Freely-Given.org Bible MAL Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in MAL -1:0

Showing 1 out of 93 priority errors

Fix Text Errors

MAL -1:0 Removed trailing space in id: MAL - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

MAL -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

MAL -1:2 Removed trailing space in h: Malaki

MAL -1:3 Removed trailing space in toc1: Malaki

MAL -1:4 Removed trailing space in toc2: Malaki

MAL -1:5 Removed trailing space in toc3: Mal

MAL -1:6 Removed trailing space in mt1: Malaki

MAL 1:0 Extra space after chapter number

MAL 1:0 Removed trailing space in c: 1

MAL 1:1 Removed trailing space in v~: Ujumbe: Neno la \nd Bwana\nd* kwa Israeli kupitia kwa Malaki.

MAL 1:1 Removed trailing space in s1: Yakobo Alipendwa, Esau Alichukiwa

MAL 1:2 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* asema, “Nimewapenda ninyi.”

MAL 1:2 Removed trailing space in p~: “Lakini ninyi mnauliza, ‘Wewe umetupendaje?’ ”

MAL 1:2 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* asema, “Je, Esau hakuwa ndugu yake Yakobo? Hata hivyo nimempenda Yakobo,

MAL 1:3 Removed trailing space in v~: lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”

MAL 1:4 Removed trailing space in v~: Edomu anaweza kusema, “Ingawa tumepondapondwa, tutajenga upya magofu.”

MAL 1:4 Removed trailing space in p~: Lakini hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote asemalo: “Wanaweza kujenga, lakini nitabomoa. Wataitwa Nchi Ovu, watu ambao siku zote wapo chini ya ghadhabu ya \nd Bwana\nd*.

MAL 1:5 Removed trailing space in v~: Mtayaona kwa macho yenu wenyewe na kusema, ‘\nd Bwana\nd* ni mkuu, hata nje ya mipaka ya Israeli!’

MAL 1:5 Removed trailing space in s1: Dhabihu Zilizo Na Mawaa

MAL 1:6 Removed trailing space in v~: “Mwana humheshimu baba yake, naye mtumishi humheshimu bwana wake. Kama mimi ni baba, iko wapi heshima ninayostahili? Kama mimi ni bwana, iko wapi heshima ninayostahili?” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. “Ni ninyi, enyi makuhani, mnaolidharau Jina langu.

MAL 1:6 Removed trailing space in p~: “Lakini mnauliza, ‘Tumelidharau Jina lako kwa namna gani?’

MAL 1:7 Removed trailing space in v~: “Mnatoa sadaka chakula kilichotiwa unajisi juu ya madhabahu yangu.

MAL 1:7 Removed trailing space in p~: “Lakini ninyi mnauliza, ‘Tumekutia unajisi kwa namna gani?’

MAL 1:7 Removed trailing space in p~: “Kwa kusema kuwa meza ya \nd Bwana\nd* ni ya kudharauliwa.

MAL 1:8 Removed trailing space in v~: Wakati mletapo dhabihu za wanyama walio vipofu, je, hilo si kosa? Mnapoleta dhabihu zilizo vilema au wanyama wagonjwa, je, hilo si kosa? Jaribuni kuvitoa kwa mtawala wenu! Je, angefurahishwa nanyi? Je, atawakubalia?” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 1:9 Removed trailing space in v~: “Basi mwombeni Mungu awe na neema kwetu. Je, kwa sadaka kama hizo kutoka mikononi mwenu, atawapokea?” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 1:10 Removed trailing space in v~: “Laiti mmoja wenu angalifunga milango ya Hekalu, ili msije mkawasha moto usiokuwa na faida juu ya madhabahu yangu! Sina furaha nanyi,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, “nami sitaikubali sadaka toka mikononi mwenu.

MAL 1:11 Removed trailing space in v~: Jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa, kuanzia mawio ya jua hata machweo yake. Kila mahali uvumba na sadaka safi zitaletwa kwa Jina langu, kwa sababu Jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 1:12 Removed trailing space in v~: “Lakini mnalinajisi Jina langu kwa kusema kuhusu meza ya Bwana, ‘Imetiwa unajisi pamoja na chakula chake. Ni ya kudharauliwa.’

