Freely-Given.org Bible RUT Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in RUT -1:0

Showing 1 out of 118 priority errors

Fix Text Errors

RUT -1:0 Removed trailing space in id: RUT - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

RUT -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

RUT -1:2 Removed trailing space in h: Ruthu

RUT -1:3 Removed trailing space in toc1: Ruthu

RUT -1:4 Removed trailing space in toc2: Ruthu

RUT -1:5 Removed trailing space in toc3: Rut

RUT -1:6 Removed trailing space in mt1: Ruthu

RUT 1:0 Extra space after chapter number

RUT 1:0 Removed trailing space in c: 1

RUT 1:0 Removed trailing space in s1: Naomi Na Ruthu

RUT 1:1 Removed trailing space in v~: Wakati Waamuzi walipotawala Israeli, kulikuwa na njaa katika nchi. Mtu mmoja kutoka nchi ya Bethlehemu ya Yuda, pamoja na mke wake na wanawe wawili, akaenda kuishi katika nchi ya Moabu.

RUT 1:2 Removed trailing space in v~: Mtu huyu aliitwa Elimeleki, mkewe aliitwa Naomi, na hao wanawe wawili waliitwa Maloni na Kilioni. Walikuwa Waefrathi kutoka Bethlehemu ya Yuda. Wakaenda katika nchi ya Moabu, wakaishi huko.

RUT 1:3 Removed trailing space in v~: Elimeleki mumewe Naomi akafa, hivyo Naomi akabaki na wanawe wawili.

RUT 1:4 Removed trailing space in v~: Nao wakaoa wanawake Wamoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na wa pili aliitwa Ruthu. Baada ya kama miaka kumi,

RUT 1:5 Removed trailing space in v~: Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili.

RUT 1:6 Removed trailing space in v~: Aliposikia akiwa huko Moabu kwamba \nd Bwana\nd* amewasaidia watu wake kwa kuwapa chakula, Naomi na wakweze wakajiandaa kurudi nyumbani.

RUT 1:7 Removed trailing space in v~: Yeye na wakweze wawili wakaondoka pale walipokuwa wakiishi na kushika njia kurudi nchi ya Yuda.

RUT 1:8 Removed trailing space in v~: Ndipo Naomi akawaambia wale wakwe zake wawili, “Rudini, kila mmoja wenu nyumbani kwa mama yake. \nd Bwana\nd* na awatendee fadhili kama mlivyowatendea hao waliofariki, na pia mimi.

RUT 1:9 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* na amjalie kila mmoja wenu maisha mema nyumbani kwa mume mwingine.”

RUT 1:9 Removed trailing space in p~: Kisha akawabusu, nao wakalia kwa sauti kubwa,

RUT 1:10 Removed trailing space in v~: wakamwambia, “Tutarudi pamoja na wewe nyumbani kwa watu wako.”

RUT 1:11 Removed trailing space in v~: Lakini Naomi akasema, “Rudini nyumbani, binti zangu. Kwa nini mnifuate? Je, mimi nitaweza tena kuwa na wana wengine ambao wataweza kuwaoa ninyi?

RUT 1:12 Removed trailing space in v~: Rudini nyumbani, binti zangu; mimi ni mzee kiasi kwamba siwezi kumpata mume mwingine. Hata kama ningefikiria kuwa bado kuna tumaini kwangu, hata kama ningekuwa na mume usiku huu na kuwazaa wana,

RUT 1:13 Removed trailing space in v~: je, mngesubiri mpaka wakue? Mngebakia bila kuolewa mkiwasubiri? La, hasha, binti zangu. Nimepata uchungu kuliko ninyi, kwa sababu mkono wa \nd Bwana\nd* umekuwa kinyume nami!”

RUT 1:14 Removed trailing space in v~: Kisha wakalia tena kwa sauti. Orpa akambusu mama mkwe wake, akaenda zake, lakini Ruthu akaambatana naye.

RUT 1:15 Removed trailing space in v~: Naomi akamwambia, “Tazama, mwenzako anarejea kwa watu wake na kwa miungu yake. Rudi pamoja naye.”

