Freely-Given.org Bible PHP Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in PHP -1:0

Showing 1 out of 146 priority errors

Fix Text Errors

PHP -1:0 Removed trailing space in id: PHP - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

PHP -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

PHP -1:2 Removed trailing space in h: Wafilipi

PHP -1:3 Removed trailing space in toc1: Wafilipi

PHP -1:4 Removed trailing space in toc2: Wafilipi

PHP -1:5 Removed trailing space in toc3: Flp

PHP -1:6 Removed trailing space in mt1: Wafilipi

PHP 1:0 Extra space after chapter number

PHP 1:0 Removed trailing space in c: 1

PHP 1:0 Removed trailing space in s1: Salamu

PHP 1:1 Removed trailing space in v~: Waraka wa Paulo na Timotheo, watumishi wa Kristo Yesu:

PHP 1:1 Removed trailing space in p~: Kwa watakatifu wote katika Kristo Yesu walioko Filipi, pamoja na waangalizi na mashemasi:

PHP 1:2 Removed trailing space in v~: Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.

PHP 1:2 Removed trailing space in s1: Shukrani Na Maombi

PHP 1:3 Removed trailing space in v~: Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi.

PHP 1:4 Removed trailing space in v~: Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha,

PHP 1:5 Removed trailing space in v~: kwa sababu ya kushiriki kwenu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo.

PHP 1:6 Removed trailing space in v~: Nina hakika kwamba yeye aliyeianza kazi njema mioyoni mwenu, ataiendeleza na kuikamilisha hata siku ya Kristo Yesu.

PHP 1:7 Removed trailing space in v~: Ni haki na ni wajibu wangu kufikiri hivi juu yenu nyote, kwa sababu ninyi mko moyoni mwangu. Ikiwa nimefungwa au nikiwa ninaitetea na kuithibitisha Injili, ninyi nyote mnashiriki neema ya Mungu pamoja nami.

PHP 1:8 Removed trailing space in v~: Mungu ni shahidi wangu jinsi ninavyowaonea shauku ninyi nyote kwa huruma ya Kristo Yesu.

PHP 1:9 Removed trailing space in v~: Haya ndiyo maombi yangu: kwamba upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote,

PHP 1:10 Removed trailing space in v~: ili mpate kutambua yale yaliyo mema, mkawe safi, wasio na hatia hadi siku ya Kristo,

PHP 1:11 Removed trailing space in v~: mkiwa mmejawa na matunda ya haki yapatikanayo kwa njia ya Yesu Kristo, kwa utukufu na sifa za Mungu.

PHP 1:11 Removed trailing space in s1: Kufungwa Kwa Paulo Kwaieneza Injili

PHP 1:12 Removed trailing space in v~: Basi, ndugu zangu, nataka mjue kwamba mambo yale yaliyonipata kwa kweli yamesaidia sana kueneza Injili.

PHP 1:13 Removed trailing space in v~: Matokeo yake ni kwamba imejulikana wazi kwa walinzi wote wa jumba la kifalme na kwa wengine wote kuwa nimefungwa kwa ajili ya Kristo.

PHP 1:14 Removed trailing space in v~: Kwa sababu ya vifungo vyangu, ndugu wengi katika Bwana wametiwa moyo kuhubiri neno la Mungu kwa ujasiri zaidi na bila woga.

PHP 1:15 Removed trailing space in v~: Ni kweli kwamba wengine wanamhubiri Kristo kutokana na wivu na kwa kutaka kushindana, lakini wengine wanamhubiri Kristo kwa nia njema.

PHP 1:16 Removed trailing space in v~: Hawa wa mwisho wanamhubiri Kristo kwa moyo wa upendo, wakifahamu kwamba nimo humu gerezani kwa ajili ya kuitetea Injili.

PHP 1:17 Removed trailing space in v~: Hao wa kwanza wanamtangaza Kristo kutokana na tamaa zao wenyewe wala si kwa moyo mweupe, bali wanakusudia kuongeza mateso yangu katika huku kufungwa kwangu.

