Freely-Given.org Bible JN1 Checks

<Up>

Priority Errors

Extra space after chapter number in JN1 2:0

Showing 1 out of 129 priority errors

Fix Text Errors

JN1 2:0 Extra space after chapter number

JN1 2:0 Removed trailing space in c: 2

JN1 2:0 Removed trailing space in s1: Kristo Mwombezi Wetu

JN1 2:1 Removed trailing space in v~: Watoto wangu wapendwa, nawaandikia haya ili msitende dhambi. Lakini kama mtu yeyote akitenda dhambi, tunaye Mwombezi kwa Baba: ndiye Yesu Kristo, Mwenye Haki.

JN1 2:2 Removed trailing space in v~: Yeye ndiye dhabihu ya upatanisho kwa ajili ya dhambi zetu, wala si kwa ajili ya dhambi zetu tu, bali pia kwa ajili ya dhambi za ulimwengu wote.

JN1 2:3 Removed trailing space in v~: Basi katika hili twajua ya kuwa tumemjua, tukizishika amri zake.

JN1 2:4 Removed trailing space in v~: Mtu yeyote asemaye kuwa, “Ninamjua,” lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, wala ndani ya mtu huyo hamna kweli.

JN1 2:5 Removed trailing space in v~: Lakini mtu yeyote anayelitii neno lake, upendo wa Mungu umekamilika ndani yake kweli kweli. Katika hili twajua kuwa tumo ndani yake.

JN1 2:6 Removed trailing space in v~: Yeyote anayesema anakaa ndani yake hana budi kuenenda kama Yesu alivyoenenda.

JN1 2:6 Removed trailing space in s1: Amri Mpya

JN1 2:7 Removed trailing space in v~: Wapendwa, siwaandikii ninyi amri mpya bali ile ya zamani, ambayo mmekuwa nayo tangu mwanzo. Amri hii ya zamani ni lile neno mlilosikia.

JN1 2:8 Removed trailing space in v~: Lakini nawaandikia amri mpya, yaani, lile neno lililo kweli ndani yake na ndani yenu, kwa sababu giza linapita na ile nuru ya kweli tayari inangʼaa.

JN1 2:9 Removed trailing space in v~: Yeyote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani.

JN1 2:10 Removed trailing space in v~: Yeye ampendaye ndugu yake anakaa nuruni, wala hakuna kitu chochote ndani yake cha kumkwaza.

JN1 2:11 Removed trailing space in v~: Lakini yeyote amchukiaye ndugu yake, yuko gizani na anaenenda gizani, wala hajui anakokwenda, kwa sababu giza limempofusha macho.

JN1 2:12 Removed trailing space in v~: Nawaandikia ninyi, watoto wadogo,

JN1 2:12 Removed trailing space in p~: kwa sababu dhambi zenu

JN1 2:12 Removed trailing space in p~: zimesamehewa kwa ajili ya Jina lake.

JN1 2:13 Removed trailing space in v~: Nawaandikia ninyi, akina baba,

JN1 2:13 Removed trailing space in p~: kwa sababu mmemjua

JN1 2:13 Removed trailing space in p~: yeye aliye tangu mwanzo.

JN1 2:13 Removed trailing space in p~: Nawaandikia ninyi vijana

JN1 2:13 Removed trailing space in p~: kwa sababu mmemshinda yule mwovu.

JN1 2:13 Removed trailing space in p~: Nawaandikia ninyi watoto wadogo,

JN1 2:13 Removed trailing space in p~: kwa sababu mmemjua Baba.

JN1 2:14 Removed trailing space in v~: Nawaandikia ninyi akina baba,

JN1 2:14 Removed trailing space in p~: kwa sababu mmemjua

JN1 2:14 Removed trailing space in p~: yeye aliye tangu mwanzo.