RUT 1:16 Removed trailing space in v~: Lakini Ruthu akajibu, “Usinisihi nikuache au niache kukufuata. Utakakokwenda nami nitakwenda, na wewe utakapoishi nitaishi. Watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu.

RUT 1:17 Removed trailing space in v~: Pale utakapofia nami nitafia hapo, na papo hapo nitazikwa. \nd Bwana\nd* na aniadhibu vikali, kama kitu kingine chochote kitanitenga nawe isipokuwa kifo.”

RUT 1:18 Removed trailing space in v~: Naomi alipotambua kwamba Ruthu amenuia kufuatana naye, hakuendelea kumsihi tena.

RUT 1:19 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo hao wanawake wawili wakaondoka, wakafika Bethlehemu. Walipofika Bethlehemu, mji mzima ulitaharuki, wanawake wakashangaa, wakasema, “Huyu aweza kuwa ni Naomi?”

RUT 1:20 Removed trailing space in v~: Akawaambia, “Msiniite tena Naomi,\f + \fr 1:20 \ft Naomi maana yake Wa Kupendeza, Wa Kufurahisha.\f* niiteni Mara,\f + \fr 1:20 \ft Mara maana yake Chungu.\f* kwa sababu Mwenyezi\f + \fr 1:20 \ft Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania.\f* amenitendea mambo machungu sana.

RUT 1:21 Removed trailing space in v~: Mimi niliondoka hali nimejaa, lakini \nd Bwana\nd* amenirudisha mtupu. Kwa nini kuniita Naomi? \nd Bwana\nd* amenitendea mambo machungu; Mwenyezi ameniletea msiba.”

RUT 1:22 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo Naomi alirudi pamoja na Ruthu Mmoabu mkwe wake, nao wakafika Bethlehemu mwanzoni mwa kuvuna shayiri.

RUT 2:0 Extra space after chapter number

RUT 2:0 Removed trailing space in c: 2

RUT 2:0 Removed trailing space in s1: Ruthu Akutana Na Boazi

RUT 2:1 Removed trailing space in v~: Basi Naomi alikuwa na jamaa wa upande wa mume wake, kutoka ukoo wa Elimeleki, mtu maarufu ambaye aliitwa Boazi.

RUT 2:2 Removed trailing space in v~: Ruthu, Mmoabu, akamwambia Naomi, “Nitakwenda mashambani nikaokote mabaki ya nafaka nyuma ya yule nitakayepata kibali machoni pake.”

RUT 2:2 Removed trailing space in p~: Naomi akamwambia, “Nenda, binti yangu.”

RUT 2:3 Removed trailing space in v~: Basi akaenda, akaokota mabaki ya nafaka mashambani nyuma ya wavunaji. Ikatokea kwamba alijikuta anafanya kazi kwenye shamba lililokuwa mali ya Boazi, ambaye alitoka kwenye ukoo wa Elimeleki.

RUT 2:4 Removed trailing space in v~: Papo hapo Boazi akarudi kutoka Bethlehemu, akawasalimu wavunaji, akasema, “\nd Bwana\nd* awe nanyi!”

RUT 2:4 Removed trailing space in p~: Nao wakamjibu, “\nd Bwana\nd* akubariki.”

RUT 2:5 Removed trailing space in v~: Boazi akamuuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule mwanamwali ni wa nani?”

RUT 2:6 Removed trailing space in v~: Msimamizi akamjibu, “Ni yule Mmoabu aliyerudi kutoka nchi ya Moabu pamoja na Naomi.

RUT 2:7 Removed trailing space in v~: Yeye aliomba, ‘Tafadhali niruhusu niokote na kukusanya miongoni mwa miganda nyuma ya wavunaji.’ Naye ameshinda shambani tangu asubuhi pasipo kupumzika, isipokuwa kwa muda mfupi kivulini.”

RUT 2:8 Removed trailing space in v~: Kisha Boazi akamwambia Ruthu, “Binti yangu, nisikilize. Usiende kuokota mabaki ya mavuno katika shamba lingine, na usiondoke hapa. Kaa hapa na hawa watumishi wangu wa kike.

