KCV.USFM.Demo home
Freely-Given home
News
Overview
Heroes
Bible originals
Bible translations
Open English Translation (OET)
Bible maps
Bible translation
Apps
Software
Bible Organisational System
Bible Drop Box
Demo outputs
Biblelator editor
Bible Door app
Bible standards
Bible reference
Music and songs
Images
Bible studies
Bible teaching
Sermons
FM radio
The Bible Man Van
About
Opportunities
Links
Contact
Donate
Trailing space at end of line in JNA -1:0
Showing 1 out of 99 priority errors
JNA -1:0 Removed trailing space in id: JON - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version
JNA -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.
JNA -1:2 Removed trailing space in h: Yona
JNA -1:3 Removed trailing space in toc1: Yona
JNA -1:4 Removed trailing space in toc2: Yona
JNA -1:5 Removed trailing space in toc3: Yon
JNA -1:6 Removed trailing space in mt1: Yona
JNA 1:0 Extra space after chapter number
JNA 1:0 Removed trailing space in c: 1
JNA 1:0 Removed trailing space in s1: Yona Anamkimbia \nd Bwana\nd*
JNA 1:1 Removed trailing space in v~: Neno la \nd Bwana\nd* lilimjia Yona mwana wa Amitai:
JNA 1:2 Removed trailing space in v~: “Nenda katika mji mkubwa wa Ninawi ukahubiri juu yake, kwa sababu uovu wake umekuja juu mbele zangu.”
JNA 1:3 Removed trailing space in v~: Lakini Yona alimkimbia \nd Bwana\nd* na kuelekea Tarshishi. Alishuka mpaka Yafa, ambapo alikuta meli iliyokuwa imepangwa kuelekea bandari ile. Baada ya kulipa nauli, akapanda melini na kuelekea Tarshishi ili kumkimbia \nd Bwana\nd*.
JNA 1:4 Removed trailing space in v~: Ndipo \nd Bwana\nd* akatuma upepo mkali baharini, nayo dhoruba kali sana ikavuma hata meli ikawa hatarini kuvunjika.
JNA 1:5 Removed trailing space in v~: Mabaharia wote waliogopa na kila mmoja akamlilia mungu wake mwenyewe. Nao wakatupa mizigo baharini ili meli ipungue uzito.
JNA 1:5 Removed trailing space in p~: Lakini Yona alikuwa ameteremkia chumba cha ndani ya meli, mahali ambapo alilala na kupatwa na usingizi mzito.
JNA 1:6 Removed trailing space in v~: Nahodha akamwendea na kusema, “Wewe unawezaje kulala? Amka ukamwite mungu wako! Huenda akatuangalia, tusiangamie.”
JNA 1:7 Removed trailing space in v~: Kisha mabaharia wakasemezana wao kwa wao, “Njooni, tupige kura tumtafute anayehusika na maafa haya.” Wakapiga kura, kura ikamwangukia Yona.
JNA 1:8 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo walimuuliza, “Tuambie, ni nani anayehusika kwa kutuletea tatizo hili lote? Unafanya kazi gani? Umetoka wapi? Nchi yako ni ipi? Wewe ni kutoka taifa lipi?”
JNA 1:9 Removed trailing space in v~: Akajibu, “Mimi ni Mwebrania, nami namwabudu \nd Bwana\nd*, Mungu wa Mbinguni, aliyeumba bahari na nchi kavu.”
JNA 1:10 Removed trailing space in v~: Hili liliwaogopesha nao wakamuuliza,
JNA 1:10 Removed trailing space in p~: “Umefanya nini?” (Walijua alikuwa anamkimbia \nd Bwana\nd*, kwa sababu alishawaambia hivyo.)
JNA 1:11 Removed trailing space in v~: Bahari ilikuwa inazidi kuchafuka. Kwa hiyo walimuuliza, “Tukutendee nini ili kufanya bahari itulie kwa ajili yetu?”
JNA 1:12 Removed trailing space in v~: Akawajibu, “Niinueni mnitupe baharini, nayo itakuwa shwari. Ninajua mawimbi haya makubwa yamewatokea kwa ajili ya kosa langu.”
JNA 1:13 Removed trailing space in v~: Badala yake, wale watu walijitahidi kupiga makasia wawezavyo ili wapate kurudi pwani. Lakini hawakuweza, kwa kuwa bahari ilizidi kuchafuka kuliko mwanzo.