JN1 2:14 Removed trailing space in p~: Nawaandikia ninyi vijana,

JN1 2:14 Removed trailing space in p~: kwa sababu mna nguvu,

JN1 2:14 Removed trailing space in p~: na neno la Mungu linakaa ndani yenu,

JN1 2:14 Removed trailing space in p~: nanyi mmemshinda yule mwovu.

JN1 2:14 Removed trailing space in s1: Msiupende Ulimwengu

JN1 2:15 Removed trailing space in v~: Msiupende ulimwengu wala mambo yaliyo ulimwenguni. Kama mtu yeyote akiupenda ulimwengu, upendo wa Baba haumo ndani yake.

JN1 2:16 Removed trailing space in v~: Kwa maana kila kitu kilichomo ulimwenguni, yaani tamaa ya mwili, tamaa ya macho na kiburi cha uzima, havitokani na Baba bali hutokana na ulimwengu.

JN1 2:17 Removed trailing space in v~: Nao ulimwengu unapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu milele.

JN1 2:17 Removed trailing space in s1: Onyo Dhidi Ya Wapinga Kristo

JN1 2:18 Removed trailing space in v~: Watoto wadogo, huu ni wakati wa mwisho! Kama mlivyosikia kwamba mpinga Kristo anakuja, hivyo basi wapinga Kristo wengi wamekwisha kuja. Kutokana na hili twajua kwamba huu ni wakati wa mwisho.

JN1 2:19 Removed trailing space in v~: Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu hasa. Kwa maana kama wangelikuwa wa kwetu, wangelikaa pamoja nasi, lakini kutoka kwao kulionyesha kwamba hakuna hata mmoja wao aliyekuwa wa kwetu.

JN1 2:20 Removed trailing space in v~: Lakini ninyi mmetiwa mafuta na yeye Aliye Mtakatifu, nanyi nyote mnaijua kweli.

JN1 2:21 Removed trailing space in v~: Siwaandikii kwa sababu hamuijui kweli, bali kwa sababu mnaijua, nanyi mnajua hakuna uongo utokao katika kweli.

JN1 2:22 Removed trailing space in v~: Je, mwongo ni nani? Mwongo ni mtu yule asemaye kwamba Yesu si Kristo. Mtu wa namna hiyo ndiye mpinga Kristo, yaani, yeye humkana Baba na Mwana.

JN1 2:23 Removed trailing space in v~: Hakuna yeyote amkanaye Mwana aliye na Baba. Yeyote anayemkubali Mwana anaye na Baba pia.

JN1 2:24 Removed trailing space in v~: Hakikisheni kwamba lile mlilosikia tangu mwanzo linakaa ndani yenu. Kama lile mlilosikia tangu mwanzo linakaa ndani yenu, ninyi nanyi mtakaa ndani ya Mwana na ndani ya Baba.

JN1 2:25 Removed trailing space in v~: Hii ndiyo ahadi yake kwetu, yaani, uzima wa milele.

JN1 2:26 Removed trailing space in v~: Nawaandikia mambo haya kuhusu wale watu ambao wanajaribu kuwapotosha.

JN1 2:27 Removed trailing space in v~: Nanyi, upako mlioupata kutoka kwake unakaa ndani yenu, wala ninyi hamna haja ya mtu yeyote kuwafundisha. Lakini kama vile upako wake unavyowafundisha kuhusu mambo yote nayo ni kweli wala si uongo, basi kama ulivyowafundisha kaeni ndani yake.

JN1 2:27 Removed trailing space in s1: Watoto Wa Mungu

JN1 2:28 Removed trailing space in v~: Sasa basi, watoto wapendwa, kaeni ndani yake, ili atakapofunuliwa, tuwe na ujasiri, wala tusiaibike mbele zake wakati wa kuja kwake.

JN1 2:29 Removed trailing space in v~: Kama mkijua kuwa yeye ni mwenye haki, mwajua kwamba kila atendaye haki amezaliwa naye.

JN1 3:0 Extra space after chapter number

JN1 3:0 Removed trailing space in c: 3

JN1 3:1 Removed trailing space in v~: Tazameni ni pendo kuu namna gani alilotupa Baba, kwamba sisi tuitwe wana wa Mungu! Na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.

