Freely-Given.org Bible LAM Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in LAM -1:0

Showing 1 out of 570 priority errors

Fix Text Errors

LAM -1:0 Removed trailing space in id: LAM - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

LAM -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

LAM -1:2 Removed trailing space in h: Maombolezo

LAM -1:3 Removed trailing space in toc1: Maombolezo

LAM -1:4 Removed trailing space in toc2: Maombolezo

LAM -1:5 Removed trailing space in toc3: Mao

LAM -1:6 Removed trailing space in mt1: Maombolezo

LAM 1:0 Extra space after chapter number

LAM 1:0 Removed trailing space in c: 1

LAM 1:0 Removed trailing space in p~: \f + \fr 1 \ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari katika lile beti, na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.\f*

LAM 1:1 Removed trailing space in v~: Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa,

LAM 1:1 Removed trailing space in p~: mji ambao zamani ulikuwa umejaa watu!

LAM 1:1 Removed trailing space in p~: Jinsi ambavyo umekuwa kama mama mjane,

LAM 1:1 Removed trailing space in p~: ambaye wakati fulani alikuwa maarufu miongoni mwa mataifa!

LAM 1:1 Removed trailing space in p~: Yule ambaye alikuwa malkia miongoni mwa majimbo

LAM 1:1 Removed trailing space in p~: sasa amekuwa mtumwa.

LAM 1:2 Removed trailing space in v~: Kwa uchungu, hulia sana usiku,

LAM 1:2 Removed trailing space in p~: machozi yapo kwenye mashavu yake.

LAM 1:2 Removed trailing space in p~: Miongoni mwa wapenzi wake wote

LAM 1:2 Removed trailing space in p~: hakuna yeyote wa kumfariji.

LAM 1:2 Removed trailing space in p~: Rafiki zake wote wamemsaliti,

LAM 1:2 Removed trailing space in p~: wamekuwa adui zake.

LAM 1:3 Removed trailing space in v~: Baada ya mateso na kufanyishwa kazi kikatili,

LAM 1:3 Removed trailing space in p~: Yuda amekwenda uhamishoni.

LAM 1:3 Removed trailing space in p~: Anakaa miongoni mwa mataifa,

LAM 1:3 Removed trailing space in p~: hapati mahali pa kupumzika.

LAM 1:3 Removed trailing space in p~: Wote ambao wanamsaka wamemkamata

LAM 1:3 Removed trailing space in p~: katikati ya dhiki yake.

LAM 1:4 Removed trailing space in v~: Barabara zielekeazo Sayuni zaomboleza,

LAM 1:4 Removed trailing space in p~: kwa kuwa hakuna yeyote anayekuja

LAM 1:4 Removed trailing space in p~: kwenye sikukuu zake zilizoamriwa.

LAM 1:4 Removed trailing space in p~: Malango yake yote yamekuwa ukiwa,

LAM 1:4 Removed trailing space in p~: makuhani wake wanalia kwa uchungu,

LAM 1:4 Removed trailing space in p~: wanawali wake wanahuzunika,

LAM 1:4 Removed trailing space in p~: naye yuko katika uchungu wa maumivu makuu.

LAM 1:5 Removed trailing space in v~: Adui zake wamekuwa mabwana zake,

LAM 1:5 Removed trailing space in p~: watesi wake wana raha.

LAM 1:5 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* amemletea huzuni

LAM 1:5 Removed trailing space in p~: kwa sababu ya dhambi zake nyingi.

LAM 1:5 Removed trailing space in p~: Watoto wake wamekwenda uhamishoni,

LAM 1:5 Removed trailing space in p~: mateka mbele ya adui.

LAM 1:6 Removed trailing space in v~: Fahari yote imeondoka

LAM 1:6 Removed trailing space in p~: kutoka kwa Binti Sayuni.

LAM 1:6 Removed trailing space in p~: Wakuu wake wako kama ayala

LAM 1:6 Removed trailing space in p~: ambaye hapati malisho,

LAM 1:6 Removed trailing space in p~: katika udhaifu wamekimbia

LAM 1:6 Removed trailing space in p~: mbele ya anayewasaka.

LAM 1:7 Removed trailing space in v~: Katika siku za mateso yake na kutangatanga,

LAM 1:7 Removed trailing space in p~: Yerusalemu hukumbuka hazina zote

LAM 1:7 Removed trailing space in p~: ambazo zilikuwa zake siku za kale.

LAM 1:7 Removed trailing space in p~: Wakati watu wake walipoanguka katika mikono ya adui,

LAM 1:7 Removed trailing space in p~: hapakuwepo na yeyote wa kumsaidia.

LAM 1:7 Removed trailing space in p~: Watesi wake walimtazama

LAM 1:7 Removed trailing space in p~: na kumcheka katika maangamizi yake.

LAM 1:8 Removed trailing space in v~: Yerusalemu ametenda dhambi sana

LAM 1:8 Removed trailing space in p~: kwa hiyo amekuwa najisi.

LAM 1:8 Removed trailing space in p~: Wote waliomheshimu wanamdharau,

LAM 1:8 Removed trailing space in p~: kwa maana wameuona uchi wake.

LAM 1:8 Removed trailing space in p~: Yeye mwenyewe anapiga kite

LAM 1:8 Removed trailing space in p~: na kugeukia mbali.

LAM 1:9 Removed trailing space in v~: Uchafu wake umegandamana na nguo zake;

LAM 1:9 Removed trailing space in p~: hakuwaza juu ya maisha yake ya baadaye.

LAM 1:9 Removed trailing space in p~: Anguko lake lilikuwa la kushangaza,

LAM 1:9 Removed trailing space in p~: hapakuwepo na yeyote wa kumfariji.

LAM 1:9 Removed trailing space in p~: “Tazama, Ee \nd Bwana\nd*, teso langu,

LAM 1:9 Removed trailing space in p~: kwa maana adui ameshinda.”

LAM 1:10 Removed trailing space in v~: Adui ametia mikono

LAM 1:10 Removed trailing space in p~: juu ya hazina zake zote,

LAM 1:10 Removed trailing space in p~: aliona mataifa ya kipagani

LAM 1:10 Removed trailing space in p~: wakiingia mahali patakatifu pake,

LAM 1:10 Removed trailing space in p~: wale uliowakataza kuingia

LAM 1:10 Removed trailing space in p~: kwenye kusanyiko lako.

LAM 1:11 Removed trailing space in v~: Watu wake wote wanalia kwa uchungu

LAM 1:11 Removed trailing space in p~: watafutapo chakula;

LAM 1:11 Removed trailing space in p~: wanabadilisha hazina zao kwa chakula

LAM 1:11 Removed trailing space in p~: ili waweze kuendelea kuishi.

