Freely-Given.org Bible MIC Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in MIC -1:0

Showing 1 out of 507 priority errors

Fix Text Errors

MIC -1:0 Removed trailing space in id: MIC - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

MIC -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

MIC -1:2 Removed trailing space in h: Mika

MIC -1:3 Removed trailing space in toc1: Mika

MIC -1:4 Removed trailing space in toc2: Mika

MIC -1:5 Removed trailing space in toc3: Mik

MIC -1:6 Removed trailing space in mt1: Mika

MIC 1:0 Extra space after chapter number

MIC 1:0 Removed trailing space in c: 1

MIC 1:1 Removed trailing space in v~: Neno la \nd Bwana\nd* lilimjia Mika, Mmoreshethi, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu.

MIC 1:2 Removed trailing space in v~: Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote,

MIC 1:2 Removed trailing space in p~: sikilizeni, ee dunia na wote mliomo ndani yake,

MIC 1:2 Removed trailing space in p~: ili \nd Bwana\nd* Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu,

MIC 1:2 Removed trailing space in p~: Bwana kutoka Hekalu lake takatifu.

MIC 1:2 Removed trailing space in s1: Hukumu Dhidi Ya Samaria Na Yerusalemu

MIC 1:3 Removed trailing space in v~: Tazama! \nd Bwana\nd* anakuja kutoka mahali pake;

MIC 1:3 Removed trailing space in p~: anashuka na kukanyaga

MIC 1:3 Removed trailing space in p~: mahali palipoinuka juu pa dunia.

MIC 1:4 Removed trailing space in v~: Milima inayeyuka chini yake

MIC 1:4 Removed trailing space in p~: na mabonde yanagawanyika

MIC 1:4 Removed trailing space in p~: kama nta mbele ya moto,

MIC 1:4 Removed trailing space in p~: kama maji yatiririkayo kasi

MIC 1:4 Removed trailing space in p~: kwenye mteremko.

MIC 1:5 Removed trailing space in v~: Yote haya ni kwa sababu ya kosa la Yakobo,

MIC 1:5 Removed trailing space in p~: ni kwa sababu ya dhambi za nyumba ya Israeli.

MIC 1:5 Removed trailing space in p~: Kosa la Yakobo ni lipi?

MIC 1:5 Removed trailing space in p~: Je, sio Samaria?

MIC 1:5 Removed trailing space in p~: Je, mahali pa juu pa Yuda pa kuabudia miungu ni nini?

MIC 1:5 Removed trailing space in p~: Je, sio Yerusalemu?

MIC 1:6 Removed trailing space in v~: “Kwa hiyo nitaufanya Samaria kuwa lundo la kokoto,

MIC 1:6 Removed trailing space in p~: mahali pa kuotesha mizabibu.

MIC 1:6 Removed trailing space in p~: Nitayamwaga mawe yake katika bonde

MIC 1:6 Removed trailing space in p~: na kuacha wazi misingi yake.

MIC 1:7 Removed trailing space in v~: Sanamu zake zote

MIC 1:7 Removed trailing space in p~: zitavunjwa vipande vipande;

MIC 1:7 Removed trailing space in p~: zawadi zake zote za Hekalu

MIC 1:7 Removed trailing space in p~: zitachomwa kwa moto;

MIC 1:7 Removed trailing space in p~: nitaharibu vinyago vyake vyote.

MIC 1:7 Removed trailing space in p~: Kwa kuwa alikusanya zawadi zake

MIC 1:7 Removed trailing space in p~: kutokana na ujira wa kahaba,

MIC 1:7 Removed trailing space in p~: nazo zitatumika tena

MIC 1:7 Removed trailing space in p~: kulipa mishahara ya kahaba.”

MIC 1:7 Removed trailing space in s1: Kulia Na Kuomboleza

MIC 1:8 Removed trailing space in v~: Kwa ajili ya hili nitalia na kuomboleza;

MIC 1:8 Removed trailing space in p~: nitatembea bila viatu na tena uchi.

MIC 1:8 Removed trailing space in p~: Nitabweka kama mbweha

MIC 1:8 Removed trailing space in p~: na kuomboleza kama bundi.

MIC 1:9 Removed trailing space in v~: Kwa sababu jeraha lake halitibiki;

MIC 1:9 Removed trailing space in p~: limekuja Yuda.

MIC 1:9 Removed trailing space in p~: Limefika hasa kwenye lango la watu wangu,

MIC 1:9 Removed trailing space in p~: hata Yerusalemu kwenyewe.

MIC 1:10 Removed trailing space in v~: Usiliseme hili huko Gathi;

MIC 1:10 Removed trailing space in p~: usilie hata kidogo.

MIC 1:10 Removed trailing space in p~: Huko Beth-le-Afra

MIC 1:10 Removed trailing space in p~: gaagaa mavumbini.

MIC 1:11 Removed trailing space in v~: Piteni mkiwa uchi na wenye aibu,

MIC 1:11 Removed trailing space in p~: ninyi mkaao Shafiri.

MIC 1:11 Removed trailing space in p~: Wale waishio Saanani

MIC 1:11 Removed trailing space in p~: hawatatoka nje.

MIC 1:11 Removed trailing space in p~: Beth-Eseli iko katika maombolezo;

MIC 1:11 Removed trailing space in p~: kinga yake imeondolewa kwako.

MIC 1:12 Removed trailing space in v~: Wale waishio Marothi wanagaagaa kwa maumivu

MIC 1:12 Removed trailing space in p~: wakingoja msaada,

MIC 1:12 Removed trailing space in p~: kwa sababu maangamizi yamekuja

MIC 1:12 Removed trailing space in p~: kutoka kwa \nd Bwana\nd*,

MIC 1:12 Removed trailing space in p~: hata katika lango la Yerusalemu.

MIC 1:13 Removed trailing space in v~: Enyi mkaao Lakishi,

MIC 1:13 Removed trailing space in p~: fungeni farasi kwenye magari ya vita.

MIC 1:13 Removed trailing space in p~: Mlikuwa chanzo cha dhambi

MIC 1:13 Removed trailing space in p~: kwa Binti Sayuni,

MIC 1:13 Removed trailing space in p~: kwa kuwa makosa ya Israeli

MIC 1:13 Removed trailing space in p~: yalikutwa kwako.

MIC 1:14 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo utaipa Moresheth-Gathi

MIC 1:14 Removed trailing space in p~: zawadi za kuagana.