MAL 1:13 Removed trailing space in v~: Nanyi mnasema, ‘Mzigo gani huu!’ Nanyi mnaidharau kwa kiburi,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 1:13 Removed trailing space in p~: “Wakati mnapowaleta wanyama mliopokonya kwa nguvu, walio vilema au walio wagonjwa na kuwatoa kama dhabihu, je, niwakubali kutoka mikononi mwenu?” asema \nd Bwana\nd*.

MAL 1:14 Removed trailing space in v~: “Amelaaniwa yeye adanganyaye, aliye na mnyama wa kiume anayekubalika katika kundi lake na kuweka nadhiri ya kumtoa, lakini akatoa dhabihu ya mnyama aliye na dosari kwa \nd Bwana\nd*. Kwa kuwa mimi ni Mfalme Mkuu, nalo Jina langu linapaswa kuogopwa miongoni mwa mataifa,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 2:0 Extra space after chapter number

MAL 2:0 Removed trailing space in c: 2

MAL 2:0 Removed trailing space in s1: Onyo Kwa Makuhani

MAL 2:1 Removed trailing space in v~: “Sasa onyo hili ni kwa ajili yenu, enyi makuhani.

MAL 2:2 Removed trailing space in v~: Kama hamtasikiliza, na kama hamtaki kuielekeza mioyo yenu kuheshimu Jina langu, nitatuma laana juu yenu, nami nitalaani baraka zenu. Naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamkuielekeza mioyo yenu kuniheshimu mimi,” Asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 2:3 Removed trailing space in v~: “Kwa sababu yenu nitawakatilia mbali wazao wenu. Nitazipaka nyuso zenu mavi, mavi ya dhabihu zenu. Nanyi mtafukuzwa pamoja nazo mtoke mbele zangu.

MAL 2:4 Removed trailing space in v~: Nanyi mtajua kuwa nimewapelekea onyo hili ili kwamba Agano langu na Lawi lipate kuendelea,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 2:5 Removed trailing space in v~: “Agano langu lilikuwa pamoja naye, agano la uhai na amani, nami nilimpa yote, ili aniche na kuniheshimu, naye akaniheshimu na kusimama akilicha Jina langu.

MAL 2:6 Removed trailing space in v~: Fundisho la kweli lilikuwa kinywani mwake, wala hakuna uongo wowote uliopatikana katika midomo yake. Alitembea nami katika amani na unyofu, naye akawageuza wengi kutoka dhambini.

MAL 2:7 Removed trailing space in v~: “Kwa maana yapasa midomo ya kuhani kuhifadhi maarifa. Tena kutoka kinywani mwake watu wangepaswa kutafuta mafundisho, kwa sababu yeye ni mjumbe wa \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 2:8 Removed trailing space in v~: Lakini mmegeuka mkaiacha njia, na kwa mafundisho yenu mmesababisha wengi kujikwaa. Mmevunja agano na Lawi,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 2:9 Removed trailing space in v~: “Kwa hiyo nimewasababisha ninyi kudharauliwa na kufedheheshwa mbele ya watu wote, kwa sababu hamkufuata njia zangu, bali mmeonyesha upendeleo katika mambo ya sheria.”

MAL 2:9 Removed trailing space in s1: Yuda Si Mwaminifu

MAL 2:10 Removed trailing space in v~: Je, sote hatuna Baba mmoja? Hatukuumbwa na Mungu mmoja? Kwa nini basi tunalinajisi Agano la baba zetu kwa kukosa uaminifu kila mmoja kwa mwenzake?

MAL 2:11 Removed trailing space in v~: Yuda amevunja uaminifu. Jambo la kuchukiza limetendeka katika Israeli na katika Yerusalemu: Yuda amepanajisi mahali patakatifu apendapo \nd Bwana\nd*, kwa kuoa binti wa mungu mgeni.

MAL 2:12 Removed trailing space in v~: Kwa maana kwa mtu yeyote atendaye jambo hili, \nd Bwana\nd* na amkatilie mbali kutoka hema za Yakobo, hata kama huwa anamletea \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote sadaka.

MAL 2:13 Removed trailing space in v~: Kitu kingine mnachokifanya: Mnaifurikisha madhabahu ya \nd Bwana\nd* kwa machozi. Mnalia na kuugua kwa sababu yeye haziangalii tena sadaka zenu wala hazikubali kwa furaha kutoka mikononi mwenu.