RUT 2:9 Removed trailing space in v~: Angalia shamba wanaume wanamovuna, ufuate nyuma yao. Nimewaamuru wanaume hawa wasikuguse. Wakati wowote ukiona kiu, nenda kwenye mitungi ukanywe maji waliyoyateka wanaume hawa.”

RUT 2:10 Removed trailing space in v~: Kwa ajili ya hili, akasujudu mpaka nchi, akamwambia, “Jinsi gani nimepata kibali machoni pako, hata ukanijali mimi mgeni?”

RUT 2:11 Removed trailing space in v~: Boazi akamjibu, “Nimeambiwa yote uliyomtendea mama mkwe wako tangu mume wako alipofariki, na jinsi ulivyomwacha baba yako na mama yako na nchi yako ulimozaliwa, ukaja kuishi na watu ambao hukuwafahamu awali.

RUT 2:12 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake.”

RUT 2:13 Removed trailing space in v~: Kisha Ruthu akasema, “Naomba niendelee kupata kibali machoni pako, bwana wangu. Kwa maana umenifariji na umezungumza kwa ukarimu na mjakazi wako, hata ingawa mimi si bora kama mmoja wa watumishi wako wa kike.”

RUT 2:14 Removed trailing space in v~: Wakati wa chakula, Boazi akamwambia Ruthu, “Karibia hapa. Kula mkate na uchovye ndani ya siki.”

RUT 2:14 Removed trailing space in p~: Alipoketi pamoja na wavunaji, akampa nafaka zilizookwa. Akala kiasi alichotaka na kusaza.

RUT 2:15 Removed trailing space in v~: Alipoinuka ili kuokota mabaki ya nafaka, Boazi akawaagiza watu wake, “Hata kama atakusanya kati ya miganda, msimzuie.

RUT 2:16 Removed trailing space in v~: Badala yake, toeni masuke katika miganda, mwachieni ayaokote, na msimkemee.”

RUT 2:17 Removed trailing space in v~: Basi Ruthu akaokota masazo shambani hata jioni. Akatwanga ile shayiri aliyokusanya, ikajaa efa moja.\f + \fr 2:17 \ft Efa moja ni sawa na kilo 22.\f*

RUT 2:18 Removed trailing space in v~: Akaibeba na kuelekea mjini, naye mama mkwe wake akaona jinsi alivyoweza kuokota nafaka nyingi. Pia Ruthu akachukua kile alichobakiza baada ya kula na kushiba, akampa.

RUT 2:19 Removed trailing space in v~: Basi mkwewe akamuuliza, “Je, umeokota wapi leo? Umefanya kazi wapi? Abarikiwe mtu yule aliyekujali.”

RUT 2:19 Removed trailing space in p~: Ndipo Ruthu akamwambia mama mkwe wake juu ya yule ambaye yeye alikuwa amefanyia kazi katika shamba lake. Akasema, “Yule mtu niliyefanyia kazi kwake leo, anaitwa Boazi.”

RUT 2:20 Removed trailing space in v~: Naye Naomi akamwambia mkwewe, “\nd Bwana\nd* ambariki! Hakuacha kuonyesha fadhili zake kwa walio hai na kwa waliokufa.” Pia akamwambia, “Huyo mtu ni mmoja wa jamaa yetu wa karibu anayestahili kutukomboa.”

RUT 2:21 Removed trailing space in v~: Kisha Ruthu, Mmoabu, akasema, “Hata aliniambia, ‘Kaa pamoja na watumishi wangu mpaka watakapomaliza kuvuna nafaka yangu yote.’ ”

RUT 2:22 Removed trailing space in v~: Kisha Naomi akamwambia Ruthu mkwewe, “Binti yangu, itakuwa vyema wewe ufuatane na wasichana wake, kwa sababu katika shamba la mtu mwingine wanaweza kukudhuru.”

RUT 2:23 Removed trailing space in v~: Kwa hivyo Ruthu akafuatana na watumishi wa kike wa Boazi, akaokota mpaka mwisho wa mavuno ya shayiri na ya ngano. Naye aliishi na mama mkwe wake.