MIC 1:14 Removed trailing space in p~: Mji wa Akzibu utaonyesha wazi udanganyifu

MIC 1:14 Removed trailing space in p~: kwa wafalme wa Israeli.

MIC 1:15 Removed trailing space in v~: Nitawaleteeni atakayewashinda

MIC 1:15 Removed trailing space in p~: ninyi mnaoishi Maresha.

MIC 1:15 Removed trailing space in p~: Yeye aliye utukufu wa Israeli

MIC 1:15 Removed trailing space in p~: atakuja Adulamu.

MIC 1:16 Removed trailing space in v~: Nyoeni nywele zenu katika kuomboleza

MIC 1:16 Removed trailing space in p~: kwa ajili ya watoto wenu mnaowafurahia;

MIC 1:16 Removed trailing space in p~: jifanyieni upara kama tai,

MIC 1:16 Removed trailing space in p~: kwa kuwa watawaacha

MIC 1:16 Removed trailing space in p~: na kwenda uhamishoni.

MIC 2:0 Extra space after chapter number

MIC 2:0 Removed trailing space in c: 2

MIC 2:0 Removed trailing space in s1: Mipango Ya Mwanadamu Na Ya Mungu

MIC 2:1 Removed trailing space in v~: Ole kwa wale wapangao uovu,

MIC 2:1 Removed trailing space in p~: kwa wale wafanyao shauri la hila vitandani mwao!

MIC 2:1 Removed trailing space in p~: Kunapopambazuka wanalitimiza

MIC 2:1 Removed trailing space in p~: kwa sababu uko katika uwezo wao kutekeleza.

MIC 2:2 Removed trailing space in v~: Wanatamani mashamba na kuyakamata,

MIC 2:2 Removed trailing space in p~: pia nyumba na kuzichukua.

MIC 2:2 Removed trailing space in p~: Wanamlaghai mwanaume nyumba yake,

MIC 2:2 Removed trailing space in p~: mwanadamu mwenzake urithi wake.

MIC 2:3 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, \nd Bwana\nd* asema:

MIC 2:3 Removed trailing space in p~: “Ninapanga maangamizi dhidi ya watu hawa,

MIC 2:3 Removed trailing space in p~: ambayo hamwezi kujiokoa wenyewe.

MIC 2:3 Removed trailing space in p~: Hamtatembea tena kwa majivuno,

MIC 2:3 Removed trailing space in p~: kwa kuwa utakuwa ni wakati wa maafa.

MIC 2:4 Removed trailing space in v~: Siku hiyo watu watawadhihaki,

MIC 2:4 Removed trailing space in p~: watawafanyia mzaha

MIC 2:4 Removed trailing space in p~: kwa wimbo huu wa maombolezo:

MIC 2:4 Removed trailing space in p~: ‘Tumeangamizwa kabisa;

MIC 2:4 Removed trailing space in p~: mali ya watu wangu imegawanywa.

MIC 2:4 Removed trailing space in p~: Ameninyangʼanya!

MIC 2:4 Removed trailing space in p~: Ametoa mashamba yetu kwa wasaliti.’ ”

MIC 2:5 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo hutakuwa na yeyote katika kusanyiko la \nd Bwana\nd*

MIC 2:5 Removed trailing space in p~: wa kugawanya mashamba kwa kura.

MIC 2:5 Removed trailing space in s1: Manabii Wa Uongo

MIC 2:6 Removed trailing space in v~: Manabii wao husema, “Usitabiri.

MIC 2:6 Removed trailing space in p~: Usitabiri kuhusu vitu hivi;

MIC 2:6 Removed trailing space in p~: aibu haitatupata.”

MIC 2:7 Removed trailing space in v~: Je, ingesemwa, ee nyumba ya Yakobo:

MIC 2:7 Removed trailing space in p~: “Je, Roho wa \nd Bwana\nd* amekasirika?

MIC 2:7 Removed trailing space in p~: Je, yeye hufanya vitu kama hivyo?”

MIC 2:7 Removed trailing space in p~: “Je, maneno yangu hayamfanyii mema

MIC 2:7 Removed trailing space in p~: yeye ambaye njia zake ni nyofu?

MIC 2:8 Removed trailing space in v~: Siku hizi watu wangu wameinuka

MIC 2:8 Removed trailing space in p~: kama adui.

MIC 2:8 Removed trailing space in p~: Unawavua joho la kitajiri wale wanaopita

MIC 2:8 Removed trailing space in p~: pasipo kujali,

MIC 2:8 Removed trailing space in p~: kama watu warudio kutoka vitani.

MIC 2:9 Removed trailing space in v~: Unawahamisha wanawake wa watu wangu

MIC 2:9 Removed trailing space in p~: kutoka kwenye nyumba zao za kupendeza.

MIC 2:9 Removed trailing space in p~: Unaondoa baraka yangu

MIC 2:9 Removed trailing space in p~: kwa watoto wao milele.

MIC 2:10 Removed trailing space in v~: Inuka, nenda zako!

MIC 2:10 Removed trailing space in p~: Kwa maana hapa sio mahali pako pa kupumzikia,

MIC 2:10 Removed trailing space in p~: kwa sababu pametiwa unajisi,

MIC 2:10 Removed trailing space in p~: pameharibiwa, wala hapatengenezeki tena.

MIC 2:11 Removed trailing space in v~: Ikiwa mwongo na mdanganyifu atakuja na kusema,

MIC 2:11 Removed trailing space in p~: ‘Nitawatabiria divai na pombe kwa wingi,’

MIC 2:11 Removed trailing space in p~: angekuwa ndiye nabii

MIC 2:11 Removed trailing space in p~: anayekubalika na watu hawa!

MIC 2:11 Removed trailing space in s1: Ahadi Ya Ukombozi

MIC 2:12 Removed trailing space in v~: “Hakika nitawakusanya ninyi nyote, ee Yakobo,

MIC 2:12 Removed trailing space in p~: Hakika nitawaleta pamoja mabaki ya Israeli.

MIC 2:12 Removed trailing space in p~: Nitawaleta pamoja kama kondoo ndani ya zizi,

MIC 2:12 Removed trailing space in p~: kama kundi kwenye malisho yake,

MIC 2:12 Removed trailing space in p~: mahali hapa patakuwa na msongamano wa watu.

MIC 2:13 Removed trailing space in v~: Yeye afunguaye njia atawatangulia;

MIC 2:13 Removed trailing space in p~: watapita kwenye lango na kutoka nje.

MIC 2:13 Removed trailing space in p~: Mfalme wao atawatangulia,

MIC 2:13 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* atakuwa kiongozi.”

