Freely-Given.org Bible TH1 Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in TH1 -1:0

Showing 1 out of 119 priority errors

Fix Text Errors

TH1 -1:0 Removed trailing space in id: 1TH - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

TH1 -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

TH1 -1:2 Removed trailing space in h: 1 Wathesalonike

TH1 -1:3 Removed trailing space in toc1: 1 Wathesalonike

TH1 -1:4 Removed trailing space in toc2: 1 Wathesalonike

TH1 -1:5 Removed trailing space in toc3: 1The

TH1 -1:6 Removed trailing space in mt1: 1 Wathesalonike

TH1 1:0 Extra space after chapter number

TH1 1:0 Removed trailing space in c: 1

TH1 1:0 Removed trailing space in s1: Salamu

TH1 1:1 Removed trailing space in v~: Paulo, Silvano\f + \fr 1:1 \ft Yaani Sila.\f* na Timotheo:

TH1 1:1 Removed trailing space in p~: Kwa kanisa la Wathesalonike, ninyi mlio ndani ya Mungu Baba yetu na ndani ya Bwana Yesu Kristo:

TH1 1:1 Removed trailing space in p~: Neema iwe kwenu na amani.

TH1 1:1 Removed trailing space in s1: Shukrani Kwa Ajili Ya Imani Ya Wathesalonike

TH1 1:2 Removed trailing space in v~: Siku zote tunamshukuru Mungu kwa ajili yenu ninyi nyote, tukiwataja kwenye maombi yetu daima.

TH1 1:3 Removed trailing space in v~: Tunaikumbuka daima kazi yenu ya imani mbele za Mungu aliye Baba yetu, taabu yenu katika upendo na saburi yenu ya tumaini katika Bwana wetu Yesu Kristo.

TH1 1:4 Removed trailing space in v~: Ndugu zetu mpendwao na Mungu, kwa kuwa tunajua kwamba Mungu amewachagua,

TH1 1:5 Removed trailing space in v~: kwa sababu ujumbe wetu wa Injili haukuja kwenu kwa maneno matupu bali pia ulidhihirishwa katika nguvu na katika Roho Mtakatifu, tena ukiwa na uthibitisho kamili, kama vile ninyi wenyewe mnavyojua jinsi tulivyoenenda katikati yenu kwa ajili yenu.

TH1 1:6 Removed trailing space in v~: Nanyi mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, ingawa mlipata mateso mengi, mlilipokea lile Neno kwa furaha katika Roho Mtakatifu.

TH1 1:7 Removed trailing space in v~: Hivyo ninyi mkawa kielelezo kwa waumini wote katika Makedonia na Akaya.

TH1 1:8 Removed trailing space in v~: Kwa maana kutoka kwenu neno la Bwana limesikika, si katika Makedonia na Akaya tu, bali pia imani yenu katika Mungu imejulikana kila mahali kiasi kwamba hatuna haja ya kusema lolote kwa habari yake.

TH1 1:9 Removed trailing space in v~: Kwa maana watu wa maeneo hayo wenyewe wanaeleza jinsi mlivyotupokea na jinsi mlivyomgeukia Mungu mkaacha sanamu, ili kumtumikia Mungu aliye hai na wa kweli

TH1 1:10 Removed trailing space in v~: na ili kumngojea Mwanawe kutoka mbinguni, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu: yaani, Yesu, yeye aliyetuokoa kutoka ghadhabu inayokuja.

TH1 2:0 Extra space after chapter number

TH1 2:0 Removed trailing space in c: 2

TH1 2:0 Removed trailing space in s1: Huduma Ya Paulo Huko Thesalonike

TH1 2:1 Removed trailing space in v~: Ndugu zangu, kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua ya kwamba kuja kwetu kwenu hakukuwa bure,

TH1 2:2 Removed trailing space in v~: kama vile mjuavyo, tulikuwa tumeteswa na kutukanwa huko Filipi, lakini hata hivyo, kwa msaada wa Mungu wetu, tulikuwa na ujasiri wa kuwaambia Injili ya Mungu ingawa kulikuwa na upinzani mkubwa.

TH1 2:3 Removed trailing space in v~: Kwa maana himizo letu halikutokana na hila wala nia mbaya au udanganyifu.