LAM 1:11 Removed trailing space in p~: “Tazama, Ee \nd Bwana\nd*, ufikiri,

LAM 1:11 Removed trailing space in p~: kwa maana nimedharauliwa.”

LAM 1:12 Removed trailing space in v~: “Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando?

LAM 1:12 Removed trailing space in p~: Angalieni kote mwone.

LAM 1:12 Removed trailing space in p~: Je, kuna maumivu kama maumivu yangu

LAM 1:12 Removed trailing space in p~: yale yaliyotiwa juu yangu,

LAM 1:12 Removed trailing space in p~: yale \nd Bwana\nd* aliyoyaleta juu yangu

LAM 1:12 Removed trailing space in p~: katika siku ya hasira yake kali?

LAM 1:13 Removed trailing space in v~: “Kutoka juu alipeleka moto,

LAM 1:13 Removed trailing space in p~: akaushusha katika mifupa yangu.

LAM 1:13 Removed trailing space in p~: Aliitandia wavu miguu yangu

LAM 1:13 Removed trailing space in p~: na akanirudisha nyuma.

LAM 1:13 Removed trailing space in p~: Akanifanya mkiwa,

LAM 1:13 Removed trailing space in p~: na mdhaifu mchana kutwa.

LAM 1:14 Removed trailing space in v~: “Dhambi zangu zimefungwa kwenye nira,

LAM 1:14 Removed trailing space in p~: kwa mikono yake zilifumwa pamoja.

LAM 1:14 Removed trailing space in p~: Zimefika shingoni mwangu

LAM 1:14 Removed trailing space in p~: na Bwana ameziondoa nguvu zangu.

LAM 1:14 Removed trailing space in p~: Amenitia mikononi mwa wale

LAM 1:14 Removed trailing space in p~: ambao siwezi kushindana nao.

LAM 1:15 Removed trailing space in v~: “Bwana amewakataa wapiganaji wa vita

LAM 1:15 Removed trailing space in p~: wote walio kati yangu,

LAM 1:15 Removed trailing space in p~: ameagiza jeshi dhidi yangu

LAM 1:15 Removed trailing space in p~: kuwaponda vijana wangu wa kiume.

LAM 1:15 Removed trailing space in p~: Katika shinikizo lake la divai Bwana amemkanyaga

LAM 1:15 Removed trailing space in p~: Bikira Binti Yuda.

LAM 1:16 Removed trailing space in v~: “Hii ndiyo sababu ninalia

LAM 1:16 Removed trailing space in p~: na macho yangu yanafurika machozi.

LAM 1:16 Removed trailing space in p~: Hakuna yeyote aliye karibu kunifariji,

LAM 1:16 Removed trailing space in p~: hakuna yeyote wa kuhuisha roho yangu.

LAM 1:16 Removed trailing space in p~: Watoto wangu ni wakiwa

LAM 1:16 Removed trailing space in p~: kwa sababu adui ameshinda.”

LAM 1:17 Removed trailing space in v~: Sayuni ananyoosha mikono yake,

LAM 1:17 Removed trailing space in p~: lakini hakuna yeyote wa kumfariji.

LAM 1:17 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* ametoa amri kwa ajili ya Yakobo

LAM 1:17 Removed trailing space in p~: kwamba majirani zake wawe adui zake;

LAM 1:17 Removed trailing space in p~: Yerusalemu umekuwa

LAM 1:17 Removed trailing space in p~: kitu najisi miongoni mwao.

LAM 1:18 Removed trailing space in v~: “\nd Bwana\nd* ni mwenye haki,

LAM 1:18 Removed trailing space in p~: hata hivyo niliasi dhidi ya amri yake.

LAM 1:18 Removed trailing space in p~: Sikilizeni, enyi mataifa yote,

LAM 1:18 Removed trailing space in p~: tazameni maumivu yangu.

LAM 1:18 Removed trailing space in p~: Wavulana wangu na wasichana wangu

LAM 1:18 Removed trailing space in p~: wamekwenda uhamishoni.

LAM 1:19 Removed trailing space in v~: “Niliita washirika wangu

LAM 1:19 Removed trailing space in p~: lakini walinisaliti.

LAM 1:19 Removed trailing space in p~: Makuhani wangu na wazee wangu

LAM 1:19 Removed trailing space in p~: waliangamia mjini

LAM 1:19 Removed trailing space in p~: walipokuwa wakitafuta chakula

LAM 1:19 Removed trailing space in p~: ili waweze kuishi.

LAM 1:20 Removed trailing space in v~: “Angalia, Ee \nd Bwana\nd*, jinsi nilivyo katika dhiki!

LAM 1:20 Removed trailing space in p~: Nina maumivu makali ndani yangu,

LAM 1:20 Removed trailing space in p~: nami ninahangaika moyoni mwangu,

LAM 1:20 Removed trailing space in p~: kwa kuwa nimekuwa mwasi sana.

LAM 1:20 Removed trailing space in p~: Huko nje, upanga unaua watu,

LAM 1:20 Removed trailing space in p~: ndani, kipo kifo tu.

LAM 1:21 Removed trailing space in v~: “Watu wamesikia ninavyolia kwa uchungu,

LAM 1:21 Removed trailing space in p~: lakini hakuna yeyote wa kunifariji.

LAM 1:21 Removed trailing space in p~: Adui zangu wote wamesikia juu ya dhiki yangu,

LAM 1:21 Removed trailing space in p~: wanafurahia lile ulilolitenda.

LAM 1:21 Removed trailing space in p~: Naomba uilete siku uliyoitangaza

LAM 1:21 Removed trailing space in p~: ili wawe kama mimi.

LAM 1:22 Removed trailing space in v~: “Uovu wao wote na uje mbele zako;

LAM 1:22 Removed trailing space in p~: uwashughulikie wao

LAM 1:22 Removed trailing space in p~: kama vile ulivyonishughulikia mimi

LAM 1:22 Removed trailing space in p~: kwa sababu ya dhambi zangu zote.

LAM 1:22 Removed trailing space in p~: Kulia kwangu kwa uchungu ni kwingi

LAM 1:22 Removed trailing space in p~: na moyo wangu umedhoofika.”

LAM 2:0 Extra space after chapter number

LAM 2:0 Removed trailing space in c: 2

LAM 2:0 Removed trailing space in p~: \f + \fr 2 \ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari katika lile beti, na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.\f*

LAM 2:1 Removed trailing space in v~: Tazama jinsi Bwana alivyomfunika Binti Sayuni

LAM 2:1 Removed trailing space in p~: kwa wingu la hasira yake!