MIC 3:0 Extra space after chapter number

MIC 3:0 Removed trailing space in c: 3

MIC 3:0 Removed trailing space in s1: Viongozi Na Manabii Wakemewa

MIC 3:1 Removed trailing space in v~: Kisha nikasema,

MIC 3:1 Removed trailing space in p~: “Sikilizeni enyi viongozi wa Yakobo,

MIC 3:1 Removed trailing space in p~: enyi watawala wa nyumba ya Israeli.

MIC 3:1 Removed trailing space in p~: Je, hampaswi kujua hukumu,

MIC 3:2 Removed trailing space in v~: ninyi mnaochukia mema

MIC 3:2 Removed trailing space in p~: na kupenda maovu;

MIC 3:2 Removed trailing space in p~: ninyi mnaowachuna watu wangu ngozi

MIC 3:2 Removed trailing space in p~: na kuondoa nyama kwenye mifupa yao;

MIC 3:3 Removed trailing space in v~: ninyi mnaokula nyama ya watu wangu,

MIC 3:3 Removed trailing space in p~: mnaowachuna ngozi

MIC 3:3 Removed trailing space in p~: na kuvunja mifupa yao vipande vipande;

MIC 3:3 Removed trailing space in p~: mnaowakatakata kama nyama

MIC 3:3 Removed trailing space in p~: ya kuwekwa kwenye sufuria

MIC 3:3 Removed trailing space in p~: na kama nyama

MIC 3:3 Removed trailing space in p~: ya kuwekwa kwenye chungu?”

MIC 3:4 Removed trailing space in v~: Kisha watamlilia \nd Bwana\nd*,

MIC 3:4 Removed trailing space in p~: lakini hatawajibu.

MIC 3:4 Removed trailing space in p~: Wakati huo atawaficha uso wake

MIC 3:4 Removed trailing space in p~: kwa sababu ya uovu waliotenda.

MIC 3:5 Removed trailing space in v~: Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*:

MIC 3:5 Removed trailing space in p~: “Kuhusu manabii wanaowapotosha watu wangu,

MIC 3:5 Removed trailing space in p~: mtu akiwalisha,

MIC 3:5 Removed trailing space in p~: wanatangaza ‘amani’;

MIC 3:5 Removed trailing space in p~: kama hakufanya hivyo,

MIC 3:5 Removed trailing space in p~: wanaandaa kupigana vita dhidi yake.

MIC 3:6 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo usiku utawajieni, msiweze kuwa na maono,

MIC 3:6 Removed trailing space in p~: na giza, msiweze kubashiri.

MIC 3:6 Removed trailing space in p~: Jua litawachwea manabii hao,

MIC 3:6 Removed trailing space in p~: nao mchana utakuwa giza kwao.

MIC 3:7 Removed trailing space in v~: Waonaji wataaibika

MIC 3:7 Removed trailing space in p~: na waaguzi watafedheheka.

MIC 3:7 Removed trailing space in p~: Wote watafunika nyuso zao

MIC 3:7 Removed trailing space in p~: kwa sababu hakuna jibu litokalo kwa Mungu.”

MIC 3:8 Removed trailing space in v~: Lakini kuhusu mimi, nimejazwa nguvu,

MIC 3:8 Removed trailing space in p~: nimejazwa Roho wa \nd Bwana\nd*,

MIC 3:8 Removed trailing space in p~: haki na uweza,

MIC 3:8 Removed trailing space in p~: kumtangazia Yakobo kosa lake,

MIC 3:8 Removed trailing space in p~: na Israeli dhambi yake.

MIC 3:9 Removed trailing space in v~: Sikieni hili, enyi viongozi wa nyumba ya Yakobo,

MIC 3:9 Removed trailing space in p~: enyi watawala wa nyumba ya Israeli,

MIC 3:9 Removed trailing space in p~: mnaodharau haki

MIC 3:9 Removed trailing space in p~: na kupotosha kila lililo sawa;

MIC 3:10 Removed trailing space in v~: mnaojenga Sayuni kwa kumwaga damu

MIC 3:10 Removed trailing space in p~: na Yerusalemu kwa uovu.

MIC 3:11 Removed trailing space in v~: Viongozi wake wanahukumu kwa rushwa,

MIC 3:11 Removed trailing space in p~: na makuhani wake wanafundisha kwa malipo,

MIC 3:11 Removed trailing space in p~: nao manabii wake wanatabiri kwa fedha.

MIC 3:11 Removed trailing space in p~: Hata hivyo wanamwegemea \nd Bwana\nd* na kusema,

MIC 3:11 Removed trailing space in p~: “Je, \nd Bwana\nd* si yumo miongoni mwetu?

MIC 3:11 Removed trailing space in p~: Hakuna maafa yatakayotupata.”

MIC 3:12 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo kwa sababu yenu,

MIC 3:12 Removed trailing space in p~: Sayuni italimwa kama shamba,

MIC 3:12 Removed trailing space in p~: Yerusalemu itakuwa lundo la kokoto,

MIC 3:12 Removed trailing space in p~: na kilima cha Hekalu

MIC 3:12 Removed trailing space in p~: kitakuwa kichuguu

MIC 3:12 Removed trailing space in p~: kilichofunikwa na vichaka.

MIC 4:0 Extra space after chapter number

MIC 4:0 Removed trailing space in c: 4

MIC 4:0 Removed trailing space in s1: Mlima Wa \nd Bwana\nd*

MIC 4:0 Removed trailing space in r: (Isaya 2:2-4)

MIC 4:1 Removed trailing space in v~: Katika siku za mwisho

MIC 4:1 Removed trailing space in p~: mlima wa Hekalu la \nd Bwana\nd* utaimarishwa

MIC 4:1 Removed trailing space in p~: kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote;

MIC 4:1 Removed trailing space in p~: utainuliwa juu ya vilima,

MIC 4:1 Removed trailing space in p~: na watu wa mataifa watamiminika humo.

MIC 4:2 Removed trailing space in v~: Mataifa mengi yatakuja na kusema,

MIC 4:2 Removed trailing space in p~: “Njooni, twendeni mlimani mwa \nd Bwana\nd*,

MIC 4:2 Removed trailing space in p~: kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo.

MIC 4:2 Removed trailing space in p~: Atatufundisha njia zake,

MIC 4:2 Removed trailing space in p~: ili tuweze kuenenda katika mapito yake.”