TH1 2:4 Removed trailing space in v~: Kinyume chake, tulinena kama watu tuliokubaliwa na Mungu tukakabidhiwa Injili. Sisi hatujaribu kuwapendeza wanadamu bali kumpendeza Mungu, yeye ayachunguzaye mawazo ya ndani sana ya mioyo yetu.

TH1 2:5 Removed trailing space in v~: Kama mjuavyo, hatukuja kwenu kwa maneno ya kujipendekeza au maneno yasiyo ya kweli ili kuficha tamaa mbaya: Mungu ndiye shahidi yetu.

TH1 2:6 Removed trailing space in v~: Wala hatukuwa tunatafuta sifa kutoka kwa wanadamu, wala kutoka kwenu au kwa mtu mwingine awaye yote.

TH1 2:6 Removed trailing space in p~: Kama mitume wa Kristo tungaliweza kuwa mzigo kwenu,

TH1 2:7 Removed trailing space in v~: lakini tulikuwa wapole katikati yenu, kama mama anayewatunza watoto wake wadogo.

TH1 2:8 Removed trailing space in v~: Tuliwapenda sana kiasi kwamba tulifurahia kushirikiana nanyi, si Injili ya Mungu tu, bali hata maisha yetu, kwa sababu mlikuwa wa thamani mno kwetu.

TH1 2:9 Removed trailing space in v~: Ndugu zetu, mnakumbuka juhudi yetu na taabu yetu. Tulifanya kazi usiku na mchana, ili tusimlemee mtu yeyote wa kwenu wakati tulipokuwa tunawahubiria Injili ya Mungu.

TH1 2:10 Removed trailing space in v~: Ninyi wenyewe ni mashahidi na Mungu pia, jinsi tulivyokuwa watakatifu, wenye haki na wasio na lawama miongoni mwenu ninyi mlioamini.

TH1 2:11 Removed trailing space in v~: Maana mnajua kwamba tuliwatendea kila mmoja wenu kama vile baba awatendeavyo watoto wake.

TH1 2:12 Removed trailing space in v~: Tuliwatia moyo, tuliwafariji na kuwahimiza kuishi maisha yampendezayo Mungu, anayewaita katika Ufalme na utukufu wake.

TH1 2:13 Removed trailing space in v~: Nasi pia tunamshukuru Mungu bila kukoma kwa sababu mlipolipokea neno la Mungu mlilosikia kutoka kwetu, hamkulipokea kama neno la wanadamu, bali mlilipokea kama lilivyo hasa, neno la Mungu, litendalo kazi ndani yenu ninyi mnaoamini.

TH1 2:14 Removed trailing space in v~: Kwa maana ninyi ndugu zetu, mlifanyika wafuasi wa makanisa ya Mungu yaliyoko ndani ya Kristo Yesu katika Uyahudi. Mlipata mateso yale yale kutoka kwa watu wenu wenyewe kama vile makanisa hayo yalivyoteswa na Wayahudi,

TH1 2:15 Removed trailing space in v~: wale waliomuua Bwana Yesu na manabii, nasi wakatufukuza pia. Watu hao walimchukiza Mungu na tena ni adui wa watu wote,

TH1 2:16 Removed trailing space in v~: wakijitahidi kutuzuia tusizungumze na watu wa Mataifa ili kwamba wapate kuokolewa. Kwa njia hii wanazidi kujilundikia dhambi zao hadi kikomo. Lakini hatimaye ghadhabu ya Mungu imewafikia.

TH1 2:16 Removed trailing space in s1: Paulo Atamani Kuwaona Wathesalonike

TH1 2:17 Removed trailing space in v~: Lakini ndugu zetu, tulipotenganishwa nanyi kwa kitambo kidogo (ingawa kutengana huko kulikuwa kwa mwili tu, si kwa moyo), tulizidi kuwa na shauku kubwa kuwaona uso kwa uso.

TH1 2:18 Removed trailing space in v~: Maana tulitaka kuja kwenu, hasa mimi Paulo, nilitaka kuja tena na tena, lakini Shetani akatuzuia.

TH1 2:19 Removed trailing space in v~: Kwa maana tumaini letu ni nini, au furaha yetu au taji yetu ya kujisifia mbele za Bwana Yesu Kristo wakati wa kuja kwake? Je, si ni ninyi?