MAL 2:14 Removed trailing space in v~: Mnauliza, “Kwa nini?” Ni kwa sababu \nd Bwana\nd* ni shahidi kati yako na mke wa ujana wako, kwa sababu umevunja uaminifu naye, ingawa yeye ni mwenzako, mke wa agano lako la ndoa.

MAL 2:15 Removed trailing space in v~: Je, \nd Bwana\nd* hakuwafanya wao kuwa mmoja? Katika mwili na katika roho wao ni wa Mungu. Kwa nini wawe mmoja? Kwa sababu Mungu alikuwa akitafuta mzao mwenye kumcha Mungu. Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, mtu asivunje uaminifu kwa mke wa ujana wake.

MAL 2:16 Removed trailing space in v~: “Ninachukia kuachana,” asema \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, “pia nachukia mtu anayejivika jeuri kama vazi,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 2:16 Removed trailing space in p~: Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, wala msije mkavunja uaminifu.

MAL 2:16 Removed trailing space in s1: Siku Ya Hukumu

MAL 2:17 Removed trailing space in v~: Mmemchosha \nd Bwana\nd* kwa maneno yenu.

MAL 2:17 Removed trailing space in p~: Nanyi mnauliza, “Tumemchosha kwa namna gani?”

MAL 2:17 Removed trailing space in p~: Mmemchosha kwa kusema, “Wote watendao mabaya ni wema machoni pa \nd Bwana\nd*, naye anapendezwa nao” au “Mungu wa haki yuko wapi?”

MAL 3:0 Extra space after chapter number

MAL 3:0 Removed trailing space in c: 3

MAL 3:1 Removed trailing space in v~: “Angalieni, nitamtuma mjumbe wangu, atakayeiandaa njia mbele yangu. Ndipo ghafula Bwana mnayemtafuta atakuja hekaluni mwake. Mjumbe wa Agano, ambaye mnamwonea shauku, atakuja,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 3:2 Removed trailing space in v~: Lakini ni nani atakayeweza kustahimili hiyo siku ya kuja kwake? Ni nani awezaye kusimama atakapotokea? Kwa kuwa atakuwa kama moto wa mfua fedha au kama sabuni ya afuaye nguo.

MAL 3:3 Removed trailing space in v~: Ataketi kama mfuaji na asafishaye fedha. Atawatakasa Walawi, naye atawasafisha kama dhahabu na fedha. Kisha \nd Bwana\nd* atakuwa na watu watakaoleta sadaka katika haki,

MAL 3:4 Removed trailing space in v~: nazo sadaka za Yuda na Yerusalemu zitakubalika kwa \nd Bwana\nd*, kama katika siku zilizopita, kama katika miaka ya zamani.

MAL 3:5 Removed trailing space in v~: “Basi nitakuja karibu nanyi ili kuhukumu. Nami nitakuwa mwepesi kushuhudia dhidi ya wachawi, wazinzi, waapao kwa uongo, wanaopunja vibarua malipo yao, wanaowaonea wajane na yatima, na wanaowanyima wageni haki, lakini hawaniogopi mimi,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 3:5 Removed trailing space in s1: Kumwibia Mungu

MAL 3:6 Removed trailing space in v~: “Mimi \nd Bwana\nd* sibadiliki. Kwa hiyo ninyi, enyi uzao wa Yakobo, hamjaangamizwa.

MAL 3:7 Removed trailing space in v~: Tangu wakati wa baba zenu mmegeukia mbali na amri zangu nanyi hamkuzishika. Nirudieni mimi, nami nitawarudia ninyi,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 3:7 Removed trailing space in p~: “Lakini mnauliza, ‘Tutarudi kwa namna gani?’

MAL 3:8 Removed trailing space in v~: “Je, mwanadamu atamwibia Mungu? Hata hivyo mnaniibia mimi.

MAL 3:8 Removed trailing space in p~: “Lakini mnauliza, ‘Tunakuibia kwa namna gani?’

MAL 3:8 Removed trailing space in p~: “Mnaniibia zaka na dhabihu.

MAL 3:9 Removed trailing space in v~: Mko chini ya laana, ninyi taifa lote, kwa sababu mnaniibia mimi.