JN1 3:2 Removed trailing space in v~: Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirishwa, tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo.

JN1 3:3 Removed trailing space in v~: Kila mmoja mwenye matumaini haya ndani yake hujitakasa, kama vile yeye alivyo mtakatifu.

JN1 3:4 Removed trailing space in v~: Kila mtu atendaye dhambi afanya uasi, kwa kuwa dhambi ni uasi.

JN1 3:5 Removed trailing space in v~: Lakini mwajua ya kuwa yeye alidhihirishwa ili aziondoe dhambi, wala ndani yake hamna dhambi.

JN1 3:6 Removed trailing space in v~: Kila mtu akaaye ndani yake hatendi dhambi. Kila mtu atendaye dhambi hakumwona yeye wala hakumtambua.

JN1 3:7 Removed trailing space in v~: Watoto wapendwa, mtu yeyote asiwadanganye. Kila mtu atendaye haki ana haki, kama yeye alivyo na haki.

JN1 3:8 Removed trailing space in v~: Yeye atendaye dhambi ni wa ibilisi, kwa sababu ibilisi amekuwa akitenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili aziangamize kazi za ibilisi.

JN1 3:9 Removed trailing space in v~: Yeyote aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wa Mungu wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa na Mungu.

JN1 3:10 Removed trailing space in v~: Kwa jinsi hii tunaweza kujua dhahiri watoto wa Mungu na pia watoto wa ibilisi. Yeyote asiyetenda haki hatokani na Mungu, wala yeye asiyempenda ndugu yake.

JN1 3:10 Removed trailing space in s1: Mpendane Ninyi Kwa Ninyi

JN1 3:11 Removed trailing space in v~: Hili ndilo neno mlilolisikia tangu mwanzo: Kwamba imetupasa tupendane sisi kwa sisi.

JN1 3:12 Removed trailing space in v~: Msiwe kama Kaini aliyekuwa wa yule mwovu akamuua ndugu yake. Basi kwa nini alimuua? Ni kwa sababu matendo yake Kaini yalikuwa mabaya na ya ndugu yake yalikuwa ya haki.

JN1 3:13 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, ninyi msistaajabu kama ulimwengu ukiwachukia.

JN1 3:14 Removed trailing space in v~: Sisi tunajua ya kwamba tumepita mautini kuingia uzimani, kwa sababu tunawapenda ndugu. Kila asiyempenda ndugu yake akaa mautini.

JN1 3:15 Removed trailing space in v~: Yeyote amchukiaye ndugu yake ni muuaji, nanyi mwajua ya kwamba muuaji hana uzima wa milele ndani yake.

JN1 3:16 Removed trailing space in v~: Kwa namna hii twaweza kulijua pendo la Mungu: Kwa sababu Yesu Kristo aliutoa uhai wake kwa ajili yetu. Nasi imetupasa kuutoa uhai kwa ajili ya hao ndugu.

JN1 3:17 Removed trailing space in v~: Ikiwa mtu anavyo vitu vya ulimwengu huu na akamwona ndugu yake ni mhitaji lakini asimhurumie, upendo wa Mungu wakaaje ndani ya mtu huyo?

JN1 3:18 Removed trailing space in v~: Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli.

JN1 3:19 Removed trailing space in v~: Basi hivi ndivyo tutakavyoweza kujua ya kuwa sisi tu wa kweli na hivyo twaithibitisha mioyo yetu mbele za Mungu

JN1 3:20 Removed trailing space in v~: kila mara mioyo yetu inapotuhukumu. Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu, naye anajua kila kitu.

JN1 3:21 Removed trailing space in v~: Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu,

JN1 3:22 Removed trailing space in v~: lolote tuombalo, twalipokea kutoka kwake, kwa sababu tumezitii amri zake na kutenda yale yanayompendeza.