PHP 1:18 Removed trailing space in v~: Lakini inadhuru nini? Jambo la muhimu ni kwamba kwa kila njia, ikiwa ni kwa nia mbaya au njema, Kristo anahubiriwa. Nami kwa ajili ya jambo hilo ninafurahi.

PHP 1:18 Removed trailing space in p~: Naam, nami nitaendelea kufurahi,

PHP 1:19 Removed trailing space in v~: kwa maana ninajua kwamba kwa maombi yenu na kwa msaada unaotolewa na Roho wa Yesu Kristo, yale yaliyonipata mimi yatageuka kuwa wokovu wangu.

PHP 1:20 Removed trailing space in v~: Ninatarajia kwa shauku kubwa na kutumaini kwamba sitaaibika kwa njia yoyote, bali nitakuwa na ujasiri wa kutosha ili sasa kama wakati mwingine wowote, Kristo atukuzwe katika mwili wangu, ikiwa ni kwa kuishi au kwa kufa.

PHP 1:21 Removed trailing space in v~: Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.

PHP 1:22 Removed trailing space in v~: Kama nitaendelea kuishi katika mwili, kwangu hili ni kwa ajili ya matunda ya kazi. Lakini sijui nichague lipi? Mimi sijui!

PHP 1:23 Removed trailing space in v~: Ninavutwa kati ya mambo mawili: Ninatamani kuondoka nikakae pamoja na Kristo, jambo hilo ni bora zaidi.

PHP 1:24 Removed trailing space in v~: Lakini kwa sababu yenu ni muhimu zaidi mimi nikiendelea kuishi katika mwili.

PHP 1:25 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa nina matumaini haya, ninajua kwamba nitaendelea kuwepo na kuwa pamoja nanyi nyote, ili mpate kukua na kuwa na furaha katika imani.

PHP 1:26 Removed trailing space in v~: Ili kwamba furaha yenu iwe nyingi katika Kristo Yesu kwa ajili yangu kwa kule kuja kwangu kwenu tena.

PHP 1:26 Removed trailing space in s1: Kuenenda Ipasavyo Injili

PHP 1:27 Removed trailing space in v~: Lakini lolote litakalotukia, mwenende kama ipasavyo Injili ya Kristo, ili kwamba nikija na kuwaona au ikiwa sipo, nipate kusikia haya juu yenu: Kuwa mnasimama imara katika roho moja, mkiishindania imani ya Injili kwa umoja,

PHP 1:28 Removed trailing space in v~: wala msitishwe na wale wanaowapinga. Hii ni ishara kwao kuwa wataangamia, lakini ninyi mtaokolewa, na hii ni kazi ya Mungu.

PHP 1:29 Removed trailing space in v~: Kwa maana mmepewa kwa ajili ya Kristo, si kumwamini tu, bali pia kuteswa kwa ajili yake,

PHP 1:30 Removed trailing space in v~: kwa kuwa mnashiriki mashindano yale yale mliyoyaona nikiwa nayo na ambayo hata sasa mnasikia kuwa bado ninayo.

PHP 2:0 Extra space after chapter number

PHP 2:0 Removed trailing space in c: 2

PHP 2:0 Removed trailing space in s1: Kuiga Unyenyekevu Wa Kristo

PHP 2:1 Removed trailing space in v~: Kama kukiwa na jambo lolote la kutia moyo katika kuunganishwa na Kristo, kukiwa faraja yoyote katika upendo wake, kukiwa na ushirika wowote na Roho, kukiwa na wema wowote na huruma,

PHP 2:2 Removed trailing space in v~: basi ikamilisheni furaha yangu kwa kuwa na nia moja, mkiwa na upendo huo moja, mkiwa wa roho na kusudi moja.

PHP 2:3 Removed trailing space in v~: Msitende jambo lolote kwa nia ya kujitukuza wala kujivuna, bali kwa unyenyekevu kila mtu amhesabu mwingine bora kuliko nafsi yake.

PHP 2:4 Removed trailing space in v~: Kila mmoja wenu asiangalie faida yake mwenyewe tu, bali pia ajishughulishe kwa faida ya wengine.