LAM 2:1 Removed trailing space in p~: Ameitupa chini fahari ya Israeli

LAM 2:1 Removed trailing space in p~: kutoka mbinguni mpaka duniani,

LAM 2:1 Removed trailing space in p~: hakukumbuka kiti chake cha kuwekea miguu

LAM 2:1 Removed trailing space in p~: katika siku ya hasira yake.

LAM 2:2 Removed trailing space in v~: Bila huruma Bwana ameyameza

LAM 2:2 Removed trailing space in p~: makao yote ya Yakobo;

LAM 2:2 Removed trailing space in p~: katika ghadhabu yake amebomoa

LAM 2:2 Removed trailing space in p~: ngome za Binti Yuda.

LAM 2:2 Removed trailing space in p~: Ameuangusha ufalme wake na wakuu wake

LAM 2:2 Removed trailing space in p~: chini kwa aibu.

LAM 2:3 Removed trailing space in v~: Katika hasira kali amevunja

LAM 2:3 Removed trailing space in p~: kila pembe\f + \fr 2:3 \ft Pembe inawakilisha nguvu; pia 2:17.\f* ya Israeli.

LAM 2:3 Removed trailing space in p~: Ameuondoa mkono wake wa kuume

LAM 2:3 Removed trailing space in p~: alipokaribia adui.

LAM 2:3 Removed trailing space in p~: Amemteketeza Yakobo kama moto uwakao

LAM 2:3 Removed trailing space in p~: ule uteketezao kila kitu kinachouzunguka.

LAM 2:4 Removed trailing space in v~: Ameupinda upinde wake kama adui,

LAM 2:4 Removed trailing space in p~: mkono wake wa kuume uko tayari.

LAM 2:4 Removed trailing space in p~: Kama vile adui amewachinja

LAM 2:4 Removed trailing space in p~: wote waliokuwa wanapendeza jicho,

LAM 2:4 Removed trailing space in p~: amemwaga ghadhabu yake kama moto

LAM 2:4 Removed trailing space in p~: juu ya hema la Binti Sayuni.

LAM 2:5 Removed trailing space in v~: Bwana ni kama adui;

LAM 2:5 Removed trailing space in p~: amemmeza Israeli.

LAM 2:5 Removed trailing space in p~: Amemeza majumba yake yote ya kifalme

LAM 2:5 Removed trailing space in p~: na kuangamiza ngome zake.

LAM 2:5 Removed trailing space in p~: Ameongeza huzuni na maombolezo

LAM 2:5 Removed trailing space in p~: kwa ajili ya Binti Yuda.

LAM 2:6 Removed trailing space in v~: Ameharibu maskani yake kama bustani,

LAM 2:6 Removed trailing space in p~: ameharibu mahali pake pa mkutano.

LAM 2:6 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* amemfanya Sayuni kusahau

LAM 2:6 Removed trailing space in p~: sikukuu zake zilizoamriwa na Sabato zake;

LAM 2:6 Removed trailing space in p~: katika hasira yake kali amewadharau

LAM 2:6 Removed trailing space in p~: mfalme na kuhani.

LAM 2:7 Removed trailing space in v~: Bwana amekataa madhabahu yake

LAM 2:7 Removed trailing space in p~: na kuacha mahali patakatifu pake.

LAM 2:7 Removed trailing space in p~: Amemkabidhi adui kuta

LAM 2:7 Removed trailing space in p~: za majumba yake ya kifalme;

LAM 2:7 Removed trailing space in p~: wamepiga kelele katika nyumba ya \nd Bwana\nd*

LAM 2:7 Removed trailing space in p~: kama katika siku ya sikukuu iliyoamriwa.

LAM 2:8 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* alikusudia kuangusha

LAM 2:8 Removed trailing space in p~: ukuta uliomzunguka Binti Sayuni.

LAM 2:8 Removed trailing space in p~: Ameinyoosha kamba ya kupimia

LAM 2:8 Removed trailing space in p~: na hakuuzuia mkono wake usiangamize.

LAM 2:8 Removed trailing space in p~: Alifanya maboma na kuta ziomboleze,

LAM 2:8 Removed trailing space in p~: vyote vikaharibika pamoja.

LAM 2:9 Removed trailing space in v~: Malango yake yamezama ardhini,

LAM 2:9 Removed trailing space in p~: makomeo yake ameyavunja na kuyaharibu.

LAM 2:9 Removed trailing space in p~: Mfalme wake na wakuu wake wamepelekwa uhamishoni

LAM 2:9 Removed trailing space in p~: miongoni mwa mataifa,

LAM 2:9 Removed trailing space in p~: sheria haipo tena,

LAM 2:9 Removed trailing space in p~: na manabii wake hawapati tena

LAM 2:9 Removed trailing space in p~: maono kutoka kwa \nd Bwana\nd*.

LAM 2:10 Removed trailing space in v~: Wazee wa Binti Sayuni

LAM 2:10 Removed trailing space in p~: wanaketi chini kimya,

LAM 2:10 Removed trailing space in p~: wamenyunyiza mavumbi kwenye vichwa vyao

LAM 2:10 Removed trailing space in p~: na kuvaa nguo za gunia.

LAM 2:10 Removed trailing space in p~: Wanawali wa Yerusalemu

LAM 2:10 Removed trailing space in p~: wamesujudu hadi ardhini.

LAM 2:11 Removed trailing space in v~: Macho yangu yamedhoofika kwa kulia,

LAM 2:11 Removed trailing space in p~: nina maumivu makali ndani,

LAM 2:11 Removed trailing space in p~: moyo wangu umemiminwa ardhini

LAM 2:11 Removed trailing space in p~: kwa sababu watu wangu wameangamizwa,

LAM 2:11 Removed trailing space in p~: kwa sababu watoto na wanyonyao wanazimia

LAM 2:11 Removed trailing space in p~: kwenye barabara za mji.

LAM 2:12 Removed trailing space in v~: Wanawaambia mama zao,

LAM 2:12 Removed trailing space in p~: “Wapi mkate na divai?”

LAM 2:12 Removed trailing space in p~: wazimiapo kama watu waliojeruhiwa

LAM 2:12 Removed trailing space in p~: katika barabara za mji,

LAM 2:12 Removed trailing space in p~: maisha yao yadhoofikavyo

LAM 2:12 Removed trailing space in p~: mikononi mwa mama zao.

LAM 2:13 Removed trailing space in v~: Ninaweza kusema nini kwa ajili yako?

LAM 2:13 Removed trailing space in p~: Nikulinganishe na nini,

LAM 2:13 Removed trailing space in p~: ee Binti Yerusalemu?

LAM 2:13 Removed trailing space in p~: Nitakufananisha na nini,

LAM 2:13 Removed trailing space in p~: ili nipate kukufariji,

LAM 2:13 Removed trailing space in p~: ee Bikira Binti Sayuni?

LAM 2:13 Removed trailing space in p~: Jeraha lako lina kina kama bahari.