JN1 3:23 Removed trailing space in v~: Hii ndiyo amri yake: kwamba tuliamini Jina la Mwanawe, Yesu Kristo, na kupendana sisi kwa sisi kama yeye alivyotuamuru.

JN1 3:24 Removed trailing space in v~: Wale wote wanaozishika amri zake hukaa ndani yake na yeye ndani yao. Hivi ndivyo tunavyojua kwamba anakaa ndani yetu. Nasi twajua hili kwa njia ya Roho yule aliyetupa.

JN1 4:0 Extra space after chapter number

JN1 4:0 Removed trailing space in c: 4

JN1 4:0 Removed trailing space in s1: Zijaribuni Hizo Roho

JN1 4:1 Removed trailing space in v~: Wapendwa, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho mwone kama zimetoka kwa Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea ulimwenguni.

JN1 4:2 Removed trailing space in v~: Hivi ndivyo mnavyoweza kutambua Roho wa Mungu: Kila roho inayokubali kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatoka kwa Mungu.

JN1 4:3 Removed trailing space in v~: Lakini kila roho ambayo haimkubali Yesu haitoki kwa Mungu. Hii ndiyo roho ya mpinga Kristo, ambayo mmesikia kwamba inakuja na sasa tayari iko ulimwenguni.

JN1 4:4 Removed trailing space in v~: Watoto wapendwa, ninyi mmetokana na Mungu, nanyi mmewashinda kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika ulimwengu.

JN1 4:5 Removed trailing space in v~: Wao wanatokana na ulimwengu na kwa hiyo hunena yaliyo ya ulimwengu, hivyo ulimwengu huwasikiliza.

JN1 4:6 Removed trailing space in v~: Sisi twatokana na Mungu na yeyote anayemjua Mungu hutusikiliza, lakini asiyetokana na Mungu hatusikilizi. Hivi ndivyo tunavyoweza kutambua Roho wa Kweli na roho ya upotovu.

JN1 4:6 Removed trailing space in s1: Mungu Ni Pendo

JN1 4:7 Removed trailing space in v~: Wapendwa, tupendane, kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu. Kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.

JN1 4:8 Removed trailing space in v~: Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mungu ni pendo.

JN1 4:9 Removed trailing space in v~: Hivi ndivyo Mungu alivyoonyesha pendo lake kwetu: Mungu alimtuma Mwanawe wa pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kupitia kwake.

JN1 4:10 Removed trailing space in v~: Hili ndilo pendo: si kwamba tulimpenda Mungu, bali yeye alitupenda, akamtuma Mwanawe, ili yeye awe dhabihu ya upatanisho kwa ajili ya dhambi zetu.

JN1 4:11 Removed trailing space in v~: Marafiki wapendwa, kama Mungu alivyotupenda sisi, imetupasa na sisi kupendana.

JN1 4:12 Removed trailing space in v~: Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote. Lakini tukipendana, Mungu anakaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.

JN1 4:13 Removed trailing space in v~: Tunajua kwamba twakaa ndani yake na yeye ndani yetu, kwa sababu ametupa sisi sehemu ya Roho wake.

JN1 4:14 Removed trailing space in v~: Nasi tumeona na kushuhudia kwamba Baba amemtuma Mwanawe ili awe Mwokozi wa ulimwengu.

JN1 4:15 Removed trailing space in v~: Kila akiriye kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu, basi Mungu hukaa ndani yake, naye ndani ya Mungu.

JN1 4:16 Removed trailing space in v~: Hivyo nasi twajua na kulitumainia pendo la Mungu alilo nalo kwa ajili yetu.

JN1 4:16 Removed trailing space in p~: Mungu ni Upendo. Kila akaaye katika upendo hukaa ndani ya Mungu na Mungu hukaa ndani yake.

JN1 4:17 Removed trailing space in v~: Kwa njia hii, pendo hukamilishwa miongoni mwetu ili tupate kuwa na ujasiri katika siku ya hukumu, kwa sababu kama alivyo ndivyo tulivyo sisi katika ulimwengu huu.