JNA 1:14 Removed trailing space in v~: Ndipo wakamlilia \nd Bwana\nd*, “Ee \nd Bwana\nd*, tafadhali usituue kwa kuondoa uhai wa mtu huyu. Usituhesabie hatia kwa kuutoa uhai wa mtu asiyekuwa na hatia, kwa kuwa wewe, Ee \nd Bwana\nd*, umefanya kama ilivyokupendeza.”
JNA 1:15 Removed trailing space in v~: Kisha walimchukua Yona, wakamtupa baharini nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia.
JNA 1:16 Removed trailing space in v~: Katika jambo hili watu wakamwogopa \nd Bwana\nd* sana, wakamtolea \nd Bwana\nd* dhabihu na kumwekea nadhiri.
JNA 1:17 Removed trailing space in v~: Lakini \nd Bwana\nd* akamwandaa nyangumi\f + \fr 1:17 \ft Yaani samaki mkubwa sana.\f* kummeza Yona, naye Yona alikuwa ndani ya tumbo la nyangumi kwa siku tatu, usiku na mchana.
JNA 2:0 Extra space after chapter number
JNA 2:0 Removed trailing space in c: 2
JNA 2:0 Removed trailing space in s1: Maombi Ya Yona Katika Tumbo La Nyangumi
JNA 2:1 Removed trailing space in v~: Akiwa ndani ya tumbo la nyangumi, Yona alimwomba \nd Bwana\nd* Mungu wake.
JNA 2:2 Removed trailing space in v~: Akasema:
JNA 2:2 Removed trailing space in p~: “Katika shida yangu nalimwita \nd Bwana\nd*,
JNA 2:2 Removed trailing space in p~: naye akanijibu.
JNA 2:2 Removed trailing space in p~: Kutoka kina cha kaburi\f + \fr 2:2 \ft Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.\f* niliomba msaada,
JNA 2:2 Removed trailing space in p~: nawe ukasikiliza kilio changu.
JNA 2:3 Removed trailing space in v~: Ulinitupa kwenye kilindi,
JNA 2:3 Removed trailing space in p~: ndani kabisa ya moyo wa bahari,
JNA 2:3 Removed trailing space in p~: mikondo ya maji ilinizunguka,
JNA 2:3 Removed trailing space in p~: mawimbi yako yote na viwimbi
JNA 2:3 Removed trailing space in p~: vilipita juu yangu.
JNA 2:4 Removed trailing space in v~: Nikasema, ‘Nimefukuziwa
JNA 2:4 Removed trailing space in p~: mbali na uso wako,
JNA 2:4 Removed trailing space in p~: hata hivyo nitatazama tena
JNA 2:4 Removed trailing space in p~: kuelekea Hekalu lako takatifu.’
JNA 2:5 Removed trailing space in v~: Maji yaliyonimeza yalinitisha,
JNA 2:5 Removed trailing space in p~: kilindi kilinizunguka;
JNA 2:5 Removed trailing space in p~: mwani\f + \fr 2:5 \ft Mwani hapa maana yake ni magugu yaotayo kwenye sakafu ya kilindi cha bahari.\f* ulijisokota kichwani pangu.
JNA 2:6 Removed trailing space in v~: Nilizama chini sana mpaka pande za mwisho za milima,
JNA 2:6 Removed trailing space in p~: makomeo ya hiyo nchi yalinifungia hata milele.
JNA 2:6 Removed trailing space in p~: Lakini uliuleta uhai wangu kutoka shimoni,
JNA 2:6 Removed trailing space in p~: Ee \nd Bwana\nd* Mungu wangu.
JNA 2:7 Removed trailing space in v~: “Wakati uhai wangu ulipokuwa unatoka,
JNA 2:7 Removed trailing space in p~: nilikukumbuka wewe, \nd Bwana\nd*,
JNA 2:7 Removed trailing space in p~: nayo maombi yangu yalikufikia wewe,
JNA 2:7 Removed trailing space in p~: katika Hekalu lako takatifu.
JNA 2:8 Removed trailing space in v~: “Wale watu wanaongʼangʼana na sanamu zisizofaa
JNA 2:8 Removed trailing space in p~: hupoteza neema ile ambayo ingekuwa yao.