LAM 2:13 Removed trailing space in p~: Ni nani awezaye kukuponya?

LAM 2:14 Removed trailing space in v~: Maono ya manabii wako

LAM 2:14 Removed trailing space in p~: yalikuwa ya uongo na yasiyofaa kitu,

LAM 2:14 Removed trailing space in p~: hawakuifunua dhambi yako

LAM 2:14 Removed trailing space in p~: ili kukuzuilia kwenda utumwani.

LAM 2:14 Removed trailing space in p~: Maneno waliyokupa

LAM 2:14 Removed trailing space in p~: yalikuwa ya uongo na ya kupotosha.

LAM 2:15 Removed trailing space in v~: Wote wapitiao njia yako

LAM 2:15 Removed trailing space in p~: wanakupigia makofi,

LAM 2:15 Removed trailing space in p~: wanakudhihaki na kutikisa vichwa vyao

LAM 2:15 Removed trailing space in p~: kwa Binti Yerusalemu:

LAM 2:15 Removed trailing space in p~: “Huu ndio ule mji ulioitwa

LAM 2:15 Removed trailing space in p~: mkamilifu wa uzuri,

LAM 2:15 Removed trailing space in p~: furaha ya dunia yote?”

LAM 2:16 Removed trailing space in v~: Adui zako wote wanapanua

LAM 2:16 Removed trailing space in p~: vinywa vyao dhidi yako,

LAM 2:16 Removed trailing space in p~: wanadhihaki na kusaga meno yao

LAM 2:16 Removed trailing space in p~: na kusema, “Tumemmeza.

LAM 2:16 Removed trailing space in p~: Hii ndiyo siku tuliyoingojea,

LAM 2:16 Removed trailing space in p~: tumeishi na kuiona.”

LAM 2:17 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* amefanya lile alilolipanga;

LAM 2:17 Removed trailing space in p~: ametimiza neno lake

LAM 2:17 Removed trailing space in p~: aliloliamuru siku za kale.

LAM 2:17 Removed trailing space in p~: Amekuangusha bila huruma,

LAM 2:17 Removed trailing space in p~: amewaacha adui wakusimange,

LAM 2:17 Removed trailing space in p~: ametukuza pembe ya adui yako.

LAM 2:18 Removed trailing space in v~: Mioyo ya watu

LAM 2:18 Removed trailing space in p~: inamlilia Bwana.

LAM 2:18 Removed trailing space in p~: Ee ukuta wa Binti Sayuni,

LAM 2:18 Removed trailing space in p~: machozi yako na yatiririke kama mto

LAM 2:18 Removed trailing space in p~: usiku na mchana;

LAM 2:18 Removed trailing space in p~: usijipe nafuu,

LAM 2:18 Removed trailing space in p~: macho yako yasipumzike.

LAM 2:19 Removed trailing space in v~: Inuka, lia usiku,

LAM 2:19 Removed trailing space in p~: zamu za usiku zianzapo;

LAM 2:19 Removed trailing space in p~: mimina moyo wako kama maji

LAM 2:19 Removed trailing space in p~: mbele za Bwana.

LAM 2:19 Removed trailing space in p~: Mwinulie yeye mikono yako

LAM 2:19 Removed trailing space in p~: kwa ajili ya maisha ya watoto wako,

LAM 2:19 Removed trailing space in p~: ambao wanazimia kwa njaa

LAM 2:19 Removed trailing space in p~: kwenye kila mwanzo wa barabara.

LAM 2:20 Removed trailing space in v~: “Tazama, Ee \nd Bwana\nd*, ufikirie:

LAM 2:20 Removed trailing space in p~: Ni nani ambaye umepata

LAM 2:20 Removed trailing space in p~: kumtendea namna hii?

LAM 2:20 Removed trailing space in p~: Je, wanawake wakule wazao wao,

LAM 2:20 Removed trailing space in p~: watoto waliowalea?

LAM 2:20 Removed trailing space in p~: Je, kuhani na nabii auawe

LAM 2:20 Removed trailing space in p~: mahali patakatifu pa Bwana?

LAM 2:21 Removed trailing space in v~: “Vijana na wazee hujilaza pamoja

LAM 2:21 Removed trailing space in p~: katika mavumbi ya barabarani,

LAM 2:21 Removed trailing space in p~: wavulana wangu na wasichana

LAM 2:21 Removed trailing space in p~: wameanguka kwa upanga.

LAM 2:21 Removed trailing space in p~: Umewaua katika siku ya hasira yako,

LAM 2:21 Removed trailing space in p~: umewachinja bila huruma.

LAM 2:22 Removed trailing space in v~: “Kama ulivyoita siku ya karamu,

LAM 2:22 Removed trailing space in p~: ndivyo ulivyoagiza hofu kuu

LAM 2:22 Removed trailing space in p~: dhidi yangu kila upande.

LAM 2:22 Removed trailing space in p~: Katika siku ya hasira ya \nd Bwana\nd*

LAM 2:22 Removed trailing space in p~: hakuna yeyote aliyekwepa au kupona;

LAM 2:22 Removed trailing space in p~: wale niliowatunza na kuwalea,

LAM 2:22 Removed trailing space in p~: adui yangu amewaangamiza.”

LAM 3:0 Extra space after chapter number

LAM 3:0 Removed trailing space in c: 3

LAM 3:0 Removed trailing space in p~: \f + \fr 3 \ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari katika lile beti, na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.\f*

LAM 3:1 Removed trailing space in v~: Mimi ndiye mtu aliyeona mateso

LAM 3:1 Removed trailing space in p~: kwa fimbo ya ghadhabu yake.

LAM 3:2 Removed trailing space in v~: Amenifukuzia mbali na kunifanya nitembee

LAM 3:2 Removed trailing space in p~: gizani wala si katika nuru;

LAM 3:3 Removed trailing space in v~: hakika, amegeuza mkono wake dhidi yangu

LAM 3:3 Removed trailing space in p~: tena na tena, mchana kutwa.

LAM 3:4 Removed trailing space in v~: Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa

LAM 3:4 Removed trailing space in p~: na ameivunja mifupa yangu.

LAM 3:5 Removed trailing space in v~: Amenizingira na kunizunguka

LAM 3:5 Removed trailing space in p~: kwa uchungu na taabu.

LAM 3:6 Removed trailing space in v~: Amenifanya niishi gizani

LAM 3:6 Removed trailing space in p~: kama wale waliokufa.

LAM 3:7 Removed trailing space in v~: Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka,

LAM 3:7 Removed trailing space in p~: amenifunga kwa minyororo mizito.

LAM 3:8 Removed trailing space in v~: Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada,

LAM 3:8 Removed trailing space in p~: anakataa kupokea maombi yangu.