MAL 3:10 Removed trailing space in v~: Leteni zaka kamili ghalani, ili kuwe na chakula katika nyumba yangu. Nijaribuni katika hili,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, “nanyi mwone kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwamwagieni baraka nyingi mpaka mkose nafasi ya kutosha.

MAL 3:11 Removed trailing space in v~: Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu, wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 3:12 Removed trailing space in v~: “Ndipo mataifa yote yatawaita mliobarikiwa, kwa maana nchi yenu itakuwa ya kupendeza sana,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 3:13 Removed trailing space in v~: “Mmesema vitu vigumu dhidi yangu,” asema \nd Bwana\nd*.

MAL 3:13 Removed trailing space in p~: “Hata hivyo mnauliza, ‘Tumesema nini dhidi yako?’

MAL 3:14 Removed trailing space in v~: “Mmesema, ‘Ni bure kumtumikia Mungu. Tumepata faida gani kwa kushika maagizo yake na kwenda kama waombolezaji mbele za \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote?

MAL 3:15 Removed trailing space in v~: Lakini sasa wenye kiburi wanabarikiwa. Hakika watenda mabaya wanastawi, pia hata wale wanaoshindana na Mungu ndio wanaosalimika.’ ”

MAL 3:16 Removed trailing space in v~: Ndipo wale waliomcha \nd Bwana\nd* wakasemezana wao kwa wao, naye \nd Bwana\nd* akasikiliza na akasikia. Kitabu cha kumbukumbu kikaandikwa mbele yake kuhusu wale ambao walimcha \nd Bwana\nd* na kuliheshimu jina lake.

MAL 3:17 Removed trailing space in v~: “Nao watakuwa watu wangu,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, “katika siku ile nitakapowafanya watu kuwa hazina yangu. Nitawahurumia, kama vile kwa huruma mtu amhurumiavyo mwanawe anayemtumikia.

MAL 3:18 Removed trailing space in v~: Kwa mara nyingine tena utaona tofauti kati ya wenye haki na waovu, kati ya wale wanaomtumikia Mungu na wale wasiomtumikia.

MAL 4:0 Extra space after chapter number

MAL 4:0 Removed trailing space in c: 4

MAL 4:0 Removed trailing space in s1: Siku Ya \nd Bwana\nd*

MAL 4:1 Removed trailing space in v~: “Hakika siku inakuja, itawaka kama tanuru. Wote wenye kiburi na kila mtenda mabaya watakuwa mabua makavu, na siku ile inayokuja itawawasha moto,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. “Hakuna mzizi wala tawi litakalosalia kwao.

MAL 4:2 Removed trailing space in v~: Bali kwenu ninyi mnaoliheshimu Jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mabawa yake. Nanyi mtatoka nje na kurukaruka kama ndama aliyeachiwa kutoka zizini.

MAL 4:3 Removed trailing space in v~: Kisha ninyi mtawakanyaga waovu, nao watakuwa majivu chini ya nyayo za miguu yenu siku ile nitakayofanya mambo haya,” asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

MAL 4:4 Removed trailing space in v~: “Kumbukeni sheria ya mtumishi wangu Mose, amri na sheria nilizompa huko Horebu kwa ajili ya Israeli wote.

MAL 4:5 Removed trailing space in v~: “Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya \nd Bwana\nd*.

MAL 4:6 Removed trailing space in v~: Ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, la sivyo nitakuja na kuipiga nchi kwa laana.”

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 4    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 43    rem: 1    s1: 7    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 116    v: 55  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 4    s1: 7    p: 43    v: 55    Total: 116  

All Text Internal Marker Counts

 nd: 1    nd*: 1    Total: 2  

All Text Internal Marker Counts (sorted by count)

 nd: 1    nd*: 1    Total: 2  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 4    Paragraphs: 43    Verses: 55  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 4    Paragraphs: 43    Verses: 55  

Characters

All Character Counts

 ,: 1    0: 3    1: 30    2: 8    3: 8    4: 8    5: 6    6: 6    7: 5    8: 4    9: 3    a: 28    A: 2    b: 3    B: 1    c: 1    d: 2    D: 1    e: 1    E: 1    f: 1    g: 1    h: 4    H: 1    i: 18    k: 10    K: 2    l: 8    M: 9    m: 3    n: 6    N: 1    o: 4    O: 1    p: 1    s: 1    S: 3    Space: 15    Total: 239    u: 14    w: 7    Y: 4    y: 1    Z: 1    z: 1  

