Freely-Given.org Bible PE1 Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in PE1 -1:0

Showing 1 out of 141 priority errors

Fix Text Errors

PE1 -1:0 Removed trailing space in id: 1PE - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

PE1 -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

PE1 -1:2 Removed trailing space in h: 1 Petro

PE1 -1:3 Removed trailing space in toc1: 1 Petro

PE1 -1:4 Removed trailing space in toc2: 1 Petro

PE1 -1:5 Removed trailing space in toc3: 1Pet

PE1 -1:6 Removed trailing space in mt1: 1 Petro

PE1 1:0 Extra space after chapter number

PE1 1:0 Removed trailing space in c: 1

PE1 1:0 Removed trailing space in s1: Salamu

PE1 1:1 Removed trailing space in v~: Petro, mtume wa Yesu Kristo:

PE1 1:1 Removed trailing space in p~: Kwa wateule wa Mungu, wageni katika ulimwengu, waliotawanyika kote katika Ponto, Galatia, Kapadokia, Asia na Bithinia.

PE1 1:2 Removed trailing space in v~: Ni ninyi ambao mlichaguliwa tangu mwanzo na Mungu Baba kulingana na alivyotangulia kuwajua, kupitia kwa kazi ya utakaso wa Roho, katika utiifu kwa Yesu Kristo na kunyunyiziwa damu yake:

PE1 1:2 Removed trailing space in p~: Neema na amani ziwe kwenu kwa wingi.

PE1 1:2 Removed trailing space in s1: Tumaini Lenye Uzima

PE1 1:3 Removed trailing space in v~: Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Kwa rehema zake kuu ametuzaa sisi mara ya pili katika tumaini lenye uzima kupitia kwa kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu,

PE1 1:4 Removed trailing space in v~: ili tuupate urithi usioharibika, usio na uchafu, ule usionyauka: uliotunzwa mbinguni kwa ajili yenu,

PE1 1:5 Removed trailing space in v~: ninyi ambao mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani, hadi uje ule wokovu ulio tayari kufunuliwa nyakati za mwisho.

PE1 1:6 Removed trailing space in v~: Katika hili mnafurahi sana, ingawa sasa kwa kitambo kidogo mmehuzunishwa kwa majaribu ya namna nyingi.

PE1 1:7 Removed trailing space in v~: Haya yamewajia ili kwamba imani yenu, iliyo ya thamani kuliko dhahabu ipoteayo, ingawa hujaribiwa kwa moto, ionekane kuwa halisi na imalizie katika sifa, utukufu na heshima wakati Yesu Kristo atadhihirishwa.

PE1 1:8 Removed trailing space in v~: Ingawa hamjamwona, mnampenda; tena ingawa sasa hammwoni, mnamwamini na kujawa na furaha isiyoneneka yenye utukufu usioelezeka.

PE1 1:9 Removed trailing space in v~: Maana mnaupokea wokovu wa roho zenu, ambao ndio lengo la imani yenu.

PE1 1:10 Removed trailing space in v~: Kwa habari ya wokovu huu, wale manabii waliosema kuhusu neema ambayo ingewajia ninyi, walitafuta kwa bidii na kwa uangalifu mkubwa,

PE1 1:11 Removed trailing space in v~: wakijaribu kujua ni wakati upi na katika mazingira gani ambayo Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao alionyesha, alipotabiri kuhusu mateso ya Kristo na utukufu ule ambao ungefuata.

PE1 1:12 Removed trailing space in v~: Walidhihirishiwa kwamba walikuwa hawajihudumii wao wenyewe, bali waliwahudumia ninyi, waliponena kuhusu mambo hayo, ambayo sasa yamehubiriwa kwenu na wale waliowahubiria ninyi Injili kwa Roho Mtakatifu aliyetumwa kutoka mbinguni. Hata malaika wanatamani kuyafahamu mambo haya.

PE1 1:12 Removed trailing space in s1: Mwito Wa Kuishi Maisha Matakatifu

PE1 1:13 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, tayarisheni nia zenu kwa kazi; mwe na kiasi, mkitumainia kikamilifu ile neema mtakayopewa Yesu Kristo atakapodhihirishwa.