JNA 2:9 Removed trailing space in v~: Lakini mimi, kwa wimbo wa shukrani,
JNA 2:9 Removed trailing space in p~: nitakutolea dhabihu.
JNA 2:9 Removed trailing space in p~: Lile nililowekea nadhiri nitalitimiza.
JNA 2:9 Removed trailing space in p~: Wokovu watoka kwa \nd Bwana\nd*.”
JNA 2:10 Removed trailing space in v~: Basi \nd Bwana\nd* akamwamuru yule nyangumi, naye akamtapika Yona katika nchi kavu.
JNA 3:0 Extra space after chapter number
JNA 3:0 Removed trailing space in c: 3
JNA 3:0 Removed trailing space in s1: Yona Aenda Ninawi
JNA 3:1 Removed trailing space in v~: Ndipo neno la \nd Bwana\nd* likamjia Yona mara ya pili:
JNA 3:2 Removed trailing space in v~: “Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.”
JNA 3:3 Removed trailing space in v~: Yona akalitii neno la \nd Bwana\nd* naye akaenda Ninawi. Basi Ninawi ulikuwa mji maarufu sana, ilichukua siku tatu kuuzunguka.
JNA 3:4 Removed trailing space in v~: Siku ya kwanza, Yona aliingia mjini. Akatangaza: “Baada ya siku arobaini Ninawi utaangamizwa.”
JNA 3:5 Removed trailing space in v~: Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu, wakatangaza kufunga, watu wote kuanzia mkubwa sana hadi yule mdogo kabisa, wakavaa nguo za gunia.
JNA 3:6 Removed trailing space in v~: Habari zilipomfikia mfalme wa Ninawi, aliondoka kwenye kiti chake cha enzi, akavua majoho yake ya kifalme, akajifunika nguo ya gunia kisha akaketi chini mavumbini.
JNA 3:7 Removed trailing space in v~: Ndipo akatoa tangazo katika Ninawi yote:
JNA 3:7 Removed trailing space in p~: “Kwa amri ya mfalme na wakuu wake:
JNA 3:7 Removed trailing space in p~: “Msiruhusu mtu yeyote au mnyama, makundi ya ngʼombe au wanyama wengine wafugwao, kuonja kitu chochote, msiwaruhusu kula wala kunywa.
JNA 3:8 Removed trailing space in v~: Bali wanadamu na wanyama wafunikwe kwa nguo za gunia. Kila mmoja afanye hima kumwomba Mungu. Waziache njia zao mbaya na udhalimu ulio mikononi mwao.
JNA 3:9 Removed trailing space in v~: Ni nani ajuaye? Huenda Mungu akaghairi kwa huruma yake akaacha hasira yake kali ili tusiangamie.”
JNA 3:10 Removed trailing space in v~: Mungu alipoona walivyofanya na jinsi walivyogeuka kutoka njia zao mbaya, akawa na huruma wala hakuleta maangamizi juu yao kama alivyokuwa ameonya.
JNA 4:0 Extra space after chapter number
JNA 4:0 Removed trailing space in c: 4
JNA 4:0 Removed trailing space in s1: Hasira Ya Yona Kwa Ajili Ya Huruma Ya \nd Bwana\nd*.
JNA 4:1 Removed trailing space in v~: Lakini Yona alichukizwa sana akakasirika.
JNA 4:2 Removed trailing space in v~: Akamwomba \nd Bwana\nd*, “Ee \nd Bwana\nd*, hili si lile nililolisema nilipokuwa ningali nyumbani? Hii ndiyo sababu niliharikisha kukimbilia Tarshishi. Nikifahamu kuwa wewe ni Mungu mwenye neema na huruma, si mwepesi wa hasira na umejaa upendo, ni Mungu ambaye hughairi katika kupeleka maafa.
JNA 4:3 Removed trailing space in v~: Sasa, Ee \nd Bwana\nd*, niondolee uhai wangu, kwa kuwa ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”
JNA 4:4 Removed trailing space in v~: Lakini \nd Bwana\nd* akamjibu, “Je unayo haki yoyote kukasirika?”