LAM 3:9 Removed trailing space in v~: Ameizuia njia yangu kwa mapande ya mawe,

LAM 3:9 Removed trailing space in p~: amepotosha njia zangu.

LAM 3:10 Removed trailing space in v~: Kama dubu aviziaye,

LAM 3:10 Removed trailing space in p~: kama simba mafichoni,

LAM 3:11 Removed trailing space in v~: ameniburuta kutoka njia,

LAM 3:11 Removed trailing space in p~: akanirarua na kuniacha bila msaada.

LAM 3:12 Removed trailing space in v~: Amevuta upinde wake

LAM 3:12 Removed trailing space in p~: na kunifanya mimi niwe lengo

LAM 3:12 Removed trailing space in p~: kwa ajili ya mishale yake.

LAM 3:13 Removed trailing space in v~: Alinichoma moyo wangu kwa mishale

LAM 3:13 Removed trailing space in p~: iliyotoka kwenye podo lake.

LAM 3:14 Removed trailing space in v~: Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote,

LAM 3:14 Removed trailing space in p~: wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa.

LAM 3:15 Removed trailing space in v~: Amenijaza kwa majani machungu

LAM 3:15 Removed trailing space in p~: na kunishibisha kwa nyongo.

LAM 3:16 Removed trailing space in v~: Amevunja meno yangu kwa changarawe,

LAM 3:16 Removed trailing space in p~: amenikanyagia mavumbini.

LAM 3:17 Removed trailing space in v~: Amani yangu imeondolewa,

LAM 3:17 Removed trailing space in p~: nimesahau kufanikiwa ni nini.

LAM 3:18 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka

LAM 3:18 Removed trailing space in p~: na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa \nd Bwana\nd*.”

LAM 3:19 Removed trailing space in v~: Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu,

LAM 3:19 Removed trailing space in p~: uchungu na nyongo.

LAM 3:20 Removed trailing space in v~: Ninayakumbuka vyema,

LAM 3:20 Removed trailing space in p~: nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu.

LAM 3:21 Removed trailing space in v~: Hata hivyo najikumbusha neno hili

LAM 3:21 Removed trailing space in p~: na kwa hiyo ninalo tumaini.

LAM 3:22 Removed trailing space in v~: Kwa sababu ya upendo mkuu wa \nd Bwana\nd*, hatuangamii,

LAM 3:22 Removed trailing space in p~: kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.

LAM 3:23 Removed trailing space in v~: Ni mpya kila asubuhi,

LAM 3:23 Removed trailing space in p~: uaminifu wako ni mkuu.

LAM 3:24 Removed trailing space in v~: Nimeiambia nafsi yangu, “\nd Bwana\nd* ni fungu langu,

LAM 3:24 Removed trailing space in p~: kwa hiyo nitamngojea.”

LAM 3:25 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake,

LAM 3:25 Removed trailing space in p~: kwa yule ambaye humtafuta;

LAM 3:26 Removed trailing space in v~: ni vyema kungojea kwa utulivu

LAM 3:26 Removed trailing space in p~: kwa ajili ya wokovu wa \nd Bwana\nd*.

LAM 3:27 Removed trailing space in v~: Ni vyema mtu kuchukua nira

LAM 3:27 Removed trailing space in p~: bado angali kijana.

LAM 3:28 Removed trailing space in v~: Na akae peke yake awe kimya,

LAM 3:28 Removed trailing space in p~: kwa maana \nd Bwana\nd* ameiweka juu yake.

LAM 3:29 Removed trailing space in v~: Na azike uso wake mavumbini

LAM 3:29 Removed trailing space in p~: bado panawezekana kuwa na matumaini.

LAM 3:30 Removed trailing space in v~: Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye,

LAM 3:30 Removed trailing space in p~: na ajazwe na aibu.

LAM 3:31 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali

LAM 3:31 Removed trailing space in p~: na Bwana milele.

LAM 3:32 Removed trailing space in v~: Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma,

LAM 3:32 Removed trailing space in p~: kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu.

LAM 3:33 Removed trailing space in v~: Kwa maana hapendi kuwaletea mateso

LAM 3:33 Removed trailing space in p~: au huzuni watoto wa wanadamu.

LAM 3:34 Removed trailing space in v~: Kuwaponda chini ya nyayo

LAM 3:34 Removed trailing space in p~: wafungwa wote katika nchi,

LAM 3:35 Removed trailing space in v~: Kumnyima mtu haki zake

LAM 3:35 Removed trailing space in p~: mbele za Aliye Juu Sana,

LAM 3:36 Removed trailing space in v~: kumnyima mtu haki:

LAM 3:36 Removed trailing space in p~: Je, Bwana asione mambo kama haya?

LAM 3:37 Removed trailing space in v~: Nani awezaye kusema nalo likatendeka

LAM 3:37 Removed trailing space in p~: kama Bwana hajaamuru?

LAM 3:38 Removed trailing space in v~: Je, si ni kwenye kinywa cha Aliye Juu Sana

LAM 3:38 Removed trailing space in p~: ndiko yatokako maafa na mambo mema?

LAM 3:39 Removed trailing space in v~: Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika

LAM 3:39 Removed trailing space in p~: wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake?

LAM 3:40 Removed trailing space in v~: Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu,

LAM 3:40 Removed trailing space in p~: na tumrudie \nd Bwana\nd* Mungu.

LAM 3:41 Removed trailing space in v~: Tuinue mioyo yetu pamoja na mikono yetu

LAM 3:41 Removed trailing space in p~: kwa Mungu mbinguni, na tuseme:

LAM 3:42 Removed trailing space in v~: “Tumetenda dhambi na kuasi

LAM 3:42 Removed trailing space in p~: nawe hujasamehe.

LAM 3:43 Removed trailing space in v~: “Umejifunika mwenyewe kwa hasira na kutufuatilia;

LAM 3:43 Removed trailing space in p~: umetuchinja bila huruma.

LAM 3:44 Removed trailing space in v~: Unajifunika mwenyewe kwa wingu,

LAM 3:44 Removed trailing space in p~: ili pasiwe na ombi

LAM 3:44 Removed trailing space in p~: litakaloweza kupenya.

LAM 3:45 Removed trailing space in v~: Umetufanya takataka na uchafu

LAM 3:45 Removed trailing space in p~: miongoni mwa mataifa.

LAM 3:46 Removed trailing space in v~: “Adui zetu wote wamefumbua vinywa vyao

LAM 3:46 Removed trailing space in p~: wazi dhidi yetu.

LAM 3:47 Removed trailing space in v~: Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula,

LAM 3:47 Removed trailing space in p~: uharibifu na maangamizi.”