JN1 4:18 Removed trailing space in v~: Katika pendo hakuna hofu. Lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa sababu hofu inahusika na adhabu. Kila mwenye hofu hakukamilika katika pendo.

JN1 4:19 Removed trailing space in v~: Twampenda yeye kwa sababu yeye alitupenda kwanza.

JN1 4:20 Removed trailing space in v~: Ikiwa mtu atasema, “Nampenda Mungu,” lakini anamchukia ndugu yake, yeye ni mwongo. Kwa maana kila mtu asiyempenda ndugu yake ambaye anamwona, atampendaje Mungu asiyemuona?

JN1 4:21 Removed trailing space in v~: Naye ametupa amri hii: Yeyote anayempenda Mungu lazima pia ampende ndugu yake.

JN1 5:0 Extra space after chapter number

JN1 5:0 Removed trailing space in c: 5

JN1 5:0 Removed trailing space in s1: Imani Katika Mwana Wa Mungu Huushinda Ulimwengu

JN1 5:1 Removed trailing space in v~: Kila mtu anayeamini kwamba Yesu ndiye Kristo amezaliwa na Mungu, na yeyote ampendaye Baba humpenda pia mtoto aliyezaliwa naye.

JN1 5:2 Removed trailing space in v~: Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu, kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake.

JN1 5:3 Removed trailing space in v~: Huku ndiko kumpenda Mungu, yaani, kuzitii amri zake. Nazo amri zake si nzito.

JN1 5:4 Removed trailing space in v~: Kwa maana kila aliyezaliwa na Mungu huushinda ulimwengu. Huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, yaani, hiyo imani yetu.

JN1 5:5 Removed trailing space in v~: Ni nani yule aushindaye ulimwengu? Ni yule tu aaminiye kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.

JN1 5:5 Removed trailing space in s1: Ushuhuda Kuhusu Mwana Wa Mungu

JN1 5:6 Removed trailing space in v~: Huyu ndiye alikuja kwa maji na damu, yaani, Yesu Kristo. Hakuja kwa maji peke yake, bali kwa maji na damu. Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.

JN1 5:7 Removed trailing space in v~: Kwa maana wako watatu washuhudiao[ mbinguni: hao ni Baba, Neno na Roho Mtakatifu. Hawa watatu ni umoja.

JN1 5:8 Removed trailing space in v~: Pia wako mashahidi watatu duniani]: Roho, Maji na Damu; hawa watatu wanakubaliana katika umoja.

JN1 5:9 Removed trailing space in v~: Kama tunaukubali ushuhuda wa wanadamu, basi ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi, kwa kuwa huu ndio ushuhuda wa Mungu kwamba amemshuhudia Mwanawe.

JN1 5:10 Removed trailing space in v~: Kila mtu amwaminiye Mwana wa Mungu anao huu ushuhuda moyoni mwake. Kila mtu asiyemwamini Mungu amemfanya yeye kuwa mwongo, kwa sababu hakuamini ushuhuda Mungu alioutoa kuhusu Mwanawe.

JN1 5:11 Removed trailing space in v~: Huu ndio ushuhuda: kwamba Mungu ametupa uzima wa milele, nao huo uzima umo katika Mwanawe.

JN1 5:12 Removed trailing space in v~: Aliye naye Mwana wa Mungu anao uzima, yeye asiye na Mwana wa Mungu hana uzima.

JN1 5:12 Removed trailing space in s1: Maneno Ya Mwisho

JN1 5:13 Removed trailing space in v~: Nawaandikia mambo haya ninyi mnaoliamini Jina la Mwana wa Mungu ili mpate kujua ya kuwa mnao uzima wa milele.

JN1 5:14 Removed trailing space in v~: Huu ndio ujasiri tulio nao tunapomkaribia Mungu, kwamba kama tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.

JN1 5:15 Removed trailing space in v~: Nasi kama tunajua atusikia, lolote tuombalo, tunajua ya kwamba tumekwisha kupata zile haja tulizomwomba.