PHP 2:5 Removed trailing space in v~: Kuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu:

PHP 2:6 Removed trailing space in v~: Yeye, ingawa alikuwa na asili ya Mungu hasa,

PHP 2:6 Removed trailing space in p~: hakuona kule kuwa sawa na Mungu

PHP 2:6 Removed trailing space in p~: kuwa kitu cha kushikilia,

PHP 2:7 Removed trailing space in v~: bali alijifanya si kitu,

PHP 2:7 Removed trailing space in p~: akachukua hali hasa na mtumwa,

PHP 2:7 Removed trailing space in p~: naye akazaliwa katika umbo la mwanadamu.

PHP 2:8 Removed trailing space in v~: Naye akiwa na umbo la mwanadamu,

PHP 2:8 Removed trailing space in p~: alijinyenyekeza, akatii hata mauti:

PHP 2:8 Removed trailing space in p~: naam, mauti ya msalaba!

PHP 2:9 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana,

PHP 2:9 Removed trailing space in p~: na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina,

PHP 2:10 Removed trailing space in v~: ili kwa Jina la Yesu, kila goti lipigwe,

PHP 2:10 Removed trailing space in p~: la vitu vya mbinguni, na vya duniani,

PHP 2:10 Removed trailing space in p~: na vya chini ya nchi,

PHP 2:11 Removed trailing space in v~: na kila ulimi ukiri ya kwamba

PHP 2:11 Removed trailing space in p~: \sc Yesu Kristo ni Bwana\sc*,

PHP 2:11 Removed trailing space in p~: kwa utukufu wa Mungu Baba.

PHP 2:11 Removed trailing space in s1: Ngʼaeni Kama Mianga Katika Ulimwengu

PHP 2:12 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, wapenzi wangu, kama vile ambavyo mmekuwa mkitii siku zote, si tu wakati nikiwa pamoja nanyi, bali sasa zaidi sana nisipokuwepo, utimizeni wokovu wenu kwa kuogopa na kutetemeka,

PHP 2:13 Removed trailing space in v~: kwa maana Mungu ndiye atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu kwa kulitimiza kusudi lake jema.

PHP 2:14 Removed trailing space in v~: Fanyeni mambo yote bila kunungʼunika wala kushindana,

PHP 2:15 Removed trailing space in v~: ili msiwe na lawama wala hatia, bali mwe wana wa Mungu wasio na kasoro katika kizazi chenye ukaidi na kilichopotoka, ambacho ndani yake ninyi mnangʼaa kama mianga ulimwenguni.

PHP 2:16 Removed trailing space in v~: Mkilishika neno la uzima, ili nipate kuona fahari siku ya Kristo kwamba sikupiga mbio wala kujitaabisha bure.

PHP 2:17 Removed trailing space in v~: Lakini hata kama nikimiminwa kama sadaka ya kinywaji kwenye dhabihu na huduma itokayo katika imani yenu, mimi ninafurahi na kushangilia pamoja nanyi nyote.

PHP 2:18 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami.

PHP 2:18 Removed trailing space in s1: Paulo Amsifu Timotheo

PHP 2:19 Removed trailing space in v~: Natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo hivi karibuni aje kwenu, ili nipate kufarijika moyo nitakapopata habari zenu.

PHP 2:20 Removed trailing space in v~: Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.

PHP 2:21 Removed trailing space in v~: Kwa maana kila mmoja anajishughulisha zaidi na mambo yake mwenyewe wala si yale ya Yesu Kristo.

PHP 2:22 Removed trailing space in v~: Lakini ninyi wenyewe mnajua jinsi Timotheo alivyojithibitisha mwenyewe, kwa maana ametumika pamoja nami kwa kazi ya Injili, kama vile mwana kwa baba yake.

PHP 2:23 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa.

PHP 2:24 Removed trailing space in v~: Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni.