All Character Counts (sorted by count)

 p: 1    e: 1    ,: 1    E: 1    s: 1    c: 1    D: 1    Z: 1    z: 1    N: 1    O: 1    y: 1    f: 1    H: 1    g: 1    B: 1    A: 2    d: 2    K: 2    b: 3    9: 3    0: 3    S: 3    m: 3    Y: 4    o: 4    h: 4    8: 4    7: 5    n: 6    5: 6    6: 6    w: 7    l: 8    2: 8    3: 8    4: 8    M: 9    k: 10    u: 14    Space: 15    i: 18    a: 28    1: 30    Total: 239  

Letter Counts

 a: 28    A: 2    b: 3    B: 1    c: 1    d: 2    D: 1    e: 1    E: 1    f: 1    g: 1    h: 4    H: 1    i: 18    k: 10    K: 2    l: 8    M: 9    m: 3    n: 6    N: 1    o: 4    O: 1    p: 1    s: 1    S: 3    Space: 15    Total: 157    u: 14    w: 7    Y: 4    y: 1    Z: 1    z: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 p: 1    e: 1    E: 1    s: 1    c: 1    D: 1    Z: 1    z: 1    N: 1    O: 1    y: 1    f: 1    H: 1    g: 1    B: 1    A: 2    d: 2    K: 2    b: 3    S: 3    m: 3    Y: 4    o: 4    h: 4    n: 6    w: 7    l: 8    M: 9    k: 10    u: 14    Space: 15    i: 18    a: 28    Total: 157  

Punctuation Counts

 ,: 1    Total: 1  

Punctuation Counts (sorted by count)

 ,: 1    Total: 1  

Speech Marks

Possible Matching Errors

MAL 1:6 Unclosed speech marks matching '“ (opened at 1:4:p)' before p marker

MAL 4:0 Unclosed speech marks matching '“ (opened at 3:17:v)' before p marker

Words

All Word Counts

 --Total--: 27    Alichukiwa: 1    Alipendwa: 1    Bwana: 1    Dhabihu: 1    Esau: 1    Hukumu: 1    Kumwibia: 1    Kwa: 1    Makuhani: 1    Mal: 1    Malaki: 4    Mawaa: 1    Mungu: 1    Mwaminifu: 1    Na: 1    Onyo: 1    Si: 1    Siku: 2    Ya: 2    Yakobo: 1    Yuda: 1    Zilizo: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 Mal: 1    Yakobo: 1    Alipendwa: 1    Esau: 1    Alichukiwa: 1    Dhabihu: 1    Zilizo: 1    Na: 1    Mawaa: 1    Onyo: 1    Kwa: 1    Makuhani: 1    Yuda: 1    Si: 1    Mwaminifu: 1    Hukumu: 1    Kumwibia: 1    Mungu: 1    Bwana: 1    Siku: 2    Ya: 2    Malaki: 4    --Total--: 27  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 27    alichukiwa: 1    alipendwa: 1    bwana: 1    dhabihu: 1    esau: 1    hukumu: 1    kumwibia: 1    kwa: 1    makuhani: 1    mal: 1    malaki: 4    mawaa: 1    mungu: 1    mwaminifu: 1    na: 1    onyo: 1    si: 1    siku: 2    ya: 2    yakobo: 1    yuda: 1    zilizo: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 mal: 1    yakobo: 1    alipendwa: 1    esau: 1    alichukiwa: 1    dhabihu: 1    zilizo: 1    na: 1    mawaa: 1    onyo: 1    kwa: 1    makuhani: 1    yuda: 1    si: 1    mwaminifu: 1    hukumu: 1    kumwibia: 1    mungu: 1    bwana: 1    siku: 2    ya: 2    malaki: 4    --Total--: 27  

Headings

Title Lines

MAL -1:6 Main Title 1:Malaki

Section Heading Lines

MAL 1:1Yakobo Alipendwa, Esau Alichukiwa
MAL 1:5Dhabihu Zilizo Na Mawaa
MAL 2:0Onyo Kwa Makuhani
MAL 2:9Yuda Si Mwaminifu
MAL 2:16Siku Ya Hukumu
MAL 3:5Kumwibia Mungu
MAL 4:0Siku Ya \nd Bwana\nd*