JN1 5:16 Removed trailing space in v~: Kama mtu akimwona ndugu yake akitenda dhambi isiyo ya mauti, inampasa aombe, naye Mungu atampa uzima mtu huyo. Ninamaanisha wale ambao dhambi yao si ya mauti. Iko dhambi ya mauti, sisemi kwamba utaomba kwa ajili ya hiyo.

JN1 5:17 Removed trailing space in v~: Jambo lolote lisilo la haki ni dhambi, lakini iko dhambi isiyo ya mauti.

JN1 5:18 Removed trailing space in v~: Tunajua ya kuwa yeye aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, bali aliyezaliwa na Mungu hujilinda, wala yule mwovu hawezi kumdhuru.

JN1 5:19 Removed trailing space in v~: Sisi twajua kuwa tu watoto wa Mungu na ya kwamba ulimwengu wote uko chini ya utawala wa yule mwovu.

JN1 5:20 Removed trailing space in v~: Nasi pia twajua ya kwamba Mwana wa Mungu amekuja, naye ametupa sisi ufahamu ili tupate kumjua yeye aliye Kweli. Nasi tumo ndani yake yeye aliye Kweli, yaani, ndani ya Yesu Kristo Mwanawe. Yeye ndiye Mungu wa kweli na uzima wa milele.

JN1 5:21 Removed trailing space in v~: Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 5    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 32    q1: 6    q2: 11    rem: 1    s1: 13    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 179    v: 105  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 5    q1: 6    q2: 11    s1: 13    p: 32    v: 105    Total: 179  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 5    Paragraphs: 32    Verses: 105  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 5    Paragraphs: 32    Verses: 105  

Characters

All Character Counts

 0: 9    1: 60    2: 31    3: 12    4: 12    5: 11    6: 10    7: 10    8: 10    9: 10    a: 33    A: 1    b: 3    d: 6    D: 1    e: 13    g: 7    h: 11    H: 2    i: 25    I: 1    j: 1    K: 6    k: 1    L: 1    l: 2    m: 7    M: 12    n: 28    N: 5    o: 17    O: 1    p: 4    P: 1    r: 5    R: 1    s: 7    Space: 36    t: 7    Total: 475    U: 4    u: 23    w: 7    W: 6    Y: 7    y: 4    z: 3    Z: 1  

All Character Counts (sorted by count)

 L: 1    A: 1    O: 1    D: 1    Z: 1    j: 1    R: 1    P: 1    I: 1    k: 1    l: 2    H: 2    z: 3    b: 3    U: 4    p: 4    y: 4    N: 5    r: 5    K: 6    W: 6    d: 6    Y: 7    m: 7    t: 7    s: 7    w: 7    g: 7    0: 9    6: 10    7: 10    8: 10    9: 10    h: 11    5: 11    3: 12    4: 12    M: 12    e: 13    o: 17    u: 23    i: 25    n: 28    2: 31    a: 33    Space: 36    1: 60    Total: 475  

Letter Counts

 a: 33    A: 1    b: 3    d: 6    D: 1    e: 13    g: 7    h: 11    H: 2    i: 25    I: 1    j: 1    K: 6    k: 1    L: 1    l: 2    m: 7    M: 12    n: 28    N: 5    o: 17    O: 1    p: 4    P: 1    r: 5    R: 1    s: 7    Space: 36    t: 7    Total: 300    U: 4    u: 23    w: 7    W: 6    Y: 7    y: 4    z: 3    Z: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 L: 1    A: 1    O: 1    D: 1    Z: 1    j: 1    R: 1    P: 1    I: 1    k: 1    l: 2    H: 2    z: 3    b: 3    U: 4    p: 4    y: 4    N: 5    r: 5    K: 6    W: 6    d: 6    Y: 7    m: 7    t: 7    s: 7    w: 7    g: 7    h: 11    M: 12    e: 13    o: 17    u: 23    i: 25    n: 28    a: 33    Space: 36    Total: 300  