LAM 3:48 Removed trailing space in v~: Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu,

LAM 3:48 Removed trailing space in p~: kwa sababu watu wangu wameangamizwa.

LAM 3:49 Removed trailing space in v~: Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma,

LAM 3:49 Removed trailing space in p~: bila kupata nafuu,

LAM 3:50 Removed trailing space in v~: hadi \nd Bwana\nd* atazame chini

LAM 3:50 Removed trailing space in p~: kutoka mbinguni na kuona.

LAM 3:51 Removed trailing space in v~: Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini

LAM 3:51 Removed trailing space in p~: kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu.

LAM 3:52 Removed trailing space in v~: Wale waliokuwa adui zangu bila sababu

LAM 3:52 Removed trailing space in p~: wameniwinda kama ndege.

LAM 3:53 Removed trailing space in v~: Walijaribu kukomesha maisha yangu ndani ya shimo

LAM 3:53 Removed trailing space in p~: na kunitupia mawe;

LAM 3:54 Removed trailing space in v~: maji yalifunika juu ya kichwa changu,

LAM 3:54 Removed trailing space in p~: nami nikafikiri nilikuwa karibu

LAM 3:54 Removed trailing space in p~: kukatiliwa mbali.

LAM 3:55 Removed trailing space in v~: Nililiitia jina lako, Ee \nd Bwana\nd*,

LAM 3:55 Removed trailing space in p~: kutoka vina vya shimo.

LAM 3:56 Removed trailing space in v~: Ulisikia ombi langu: “Usikizibie masikio yako

LAM 3:56 Removed trailing space in p~: kilio changu nikuombapo msaada.”

LAM 3:57 Removed trailing space in v~: Ulikuja karibu nilipokuita,

LAM 3:57 Removed trailing space in p~: nawe ukasema, “Usiogope.”

LAM 3:58 Removed trailing space in v~: Ee Bwana, ulichukua shauri langu,

LAM 3:58 Removed trailing space in p~: ukaukomboa uhai wangu.

LAM 3:59 Removed trailing space in v~: Umeona, Ee \nd Bwana\nd*, ubaya niliotendewa.

LAM 3:59 Removed trailing space in p~: Tetea shauri langu!

LAM 3:60 Removed trailing space in v~: Umeona kina cha kisasi chao,

LAM 3:60 Removed trailing space in p~: mashauri yao yote mabaya dhidi yangu.

LAM 3:61 Removed trailing space in v~: Ee \nd Bwana\nd*, umesikia matukano yao,

LAM 3:61 Removed trailing space in p~: mashauri yao yote mabaya dhidi yangu:

LAM 3:62 Removed trailing space in v~: kile adui zangu wanachonongʼona na kunungʼunikia

LAM 3:62 Removed trailing space in p~: dhidi yangu mchana kutwa.

LAM 3:63 Removed trailing space in v~: Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama,

LAM 3:63 Removed trailing space in p~: wananidhihaki katika nyimbo zao.

LAM 3:64 Removed trailing space in v~: Uwalipe kile wanachostahili, Ee \nd Bwana\nd*,

LAM 3:64 Removed trailing space in p~: kwa yale ambayo mikono yao imetenda.

LAM 3:65 Removed trailing space in v~: Weka pazia juu ya mioyo yao,

LAM 3:65 Removed trailing space in p~: laana yako na iwe juu yao!

LAM 3:66 Removed trailing space in v~: Wafuatilie katika hasira na uwaangamize

LAM 3:66 Removed trailing space in p~: kutoka chini ya mbingu za \nd Bwana\nd*.

LAM 4:0 Extra space after chapter number

LAM 4:0 Removed trailing space in c: 4

LAM 4:0 Removed trailing space in p~: \f + \fr 4 \ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari katika lile beti, na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.\f*

LAM 4:1 Removed trailing space in v~: Jinsi dhahabu ilivyopoteza mngʼao wake,

LAM 4:1 Removed trailing space in p~: dhahabu iliyo safi haingʼai!

LAM 4:1 Removed trailing space in p~: Vito vya thamani vimetawanywa

LAM 4:1 Removed trailing space in p~: kwenye mwanzo wa kila barabara.

LAM 4:2 Removed trailing space in v~: Wana wa Sayuni wenye thamani,

LAM 4:2 Removed trailing space in p~: ambao mwanzo uzito wa thamani yao

LAM 4:2 Removed trailing space in p~: ulikuwa wa dhahabu,

LAM 4:2 Removed trailing space in p~: sasa wanaangaliwa kama vyungu vya udongo,

LAM 4:2 Removed trailing space in p~: kazi ya mikono ya mfinyanzi!

LAM 4:3 Removed trailing space in v~: Hata mbweha hutoa matiti yao

LAM 4:3 Removed trailing space in p~: kunyonyesha watoto wao,

LAM 4:3 Removed trailing space in p~: lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma

LAM 4:3 Removed trailing space in p~: kama mbuni jangwani.

LAM 4:4 Removed trailing space in v~: Kwa sababu ya kiu ulimi wa mtoto mchanga

LAM 4:4 Removed trailing space in p~: umegandamana na kaakaa la kinywa chake,

LAM 4:4 Removed trailing space in p~: watoto huomba mkate,

LAM 4:4 Removed trailing space in p~: lakini hakuna yeyote awapaye.

LAM 4:5 Removed trailing space in v~: Wale waliokula vyakula vya kifahari

LAM 4:5 Removed trailing space in p~: ni maskini barabarani.

LAM 4:5 Removed trailing space in p~: Wale waliokuzwa wakivaa nguo za zambarau

LAM 4:5 Removed trailing space in p~: sasa wanalalia majivu.

LAM 4:6 Removed trailing space in v~: Adhabu ya watu wangu

LAM 4:6 Removed trailing space in p~: ni kubwa kuliko ile ya Sodoma,

LAM 4:6 Removed trailing space in p~: ambayo ilipinduliwa ghafula

LAM 4:6 Removed trailing space in p~: bila kuwepo mkono wa msaada.

LAM 4:7 Removed trailing space in v~: Wakuu wao walikuwa wamengʼaa kuliko theluji

LAM 4:7 Removed trailing space in p~: na weupe kuliko maziwa,

LAM 4:7 Removed trailing space in p~: miili yao ilikuwa myekundu kuliko marijani,

LAM 4:7 Removed trailing space in p~: kuonekana kwao kama yakuti samawi.

LAM 4:8 Removed trailing space in v~: Lakini sasa ni weusi kuliko masizi;

LAM 4:8 Removed trailing space in p~: hawatambulikani barabarani.

LAM 4:8 Removed trailing space in p~: Ngozi yao imeshikamana juu ya mifupa yao,

LAM 4:8 Removed trailing space in p~: imekuwa mikavu kama fimbo.