MIC 4:2 Removed trailing space in p~: Sheria itatoka Sayuni,

MIC 4:2 Removed trailing space in p~: neno la \nd Bwana\nd* litatoka Yerusalemu.

MIC 4:3 Removed trailing space in v~: Atahukumu kati ya mataifa mengi,

MIC 4:3 Removed trailing space in p~: na ataamua migogoro ya mataifa

MIC 4:3 Removed trailing space in p~: yenye nguvu na yaliyo mbali.

MIC 4:3 Removed trailing space in p~: Watafua panga zao ziwe majembe,

MIC 4:3 Removed trailing space in p~: na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi.

MIC 4:3 Removed trailing space in p~: Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine,

MIC 4:3 Removed trailing space in p~: wala hawatajifunza vita tena.

MIC 4:4 Removed trailing space in v~: Kila mtu ataketi chini ya mzabibu wake

MIC 4:4 Removed trailing space in p~: na chini ya mtini wake,

MIC 4:4 Removed trailing space in p~: wala hakuna mtu atakayewaogopesha,

MIC 4:4 Removed trailing space in p~: kwa kuwa \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote amesema.

MIC 4:5 Removed trailing space in v~: Mataifa yote yanaweza kutembea

MIC 4:5 Removed trailing space in p~: katika jina la miungu yao;

MIC 4:5 Removed trailing space in p~: sisi tutatembea katika jina la \nd Bwana\nd*

MIC 4:5 Removed trailing space in p~: Mungu wetu milele na milele.

MIC 4:5 Removed trailing space in s1: Mpango Wa \nd Bwana\nd*

MIC 4:6 Removed trailing space in v~: “Katika siku hiyo,” asema \nd Bwana\nd*,

MIC 4:6 Removed trailing space in p~: “nitawakusanya walemavu;

MIC 4:6 Removed trailing space in p~: nitawakusanya walio uhamishoni

MIC 4:6 Removed trailing space in p~: na wale niliowahuzunisha.

MIC 4:7 Removed trailing space in v~: Nitawafanya walemavu kuwa mabaki,

MIC 4:7 Removed trailing space in p~: wale waliofukuzwa kuwa taifa lenye nguvu.

MIC 4:7 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* atatawala juu yao katika Mlima Sayuni

MIC 4:7 Removed trailing space in p~: kuanzia siku hiyo na hata milele.

MIC 4:8 Removed trailing space in v~: Lakini kuhusu wewe, ee mnara wa ulinzi wa kundi,

MIC 4:8 Removed trailing space in p~: ee ngome ya Binti Sayuni,

MIC 4:8 Removed trailing space in p~: milki ya awali itarudishwa kwako,

MIC 4:8 Removed trailing space in p~: ufalme utakuja kwa Binti Yerusalemu.”

MIC 4:9 Removed trailing space in v~: Kwa nini sasa unalia kwa nguvu:

MIC 4:9 Removed trailing space in p~: kwani huna mfalme?

MIC 4:9 Removed trailing space in p~: Je, mshauri wako amekufa, hata maumivu yakukamate

MIC 4:9 Removed trailing space in p~: kama ya mwanamke

MIC 4:9 Removed trailing space in p~: aliye na utungu wa kuzaa?

MIC 4:10 Removed trailing space in v~: Gaagaa kwa utungu, ee Binti Sayuni,

MIC 4:10 Removed trailing space in p~: kama mwanamke mwenye utungu wa kuzaa,

MIC 4:10 Removed trailing space in p~: kwa kuwa sasa ni lazima uuache mji

MIC 4:10 Removed trailing space in p~: ukapige kambi uwanjani.

MIC 4:10 Removed trailing space in p~: Utakwenda Babeli;

MIC 4:10 Removed trailing space in p~: huko utaokolewa.

MIC 4:10 Removed trailing space in p~: Huko \nd Bwana\nd* atakukomboa

MIC 4:10 Removed trailing space in p~: kutoka mikononi mwa adui zako.

MIC 4:11 Removed trailing space in v~: Lakini sasa mataifa mengi

MIC 4:11 Removed trailing space in p~: yamekusanyika dhidi yako.

MIC 4:11 Removed trailing space in p~: Wanasema, “Mwache anajisiwe,

MIC 4:11 Removed trailing space in p~: macho yetu na yatazame Sayuni kwa furaha!”

MIC 4:12 Removed trailing space in v~: Lakini hawayajui

MIC 4:12 Removed trailing space in p~: mawazo ya \nd Bwana\nd*;

MIC 4:12 Removed trailing space in p~: hawauelewi mpango wake,

MIC 4:12 Removed trailing space in p~: yeye awakusanyaye kama miganda

MIC 4:12 Removed trailing space in p~: kwenye sakafu ya kupuria.

MIC 4:13 Removed trailing space in v~: “Inuka upure, ee Binti Sayuni,

MIC 4:13 Removed trailing space in p~: kwa kuwa nitakupa pembe za chuma;

MIC 4:13 Removed trailing space in p~: nitakupa kwato za shaba

MIC 4:13 Removed trailing space in p~: na utavunja vipande vipande mataifa mengi.”

MIC 4:13 Removed trailing space in p~: Utatoa mapato yao waliopata kwa udanganyifu kwa \nd Bwana\nd*,

MIC 4:13 Removed trailing space in p~: utajiri wao kwa Bwana wa dunia yote.

MIC 5:0 Extra space after chapter number

MIC 5:0 Removed trailing space in c: 5

MIC 5:0 Removed trailing space in s1: Mtawala Aliyeahidiwa Kutoka Bethlehemu

MIC 5:1 Removed trailing space in v~: Panga majeshi yako, ee mji wa majeshi,

MIC 5:1 Removed trailing space in p~: kwa kuwa kuzingirwa kumepangwa dhidi yetu.

MIC 5:1 Removed trailing space in p~: Watampiga mtawala wa Israeli

MIC 5:1 Removed trailing space in p~: shavuni kwa fimbo.

MIC 5:2 Removed trailing space in v~: “Lakini wewe, Bethlehemu Efrathi,

MIC 5:2 Removed trailing space in p~: ingawa u mdogo miongoni mwa koo za Yuda,

MIC 5:2 Removed trailing space in p~: kutoka kwako atatokea kwa ajili yangu

MIC 5:2 Removed trailing space in p~: yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli,

MIC 5:2 Removed trailing space in p~: ambaye asili yake ni kutoka zamani,

MIC 5:2 Removed trailing space in p~: kutoka milele.”