PE1 1:14 Removed trailing space in v~: Kama watoto watiifu, msifuate tamaa zenu mbaya wakati mlipoishi kwa ujinga.

PE1 1:15 Removed trailing space in v~: Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, nanyi kuweni watakatifu katika mwenendo wenu wote.

PE1 1:16 Removed trailing space in v~: Kwa maana imeandikwa: “Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu.”

PE1 1:17 Removed trailing space in v~: Kwa sababu mnamwita Baba ahukumuye kila mtu kulingana na matendo yake pasipo upendeleo, enendeni kwa hofu ya kumcha Mungu wakati wenu wa kukaa hapa duniani kama wageni.

PE1 1:18 Removed trailing space in v~: Kwa maana mnafahamu kwamba mlikombolewa kutoka mwenendo wenu usiofaa ambao mliurithi kutoka kwa baba zenu, si kwa vitu viharibikavyo kama fedha na dhahabu,

PE1 1:19 Removed trailing space in v~: bali kwa damu ya thamani ya Kristo, yule Mwana-Kondoo asiye na dosari wala doa.

PE1 1:20 Removed trailing space in v~: Yeye alichaguliwa kabla ya kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu, lakini akadhihirishwa katika siku hizi za mwisho kwa ajili yenu.

PE1 1:21 Removed trailing space in v~: Kupitia kwake mmemwamini Mungu, aliyemfufua kutoka kwa wafu na akampa utukufu, ili imani yenu na tumaini lenu ziwe kwa Mungu.

PE1 1:22 Removed trailing space in v~: Basi kwa kuwa mmejitakasa nafsi zenu kwa kuitii ile kweli hata mkawa na upendo wa ndugu usio na unafiki, basi pendaneni kwa dhati kutoka moyoni.

PE1 1:23 Removed trailing space in v~: Kwa maana mmezaliwa upya, si kwa mbegu ile iharibikayo, bali kwa ile isiyoharibika, kupitia kwa neno la Mungu lililo hai na linalodumu milele.

PE1 1:24 Removed trailing space in v~: Maana,

PE1 1:24 Removed trailing space in p~: “Wanadamu wote ni kama majani,

PE1 1:24 Removed trailing space in p~: nao utukufu wao ni kama maua ya kondeni;

PE1 1:24 Removed trailing space in p~: majani hunyauka na maua huanguka,

PE1 1:25 Removed trailing space in v~: lakini neno la Bwana ladumu milele.”

PE1 1:25 Removed trailing space in p~: Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.

PE1 2:0 Extra space after chapter number

PE1 2:0 Removed trailing space in c: 2

PE1 2:0 Removed trailing space in s1: Jiwe Lililo Hai Na Watu Waliochaguliwa

PE1 2:1 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, wekeni mbali nanyi uovu wote na udanganyifu wote, unafiki, wivu na masingizio ya kila namna.

PE1 2:2 Removed trailing space in v~: Kama watoto wachanga, waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya kiroho yasiyochanganywa na kitu kingine chochote, ili kwa hayo mpate kukua katika wokovu,

PE1 2:3 Removed trailing space in v~: ikiwa kweli mmeonja ya kwamba Bwana ni mwema.

PE1 2:4 Removed trailing space in v~: Mnapokuja kwake, yeye aliye Jiwe lililo hai, lililokataliwa na wanadamu bali kwa Mungu ni teule na la thamani kwake,

PE1 2:5 Removed trailing space in v~: ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mnajengwa kuwa nyumba ya kiroho, ili mpate kuwa ukuhani mtakatifu, mkitoa dhabihu za kiroho zinazokubaliwa na Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.

PE1 2:6 Removed trailing space in v~: Kwa maana imeandikwa katika Maandiko:

PE1 2:6 Removed trailing space in p~: “Tazama, naweka katika Sayuni,

PE1 2:6 Removed trailing space in p~: jiwe la pembeni teule lenye thamani,

PE1 2:6 Removed trailing space in p~: na yeyote atakayemwamini

PE1 2:6 Removed trailing space in p~: hataaibika kamwe.”