JNA 4:5 Removed trailing space in v~: Yona akatoka nje akaketi mahali upande wa mashariki wa mji. Hapo akajitengenezea kibanda, akaketi kwenye kivuli chake na kungojea ni nini kitakachotokea katika mji.
JNA 4:6 Removed trailing space in v~: Ndipo \nd Bwana\nd*, Mungu akaweka tayari mzabibu na kuufanya uote, kumpa Yona kivuli kilichomfunika kichwa ili kuondoa taabu yake, naye Yona akafurahi sana kwa ajili ya ule mzabibu.
JNA 4:7 Removed trailing space in v~: Lakini kesho yake asubuhi na mapema Mungu akaamuru buu, autafune mzabibu huo nao ukanyauka.
JNA 4:8 Removed trailing space in v~: Wakati jua lilipochomoza, Mungu akautuma upepo wa hari wa mashariki, nalo jua likawaka juu ya kichwa cha Yona mpaka akazimia. Akatamani kufa, naye akasema, “Ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”
JNA 4:9 Removed trailing space in v~: Lakini Mungu alimwambia Yona, “Je, unayo haki kukasirika kuhusu mzabibu huo?”
JNA 4:9 Removed trailing space in p~: Akasema, “Ndiyo, ninayo haki. Nimekasirika kiasi cha kufa.”
JNA 4:10 Removed trailing space in v~: Lakini \nd Bwana\nd* akamwambia, “Wewe unakasirika kwa ajili ya mzabibu huu, nawe hukuusababisha kuota wala kuutunza. Uliota usiku mmoja, nao ukafa usiku mmoja.
JNA 4:11 Removed trailing space in v~: Lakini Ninawi ina zaidi ya watu 120,000 ambao hawawezi kupambanua kulia au kushoto, pamoja na ngʼombe wengi. Je, hainipasi kufikiri juu ya mji ule mkubwa?”
JNA 3:7 Marker 'pmo' has no content
b: 2 c: 4 h: 1 id: 1 mt1: 1 p: 24 pm: 1 pmo: 1 q1: 14 q2: 16 rem: 1 s1: 4 toc1: 1 toc2: 1 toc3: 1 Total: 121 v: 48
id: 1 rem: 1 h: 1 toc1: 1 toc2: 1 toc3: 1 mt1: 1 pmo: 1 pm: 1 b: 2 c: 4 s1: 4 q1: 14 q2: 16 p: 24 v: 48 Total: 121
nd: 2 nd*: 2 Total: 4
nd: 2 nd*: 2 Total: 4
Book Header: 1 Book ID: 1 Chapters: 4 Paragraphs: 24 Verses: 48
Book ID: 1 Book Header: 1 Chapters: 4 Paragraphs: 24 Verses: 48
.: 1 0: 4 1: 19 2: 6 3: 6 4: 6 5: 5 6: 5 7: 5 8: 4 9: 4 a: 29 A: 3 b: 3 B: 2 d: 1 e: 1 g: 1 H: 2 i: 10 j: 1 k: 2 K: 2 L: 1 l: 1 m: 6 M: 1 n: 15 N: 2 o: 11 r: 2 s: 1 Space: 18 t: 1 T: 1 Total: 204 u: 4 w: 4 Y: 13 y: 1
M: 1 t: 1 T: 1 L: 1 y: 1 g: 1 e: 1 d: 1 s: 1 j: 1 l: 1 .: 1 k: 2 B: 2 K: 2 N: 2 H: 2 r: 2 A: 3 b: 3 w: 4 8: 4 9: 4 0: 4 u: 4 5: 5 6: 5 7: 5 m: 6 2: 6 3: 6 4: 6 i: 10 o: 11 Y: 13 n: 15 Space: 18 1: 19 a: 29 Total: 204
a: 29 A: 3 b: 3 B: 2 d: 1 e: 1 g: 1 H: 2 i: 10 j: 1 k: 2 K: 2 L: 1 l: 1 m: 6 M: 1 n: 15 N: 2 o: 11 r: 2 s: 1 Space: 18 t: 1 T: 1 Total: 139 u: 4 w: 4 Y: 13 y: 1