MIC 5:3 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo Israeli utaachwa mpaka wakati

MIC 5:3 Removed trailing space in p~: mwanamke aliye na utungu atakapozaa

MIC 5:3 Removed trailing space in p~: na ndugu zake wengine warudi

MIC 5:3 Removed trailing space in p~: kujiunga na Waisraeli.

MIC 5:4 Removed trailing space in v~: Atasimama na kulichunga kundi lake

MIC 5:4 Removed trailing space in p~: katika nguvu ya \nd Bwana\nd*,

MIC 5:4 Removed trailing space in p~: katika utukufu wa jina la \nd Bwana\nd* Mungu wake.

MIC 5:4 Removed trailing space in p~: Nao wataishi kwa usalama, kwa kuwa wakati huo

MIC 5:4 Removed trailing space in p~: ukuu wake utaenea hadi miisho ya dunia.

MIC 5:5 Removed trailing space in v~: Naye atakuwa amani yao.

MIC 5:5 Removed trailing space in s1: Ukombozi Na Uharibifu

MIC 5:5 Removed trailing space in p~: Wakati Mwashuru atakapovamia nchi yetu

MIC 5:5 Removed trailing space in p~: na kupita katika ngome zetu,

MIC 5:5 Removed trailing space in p~: tutawainua wachungaji saba dhidi yake,

MIC 5:5 Removed trailing space in p~: hata viongozi wanane wa watu.

MIC 5:6 Removed trailing space in v~: Wataitawala nchi ya Ashuru kwa upanga,

MIC 5:6 Removed trailing space in p~: nchi ya Nimrodi kwa upanga.

MIC 5:6 Removed trailing space in p~: Atatuokoa kutoka kwa Mwashuru

MIC 5:6 Removed trailing space in p~: atakapoivamia nchi yetu

MIC 5:6 Removed trailing space in p~: na kuingia katika mipaka yetu.

MIC 5:7 Removed trailing space in v~: Mabaki ya Yakobo yatakuwa

MIC 5:7 Removed trailing space in p~: katikati ya mataifa mengi

MIC 5:7 Removed trailing space in p~: kama umande kutoka kwa \nd Bwana\nd*,

MIC 5:7 Removed trailing space in p~: kama manyunyu juu ya majani,

MIC 5:7 Removed trailing space in p~: ambayo hayamngoji mtu

MIC 5:7 Removed trailing space in p~: wala kukawia kwa mwanadamu.

MIC 5:8 Removed trailing space in v~: Mabaki ya Yakobo yatakuwa miongoni mwa mataifa,

MIC 5:8 Removed trailing space in p~: katikati ya mataifa mengi,

MIC 5:8 Removed trailing space in p~: kama simba miongoni mwa wanyama wa msituni,

MIC 5:8 Removed trailing space in p~: kama mwana simba miongoni

MIC 5:8 Removed trailing space in p~: mwa makundi ya kondoo,

MIC 5:8 Removed trailing space in p~: ambaye anaumiza vibaya na kuwararua

MIC 5:8 Removed trailing space in p~: kila anapopita katikati yao,

MIC 5:8 Removed trailing space in p~: wala hakuna awezaye kuokoa.

MIC 5:9 Removed trailing space in v~: Mkono wako utainuliwa juu kwa ushindi juu ya watesi wako,

MIC 5:9 Removed trailing space in p~: nao adui zako wote wataangamizwa.

MIC 5:10 Removed trailing space in v~: “Katika siku ile,” asema \nd Bwana\nd*,

MIC 5:10 Removed trailing space in p~: “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu

MIC 5:10 Removed trailing space in p~: na kubomoa magari yenu ya vita.

MIC 5:11 Removed trailing space in v~: Nitaiangamiza miji ya nchi yenu

MIC 5:11 Removed trailing space in p~: na kuziangusha chini ngome zenu zote.

MIC 5:12 Removed trailing space in v~: Nitaangamiza uchawi wenu

MIC 5:12 Removed trailing space in p~: na hamtapiga tena ramli.

MIC 5:13 Removed trailing space in v~: Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga

MIC 5:13 Removed trailing space in p~: na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu;

MIC 5:13 Removed trailing space in p~: hamtasujudia tena

MIC 5:13 Removed trailing space in p~: kazi ya mikono yenu.

MIC 5:14 Removed trailing space in v~: Nitangʼoa nguzo za Ashera katikati yenu

MIC 5:14 Removed trailing space in p~: na kubomoa miji yenu.

MIC 5:15 Removed trailing space in v~: Nitalipiza kisasi kwa hasira na ghadhabu

MIC 5:15 Removed trailing space in p~: juu ya mataifa ambayo hayajanitii.”

MIC 6:0 Extra space after chapter number

MIC 6:0 Removed trailing space in c: 6

MIC 6:0 Removed trailing space in s1: Shauri La \nd Bwana\nd* Dhidi Ya Israeli

MIC 6:1 Removed trailing space in v~: Sikiliza asemalo \nd Bwana\nd*:

MIC 6:1 Removed trailing space in p~: “Simama, tetea shauri lako mbele ya milima;

MIC 6:1 Removed trailing space in p~: vilima na visikie lile unalotaka kusema.

MIC 6:2 Removed trailing space in v~: Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya \nd Bwana\nd*,

MIC 6:2 Removed trailing space in p~: sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia.

MIC 6:2 Removed trailing space in p~: Kwa kuwa \nd Bwana\nd* ana shauri dhidi ya watu wake;

MIC 6:2 Removed trailing space in p~: anatoa mashtaka dhidi ya Israeli.

MIC 6:3 Removed trailing space in v~: “Watu wangu, nimewatendea nini?

MIC 6:3 Removed trailing space in p~: Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu.

MIC 6:4 Removed trailing space in v~: Nimewatoa kutoka Misri na kuwakomboa

MIC 6:4 Removed trailing space in p~: kutoka nchi ya utumwa.

MIC 6:4 Removed trailing space in p~: Nilimtuma Mose awaongoze,

MIC 6:4 Removed trailing space in p~: pia Aroni na Miriamu.

MIC 6:5 Removed trailing space in v~: Watu wangu, kumbukeni jinsi Balaki mfalme wa Moabu

MIC 6:5 Removed trailing space in p~: alivyofanya shauri

MIC 6:5 Removed trailing space in p~: na kile Balaamu mwana wa Beori alichojibu.

MIC 6:5 Removed trailing space in p~: Kumbukeni safari yenu kutoka Shitimu mpaka Gilgali,

MIC 6:5 Removed trailing space in p~: ili mfahamu matendo ya haki ya \nd Bwana\nd*.”