TH1 2:20 Removed trailing space in v~: Naam, ninyi ndio fahari yetu na furaha yetu.

TH1 3:0 Extra space after chapter number

TH1 3:0 Removed trailing space in c: 3

TH1 3:0 Removed trailing space in s1: Timotheo Atumwa Kwenda Thesalonike

TH1 3:1 Removed trailing space in v~: Kwa hivyo tulipokuwa hatuwezi kuvumilia zaidi, tuliamua tubaki Athene peke yetu.

TH1 3:2 Removed trailing space in v~: Tukamtuma Timotheo ambaye ni ndugu yetu na mtumishi mwenzetu wa Mungu katika kuieneza Injili ya Kristo, aje kuwaimarisha na kuwatia moyo katika imani yenu,

TH1 3:3 Removed trailing space in v~: ili mtu yeyote asifadhaishwe na mateso haya. Mnajua vyema kwamba tumewekewa hayo mateso.

TH1 3:4 Removed trailing space in v~: Kwa kweli, tulipokuwa pamoja nanyi tuliwaambia mara kwa mara kwamba tutateswa na imekuwa hivyo kama mjuavyo.

TH1 3:5 Removed trailing space in v~: Kwa sababu hii nilipokuwa siwezi kuvumilia zaidi, nilimtuma mtu ili nipate habari za imani yenu. Niliogopa kwamba kwa njia fulani yule mjaribu asiwe amewajaribu, nasi tukawa tumejitaabisha bure.

TH1 3:5 Removed trailing space in s1: Taarifa Ya Timotheo Ya Kutia Moyo

TH1 3:6 Removed trailing space in v~: Lakini sasa Timotheo ndiyo tu amerejea kwetu kutoka kwenu na ameleta habari njema kuhusu imani yenu na upendo wenu. Ametuambia kwamba siku zote mnatukumbuka kwa wema na kwamba mna shauku ya kutuona kama vile sisi tulivyo na shauku ya kuwaona ninyi.

TH1 3:7 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, ndugu zetu, katika dhiki na mateso yetu yote tumefarijika kwa sababu ya imani yenu.

TH1 3:8 Removed trailing space in v~: Sasa kwa kuwa hakika tunaishi, kwa kuwa ninyi mmesimama imara katika Bwana.

TH1 3:9 Removed trailing space in v~: Je, tutawezaje kumshukuru Mungu kiasi cha kutosha kwa ajili yenu, kutokana na furaha tuliyo nayo mbele za Mungu wetu kwa sababu yenu?

TH1 3:10 Removed trailing space in v~: Usiku na mchana tunaomba kwa bidii ili tupate kuwaona tena na kujaza kile kilichopungua katika imani yenu.

TH1 3:11 Removed trailing space in v~: Basi Mungu wetu na Baba yetu mwenyewe na Bwana wetu Yesu atengeneze njia ya sisi kuja kwenu.

TH1 3:12 Removed trailing space in v~: Bwana na auongeze upendo wenu na kuuzidisha kati yenu na kwa wengine wote, kama vile tulivyo na upendo mwingi kwenu.

TH1 3:13 Removed trailing space in v~: Tunamwomba Mungu aimarishe mioyo yenu ili msiwe na lawama katika utakatifu mbele za Mungu wetu aliye Baba yetu wakati wa kuja kwake Bwana Yesu pamoja na watakatifu wote.

TH1 4:0 Extra space after chapter number

TH1 4:0 Removed trailing space in c: 4

TH1 4:0 Removed trailing space in s1: Maisha Yanayompendeza Mungu

TH1 4:1 Removed trailing space in v~: Hatimaye, ndugu, tuliwaomba na kuwasihi katika Bwana Yesu kwamba, kama mlivyojifunza kutoka kwetu jinsi iwapasavyo kuishi ili kumpendeza Mungu, kama vile mnavyoishi, imewapasa mzidi sana kufanya hivyo.

TH1 4:2 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa mnajua ni maagizo gani tuliyowapa kwa mamlaka ya Bwana Yesu.

TH1 4:3 Removed trailing space in v~: Mapenzi ya Mungu ni kwamba ninyi mtakaswe, ili kwamba mjiepushe na zinaa,

TH1 4:4 Removed trailing space in v~: ili kwamba kila mmoja wenu ajifunze kuutawala mwili wake mwenyewe katika utakatifu na heshima,

TH1 4:5 Removed trailing space in v~: si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu.