PE1 2:7 Removed trailing space in v~: Kwenu ninyi mnaoamini, jiwe hili ni la thamani. Lakini kwao wasioamini,

PE1 2:7 Removed trailing space in p~: “Jiwe walilolikataa waashi

PE1 2:7 Removed trailing space in p~: limekuwa jiwe kuu la pembeni,”

PE1 2:8 Removed trailing space in v~: tena,

PE1 2:8 Removed trailing space in p~: “Jiwe lenye kuwafanya watu wajikwae,

PE1 2:8 Removed trailing space in p~: na mwamba wa kuwaangusha.”

PE1 2:8 Removed trailing space in p~: Wanajikwaa kwa sababu hawakulitii lile neno, kama walivyowekewa tangu zamani.

PE1 2:9 Removed trailing space in v~: Lakini ninyi ni taifa teule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu walio milki ya Mungu, mlioitwa ili kutangaza sifa zake yeye aliyewaita kutoka gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu.

PE1 2:10 Removed trailing space in v~: Mwanzo ninyi mlikuwa si taifa, lakini sasa ninyi ni taifa la Mungu. Mwanzo mlikuwa hamjapata rehema, lakini sasa mmepata rehema.

PE1 2:11 Removed trailing space in v~: Wapenzi, ninawasihi, mkiwa kama wageni na wapitaji hapa ulimwenguni, epukeni tamaa mbaya za mwili ambazo hupigana vita na roho zenu.

PE1 2:12 Removed trailing space in v~: Kuweni na mwenendo mzuri mbele ya watu wasiomjua Mungu, ili kama wanawasingizia kuwa watenda mabaya, wayaone matendo yenu mema nao wamtukuze Mungu siku atakapokuja kwetu.

PE1 2:12 Removed trailing space in s1: Kuwatii Wenye Mamlaka

PE1 2:13 Removed trailing space in v~: Kwa ajili ya Bwana, tiini kila mamlaka iliyowekwa na wanadamu: Kwa mfalme kwani ndiye aliye na mamlaka ya juu zaidi,

PE1 2:14 Removed trailing space in v~: au kwa maafisa aliowaweka, kwa kuwa mfalme amewatuma ili kuwaadhibu wale wanaokosa, na kuwapongeza wale watendao mema.

PE1 2:15 Removed trailing space in v~: Kwa maana ni mapenzi ya Mungu kwamba kwa kutenda mema mnyamazishe maneno ya kijinga ya watu wapumbavu.

PE1 2:16 Removed trailing space in v~: Ishini kama watu huru, lakini msitumie uhuru wenu kama kisingizio cha kutenda uovu, bali ishini kama watumishi wa Mungu.

PE1 2:17 Removed trailing space in v~: Mheshimuni kila mtu ipasavyo: Wapendeni jamaa ya ndugu waumini, mcheni Mungu, mpeni heshima mfalme.

PE1 2:18 Removed trailing space in v~: Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wema na wapole peke yao, bali pia wale walio wakali.

PE1 2:19 Removed trailing space in v~: Kwa maana ni jambo la sifa kama mtu akivumilia anapoteswa kwa uonevu kwa ajili ya Mungu.

PE1 2:20 Removed trailing space in v~: Kwani ni faida gani kwa mtu kustahimili anapopigwa kwa sababu ya makosa yake? Lakini kama mkiteswa kwa sababu ya kutenda mema, nanyi mkastahimili, hili ni jambo la kusifiwa mbele za Mungu.

PE1 2:20 Removed trailing space in s1: Mfano Wa Mateso Ya Kristo

PE1 2:21 Removed trailing space in v~: Ninyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake.

PE1 2:22 Removed trailing space in v~: “Yeye hakutenda dhambi,

PE1 2:22 Removed trailing space in p~: wala hila haikuonekana kinywani mwake.”

PE1 2:23 Removed trailing space in v~: Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutishia, bali alijikabidhi kwa yeye ahukumuye kwa haki.

PE1 2:24 Removed trailing space in v~: Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, ili tufe kwa mambo ya dhambi, bali tupate kuishi katika haki. Kwa kupigwa kwake, ninyi mmeponywa.