PHP 2:24 Removed trailing space in s1: Paulo Amsifu Epafrodito

PHP 2:25 Removed trailing space in v~: Lakini nadhani ni muhimu kumtuma tena kwenu Epafrodito, ndugu yangu na mtendakazi pamoja nami, aliye askari mwenzangu, ambaye pia ni mjumbe wenu mliyemtuma ili ashughulike na mahitaji yangu.

PHP 2:26 Removed trailing space in v~: Kwa maana amekuwa akiwaonea sana shauku ninyi nyote, akiwa na wasiwasi kwa kuwa mlisikia kwamba alikuwa mgonjwa.

PHP 2:27 Removed trailing space in v~: Kweli alikuwa mgonjwa, tena karibu ya kufa. Lakini Mungu alimhurumia, wala si yeye tu, bali hata na mimi alinihurumia, nisipatwe na huzuni juu ya huzuni.

PHP 2:28 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo mimi ninafanya bidii kumtuma kwenu ili mtakapomwona kwa mara nyingine, mpate kufurahi, nami wasiwasi wangu upungue.

PHP 2:29 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo mpokeeni katika Bwana kwa furaha kubwa, nanyi wapeni heshima watu kama hawa,

PHP 2:30 Removed trailing space in v~: kwa sababu alikaribia kufa kwa ajili ya kazi ya Kristo, akihatarisha maisha yake ili aweze kunihudumia vile ninyi hamkuweza.

PHP 3:0 Extra space after chapter number

PHP 3:0 Removed trailing space in c: 3

PHP 3:0 Removed trailing space in s1: Hakuna Tumaini Katika Mwili

PHP 3:1 Removed trailing space in v~: Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika Bwana! Mimi kuwaandikia mambo yale yale hakuniudhi, kwa maana ni kinga kwa ajili yenu.

PHP 3:2 Removed trailing space in v~: Jihadharini na mbwa, wale watenda maovu, jihadharini na wale wajikatao miili yao, wasemao ili kuokoka ni lazima kutahiriwa.

PHP 3:3 Removed trailing space in v~: Kwa maana sisi ndio tulio tohara, sisi tumwabuduo Mungu katika Roho, tunaona fahari katika Kristo Yesu, ambao hatuweki tumaini letu katika mwili,

PHP 3:4 Removed trailing space in v~: ingawa mimi mwenyewe ninazo sababu za kuutumainia mwili.

PHP 3:4 Removed trailing space in p~: Kama mtu yeyote akidhani anazo sababu za kuutumainia mwili, mimi zaidi.

PHP 3:5 Removed trailing space in v~: Nilitahiriwa siku ya nane, mimi ni Mwisraeli wa kabila la Benyamini, Mwebrania wa Waebrania. Kwa habari ya sheria, ni Farisayo,

PHP 3:6 Removed trailing space in v~: kwa habari ya juhudi, nilikuwa nalitesa kanisa, kuhusu haki ipatikanayo kwa sheria, mimi nilikuwa sina hatia.

PHP 3:7 Removed trailing space in v~: Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, sasa nayahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo.

PHP 3:8 Removed trailing space in v~: Zaidi ya hayo, nayahesabu mambo yote kuwa hasara tupu nikiyalinganisha na faida kubwa ipitayo kiasi cha kumjua Kristo Yesu Bwana wangu, ambaye kwa ajili yake nimepata hasara ya mambo yote, nikiyahesabu kuwa kama mavi ili nimpate Kristo.

PHP 3:9 Removed trailing space in v~: Nami nionekane mbele zake bila kuwa na haki yangu mwenyewe ipatikanayo kwa sheria, bali ile ipatikanayo kwa imani katika Kristo, haki ile itokayo kwa Mungu kwa njia ya imani.

PHP 3:10 Removed trailing space in v~: Nataka nimjue Kristo na uweza wa kufufuka kwake na ushirika wa mateso yake, ili nifanane naye katika mauti yake,

PHP 3:11 Removed trailing space in v~: ili kwa njia yoyote niweze kufikia ufufuo wa wafu.