Words

All Word Counts

 --Total--: 50    1Yn: 1    Amri: 1    Dhidi: 1    Hizo: 1    Huushinda: 1    Imani: 1    Katika: 1    Kristo: 2    Kuhusu: 1    Kutembea: 1    Kwa: 1    La: 1    Maneno: 1    Mpendane: 1    Mpya: 1    Msiupende: 1    Mungu: 4    Mwana: 2    Mwisho: 1    Mwombezi: 1    Neno: 1    Ni: 1    Ninyi: 2    Nuruni: 1    Onyo: 1    Pendo: 1    Roho: 1    Ulimwengu: 2    Ushuhuda: 1    Uzima: 1    Wa: 3    Wapinga: 1    Watoto: 1    Wetu: 1    Ya: 2    Yohana: 4    Zijaribuni: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 1Yn: 1    Neno: 1    La: 1    Uzima: 1    Kutembea: 1    Nuruni: 1    Mwombezi: 1    Wetu: 1    Amri: 1    Mpya: 1    Msiupende: 1    Onyo: 1    Dhidi: 1    Wapinga: 1    Watoto: 1    Mpendane: 1    Kwa: 1    Zijaribuni: 1    Hizo: 1    Roho: 1    Ni: 1    Pendo: 1    Imani: 1    Katika: 1    Huushinda: 1    Ushuhuda: 1    Kuhusu: 1    Maneno: 1    Mwisho: 1    Kristo: 2    Ulimwengu: 2    Ya: 2    Ninyi: 2    Mwana: 2    Wa: 3    Yohana: 4    Mungu: 4    --Total--: 50  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 50    1yn: 1    amri: 1    dhidi: 1    hizo: 1    huushinda: 1    imani: 1    katika: 1    kristo: 2    kuhusu: 1    kutembea: 1    kwa: 1    la: 1    maneno: 1    mpendane: 1    mpya: 1    msiupende: 1    mungu: 4    mwana: 2    mwisho: 1    mwombezi: 1    neno: 1    ni: 1    ninyi: 2    nuruni: 1    onyo: 1    pendo: 1    roho: 1    ulimwengu: 2    ushuhuda: 1    uzima: 1    wa: 3    wapinga: 1    watoto: 1    wetu: 1    ya: 2    yohana: 4    zijaribuni: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 1yn: 1    neno: 1    la: 1    uzima: 1    kutembea: 1    nuruni: 1    mwombezi: 1    wetu: 1    amri: 1    mpya: 1    msiupende: 1    onyo: 1    dhidi: 1    wapinga: 1    watoto: 1    mpendane: 1    kwa: 1    zijaribuni: 1    hizo: 1    roho: 1    ni: 1    pendo: 1    imani: 1    katika: 1    huushinda: 1    ushuhuda: 1    kuhusu: 1    maneno: 1    mwisho: 1    kristo: 2    ulimwengu: 2    ya: 2    ninyi: 2    mwana: 2    wa: 3    yohana: 4    mungu: 4    --Total--: 50  

Headings

Title Lines

JN1 -1:6 Main Title 1:1 Yohana

Section Heading Lines

JN1 1:0Neno La Uzima
JN1 1:4Kutembea Nuruni
JN1 2:0Kristo Mwombezi Wetu
JN1 2:6Amri Mpya
JN1 2:14Msiupende Ulimwengu
JN1 2:17Onyo Dhidi Ya Wapinga Kristo
JN1 2:27Watoto Wa Mungu
JN1 3:10Mpendane Ninyi Kwa Ninyi
JN1 4:0Zijaribuni Hizo Roho
JN1 4:6Mungu Ni Pendo
JN1 5:0Imani Katika Mwana Wa Mungu Huushinda Ulimwengu
JN1 5:5Ushuhuda Kuhusu Mwana Wa Mungu
JN1 5:12Maneno Ya Mwisho