RUT 3:0 Extra space after chapter number

RUT 3:0 Removed trailing space in c: 3

RUT 3:0 Removed trailing space in s1: Ruthu Na Boazi Kwenye Sakafu Ya Kupuria

RUT 3:1 Removed trailing space in v~: Kisha Naomi akamwambia mkwewe, “Binti yangu, je, nisingelikutafutia pumziko ambako utatunzika vyema?

RUT 3:2 Removed trailing space in v~: Je, Boazi, ambaye umekuwa pamoja na watumishi wake wasichana, si jamaa yetu wa karibu? Usiku wa leo atakuwa anapepeta ngano kwenye sakafu ya kupuria.

RUT 3:3 Removed trailing space in v~: Basi oga na ukajipake marashi, ujivalie nguo zako nzuri. Kisha uende kwenye sakafu ya kupuria, lakini angalia asijue kwamba upo pale mpaka atakapomaliza kula na kunywa.

RUT 3:4 Removed trailing space in v~: Atakapokwenda kulala, angalia mahali atakapolala. Kisha uende ufunue miguu yake, ulale. Naye atakuambia utakalofanya.”

RUT 3:5 Removed trailing space in v~: Ruthu akajibu, “Lolote usemalo nitatenda.”

RUT 3:6 Removed trailing space in v~: Basi akashuka mpaka kwenye sakafu ya kupuria, akafanya kila kitu mama mkwe wake alichomwambia kufanya.

RUT 3:7 Removed trailing space in v~: Wakati Boazi alipomaliza kula na kunywa, naye akawa amejawa na furaha, alikwenda kulala mwisho wa lundo la nafaka. Ruthu akanyemelea polepole, akafunua miguu yake, na akalala.

RUT 3:8 Removed trailing space in v~: Usiku wa manane, kitu kilimshtua Boazi, akajigeuza, akagundua yupo mwanamke amelala miguuni pake.

RUT 3:9 Removed trailing space in v~: Akauliza, “Wewe ni nani?”

RUT 3:9 Removed trailing space in p~: Akajibu, “Ni mimi Ruthu, mjakazi wako. Uitande nguo yako juu yangu, kwa sababu wewe ndiwe jamaa wa karibu wa kutukomboa.”

RUT 3:10 Removed trailing space in v~: Akamwambia, “Binti yangu, ubarikiwe na \nd Bwana\nd*. Wema huu wa sasa ni mkuu kushinda hata ule ulioonyesha mwanzoni. Hukuwakimbilia vijana, wakiwa matajiri au maskini.

RUT 3:11 Removed trailing space in v~: Sasa, binti yangu, usiogope. Nitakufanyia yote uliyoomba. Kwa maana mji wote wa watu wangu wanakujua ya kwamba wewe ni mwanamke mwenye tabia nzuri.

RUT 3:12 Removed trailing space in v~: Ingawa ni kweli kwamba mimi ndiye jamaa aliye karibu, bado kuna mtu mwingine wa jamaa aliye karibu zaidi wa kukomboa kuliko mimi.

RUT 3:13 Removed trailing space in v~: Wewe kaa hapa usiku huu, kisha asubuhi kama akikubali kukomboa, vyema na akomboe. La sivyo kama hayuko tayari, hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo nitafanya hivyo. Lala hapa mpaka asubuhi.”

RUT 3:14 Removed trailing space in v~: Hivyo huyo mwanamke akalala miguuni pake mpaka asubuhi, akaondoka mapema pasipo mtu kuweza kumtambua mwenzake, maana Boazi alisema, “Isijulikane kabisa ya kuwa mwanamke alifika kwenye sakafu ya kupuria.”

RUT 3:15 Removed trailing space in v~: Pia akamwambia, “Leta shela yako uliyoivaa, uitandaze.” Naye alipoitandaza, akamimina vipimo sita vya shayiri, akamtwika. Kisha Ruthu akarudi zake mjini.

RUT 3:16 Removed trailing space in v~: Basi Ruthu alipofika kwa mama mkwe wake Naomi, akamuuliza, “Je, binti yangu, ilikuwaje huko?”

RUT 3:16 Removed trailing space in p~: Ndipo akamwelezea kila kitu Boazi alichomfanyia.