M: 1 t: 1 T: 1 L: 1 y: 1 g: 1 e: 1 d: 1 s: 1 j: 1 l: 1 k: 2 B: 2 K: 2 N: 2 H: 2 r: 2 A: 3 b: 3 w: 4 u: 4 m: 6 i: 10 o: 11 Y: 13 n: 15 Space: 18 a: 29 Total: 139
.: 1 Total: 1
.: 1 Total: 1
JNA 3:7 Unclosed “ (opened at 3:7:pmo) speech marks before p (or improperly nested or reopened speech marks after p)
JNA 3:10 Unclosed speech marks matching '“ (opened at 3:7:pmo)' before v marker or missing reopening quotes at v10
--Total--: 54 Aenda: 1 Ajili: 1 Anamkimbia: 1 bahari: 1 Bwana: 2 cha: 1 hapa: 2 Hasira: 1 Huruma: 1 Kaburi: 1 Katika: 1 Kiebrania: 1 kilindi: 1 Kuzimu: 1 kwa: 1 Kwa: 1 kwenye: 1 La: 1 maana: 2 magugu: 1 Maombi: 1 mkubwa: 1 Mwani: 1 ni: 3 Ninawi: 1 Nyangumi: 1 sakafu: 1 samaki: 1 sana: 1 Sheol: 1 Tumbo: 1 Ya: 4 ya: 1 Yaani: 1 yake: 2 yaotayo: 1 Yon: 1 Yona: 8
Yon: 1 Anamkimbia: 1 Yaani: 1 samaki: 1 mkubwa: 1 sana: 1 Maombi: 1 Katika: 1 Tumbo: 1 La: 1 Nyangumi: 1 Kaburi: 1 Kuzimu: 1 kwa: 1 Kiebrania: 1 Sheol: 1 Mwani: 1 magugu: 1 yaotayo: 1 kwenye: 1 sakafu: 1 ya: 1 kilindi: 1 cha: 1 bahari: 1 Aenda: 1 Ninawi: 1 Hasira: 1 Kwa: 1 Ajili: 1 Huruma: 1 Bwana: 2 hapa: 2 maana: 2 yake: 2 ni: 3 Ya: 4 Yona: 8 --Total--: 54
--Total--: 54 aenda: 1 ajili: 1 anamkimbia: 1 bahari: 1 bwana: 2 cha: 1 hapa: 2 hasira: 1 huruma: 1 kaburi: 1 katika: 1 kiebrania: 1 kilindi: 1 kuzimu: 1 kwa: 2 kwenye: 1 la: 1 maana: 2 magugu: 1 maombi: 1 mkubwa: 1 mwani: 1 ni: 3 ninawi: 1 nyangumi: 1 sakafu: 1 samaki: 1 sana: 1 sheol: 1 tumbo: 1 ya: 5 yaani: 1 yake: 2 yaotayo: 1 yon: 1 yona: 8
yon: 1 anamkimbia: 1 yaani: 1 samaki: 1 mkubwa: 1 sana: 1 maombi: 1 katika: 1 tumbo: 1 la: 1 nyangumi: 1 kaburi: 1 kuzimu: 1 kiebrania: 1 sheol: 1 mwani: 1 magugu: 1 yaotayo: 1 kwenye: 1 sakafu: 1 kilindi: 1 cha: 1 bahari: 1 aenda: 1 ninawi: 1 hasira: 1 ajili: 1 huruma: 1 bwana: 2 hapa: 2 maana: 2 yake: 2 kwa: 2 ni: 3 ya: 5 yona: 8 --Total--: 54
JNA 4:0 s1 heading ends with a period: Hasira Ya Yona Kwa Ajili Ya Huruma Ya \nd Bwana\nd*.
JNA -1:6 Main Title 1: | Yona |
JNA 1:0 | Yona Anamkimbia \nd Bwana\nd* |
JNA 2:0 | Maombi Ya Yona Katika Tumbo La Nyangumi |
JNA 3:0 | Yona Aenda Ninawi |
JNA 4:0 | Hasira Ya Yona Kwa Ajili Ya Huruma Ya \nd Bwana\nd*. |
JNA 1:17 | + \fr 1:17 \ft Yaani samaki mkubwa sana. |
JNA 2:2 | + \fr 2:2 \ft Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. |
JNA 2:5 | + \fr 2:5 \ft Mwani hapa maana yake ni magugu yaotayo kwenye sakafu ya…hari. |
Footnote leader '+': 3 Footnotes: 3
Footnotes: 3 Footnote leader '+': 3