23 Removed trailing space in s1: Dua Ya Kutakia Heri

JDE 1:24 Removed trailing space in v~: Kwake yeye awezaye kuwalinda ninyi msianguke na kuwaleta mbele za utukufu wake mkuu bila dosari na kwa furaha ipitayo kiasi:

JDE 1:25 Removed trailing space in v~: kwake yeye Mungu pekee Mwokozi wetu, kwa Yesu Kristo Bwana wetu, utukufu, ukuu, uweza na mamlaka ni vyake tangu milele, sasa na hata milele! Amen.

USFMs

Modified Marker List

id rem h toc1 toc2 toc3 mt1
c s1 p v p* v s1 p v* s1 p v* p v* p v p v* p v* s1 p v* p v* p v* s1 p v*

All Newline Marker Counts

 c: 1    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 13    rem: 1    s1: 5    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 51    v: 25  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 1    s1: 5    p: 13    v: 25    Total: 51  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 1    Paragraphs: 13    Verses: 25  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 1    Paragraphs: 13    Verses: 25  

Characters

All Character Counts

 0: 2    1: 14    2: 9    3: 3    4: 3    5: 3    6: 2    7: 2    8: 2    9: 2    a: 23    b: 1    c: 1    d: 5    D: 2    e: 1    g: 2    h: 2    H: 3    i: 6    k: 3    K: 2    l: 2    m: 6    M: 3    N: 2    n: 3    o: 5    r: 1    S: 1    s: 2    Space: 15    t: 2    Total: 168    u: 19    U: 1    W: 4    w: 1    Y: 7    y: 1  

All Character Counts (sorted by count)

 S: 1    b: 1    c: 1    w: 1    U: 1    y: 1    e: 1    r: 1    l: 2    D: 2    h: 2    N: 2    t: 2    s: 2    g: 2    K: 2    6: 2    7: 2    8: 2    9: 2    0: 2    H: 3    k: 3    M: 3    n: 3    3: 3    4: 3    5: 3    W: 4    d: 5    o: 5    m: 6    i: 6    Y: 7    2: 9    1: 14    Space: 15    u: 19    a: 23    Total: 168  

Letter Counts

 a: 23    b: 1    c: 1    d: 5    D: 2    e: 1    g: 2    h: 2    H: 3    i: 6    k: 3    K: 2    l: 2    m: 6    M: 3    N: 2    n: 3    o: 5    r: 1    S: 1    s: 2    Space: 15    t: 2    Total: 126    u: 19    U: 1    W: 4    w: 1    Y: 7    y: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 S: 1    b: 1    c: 1    w: 1    U: 1    y: 1    e: 1    r: 1    l: 2    D: 2    h: 2    N: 2    t: 2    s: 2    g: 2    K: 2    H: 3    k: 3    M: 3    n: 3    W: 4    d: 5    o: 5    m: 6    i: 6    Y: 7    Space: 15    u: 19    a: 23    Total: 126  

Words

All Word Counts

 --Total--: 25    Dhambi: 1    Dua: 1    Heri: 1    Hukumu: 2    Kutakia: 1    Kwa: 1    Maonyo: 1    Mausia: 1    Mungu: 1    Na: 2    Salamu: 1    Uongo: 1    Wa: 1    Walimu: 1    Wasiomcha: 1    Watu: 1    Ya: 2    Yud: 1    Yuda: 4  

All Word Counts (sorted by count)

 Yud: 1    Salamu: 1    Dhambi: 1    Watu: 1    Wasiomcha: 1    Mungu: 1    Kwa: 1    Walimu: 1    Wa: 1    Uongo: 1    Maonyo: 1    Mausia: 1    Dua: 1    Kutakia: 1    Heri: 1    Na: 2    Hukumu: 2    Ya: 2    Yuda: 4    --Total--: 25  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 25    dhambi: 1    dua: 1    heri: 1    hukumu: 2    kutakia: 1    kwa: 1    maonyo: 1    mausia: 1    mungu: 1    na: 2    salamu: 1    uongo: 1    wa: 1    walimu: 1    wasiomcha: 1    watu: 1    ya: 2    yud: 1    yuda: 4  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 yud: 1    salamu: 1    dhambi: 1    watu: 1    wasiomcha: 1    mungu: 1    kwa: 1    walimu: 1    wa: 1    uongo: 1    maonyo: 1    mausia: 1    dua: 1    kutakia: 1    heri: 1    na: 2    hukumu: 2    ya: 2    yuda: 4    --Total--: 25  

Headings

Title Lines

JDE -1:6 Main Title 1:Yuda

Section Heading Lines

JDE 1:0Salamu
JDE 1:2Dhambi Na Hukumu Ya Watu Wasiomcha Mungu
JDE 1:4Hukumu Kwa Walimu Wa Uongo
JDE 1:16Maonyo Na Mausia
JDE 1:23Dua Ya Kutakia Heri