LAM 4:9 Removed trailing space in v~: Wale waliouawa kwa upanga ni bora

LAM 4:9 Removed trailing space in p~: kuliko wale wanaokufa njaa;

LAM 4:9 Removed trailing space in p~: wanateseka kwa njaa, wanatokomea

LAM 4:9 Removed trailing space in p~: kwa kukosa chakula kutoka shambani.

LAM 4:10 Removed trailing space in v~: Kwa mikono yao wenyewe wanawake wenye huruma

LAM 4:10 Removed trailing space in p~: wanapika watoto wao wenyewe,

LAM 4:10 Removed trailing space in p~: waliokuwa chakula chao

LAM 4:10 Removed trailing space in p~: watu wangu walipoangamizwa.

LAM 4:11 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* ametoa nafasi kamilifu ya ghadhabu yake;

LAM 4:11 Removed trailing space in p~: ameimwaga hasira yake kali.

LAM 4:11 Removed trailing space in p~: Amewasha moto katika Sayuni

LAM 4:11 Removed trailing space in p~: ambao umeteketeza misingi yake.

LAM 4:12 Removed trailing space in v~: Wafalme wa dunia hawakuamini,

LAM 4:12 Removed trailing space in p~: wala mtu yeyote wa duniani,

LAM 4:12 Removed trailing space in p~: kwamba adui na watesi wangeweza kuingia

LAM 4:12 Removed trailing space in p~: kwenye malango ya Yerusalemu.

LAM 4:13 Removed trailing space in v~: Lakini hili lilitokea kwa sababu ya dhambi za manabii wake,

LAM 4:13 Removed trailing space in p~: na maovu ya makuhani wake,

LAM 4:13 Removed trailing space in p~: waliomwaga ndani yake

LAM 4:13 Removed trailing space in p~: damu ya wenye haki.

LAM 4:14 Removed trailing space in v~: Sasa wanapapasa papasa barabarani

LAM 4:14 Removed trailing space in p~: kama watu ambao ni vipofu.

LAM 4:14 Removed trailing space in p~: Wamenajisiwa kabisa kwa damu,

LAM 4:14 Removed trailing space in p~: hata hakuna anayethubutu kugusa mavazi yao.

LAM 4:15 Removed trailing space in v~: Watu wanawapigia kelele, “Ondokeni! Ninyi ni najisi!

LAM 4:15 Removed trailing space in p~: Ondokeni! Ondokeni! Msituguse!”

LAM 4:15 Removed trailing space in p~: Wanapokimbia na kutangatanga huku na huko,

LAM 4:15 Removed trailing space in p~: watu miongoni mwa mataifa wanasema,

LAM 4:15 Removed trailing space in p~: “Hawawezi kukaa hapa zaidi.”

LAM 4:16 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* mwenyewe amewatawanya;

LAM 4:16 Removed trailing space in p~: hawaangalii tena.

LAM 4:16 Removed trailing space in p~: Makuhani hawaonyeshwi heshima,

LAM 4:16 Removed trailing space in p~: wazee hawakubaliki.

LAM 4:17 Removed trailing space in v~: Zaidi ya hayo, macho yetu yalichoka,

LAM 4:17 Removed trailing space in p~: kwa kutazamia bure msaada;

LAM 4:17 Removed trailing space in p~: tuliangalia kutoka minara yetu

LAM 4:17 Removed trailing space in p~: kwa taifa lisiloweza kutuokoa.

LAM 4:18 Removed trailing space in v~: Watu walituvizia katika kila hatua

LAM 4:18 Removed trailing space in p~: hata hatukuweza kutembea katika barabara zetu.

LAM 4:18 Removed trailing space in p~: Mwisho wetu ulikuwa karibu, siku zetu zilikuwa zimetimia,

LAM 4:18 Removed trailing space in p~: kwa maana mwisho wetu ulikuwa umefika.

LAM 4:19 Removed trailing space in v~: Waliotufuatia walikuwa wepesi

LAM 4:19 Removed trailing space in p~: kuliko tai angani;

LAM 4:19 Removed trailing space in p~: walitusaka juu milimani

LAM 4:19 Removed trailing space in p~: na kutuvizia jangwani.

LAM 4:20 Removed trailing space in v~: Mpakwa mafuta wa \nd Bwana\nd*, pumzi ya uhai wetu hasa,

LAM 4:20 Removed trailing space in p~: alinaswa katika mitego yao.

LAM 4:20 Removed trailing space in p~: Tulifikiri kwamba chini ya kivuli chake

LAM 4:20 Removed trailing space in p~: tungeliweza kuishi miongoni mwa mataifa.

LAM 4:21 Removed trailing space in v~: Shangilia na ufurahi, ee Binti Edomu,

LAM 4:21 Removed trailing space in p~: wewe unayeishi nchi ya Usi.

LAM 4:21 Removed trailing space in p~: Lakini kwako pia kikombe kitapitishwa,

LAM 4:21 Removed trailing space in p~: Utalewa na kuvuliwa nguo ubaki uchi.

LAM 4:22 Removed trailing space in v~: Ee Binti Sayuni, adhabu yako itaisha,

LAM 4:22 Removed trailing space in p~: hatarefusha muda wako wa kukaa uhamishoni.

LAM 4:22 Removed trailing space in p~: Lakini, ee Binti Edomu, ataadhibu dhambi yako,

LAM 4:22 Removed trailing space in p~: na atafunua uovu wako.

LAM 5:0 Extra space after chapter number

LAM 5:0 Removed trailing space in c: 5

LAM 5:1 Removed trailing space in v~: Kumbuka, Ee \nd Bwana\nd*, yaliyotupata,

LAM 5:1 Removed trailing space in p~: tazama, nawe uione aibu yetu.

LAM 5:2 Removed trailing space in v~: Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni,

LAM 5:2 Removed trailing space in p~: na nyumba zetu kwa wageni.

LAM 5:3 Removed trailing space in v~: Tumekuwa yatima wasio na baba,

LAM 5:3 Removed trailing space in p~: mama zetu wamekuwa kama wajane.

LAM 5:4 Removed trailing space in v~: Ni lazima tununue maji tunayokunywa,

LAM 5:4 Removed trailing space in p~: kuni zetu zapatikana tu kwa kununua.

LAM 5:5 Removed trailing space in v~: Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu,

LAM 5:5 Removed trailing space in p~: tumechoka na hakuna pumziko.

LAM 5:6 Removed trailing space in v~: Tumejitolea kwa Misri na Ashuru

LAM 5:6 Removed trailing space in p~: tupate chakula cha kutosha.

LAM 5:7 Removed trailing space in v~: Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena,

LAM 5:7 Removed trailing space in p~: na sisi tunachukua adhabu yao.