PE1 2:25 Removed trailing space in v~: Kwa maana mlikuwa mmepotea kama kondoo, lakini sasa mmerudi kwa Mchungaji na Mwangalizi wa roho zenu.

PE1 3:0 Extra space after chapter number

PE1 3:0 Removed trailing space in c: 3

PE1 3:0 Removed trailing space in s1: Mafundisho Kwa Wake Na Waume

PE1 3:1 Removed trailing space in v~: Kadhalika enyi wake, watiini waume zenu, ili kama kunao wasioamini lile neno, wapate kuvutwa na mwenendo wa wake zao pasipo neno,

PE1 3:2 Removed trailing space in v~: kwa kuuona utakatifu na uchaji wa Mungu katika maisha yenu.

PE1 3:3 Removed trailing space in v~: Kujipamba kwenu kusiwe kwa nje tu, kama vile kusuka nywele, kuvalia vitu vilivyofanyizwa kwa dhahabu na kwa mavazi.

PE1 3:4 Removed trailing space in v~: Badala yake, kujipamba kwenu kuwe katika utu wenu wa moyoni, yaani uzuri usioharibika wa roho ya upole na utulivu, ambayo ni ya thamani sana machoni pa Mungu.

PE1 3:5 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa hivi ndivyo walivyokuwa wakijipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu. Wao walikuwa ni watiifu kwa waume zao,

PE1 3:6 Removed trailing space in v~: kama Sara alivyomtii mumewe Abrahamu, hata akamwita bwana. Ninyi ni watoto wa Sara kama mkitenda yaliyo mema, bila kuogopa jambo lolote.

PE1 3:7 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili, nanyi wapeni heshima mkitambua ya kuwa wao ni wenzi walio dhaifu, na kama warithi pamoja nanyi wa kipawa cha neema cha uzima, ili kusiwepo na chochote cha kuzuia maombi yenu.

PE1 3:7 Removed trailing space in s1: Kuteseka Kwa Kutenda Mema

PE1 3:8 Removed trailing space in v~: Hatimaye, ninyi nyote kuweni na nia moja, wenye kuhurumiana, mkipendana kama ndugu, na mwe wasikitivu na wanyenyekevu.

PE1 3:9 Removed trailing space in v~: Msilipe ovu kwa ovu, au jeuri kwa jeuri, bali barikini, kwa maana hili ndilo mliloitiwa ili mpate kurithi baraka.

PE1 3:10 Removed trailing space in v~: Kwa maana,

PE1 3:10 Removed trailing space in p~: “Yeyote apendaye uzima

PE1 3:10 Removed trailing space in p~: na kuona siku njema,

PE1 3:10 Removed trailing space in p~: basi auzuie ulimi wake usinene mabaya,

PE1 3:10 Removed trailing space in p~: na midomo yake isiseme hila.

PE1 3:11 Removed trailing space in v~: Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema;

PE1 3:11 Removed trailing space in p~: lazima aitafute amani na kuifuatilia sana.

PE1 3:12 Removed trailing space in v~: Kwa maana macho ya Bwana

PE1 3:12 Removed trailing space in p~: huwaelekea wenye haki,

PE1 3:12 Removed trailing space in p~: na masikio yake yako makini

PE1 3:12 Removed trailing space in p~: kusikiliza maombi yao.

PE1 3:12 Removed trailing space in p~: Bali uso wa Bwana uko kinyume

PE1 3:12 Removed trailing space in p~: na watendao maovu.”

PE1 3:12 Removed trailing space in s1: Kuvumilia Mateso

PE1 3:13 Removed trailing space in v~: Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema?

PE1 3:14 Removed trailing space in v~: Lakini mmebarikiwa hata kama ikiwalazimu kuteseka kwa ajili ya haki. “Msiogope vitisho vyao, wala msiwe na wasiwasi.”