PHP 3:11 Removed trailing space in s1: Kukaza Mwendo Ili Kufikia Lengo

PHP 3:12 Removed trailing space in v~: Si kwamba nimekwisha kufikia, au kwamba nimekwisha kuwa mkamilifu, la hasha! Bali nakaza mwendo ili nipate kile ambacho kwa ajili yake, nimeshikwa na Kristo Yesu.

PHP 3:13 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, sijihesabu kuwa nimekwisha kushika. Lakini ninafanya jambo moja: Ninasahau mambo yale yaliyopita, nakaza mwendo kufikia yale yaliyo mbele.

PHP 3:14 Removed trailing space in v~: Nakaza mwendo nifikie ile alama ya ushindi iliyowekwa ili nipate tuzo ya mwito mkuu wa Mungu ambao nimeitiwa huko juu mbinguni katika Kristo Yesu.

PHP 3:15 Removed trailing space in v~: Hivyo sisi sote tuliokuwa kiroho tuwaze jambo hili, hata mkiwaza mengine katika jambo lolote, Mungu ataliweka wazi hilo nalo.

PHP 3:16 Removed trailing space in v~: Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia.

PHP 3:17 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, kwa pamoja fuateni mfano wangu na kuwatazama wale wanaofuata kielelezo tulichowawekea.

PHP 3:18 Removed trailing space in v~: Kwa maana, kama nilivyokwisha kuwaambia mara nyingi kabla, nami sasa nasema tena hata kwa machozi, watu wengi wanaishi kama adui wa msalaba wa Kristo.

PHP 3:19 Removed trailing space in v~: Mwisho wa watu hao ni maangamizi, Mungu wao ni tumbo, na utukufu wao ni aibu, na mawazo yao yamo katika mambo ya dunia.

PHP 3:20 Removed trailing space in v~: Lakini uenyeji wetu uko mbinguni. Nasi tunamngoja kwa shauku Mwokozi kutoka huko, yaani, Bwana Yesu Kristo,

PHP 3:21 Removed trailing space in v~: atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, ili upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote chini yake.

PHP 4:0 Extra space after chapter number

PHP 4:0 Removed trailing space in c: 4

PHP 4:1 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, ndugu zangu, ninaowapenda na ambao ninawaonea shauku, ninyi mlio furaha yangu na taji yangu, hivi ndivyo iwapasavyo kusimama imara katika Bwana, ninyi wapenzi wangu.

PHP 4:1 Removed trailing space in s1: Mausia

PHP 4:2 Removed trailing space in v~: Nawasihi Euodia na Sintike wawe na nia moja katika Bwana.

PHP 4:3 Removed trailing space in v~: Naam, nakusihi wewe pia, mwenzangu mwaminifu, uwasaidie hawa wanawake, kwa sababu walijitaabisha katika kazi ya Injili pamoja nami bega kwa bega, wakiwa pamoja na Klementi na watendakazi wenzangu ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima.

PHP 4:4 Removed trailing space in v~: Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini!

PHP 4:5 Removed trailing space in v~: Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.

PHP 4:6 Removed trailing space in v~: Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.

PHP 4:7 Removed trailing space in v~: Nayo amani ya Mungu, inayopita fahamu zote, itailinda mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.

PHP 4:8 Removed trailing space in v~: Hatimaye, ndugu zangu, mambo yote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo na sifa njema, yoyote yaliyo ya haki, yoyote yaliyo safi, yoyote ya kupendeza, yoyote yenye staha, ukiwepo uzuri wowote, pakiwepo chochote kinachostahili kusifiwa, tafakarini mambo hayo.

PHP 4:9 Removed trailing space in v~: Mambo yote mliyojifunza au kuyapokea au kuyasikia kutoka kwangu, au kuyaona kwangu, yatendeni hayo. Naye Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi.

PHP 4:9 Removed trailing space in s1: Shukrani Kwa Matoleo Yenu

PHP 4:10 Removed trailing space in v~: Nina furaha kubwa katika Bwana kwamba hatimaye mmeanza upya kushughulika tena na maisha yangu. Kweli mmekuwa mkinifikiria lakini mlikuwa hamjapata nafasi ya kufanya hivyo.