TH1 4:6 Removed trailing space in v~: Katika jambo hili mtu asimkosee ndugu yake wala kumlaghai. Kwa kuwa Bwana ni mlipiza kisasi katika mambo haya yote, kama vile tulivyokwisha kuwaambia mapema na kuwaonya vikali.

TH1 4:7 Removed trailing space in v~: Kwa maana Mungu hakutuitia uchafu, bali utakatifu.

TH1 4:8 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo, mtu yeyote anayekataa mafundisho haya hamkatai mwanadamu, bali anamkataa Mungu anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.

TH1 4:9 Removed trailing space in v~: Sasa kuhusu upendo wa ndugu hamna haja mtu yeyote kuwaandikia, kwa maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana.

TH1 4:10 Removed trailing space in v~: Nanyi kwa kweli mnawapenda ndugu wote katika Makedonia nzima. Lakini ndugu, tunawasihi mzidi sana kuwapenda.

TH1 4:11 Removed trailing space in v~: Jitahidini kuishi maisha ya utulivu, kila mtu akijishughulisha na mambo yake mwenyewe na kufanya kazi kwa mikono yake, kama vile tulivyowaagiza,

TH1 4:12 Removed trailing space in v~: ili maisha yenu ya kila siku yajipatie heshima kutoka kwa watu walio nje, ili msimtegemee mtu yeyote.

TH1 4:12 Removed trailing space in s1: Kuja Kwake Bwana

TH1 4:13 Removed trailing space in v~: Lakini ndugu, hatutaki mkose kujua kuhusu wale waliolala mauti, ili msihuzunike kama watu wengine wasiokuwa na tumaini.

TH1 4:14 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa tunaamini kwamba Yesu alikufa na kufufuka, na kwa hivyo, Mungu kwa njia ya Yesu atawafufua pamoja naye wale waliolala mautini ndani yake.

TH1 4:15 Removed trailing space in v~: Kulingana na neno la Bwana mwenyewe, tunawaambia kwamba sisi ambao bado tuko hai, tuliobaki hadi kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia waliolala mauti.

TH1 4:16 Removed trailing space in v~: Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni, akitoa amri kwa sauti kuu, pamoja na sauti ya malaika mkuu, na sauti ya tarumbeta ya Mungu. Nao waliokufa wakiwa katika Kristo watafufuka kwanza.

TH1 4:17 Removed trailing space in v~: Baada ya hilo sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu ili kumlaki Bwana hewani, hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.

TH1 4:18 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo farijianeni kwa maneno haya.

TH1 5:0 Extra space after chapter number

TH1 5:0 Removed trailing space in c: 5

TH1 5:0 Removed trailing space in s1: Kuweni Tayari Kwa Siku Ya Bwana

TH1 5:1 Removed trailing space in v~: Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia,

TH1 5:2 Removed trailing space in v~: kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.

TH1 5:3 Removed trailing space in v~: Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba; nao hakika hawatatoroka.

TH1 5:4 Removed trailing space in v~: Bali ninyi, ndugu, hampo gizani hata siku ile iwakute ghafula kama mwizi.

TH1 5:5 Removed trailing space in v~: Ninyi nyote ni wana wa nuru na wana wa mchana. Sisi si wana wa giza wala wa usiku.

TH1 5:6 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo basi, tusilale kama watu wengine walalavyo, bali tukeshe na kuwa na kiasi.

TH1 5:7 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa wote walalao hulala usiku na wale walewao hulewa usiku.

TH1 5:8 Removed trailing space in v~: Lakini kwa kuwa sisi ni wana wa mchana, basi tuwe na kiasi, tukijivika imani na upendo kama dirii kifuani na tumaini letu la wokovu kama chapeo.

TH1 5:9 Removed trailing space in v~: Kwa maana Mungu hakutuita ili tupate ghadhabu bali tupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.

TH1 5:10 Removed trailing space in v~: Yeye alikufa kwa ajili yetu ili hata kama tuko macho au tumelala, tupate kuishi pamoja naye.

TH1 5:11 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo farijianeni na kujengana, kama vile mnavyofanya sasa.