PE1 3:15 Removed trailing space in v~: Bali mtakaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu. Siku zote mwe tayari kumjibu mtu yeyote atakayewauliza kuhusu sababu ya tumaini lililomo ndani yenu. Lakini fanyeni hivyo kwa upole na kwa heshima,

PE1 3:16 Removed trailing space in v~: mkizitunza dhamiri zenu ziwe safi, ili wale wasemao mabaya dhidi ya mwenendo wenu mzuri katika Kristo waaibike kwa ajili ya masingizio yao.

PE1 3:17 Removed trailing space in v~: Kwa maana ni afadhali kupata mateso kwa ajili ya kutenda mema, kama kuteseka huko ndiyo mapenzi ya Mungu, kuliko kuteseka kwa kutenda maovu.

PE1 3:18 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa Kristo naye aliteswa mara moja tu kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili ya wasio haki, ili awalete ninyi kwa Mungu. Mwili wake ukauawa, lakini akafanywa hai katika Roho.

PE1 3:19 Removed trailing space in v~: Baada ya kufanywa hai, alikwenda na kuzihubiria roho zilizokuwa kifungoni:

PE1 3:20 Removed trailing space in v~: roho hizo ambazo zamani hazikutii, wakati ule uvumilivu wa Mungu ulipokuwa ukingoja katika siku za Noa, wakati wa kujenga safina, ambamo watu wachache tu, yaani watu wanane, waliokolewa ili wasiangamie kwa gharika.

PE1 3:21 Removed trailing space in v~: Nayo maji hayo ni kielelezo cha ubatizo ambao sasa unawaokoa ninyi pia: si kwa kuondoa uchafu kwenye mwili, bali kama ahadi ya dhamiri safi kwa Mungu, kwa njia ya ufufuo wa Yesu Kristo.

PE1 3:22 Removed trailing space in v~: Yeye ameingia mbinguni na amekaa mkono wa kuume wa Mungu; nao malaika, mamlaka na nguvu zote wametiishwa chini yake.

PE1 5:0 Extra space after chapter number

PE1 5:0 Removed trailing space in c: 5

PE1 5:0 Removed trailing space in s1: Kulichunga Kundi La Mungu

PE1 5:1 Removed trailing space in v~: Kwa wazee waliomo miongoni mwenu, nawasihi mimi nikiwa mzee mwenzenu, shahidi wa mateso ya Kristo, na mshiriki katika utukufu utakaofunuliwa:

PE1 5:2 Removed trailing space in v~: lichungeni kundi la Mungu mlilokabidhiwa, mkitumika kama waangalizi, si kwa kulazimishwa bali kwa hiari, kama Mungu anavyowataka mwe; si kwa tamaa ya fedha, bali mlio na bidii katika kutumika.

PE1 5:3 Removed trailing space in v~: Msijifanye mabwana juu ya wale walio chini ya uangalizi wenu, bali kuweni vielelezo kwa hilo kundi.

PE1 5:4 Removed trailing space in v~: Naye Mchungaji Mkuu atakapodhihirishwa, mtapokea taji ya utukufu isiyoharibika.

PE1 5:5 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, ninyi mlio vijana watiini wazee. Nanyi nyote imewapasa kujivika unyenyekevu kila mtu kwa mwenzake, kwa kuwa,

PE1 5:5 Removed trailing space in p~: “Mungu huwapinga wenye kiburi,

PE1 5:5 Removed trailing space in p~: lakini huwapa wanyenyekevu neema.”

PE1 5:6 Removed trailing space in v~: Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake.

PE1 5:7 Removed trailing space in v~: Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu.

PE1 5:8 Removed trailing space in v~: Mwe na kiasi na kukesha, maana adui yenu ibilisi huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mtu ili apate kummeza.

PE1 5:9 Removed trailing space in v~: Mpingeni, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kwamba mateso kama hayo yanawapata ndugu zenu pote duniani.

PE1 5:10 Removed trailing space in v~: Nanyi mkiisha kuteswa kwa kitambo kidogo, Mungu wa neema yote, aliyewaita kuingia katika utukufu wake wa milele ndani ya Kristo, yeye mwenyewe atawarejesha na kuwatia nguvu, akiwaimarisha na kuwathibitisha.