RUT 3:17 Removed trailing space in v~: Akaendelea kusema, “Amenipa shayiri vipimo sita\f + \fr 3:17 \ft Vipimo sita vya shayiri ni sawa na kilo 15.\f* akisema, ‘Usiende kwa mama mkwe wako mikono mitupu.’ ”

RUT 3:18 Removed trailing space in v~: Kisha Naomi akasema, “Subiri binti yangu, mpaka utakapojua kwamba hili jambo limekwendaje. Kwa sababu mtu huyu hatatulia mpaka akamilishe jambo hili leo.”

RUT 4:0 Extra space after chapter number

RUT 4:0 Removed trailing space in c: 4

RUT 4:0 Removed trailing space in s1: Boazi Amwoa Ruthu

RUT 4:1 Removed trailing space in v~: Boazi akakwea mpaka kwenye lango la mji, akaketi pale. Yule mtu wa jamaa aliyekuwa wa karibu wa kukomboa, ambaye Boazi alimtaja, akaja. Boazi akasema, “Njoo hapa, rafiki yangu. Karibu uketi.” Naye akakaribia, akaketi.

RUT 4:2 Removed trailing space in v~: Boazi akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, “Ketini hapa.” Nao wakaketi.

RUT 4:3 Removed trailing space in v~: Kisha akamwambia yule jamaa wa karibu wa kukomboa, “Naomi, aliyerudi hapa kutoka nchi ya Moabu, anauza sehemu ya ardhi iliyokuwa mali ya ndugu yetu Elimeleki.

RUT 4:4 Removed trailing space in v~: Nami niliwaza nikujulishe wewe na kukuambia uinunue mbele ya hawa waliopo hapa, na mbele ya wazee wa watu wangu. Kama wewe utaikomboa, haya fanya hivyo. Lakini kama hutaikomboa, uniambie, ili nijue. Kwa kuwa hakuna mtu mwingine mwenye haki ya kuikomboa ila wewe na baada yako ni mimi.”

RUT 4:4 Removed trailing space in p~: Naye akasema, “Nitaikomboa mimi.”

RUT 4:5 Removed trailing space in v~: Ndipo Boazi akasema “Siku utakaponunua hiyo ardhi kutoka kwa Naomi na Ruthu, Mmoabu, itakubidi kumchukua pia huyo mjane, ili kudumisha jina la marehemu pamoja na mali yake.”

RUT 4:6 Removed trailing space in v~: Aliposikia hili, yule jamaa wa karibu wa kukomboa akasema, “Basi mimi sitaweza kuikomboa, kwa sababu inaonekana nitauhatarisha urithi wangu. Wewe ikomboe mwenyewe. Mimi sitaweza.”

RUT 4:7 Removed trailing space in v~: (Basi katika siku za kale huko Israeli, ili kukamilisha tendo la kukomboa na kukabidhiana mali, mmoja huvua kiatu chake na kumpatia mwingine. Hii ilikuwa ni njia ya kuhalalisha mabadilishano katika Israeli.)

RUT 4:8 Removed trailing space in v~: Basi yule jamaa wa karibu wa kukomboa akamwambia Boazi, “Wewe inunue mwenyewe.” Naye huyo jamaa akavua kiatu chake.

RUT 4:9 Removed trailing space in v~: Kisha Boazi akawatangazia wazee na watu wote waliokuwepo, “Leo ninyi ni mashahidi kwamba mimi nimenunua kutoka kwa Naomi yote yaliyokuwa mali ya Elimeleki, Kilioni na Maloni.

RUT 4:10 Removed trailing space in v~: Nimemchukua pia Ruthu, Mmoabu, mjane wa Maloni, awe mke wangu, ili kuendeleza jina la marehemu pamoja na mali zake, ili jina lake marehemu lisitoweke miongoni mwa jamaa yake, wala katika kumbukumbu za mji wake. Leo hivi ninyi ni mashahidi!”

RUT 4:11 Removed trailing space in v~: Kisha wazee pamoja na watu wote waliokuwa langoni wakasema, “Sisi ni mashahidi. \nd Bwana\nd* na amfanye mwanamke huyu aingiaye nyumbani mwako kuwa kama Raheli na kama Lea, wale wanawake wawili ambao pamoja waliijenga nyumba ya Israeli. Nawe ufanikiwe katika Efrathi na uwe mashuhuri katika Bethlehemu.