MIC 6:6 Removed trailing space in v~: Nimjie \nd Bwana\nd* na kitu gani na kusujudu

MIC 6:6 Removed trailing space in p~: mbele za Mungu aliyetukuka?

MIC 6:6 Removed trailing space in p~: Je, nije mbele zake na sadaka za kuteketezwa,

MIC 6:6 Removed trailing space in p~: nije na ndama za mwaka mmoja?

MIC 6:7 Removed trailing space in v~: Je, \nd Bwana\nd* atafurahishwa na kondoo dume elfu,

MIC 6:7 Removed trailing space in p~: au mito elfu kumi ya mafuta?

MIC 6:7 Removed trailing space in p~: Je, nimtoe mzaliwa wangu wa kwanza kwa ajili ya kosa langu,

MIC 6:7 Removed trailing space in p~: mtoto wangu mwenyewe

MIC 6:7 Removed trailing space in p~: kwa ajili ya dhambi ya nafsi yangu?

MIC 6:8 Removed trailing space in v~: Amekuonyesha yaliyo mema, ee mwanadamu.

MIC 6:8 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* anataka nini kwako?

MIC 6:8 Removed trailing space in p~: Ila kutenda kwa haki na kupenda rehema,

MIC 6:8 Removed trailing space in p~: na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.

MIC 6:8 Removed trailing space in s1: Hatia Na Adhabu Ya Israeli

MIC 6:9 Removed trailing space in v~: Sikiliza! \nd Bwana\nd* anauita mji:

MIC 6:9 Removed trailing space in p~: kulicha jina lako ni hekima:

MIC 6:9 Removed trailing space in p~: “Tii hiyo fimbo na yeye aliyeiamuru.

MIC 6:10 Removed trailing space in v~: Je, bado nisahau, ee nyumba ya uovu,

MIC 6:10 Removed trailing space in p~: hazina yako uliyopata kwa udanganyifu

MIC 6:10 Removed trailing space in p~: na vipimo vilivyopunguka,

MIC 6:10 Removed trailing space in p~: ambavyo vimelaaniwa?

MIC 6:11 Removed trailing space in v~: Je, naweza kuhukumu kuwa

MIC 6:11 Removed trailing space in p~: mtu mwenye mizani ya udanganyifu hana hatia,

MIC 6:11 Removed trailing space in p~: aliye na mfuko wa mawe ya kupimia ya uongo?

MIC 6:12 Removed trailing space in v~: Matajiri wake ni wajeuri;

MIC 6:12 Removed trailing space in p~: watu wake ni waongo

MIC 6:12 Removed trailing space in p~: na ndimi zao zinazungumza

MIC 6:12 Removed trailing space in p~: kwa udanganyifu.

MIC 6:13 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, nimeanza kukuharibu,

MIC 6:13 Removed trailing space in p~: kuwaangamiza kwa sababu ya dhambi zenu.

MIC 6:14 Removed trailing space in v~: Mtakula lakini hamtashiba;

MIC 6:14 Removed trailing space in p~: matumbo yenu bado yatakuwa matupu.

MIC 6:14 Removed trailing space in p~: Mtaweka akiba lakini hamtaokoa chochote,

MIC 6:14 Removed trailing space in p~: kwa sababu mtakachoweka akiba

MIC 6:14 Removed trailing space in p~: nitatoa kwa upanga.

MIC 6:15 Removed trailing space in v~: Mtapanda lakini hamtavuna;

MIC 6:15 Removed trailing space in p~: mtakamua zeituni lakini

MIC 6:15 Removed trailing space in p~: hamtatumia mafuta yake.

MIC 6:15 Removed trailing space in p~: Mtakamua zabibu

MIC 6:15 Removed trailing space in p~: lakini hamtakunywa hiyo divai.

MIC 6:16 Removed trailing space in v~: Mmezishika sheria za Omri

MIC 6:16 Removed trailing space in p~: na matendo yote ya nyumba ya Ahabu,

MIC 6:16 Removed trailing space in p~: tena umefuata desturi zao.

MIC 6:16 Removed trailing space in p~: Kwa hiyo nitakutoa kwa maangamizi

MIC 6:16 Removed trailing space in p~: na watu wako kuwa dhihaka;

MIC 6:16 Removed trailing space in p~: mtachukua dharau za mataifa.”

MIC 7:0 Extra space after chapter number

MIC 7:0 Removed trailing space in c: 7

MIC 7:0 Removed trailing space in s1: Taabu Ya Israeli

MIC 7:1 Removed trailing space in v~: Taabu gani hii niliyo nayo!

MIC 7:1 Removed trailing space in p~: Nimefanana na yule akusanyaye

MIC 7:1 Removed trailing space in p~: matunda ya kiangazi,

MIC 7:1 Removed trailing space in p~: aokotaye masazo baada ya kuvunwa

MIC 7:1 Removed trailing space in p~: shamba la mizabibu;

MIC 7:1 Removed trailing space in p~: hakuna kishada chenye matunda ya kula,

MIC 7:1 Removed trailing space in p~: hakuna hata ile tini ya mwanzoni ninayoitamani.

MIC 7:2 Removed trailing space in v~: Wanaomcha Mungu wameondolewa kutoka nchi;

MIC 7:2 Removed trailing space in p~: hakuna mtu mnyofu hata mmoja aliyebaki.

MIC 7:2 Removed trailing space in p~: Watu wote wanavizia kumwaga damu,

MIC 7:2 Removed trailing space in p~: kila mmoja anamwinda ndugu yake kwa wavu.

MIC 7:3 Removed trailing space in v~: Mikono yote miwili ni hodari katika kufanya ubaya,

MIC 7:3 Removed trailing space in p~: mtawala anadai zawadi,

MIC 7:3 Removed trailing space in p~: hakimu anapokea rushwa,

MIC 7:3 Removed trailing space in p~: wenye nguvu wanaamuru wanachotaka:

MIC 7:3 Removed trailing space in p~: wote wanafanya shauri baya pamoja.

MIC 7:4 Removed trailing space in v~: Aliye mwema kupita wote kati yao

MIC 7:4 Removed trailing space in p~: ni kama mchongoma,

MIC 7:4 Removed trailing space in p~: anayeonekana mnyofu zaidi miongoni mwao

MIC 7:4 Removed trailing space in p~: ni mbaya kuliko uzio wa miiba.