TH1 5:11 Removed trailing space in s1: Maagizo Ya Mwisho, Salamu Na Kuwatakia Heri

TH1 5:12 Removed trailing space in v~: Sasa tunawaomba, ndugu, waheshimuni wale wanaofanya kazi kwa bidii miongoni mwenu, wale ambao wana mamlaka juu yenu katika Bwana na ambao wanawaonya.

TH1 5:13 Removed trailing space in v~: Waheshimuni sana katika upendo kwa ajili ya kazi zao. Ishini kwa amani ninyi kwa ninyi.

TH1 5:14 Removed trailing space in v~: Nasi twawasihi, ndugu, waonyeni walio wavivu, watieni moyo waoga, wasaidieni wanyonge na kuwavumilia watu wote.

TH1 5:15 Removed trailing space in v~: Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.

TH1 5:16 Removed trailing space in v~: Furahini siku zote;

TH1 5:17 Removed trailing space in v~: ombeni bila kukoma;

TH1 5:18 Removed trailing space in v~: shukuruni kwa kila jambo, kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu katika Kristo Yesu.

TH1 5:19 Removed trailing space in v~: Msiuzime moto wa Roho Mtakatifu;

TH1 5:20 Removed trailing space in v~: msiyadharau maneno ya unabii.

TH1 5:21 Removed trailing space in v~: Jaribuni kila kitu. Yashikeni yaliyo mema.

TH1 5:22 Removed trailing space in v~: Jiepusheni na uovu wa kila namna.

TH1 5:23 Removed trailing space in v~: Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo.

TH1 5:24 Removed trailing space in v~: Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo.

TH1 5:25 Removed trailing space in v~: Ndugu, tuombeeni.

TH1 5:26 Removed trailing space in v~: Wasalimuni ndugu wote kwa busu takatifu.

TH1 5:27 Removed trailing space in v~: Nawaagizeni mbele za Bwana mhakikishe kuwa ndugu wote wanasomewa barua hii.

TH1 5:28 Removed trailing space in v~: Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. Amen.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 5    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 26    rem: 1    s1: 10    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 137    v: 89  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 5    s1: 10    p: 26    v: 89    Total: 137  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 5    Paragraphs: 26    Verses: 89  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 5    Paragraphs: 26    Verses: 89  

Characters

All Character Counts

 ,: 1    0: 7    1: 50    2: 21    3: 11    4: 10    5: 10    6: 9    7: 9    8: 9    9: 7    a: 61    A: 3    B: 2    d: 3    e: 25    f: 1    g: 2    h: 14    H: 3    i: 25    I: 1    j: 2    k: 13    K: 9    l: 13    m: 9    M: 5    n: 19    N: 1    o: 21    P: 2    p: 1    r: 4    s: 10    S: 4    Space: 40    t: 12    T: 7    Total: 503    u: 17    W: 6    w: 11    Y: 8    y: 3    z: 2  

All Character Counts (sorted by count)

 I: 1    f: 1    p: 1    ,: 1    N: 1    j: 2    P: 2    z: 2    g: 2    B: 2    A: 3    H: 3    d: 3    y: 3    S: 4    r: 4    M: 5    W: 6    T: 7    9: 7    0: 7    Y: 8    m: 9    K: 9    6: 9    7: 9    8: 9    s: 10    4: 10    5: 10    w: 11    3: 11    t: 12    l: 13    k: 13    h: 14    u: 17    n: 19    o: 21    2: 21    e: 25    i: 25    Space: 40    1: 50    a: 61    Total: 503  

Letter Counts

 a: 61    A: 3    B: 2    d: 3    e: 25    f: 1    g: 2    h: 14    H: 3    i: 25    I: 1    j: 2    k: 13    K: 9    l: 13    m: 9    M: 5    n: 19    N: 1    o: 21    P: 2    p: 1    r: 4    s: 10    S: 4    Space: 40    t: 12    T: 7    Total: 359    u: 17    W: 6    w: 11    Y: 8    y: 3    z: 2  

Letter Counts (sorted by count)

 I: 1    f: 1    p: 1    N: 1    j: 2    P: 2    z: 2    g: 2    B: 2    A: 3    H: 3    d: 3    y: 3    S: 4    r: 4    M: 5    W: 6    T: 7    Y: 8    m: 9    K: 9    s: 10    w: 11    t: 12    l: 13    k: 13    h: 14    u: 17    n: 19    o: 21    e: 25    i: 25    Space: 40    a: 61    Total: 359  