RUT 4:12 Removed trailing space in v~: Kupitia kwa watoto ambao \nd Bwana\nd* atakupa kutokana na huyu mwanamwali, jamaa yako na ifanane na ya Peresi, ambaye Tamari alimzalia Yuda.”

RUT 4:12 Removed trailing space in s1: Wazao Wa Boazi

RUT 4:13 Removed trailing space in v~: Basi Boazi akamwoa Ruthu, naye akawa mke wake. Alipoingia kwake, \nd Bwana\nd* akamjalia Ruthu, naye akapata mimba, akamzaa mtoto wa kiume.

RUT 4:14 Removed trailing space in v~: Wanawake wakamwambia Naomi: “Ahimidiwe \nd Bwana\nd*, asiyekuacha bila kuwa na jamaa wa karibu wa kukomboa. Na awe mashuhuri katika Israeli yote!

RUT 4:15 Removed trailing space in v~: Atakurejeshea uhai wako na kukuangalia katika siku za uzee wako. Kwa maana mkweo ambaye anakupenda, na ambaye kwako ni bora zaidi ya watoto wa kiume saba, ndiye alimzaa.”

RUT 4:16 Removed trailing space in v~: Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake.

RUT 4:17 Removed trailing space in v~: Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, “Naomi ana mtoto wa kiume.” Wakamwita jina lake Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

RUT 4:18 Removed trailing space in v~: Hivi ndivyo vizazi vya Peresi:

RUT 4:18 Removed trailing space in p~: Peresi alimzaa Hesroni,

RUT 4:19 Removed trailing space in v~: Hesroni akamzaa Ramu,

RUT 4:19 Removed trailing space in p~: Ramu akamzaa Aminadabu,

RUT 4:20 Removed trailing space in v~: Aminadabu akamzaa Nashoni,

RUT 4:20 Removed trailing space in p~: Nashoni akamzaa Salmoni,

RUT 4:21 Removed trailing space in v~: Salmoni akamzaa Boazi,

RUT 4:21 Removed trailing space in p~: Boazi akamzaa Obedi,

RUT 4:22 Removed trailing space in v~: Obedi akamzaa Yese,

RUT 4:22 Removed trailing space in p~: na Yese akamzaa Daudi.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 b: 1    c: 4    h: 1    id: 1    li1: 9    mt1: 1    p: 55    rem: 1    s1: 5    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 166    v: 85  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    b: 1    c: 4    s1: 5    li1: 9    p: 55    v: 85    Total: 166  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 4    Paragraphs: 55    Verses: 85  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 4    Paragraphs: 55    Verses: 85  

Characters

All Character Counts

 0: 7    1: 51    2: 22    3: 10    4: 9    5: 8    6: 8    7: 8    8: 8    9: 7    a: 18    A: 2    B: 4    e: 2    f: 1    h: 8    i: 6    k: 2    K: 2    m: 2    N: 4    n: 2    o: 7    p: 1    R: 9    r: 1    S: 1    Space: 15    t: 10    Total: 267    u: 21    w: 2    W: 2    y: 1    Y: 1    z: 5  

All Character Counts (sorted by count)

 y: 1    S: 1    f: 1    Y: 1    p: 1    r: 1    m: 2    A: 2    k: 2    n: 2    K: 2    w: 2    e: 2    W: 2    N: 4    B: 4    z: 5    i: 6    o: 7    9: 7    0: 7    h: 8    5: 8    6: 8    7: 8    8: 8    R: 9    4: 9    t: 10    3: 10    Space: 15    a: 18    u: 21    2: 22    1: 51    Total: 267  

Letter Counts

 a: 18    A: 2    B: 4    e: 2    f: 1    h: 8    i: 6    k: 2    K: 2    m: 2    N: 4    n: 2    o: 7    p: 1    R: 9    r: 1    S: 1    Space: 15    t: 10    Total: 129    u: 21    w: 2    W: 2    y: 1    Y: 1    z: 5  