MIC 7:4 Removed trailing space in p~: Siku ya walinzi wako imewadia,

MIC 7:4 Removed trailing space in p~: siku atakayokutembelea Mungu.

MIC 7:4 Removed trailing space in p~: Sasa ni wakati wao

MIC 7:4 Removed trailing space in p~: wa kuchanganyikiwa.

MIC 7:5 Removed trailing space in v~: Usimtumaini jirani;

MIC 7:5 Removed trailing space in p~: usiweke matumaini kwa rafiki.

MIC 7:5 Removed trailing space in p~: Hata kwa yule alalaye kifuani mwako

MIC 7:5 Removed trailing space in p~: uwe mwangalifu kwa maneno yako.

MIC 7:6 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa mwana humdharau baba yake,

MIC 7:6 Removed trailing space in p~: naye binti huinuka dhidi ya mama yake,

MIC 7:6 Removed trailing space in p~: mkwe kuwa kinyume na mama mkwe wake:

MIC 7:6 Removed trailing space in p~: adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake hasa.

MIC 7:7 Removed trailing space in v~: Lakini mimi, namtazama \nd Bwana\nd* kwa matumaini,

MIC 7:7 Removed trailing space in p~: namngoja Mungu Mwokozi wangu;

MIC 7:7 Removed trailing space in p~: Mungu wangu atanisikia mimi.

MIC 7:7 Removed trailing space in s1: Israeli Atainuka

MIC 7:8 Removed trailing space in v~: Usifurahie msiba wangu, ee adui yangu!

MIC 7:8 Removed trailing space in p~: Ingawa nimeanguka, nitainuka.

MIC 7:8 Removed trailing space in p~: Japo ninaketi gizani,

MIC 7:8 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* atakuwa nuru yangu.

MIC 7:9 Removed trailing space in v~: Kwa sababu nimetenda dhambi dhidi yake,

MIC 7:9 Removed trailing space in p~: nitabeba ghadhabu ya \nd Bwana\nd*,

MIC 7:9 Removed trailing space in p~: mpaka atakaponitetea shauri langu

MIC 7:9 Removed trailing space in p~: na kuithibitisha haki yangu.

MIC 7:9 Removed trailing space in p~: Atanileta nje kwenye mwanga,

MIC 7:9 Removed trailing space in p~: nami nitaiona haki yake.

MIC 7:10 Removed trailing space in v~: Kisha adui yangu ataliona

MIC 7:10 Removed trailing space in p~: naye atafunikwa na aibu,

MIC 7:10 Removed trailing space in p~: yule aliyeniambia,

MIC 7:10 Removed trailing space in p~: “Yu wapi \nd Bwana\nd* Mungu wako?”

MIC 7:10 Removed trailing space in p~: Macho yangu yataona kuanguka kwake,

MIC 7:10 Removed trailing space in p~: hata sasa atakanyagwa chini ya mguu

MIC 7:10 Removed trailing space in p~: kama tope barabarani.

MIC 7:11 Removed trailing space in v~: Siku ya kujenga kuta zako itawadia,

MIC 7:11 Removed trailing space in p~: siku ya kupanua mipaka yako.

MIC 7:12 Removed trailing space in v~: Siku hiyo watu watakuja kwako

MIC 7:12 Removed trailing space in p~: kutoka Ashuru na miji ya Misri,

MIC 7:12 Removed trailing space in p~: hata kutoka Misri hadi Frati

MIC 7:12 Removed trailing space in p~: na kutoka bahari hadi bahari

MIC 7:12 Removed trailing space in p~: na kutoka mlima hadi mlima.

MIC 7:13 Removed trailing space in v~: Dunia itakuwa ukiwa kwa sababu ya wakazi wake,

MIC 7:13 Removed trailing space in p~: kwa sababu ya matunda ya matendo yao.

MIC 7:13 Removed trailing space in s1: Sala Na Sifa

MIC 7:14 Removed trailing space in v~: Wachunge watu wako kwa fimbo yako,

MIC 7:14 Removed trailing space in p~: kundi la urithi wako,

MIC 7:14 Removed trailing space in p~: ambalo linaishi peke yake msituni,

MIC 7:14 Removed trailing space in p~: katika nchi ya malisho yenye rutuba.

MIC 7:14 Removed trailing space in p~: Waache walishe katika Bashani na Gileadi

MIC 7:14 Removed trailing space in p~: kama ilivyokuwa siku za kale.

MIC 7:15 Removed trailing space in v~: “Kama siku zile mlipotoka Misri,

MIC 7:15 Removed trailing space in p~: nitawaonyesha maajabu yangu.”

MIC 7:16 Removed trailing space in v~: Mataifa yataona na kuaibika,

MIC 7:16 Removed trailing space in p~: waliondolewa nguvu zao zote.

MIC 7:16 Removed trailing space in p~: Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao

MIC 7:16 Removed trailing space in p~: na masikio yao yatakuwa na uziwi.

MIC 7:17 Removed trailing space in v~: Wataramba mavumbi kama nyoka,

MIC 7:17 Removed trailing space in p~: kama viumbe vitambaavyo juu ya ardhi.

MIC 7:17 Removed trailing space in p~: Watatoka nje ya mapango yao wakitetemeka;

MIC 7:17 Removed trailing space in p~: watamgeukia \nd Bwana\nd* Mungu wetu kwa hofu

MIC 7:17 Removed trailing space in p~: nao watakuogopa.

MIC 7:18 Removed trailing space in v~: Ni nani Mungu kama wewe,

MIC 7:18 Removed trailing space in p~: ambaye anaachilia dhambi

MIC 7:18 Removed trailing space in p~: na kusamehe makosa

MIC 7:18 Removed trailing space in p~: ya mabaki ya urithi wake?

MIC 7:18 Removed trailing space in p~: Wewe huwi na hasira milele,

MIC 7:18 Removed trailing space in p~: bali unafurahia kuonyesha rehema.

MIC 7:19 Removed trailing space in v~: Utatuhurumia tena,

MIC 7:19 Removed trailing space in p~: utazikanyaga dhambi zetu

MIC 7:19 Removed trailing space in p~: chini ya nyayo zako,

MIC 7:19 Removed trailing space in p~: na kutupa maovu yetu yote

MIC 7:19 Removed trailing space in p~: katika vilindi vya bahari.