PE1 5:11 Removed trailing space in v~: Uweza una yeye milele na milele. Amen.

PE1 5:11 Removed trailing space in s1: Salamu Za Mwisho

PE1 5:12 Removed trailing space in v~: Kwa msaada wa Silvano,\f + \fr 5:12 \ft Yaani Sila.\f* ambaye ninamhesabu kuwa ndugu mwaminifu, nimewaandikia waraka huu mfupi ili kuwatia moyo, na kushuhudia kwamba hii ni neema halisi ya Mungu. Simameni imara katika neema hiyo.

PE1 5:13 Removed trailing space in v~: Kanisa lililoko Babeli, lililochaguliwa pamoja nanyi, wanawasalimu; vivyo hivyo mwanangu Marko anawasalimu.

PE1 5:14 Removed trailing space in v~: Salimianeni kwa busu la upendo.

PE1 5:14 Removed trailing space in p~: Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 5    h: 1    id: 1    m: 6    mt1: 1    p: 31    q1: 15    q2: 15    rem: 1    s1: 13    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 197    v: 105  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 5    m: 6    s1: 13    q1: 15    q2: 15    p: 31    v: 105    Total: 197  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 5    Paragraphs: 31    Verses: 105  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 5    Paragraphs: 31    Verses: 105  

Characters

All Character Counts

 0: 8    1: 64    2: 29    3: 13    4: 13    5: 12    6: 9    7: 9    8: 9    9: 9    a: 45    A: 1    c: 2    d: 3    e: 20    f: 3    g: 4    h: 7    H: 1    i: 28    J: 1    j: 1    K: 15    k: 6    l: 10    L: 3    m: 8    M: 13    n: 10    N: 2    o: 14    P: 5    r: 6    S: 2    s: 11    Space: 41    t: 17    T: 1    Total: 504    u: 24    U: 1    v: 1    w: 10    W: 7    y: 2    Y: 2    z: 1    Z: 1  

All Character Counts (sorted by count)

 T: 1    U: 1    z: 1    J: 1    H: 1    v: 1    A: 1    j: 1    Z: 1    S: 2    y: 2    N: 2    c: 2    Y: 2    L: 3    f: 3    d: 3    g: 4    P: 5    r: 6    k: 6    W: 7    h: 7    m: 8    0: 8    6: 9    7: 9    8: 9    9: 9    l: 10    n: 10    w: 10    s: 11    5: 12    3: 13    4: 13    M: 13    o: 14    K: 15    t: 17    e: 20    u: 24    i: 28    2: 29    Space: 41    a: 45    1: 64    Total: 504  

Letter Counts

 a: 45    A: 1    c: 2    d: 3    e: 20    f: 3    g: 4    h: 7    H: 1    i: 28    J: 1    j: 1    K: 15    k: 6    l: 10    L: 3    m: 8    M: 13    n: 10    N: 2    o: 14    P: 5    r: 6    S: 2    s: 11    Space: 41    t: 17    T: 1    Total: 329    u: 24    U: 1    v: 1    w: 10    W: 7    y: 2    Y: 2    z: 1    Z: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 T: 1    U: 1    z: 1    J: 1    H: 1    v: 1    A: 1    j: 1    Z: 1    S: 2    y: 2    N: 2    c: 2    Y: 2    L: 3    f: 3    d: 3    g: 4    P: 5    r: 6    k: 6    W: 7    h: 7    m: 8    l: 10    n: 10    w: 10    s: 11    M: 13    o: 14    K: 15    t: 17    e: 20    u: 24    i: 28    Space: 41    a: 45    Total: 329  