Letter Counts (sorted by count)

 y: 1    S: 1    f: 1    Y: 1    p: 1    r: 1    m: 2    A: 2    k: 2    n: 2    K: 2    w: 2    e: 2    W: 2    N: 4    B: 4    z: 5    i: 6    o: 7    h: 8    R: 9    t: 10    Space: 15    a: 18    u: 21    Total: 129  

Words

All Word Counts

 --Total--: 58    Akutana: 1    Amwoa: 1    Boazi: 4    Chungu: 1    Efa: 1    hapa: 1    ina: 1    Kiebrania: 1    kilo: 2    Kufurahisha: 1    Kupendeza: 1    Kupuria: 1    kwa: 1    Kwenye: 1    maana: 3    Mara: 1    moja: 1    Mwenyezi: 1    Na: 3    na: 2    Naomi: 2    ni: 2    Rut: 1    Ruthu: 8    Sakafu: 1    sawa: 2    Shaddai: 1    shayiri: 1    sita: 1    Vipimo: 1    vya: 1    Wa: 3    Wazao: 1    ya: 1    Ya: 1    yake: 2  

All Word Counts (sorted by count)

 Rut: 1    Kupendeza: 1    Kufurahisha: 1    Mara: 1    Chungu: 1    Mwenyezi: 1    hapa: 1    ina: 1    ya: 1    Shaddai: 1    kwa: 1    Kiebrania: 1    Akutana: 1    Efa: 1    moja: 1    Kwenye: 1    Sakafu: 1    Ya: 1    Kupuria: 1    Vipimo: 1    sita: 1    vya: 1    shayiri: 1    Amwoa: 1    Wazao: 1    Naomi: 2    yake: 2    ni: 2    sawa: 2    na: 2    kilo: 2    Na: 3    maana: 3    Wa: 3    Boazi: 4    Ruthu: 8    --Total--: 58  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 58    akutana: 1    amwoa: 1    boazi: 4    chungu: 1    efa: 1    hapa: 1    ina: 1    kiebrania: 1    kilo: 2    kufurahisha: 1    kupendeza: 1    kupuria: 1    kwa: 1    kwenye: 1    maana: 3    mara: 1    moja: 1    mwenyezi: 1    na: 5    naomi: 2    ni: 2    rut: 1    ruthu: 8    sakafu: 1    sawa: 2    shaddai: 1    shayiri: 1    sita: 1    vipimo: 1    vya: 1    wa: 3    wazao: 1    ya: 2    yake: 2  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 rut: 1    kupendeza: 1    kufurahisha: 1    mara: 1    chungu: 1    mwenyezi: 1    hapa: 1    ina: 1    shaddai: 1    kwa: 1    kiebrania: 1    akutana: 1    efa: 1    moja: 1    kwenye: 1    sakafu: 1    kupuria: 1    vipimo: 1    sita: 1    vya: 1    shayiri: 1    amwoa: 1    wazao: 1    naomi: 2    yake: 2    ya: 2    ni: 2    sawa: 2    kilo: 2    maana: 3    wa: 3    boazi: 4    na: 5    ruthu: 8    --Total--: 58  

Headings

Title Lines

RUT -1:6 Main Title 1:Ruthu

Section Heading Lines

RUT 1:0Naomi Na Ruthu
RUT 2:0Ruthu Akutana Na Boazi
RUT 3:0Ruthu Na Boazi Kwenye Sakafu Ya Kupuria
RUT 4:0Boazi Amwoa Ruthu
RUT 4:12Wazao Wa Boazi

Notes

Footnote Lines

RUT 1:20+ \fr 1:20 \ft Naomi maana yake Wa Kupendeza, Wa Kufurahisha.
RUT 1:20+ \fr 1:20 \ft Mara maana yake Chungu.
RUT 1:20+ \fr 1:20 \ft Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania.
RUT 2:17+ \fr 2:17 \ft Efa moja ni sawa na kilo 22.
RUT 3:17+ \fr 3:17 \ft Vipimo sita vya shayiri ni sawa na kilo 15.

Leader Counts

 Footnote leader '+': 5    Footnotes: 5  

Leader Counts (sorted by count)

 Footnotes: 5    Footnote leader '+': 5