LAM 5:8 Removed trailing space in v~: Watumwa wanatutawala

LAM 5:8 Removed trailing space in p~: na hakuna wa kutuokoa mikononi yao.

LAM 5:9 Removed trailing space in v~: Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu

LAM 5:9 Removed trailing space in p~: kwa sababu ya upanga jangwani.

LAM 5:10 Removed trailing space in v~: Ngozi yetu ina joto kama tanuru,

LAM 5:10 Removed trailing space in p~: kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa.

LAM 5:11 Removed trailing space in v~: Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni,

LAM 5:11 Removed trailing space in p~: na mabikira katika miji ya Yuda.

LAM 5:12 Removed trailing space in v~: Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao,

LAM 5:12 Removed trailing space in p~: wazee hawapewi heshima.

LAM 5:13 Removed trailing space in v~: Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia,

LAM 5:13 Removed trailing space in p~: wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni.

LAM 5:14 Removed trailing space in v~: Wazee wameondoka langoni la mji,

LAM 5:14 Removed trailing space in p~: vijana wameacha kuimba nyimbo zao.

LAM 5:15 Removed trailing space in v~: Furaha imeondoka mioyoni mwetu,

LAM 5:15 Removed trailing space in p~: kucheza kwetu kumegeuka maombolezo.

LAM 5:16 Removed trailing space in v~: Taji imeanguka kutoka kichwani petu.

LAM 5:16 Removed trailing space in p~: Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi!

LAM 5:17 Removed trailing space in v~: Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia,

LAM 5:17 Removed trailing space in p~: kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia,

LAM 5:18 Removed trailing space in v~: kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa,

LAM 5:18 Removed trailing space in p~: nao mbweha wanatembea juu yake.

LAM 5:19 Removed trailing space in v~: Wewe, Ee \nd Bwana\nd* unatawala milele,

LAM 5:19 Removed trailing space in p~: kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi.

LAM 5:20 Removed trailing space in v~: Kwa nini watusahau siku zote?

LAM 5:20 Removed trailing space in p~: Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu?

LAM 5:21 Removed trailing space in v~: Turudishe kwako mwenyewe, Ee \nd Bwana\nd*,

LAM 5:21 Removed trailing space in p~: ili tupate kurudi.

LAM 5:21 Removed trailing space in p~: Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale,

LAM 5:22 Removed trailing space in v~: isipokuwa uwe umetukataa kabisa

LAM 5:22 Removed trailing space in p~: na umetukasirikia pasipo kipimo.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 b: 84    c: 5    h: 1    id: 1    mt1: 1    q1: 262    q2: 283    rem: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 795    v: 154  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 5    b: 84    v: 154    q1: 262    q2: 283    Total: 795  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 5    Verses: 154  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 5    Verses: 154  

Characters

All Character Counts

 0: 14    1: 70    2: 42    3: 26    4: 26    5: 26    6: 22    7: 14    8: 14    9: 14    a: 5    b: 4    e: 4    l: 4    M: 5    m: 4    o: 13    Total: 311    z: 4  

All Character Counts (sorted by count)

 m: 4    b: 4    l: 4    e: 4    z: 4    M: 5    a: 5    o: 13    7: 14    8: 14    9: 14    0: 14    6: 22    3: 26    4: 26    5: 26    2: 42    1: 70    Total: 311  

Letter Counts

 a: 5    b: 4    e: 4    l: 4    M: 5    m: 4    o: 13    Total: 43    z: 4  

Letter Counts (sorted by count)

 m: 4    b: 4    l: 4    e: 4    z: 4    M: 5    a: 5    o: 13    Total: 43  

Words

All Word Counts

 --Total--: 121    A: 4    Aleph: 4    alfabeti: 4    beti: 8    hadi: 4    herufi: 4    hii: 4    imetungwa: 4    inawakilisha: 1    katika: 4    Kiebrania: 4    kila: 8    likianzia: 4    lile: 4    Mao: 1    Maombolezo: 4    mstari: 4    na: 8    nguvu: 1    ni: 4    Pembe: 1    pia: 5    Sura: 4    T: 4    tangu: 4    Taw: 4    ya: 8    zikifuatana: 4    zote: 4  

All Word Counts (sorted by count)

 Mao: 1    Pembe: 1    inawakilisha: 1    nguvu: 1    Maombolezo: 4    Sura: 4    hii: 4    imetungwa: 4    likianzia: 4    mstari: 4    katika: 4    lile: 4    herufi: 4    alfabeti: 4    Kiebrania: 4    zikifuatana: 4    tangu: 4    Aleph: 4    A: 4    hadi: 4    Taw: 4    T: 4    zote: 4    ni: 4    pia: 5    kila: 8    beti: 8    na: 8    ya: 8    --Total--: 121  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 121    a: 4    aleph: 4    alfabeti: 4    beti: 8    hadi: 4    herufi: 4    hii: 4    imetungwa: 4    inawakilisha: 1    katika: 4    kiebrania: 4    kila: 8    likianzia: 4    lile: 4    mao: 1    maombolezo: 4    mstari: 4    na: 8    nguvu: 1    ni: 4    pembe: 1    pia: 5    sura: 4    t: 4    tangu: 4    taw: 4    ya: 8    zikifuatana: 4    zote: 4  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 mao: 1    pembe: 1    inawakilisha: 1    nguvu: 1    maombolezo: 4    sura: 4    hii: 4    imetungwa: 4    likianzia: 4    mstari: 4    katika: 4    lile: 4    herufi: 4    alfabeti: 4    kiebrania: 4    zikifuatana: 4    tangu: 4    aleph: 4    a: 4    hadi: 4    taw: 4    t: 4    zote: 4    ni: 4    pia: 5    kila: 8    beti: 8    na: 8    ya: 8    --Total--: 121  

Headings

Title Lines

LAM -1:6 Main Title 1:Maombolezo

Notes

Footnote Errors

LAM 1:0 Footnote anchor reference seems not to match: '1'

LAM 2:0 Footnote anchor reference seems not to match: '2'

LAM 3:0 Footnote anchor reference seems not to match: '3'

LAM 4:0 Footnote anchor reference seems not to match: '4'

Footnote Lines

LAM 1:0+ \fr 1 \ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari…i 22.
LAM 2:0+ \fr 2 \ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari…i 22.
LAM 2:3+ \fr 2:3 \ft Pembe inawakilisha nguvu; pia 2:17.
LAM 3:0+ \fr 3 \ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari…i 22.
LAM 4:0+ \fr 4 \ft Sura hii imetungwa kila beti likianzia, na pia kila mstari…i 22.

Leader Counts

 Footnote leader '+': 5    Footnotes: 5  

Leader Counts (sorted by count)

 Footnotes: 5    Footnote leader '+': 5