Words

All Word Counts

 --Total--: 57    1Pet: 1    Ajili: 1    Hai: 1    Jiwe: 1    Kristo: 1    Kuishi: 2    Kulichunga: 1    Kundi: 1    Kutenda: 1    Kuteseka: 2    Kuvumilia: 1    Kuwa: 1    Kuwatii: 1    Kwa: 4    La: 1    Lenye: 1    Lililo: 1    Mafundisho: 1    Maisha: 1    Mamlaka: 1    Matakatifu: 1    Mateso: 2    Mema: 1    Mfano: 1    Mkristo: 1    Mungu: 2    Mwisho: 1    Mwito: 1    Na: 2    Petro: 4    Salamu: 2    Sila: 1    Tumaini: 1    Uzima: 1    Wa: 2    Wake: 1    Waliochaguliwa: 1    Watu: 1    Waume: 1    Wenye: 1    Ya: 2    Yaani: 1    Za: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 1Pet: 1    Tumaini: 1    Lenye: 1    Uzima: 1    Mwito: 1    Maisha: 1    Matakatifu: 1    Jiwe: 1    Lililo: 1    Hai: 1    Watu: 1    Waliochaguliwa: 1    Kuwatii: 1    Wenye: 1    Mamlaka: 1    Mfano: 1    Kristo: 1    Mafundisho: 1    Wake: 1    Waume: 1    Kutenda: 1    Mema: 1    Kuvumilia: 1    Ajili: 1    Kuwa: 1    Mkristo: 1    Kulichunga: 1    Kundi: 1    La: 1    Za: 1    Mwisho: 1    Yaani: 1    Sila: 1    Salamu: 2    Wa: 2    Kuishi: 2    Na: 2    Mateso: 2    Ya: 2    Kuteseka: 2    Mungu: 2    Petro: 4    Kwa: 4    --Total--: 57  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 57    1pet: 1    ajili: 1    hai: 1    jiwe: 1    kristo: 1    kuishi: 2    kulichunga: 1    kundi: 1    kutenda: 1    kuteseka: 2    kuvumilia: 1    kuwa: 1    kuwatii: 1    kwa: 4    la: 1    lenye: 1    lililo: 1    mafundisho: 1    maisha: 1    mamlaka: 1    matakatifu: 1    mateso: 2    mema: 1    mfano: 1    mkristo: 1    mungu: 2    mwisho: 1    mwito: 1    na: 2    petro: 4    salamu: 2    sila: 1    tumaini: 1    uzima: 1    wa: 2    wake: 1    waliochaguliwa: 1    watu: 1    waume: 1    wenye: 1    ya: 2    yaani: 1    za: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 1pet: 1    tumaini: 1    lenye: 1    uzima: 1    mwito: 1    maisha: 1    matakatifu: 1    jiwe: 1    lililo: 1    hai: 1    watu: 1    waliochaguliwa: 1    kuwatii: 1    wenye: 1    mamlaka: 1    mfano: 1    kristo: 1    mafundisho: 1    wake: 1    waume: 1    kutenda: 1    mema: 1    kuvumilia: 1    ajili: 1    kuwa: 1    mkristo: 1    kulichunga: 1    kundi: 1    la: 1    za: 1    mwisho: 1    yaani: 1    sila: 1    salamu: 2    wa: 2    kuishi: 2    na: 2    mateso: 2    ya: 2    kuteseka: 2    mungu: 2    petro: 4    kwa: 4    --Total--: 57  

Headings

Title Lines

PE1 -1:6 Main Title 1:1 Petro

Section Heading Lines

PE1 1:0Salamu
PE1 1:2Tumaini Lenye Uzima
PE1 1:12Mwito Wa Kuishi Maisha Matakatifu
PE1 2:0Jiwe Lililo Hai Na Watu Waliochaguliwa
PE1 2:12Kuwatii Wenye Mamlaka
PE1 2:20Mfano Wa Mateso Ya Kristo
PE1 3:0Mafundisho Kwa Wake Na Waume
PE1 3:7Kuteseka Kwa Kutenda Mema
PE1 3:12Kuvumilia Mateso
PE1 4:0Kuishi Kwa Ajili Ya Mungu
PE1 4:11Kuteseka Kwa Kuwa Mkristo
PE1 5:0Kulichunga Kundi La Mungu
PE1 5:11Salamu Za Mwisho

Notes

Footnote Lines

PE1 5:12+ \fr 5:12 \ft Yaani Sila.

Leader Counts

 Footnote leader '+': 1    Footnotes: 1  

Leader Counts (sorted by count)

 Footnotes: 1    Footnote leader '+': 1