Punctuation Counts

 ,: 1    Total: 1  

Punctuation Counts (sorted by count)

 ,: 1    Total: 1  

Words

All Word Counts

 --Total--: 53    1The: 1    Ajili: 1    Atamani: 1    Atumwa: 1    Bwana: 2    Heri: 1    Huduma: 1    Huko: 1    Imani: 1    Kuja: 1    Kutia: 1    Kuwaona: 1    Kuwatakia: 1    Kuweni: 1    Kwa: 2    Kwake: 1    Kwenda: 1    Maagizo: 1    Maisha: 1    Moyo: 1    Mungu: 1    Mwisho: 1    Na: 1    Paulo: 2    Salamu: 2    Shukrani: 1    Siku: 1    Sila: 1    Taarifa: 1    Tayari: 1    Thesalonike: 2    Timotheo: 2    Wathesalonike: 6    Ya: 7    Yaani: 1    Yanayompendeza: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 1The: 1    Yaani: 1    Sila: 1    Shukrani: 1    Ajili: 1    Imani: 1    Huduma: 1    Huko: 1    Atamani: 1    Kuwaona: 1    Atumwa: 1    Kwenda: 1    Taarifa: 1    Kutia: 1    Moyo: 1    Maisha: 1    Yanayompendeza: 1    Mungu: 1    Kuja: 1    Kwake: 1    Kuweni: 1    Tayari: 1    Siku: 1    Maagizo: 1    Mwisho: 1    Na: 1    Kuwatakia: 1    Heri: 1    Salamu: 2    Kwa: 2    Paulo: 2    Thesalonike: 2    Timotheo: 2    Bwana: 2    Wathesalonike: 6    Ya: 7    --Total--: 53  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 53    1the: 1    ajili: 1    atamani: 1    atumwa: 1    bwana: 2    heri: 1    huduma: 1    huko: 1    imani: 1    kuja: 1    kutia: 1    kuwaona: 1    kuwatakia: 1    kuweni: 1    kwa: 2    kwake: 1    kwenda: 1    maagizo: 1    maisha: 1    moyo: 1    mungu: 1    mwisho: 1    na: 1    paulo: 2    salamu: 2    shukrani: 1    siku: 1    sila: 1    taarifa: 1    tayari: 1    thesalonike: 2    timotheo: 2    wathesalonike: 6    ya: 7    yaani: 1    yanayompendeza: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 1the: 1    yaani: 1    sila: 1    shukrani: 1    ajili: 1    imani: 1    huduma: 1    huko: 1    atamani: 1    kuwaona: 1    atumwa: 1    kwenda: 1    taarifa: 1    kutia: 1    moyo: 1    maisha: 1    yanayompendeza: 1    mungu: 1    kuja: 1    kwake: 1    kuweni: 1    tayari: 1    siku: 1    maagizo: 1    mwisho: 1    na: 1    kuwatakia: 1    heri: 1    salamu: 2    kwa: 2    paulo: 2    thesalonike: 2    timotheo: 2    bwana: 2    wathesalonike: 6    ya: 7    --Total--: 53  

Headings

Title Lines

TH1 -1:6 Main Title 1:1 Wathesalonike

Section Heading Lines

TH1 1:0Salamu
TH1 1:1Shukrani Kwa Ajili Ya Imani Ya Wathesalonike
TH1 2:0Huduma Ya Paulo Huko Thesalonike
TH1 2:16Paulo Atamani Kuwaona Wathesalonike
TH1 3:0Timotheo Atumwa Kwenda Thesalonike
TH1 3:5Taarifa Ya Timotheo Ya Kutia Moyo
TH1 4:0Maisha Yanayompendeza Mungu
TH1 4:12Kuja Kwake Bwana
TH1 5:0Kuweni Tayari Kwa Siku Ya Bwana
TH1 5:11Maagizo Ya Mwisho, Salamu Na Kuwatakia Heri

Notes

Footnote Lines

TH1 1:1+ \fr 1:1 \ft Yaani Sila.

Leader Counts

 Footnote leader '+': 1    Footnotes: 1  

Leader Counts (sorted by count)

 Footnotes: 1    Footnote leader '+': 1