PHP 4:11 Removed trailing space in v~: Sisemi hivyo kwa vile nina mahitaji, la! Kwa maana nimejifunza kuridhika katika hali yoyote.

PHP 4:12 Removed trailing space in v~: Ninajua kupungukiwa, pia ninajua kuwa na vingi. Nimejifunza siri ya kuridhika katika kila hali, wakati wa kushiba na wakati wa kuona njaa, wakati wa kuwa na vingi na wakati wa kupungukiwa.

PHP 4:13 Removed trailing space in v~: Naweza kuyafanya mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

PHP 4:14 Removed trailing space in v~: Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu.

PHP 4:15 Removed trailing space in v~: Zaidi ya hayo, ninyi Wafilipi mnajua kwamba siku za kwanza nilipoanza kuhubiri Injili, nilipoondoka Makedonia, hakuna kanisa jingine lililoshiriki nami katika masuala ya kutoa na kupokea isipokuwa ninyi.

PHP 4:16 Removed trailing space in v~: Kwa maana hata nilipokuwa huko Thesalonike, mliniletea msaada kwa ajili ya mahitaji yangu zaidi ya mara moja.

PHP 4:17 Removed trailing space in v~: Si kwamba natafuta sana yale matoleo, bali natafuta sana ile faida itakayozidi sana kwa upande wenu.

PHP 4:18 Removed trailing space in v~: Nimelipwa kikamilifu hata na zaidi; nimetoshelezwa kabisa sasa, kwa kuwa nimepokea kutoka kwa Epafrodito vile vitu mlivyonitumia, sadaka yenye harufu nzuri, dhabihu inayokubalika na ya kumpendeza Mungu.

PHP 4:19 Removed trailing space in v~: Naye Mungu wangu atawajaza ninyi na kila mnachohitaji kwa kadiri ya utajiri wake katika utukufu ndani ya Kristo Yesu.

PHP 4:20 Removed trailing space in v~: Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen.

PHP 4:20 Removed trailing space in s1: Salamu Za Mwisho

PHP 4:21 Removed trailing space in v~: Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu.

PHP 4:22 Removed trailing space in v~: Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari.

PHP 4:23 Removed trailing space in v~: Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 4    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 32    q1: 6    q2: 11    rem: 1    s1: 13    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 177    v: 104  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 4    q1: 6    q2: 11    s1: 13    p: 32    v: 104    Total: 177  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 4    Paragraphs: 32    Verses: 104  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 4    Paragraphs: 32    Verses: 104  

Characters

All Character Counts

All Character Counts (sorted by count)

Special Character Counts

 MODIFIER LETTER APOSTROPHE: 1    Total: 1  

Special Character Counts (sorted by count)

 MODIFIER LETTER APOSTROPHE: 1    Total: 1  

Letter Counts

 a: 45    A: 2    b: 1    d: 3    e: 14    E: 1    f: 9    F: 1    g: 6    h: 4    H: 1    i: 40    I: 4    j: 2    k: 8    K: 12    l: 16    L: 1    m: 9    M: 7    n: 18    N: 2    o: 15    p: 7    P: 3    r: 4    S: 4    s: 6    Space: 31    t: 6    T: 2    Total: 330    u: 21    U: 2    v: 2    W: 5    w: 8    y: 3    Y: 1    z: 2    Z: 1    ʼ: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 F: 1    b: 1    ʼ: 1    E: 1    H: 1    L: 1    Y: 1    Z: 1    N: 2    z: 2    j: 2    v: 2    U: 2    A: 2    T: 2    P: 3    d: 3    y: 3    S: 4    h: 4    r: 4    I: 4    W: 5    g: 6    s: 6    t: 6    p: 7    M: 7    k: 8    w: 8    f: 9    m: 9    K: 12    e: 14    o: 15    l: 16    n: 18    u: 21    Space: 31    i: 40    a: 45    Total: 330  