MIC 7:20 Removed trailing space in v~: Utakuwa wa kweli kwa Yakobo,

MIC 7:20 Removed trailing space in p~: nawe utamwonyesha Abrahamu rehema,

MIC 7:20 Removed trailing space in p~: kama ulivyowaahidi kwa kiapo baba zetu

MIC 7:20 Removed trailing space in p~: siku za kale.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 b: 21    c: 7    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 9    q1: 212    q2: 248    r: 1    rem: 1    s1: 15    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 625    v: 105  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    r: 1    c: 7    p: 9    s1: 15    b: 21    v: 105    q1: 212    q2: 248    Total: 625  

All Text Internal Marker Counts

 nd: 3    nd*: 3    Total: 6  

All Text Internal Marker Counts (sorted by count)

 nd: 3    nd*: 3    Total: 6  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 7    Paragraphs: 9    Section Cross-References: 1    Verses: 105  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Section Cross-References: 1    Chapters: 7    Paragraphs: 9    Verses: 105  

Characters

All Character Counts

All Character Counts (sorted by count)

Letter Counts

 -: 1    a: 71    A: 4    b: 8    B: 4    D: 2    d: 6    e: 13    f: 2    g: 5    H: 2    h: 9    i: 35    I: 5    k: 11    K: 3    l: 12    L: 1    M: 13    m: 10    N: 7    n: 12    o: 13    p: 2    r: 8    S: 4    s: 6    Space: 43    t: 5    T: 1    Total: 365    u: 17    U: 4    V: 1    w: 7    W: 4    Y: 8    y: 2    z: 4  

Letter Counts (sorted by count)

 V: 1    -: 1    L: 1    T: 1    H: 2    D: 2    p: 2    y: 2    f: 2    K: 3    S: 4    z: 4    W: 4    U: 4    A: 4    B: 4    g: 5    I: 5    t: 5    d: 6    s: 6    N: 7    w: 7    Y: 8    r: 8    b: 8    h: 9    m: 10    k: 11    l: 12    n: 12    M: 13    e: 13    o: 13    u: 17    i: 35    Space: 43    a: 71    Total: 365  

Punctuation Counts

 (: 1    ): 1    :: 1    Total: 3  

Punctuation Counts (sorted by count)

 (: 1    :: 1    ): 1    Total: 3  

Speech Marks

Possible Matching Errors

MIC 2:12 Unclosed speech marks matching '“ (opened at 2:7:q1)' before q1 marker

Words

All Word Counts

 --Total--: 63    Adhabu: 1    Ahadi: 1    Aliyeahidiwa: 1    Atainuka: 1    Bethlehemu: 1    Bwana: 3    Dhidi: 2    Hatia: 1    Hukumu: 1    Isaya: 1    Israeli: 4    Kulia: 1    Kuomboleza: 1    Kutoka: 1    La: 1    Manabii: 2    Mik: 1    Mika: 4    Mipango: 1    Mlima: 1    Mpango: 1    Mtawala: 1    Mungu: 1    Mwanadamu: 1    Na: 7    Sala: 1    Samaria: 1    Shauri: 1    Sifa: 1    Taabu: 1    Uharibifu: 1    Ukombozi: 2    Uongo: 1    Viongozi: 1    Wa: 3    Wakemewa: 1    Ya: 7    Yerusalemu: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 Mik: 1    Hukumu: 1    Samaria: 1    Yerusalemu: 1    Kulia: 1    Kuomboleza: 1    Mipango: 1    Mwanadamu: 1    Mungu: 1    Uongo: 1    Ahadi: 1    Viongozi: 1    Wakemewa: 1    Mlima: 1    Isaya: 1    Mpango: 1    Mtawala: 1    Aliyeahidiwa: 1    Kutoka: 1    Bethlehemu: 1    Uharibifu: 1    Shauri: 1    La: 1    Hatia: 1    Adhabu: 1    Taabu: 1    Atainuka: 1    Sala: 1    Sifa: 1    Dhidi: 2    Manabii: 2    Ukombozi: 2    Wa: 3    Bwana: 3    Mika: 4    Israeli: 4    Ya: 7    Na: 7    --Total--: 63  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 63    adhabu: 1    ahadi: 1    aliyeahidiwa: 1    atainuka: 1    bethlehemu: 1    bwana: 3    dhidi: 2    hatia: 1    hukumu: 1    isaya: 1    israeli: 4    kulia: 1    kuomboleza: 1    kutoka: 1    la: 1    manabii: 2    mik: 1    mika: 4    mipango: 1    mlima: 1    mpango: 1    mtawala: 1    mungu: 1    mwanadamu: 1    na: 7    sala: 1    samaria: 1    shauri: 1    sifa: 1    taabu: 1    uharibifu: 1    ukombozi: 2    uongo: 1    viongozi: 1    wa: 3    wakemewa: 1    ya: 7    yerusalemu: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 mik: 1    hukumu: 1    samaria: 1    yerusalemu: 1    kulia: 1    kuomboleza: 1    mipango: 1    mwanadamu: 1    mungu: 1    uongo: 1    ahadi: 1    viongozi: 1    wakemewa: 1    mlima: 1    isaya: 1    mpango: 1    mtawala: 1    aliyeahidiwa: 1    kutoka: 1    bethlehemu: 1    uharibifu: 1    shauri: 1    la: 1    hatia: 1    adhabu: 1    taabu: 1    atainuka: 1    sala: 1    sifa: 1    dhidi: 2    manabii: 2    ukombozi: 2    wa: 3    bwana: 3    mika: 4    israeli: 4    ya: 7    na: 7    --Total--: 63  

Headings

Title Lines

MIC -1:6 Main Title 1:Mika

Section Heading Lines

MIC 1:2Hukumu Dhidi Ya Samaria Na Yerusalemu
MIC 1:7Kulia Na Kuomboleza
MIC 2:0Mipango Ya Mwanadamu Na Ya Mungu
MIC 2:5Manabii Wa Uongo
MIC 2:11Ahadi Ya Ukombozi
MIC 3:0Viongozi Na Manabii Wakemewa
MIC 4:0Mlima Wa \nd Bwana\nd*
MIC 4:5Mpango Wa \nd Bwana\nd*
MIC 5:0Mtawala Aliyeahidiwa Kutoka Bethlehemu
MIC 5:5Ukombozi Na Uharibifu
MIC 6:0Shauri La \nd Bwana\nd* Dhidi Ya Israeli
MIC 6:8Hatia Na Adhabu Ya Israeli
MIC 7:0Taabu Ya Israeli
MIC 7:7Israeli Atainuka
MIC 7:13Sala Na Sifa

Section Cross-reference Lines

MIC 4:0(Isaya 2:2-4)