Words

All Word Counts

 --Total--: 49    Amsifu: 2    Epafrodito: 1    Flp: 1    Hakuna: 1    Ili: 1    Injili: 2    Ipasavyo: 1    Kama: 1    Katika: 2    Kristo: 1    Kuenenda: 1    Kufikia: 1    Kufungwa: 1    Kuiga: 1    Kukaza: 1    Kwa: 2    Kwaieneza: 1    Lengo: 1    Maombi: 1    Matoleo: 1    Mausia: 1    Mianga: 1    Mwendo: 1    Mwili: 1    Mwisho: 1    Na: 1    Ngʼaeni: 1    Paulo: 3    Salamu: 2    Shukrani: 2    Timotheo: 1    Tumaini: 1    Ulimwengu: 1    Unyenyekevu: 1    Wa: 1    Wafilipi: 4    Yenu: 1    Za: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 Flp: 1    Na: 1    Maombi: 1    Kufungwa: 1    Kwaieneza: 1    Kuenenda: 1    Ipasavyo: 1    Kuiga: 1    Unyenyekevu: 1    Wa: 1    Kristo: 1    Ngʼaeni: 1    Kama: 1    Mianga: 1    Ulimwengu: 1    Timotheo: 1    Epafrodito: 1    Hakuna: 1    Tumaini: 1    Mwili: 1    Kukaza: 1    Mwendo: 1    Ili: 1    Kufikia: 1    Lengo: 1    Mausia: 1    Matoleo: 1    Yenu: 1    Za: 1    Mwisho: 1    Salamu: 2    Shukrani: 2    Kwa: 2    Injili: 2    Katika: 2    Amsifu: 2    Paulo: 3    Wafilipi: 4    --Total--: 49  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 49    amsifu: 2    epafrodito: 1    flp: 1    hakuna: 1    ili: 1    injili: 2    ipasavyo: 1    kama: 1    katika: 2    kristo: 1    kuenenda: 1    kufikia: 1    kufungwa: 1    kuiga: 1    kukaza: 1    kwa: 2    kwaieneza: 1    lengo: 1    maombi: 1    matoleo: 1    mausia: 1    mianga: 1    mwendo: 1    mwili: 1    mwisho: 1    na: 1    ngʼaeni: 1    paulo: 3    salamu: 2    shukrani: 2    timotheo: 1    tumaini: 1    ulimwengu: 1    unyenyekevu: 1    wa: 1    wafilipi: 4    yenu: 1    za: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 flp: 1    na: 1    maombi: 1    kufungwa: 1    kwaieneza: 1    kuenenda: 1    ipasavyo: 1    kuiga: 1    unyenyekevu: 1    wa: 1    kristo: 1    ngʼaeni: 1    kama: 1    mianga: 1    ulimwengu: 1    timotheo: 1    epafrodito: 1    hakuna: 1    tumaini: 1    mwili: 1    kukaza: 1    mwendo: 1    ili: 1    kufikia: 1    lengo: 1    mausia: 1    matoleo: 1    yenu: 1    za: 1    mwisho: 1    salamu: 2    shukrani: 2    kwa: 2    injili: 2    katika: 2    amsifu: 2    paulo: 3    wafilipi: 4    --Total--: 49  

Headings

Title Lines

PHP -1:6 Main Title 1:Wafilipi

Section Heading Lines

PHP 1:0Salamu
PHP 1:2Shukrani Na Maombi
PHP 1:11Kufungwa Kwa Paulo Kwaieneza Injili
PHP 1:26Kuenenda Ipasavyo Injili
PHP 2:0Kuiga Unyenyekevu Wa Kristo
PHP 2:11Ngʼaeni Kama Mianga Katika Ulimwengu
PHP 2:18Paulo Amsifu Timotheo
PHP 2:24Paulo Amsifu Epafrodito
PHP 3:0Hakuna Tumaini Katika Mwili
PHP 3:11Kukaza Mwendo Ili Kufikia Lengo
PHP 4:1Mausia
PHP 4:9Shukrani Kwa Matoleo Yenu
PHP 4:20Salamu Za Mwisho