Freely-Given.org Bible TH2 Checks

<Up>

Priority Errors

Extra space after chapter number in TH2 2:0

Showing 1 out of 44 priority errors

Fix Text Errors

TH2 2:0 Extra space after chapter number

TH2 2:0 Removed trailing space in c: 2

TH2 2:0 Removed trailing space in s1: Yule Mtu Wa Kuasi

TH2 2:1 Removed trailing space in v~: Ndugu, kuhusu kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo na kukusanyika kwetu pamoja mbele zake, tunawasihi,

TH2 2:2 Removed trailing space in v~: msiyumbishwe kwa urahisi wala msitiwe wasiwasi na roho wala neno au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu, isemayo kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwako.

TH2 2:3 Removed trailing space in v~: Mtu yeyote na asiwadanganye kwa namna yoyote kwa maana siku ile haitakuja mpaka uasi utokee kwanza, na yule mtu wa kuasi adhihirishwe, yule ambaye amehukumiwa kuangamizwa kabisa.

TH2 2:4 Removed trailing space in v~: Yeye atapingana na kujitukuza juu ya kila kitu kiitwacho Mungu au kinachoabudiwa, ili kujiweka juu katika Hekalu la Mungu, akijitangaza mwenyewe kuwa ndiye Mungu.

TH2 2:5 Removed trailing space in v~: Je, hamkumbuki ya kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya?

TH2 2:6 Removed trailing space in v~: Nanyi sasa mnajua kinachomzuia, ili apate kudhihirishwa wakati wake utakapowadia.

TH2 2:7 Removed trailing space in v~: Maana ile nguvu ya siri ya uasi tayari inatenda kazi, lakini yule anayeizuia ataendelea kufanya hivyo mpaka atakapoondolewa.

TH2 2:8 Removed trailing space in v~: Hapo ndipo yule mwasi atafunuliwa, ambaye Bwana Yesu atamteketeza kwa pumzi ya kinywa chake na kumwangamiza kabisa kwa utukufu wa kuja kwake.

TH2 2:9 Removed trailing space in v~: Kuja kwa yule mwasi kutaonekana kana kwamba ni kutenda kazi kwake Shetani ambaye hutumia nguvu zote, ishara, maajabu ya uongo,

TH2 2:10 Removed trailing space in v~: na kila aina ya uovu kwa wale wanaoangamia kwa sababu walikataa kuipenda kweli wapate kuokolewa.

TH2 2:11 Removed trailing space in v~: Kwa sababu hii, Mungu ameruhusu watawaliwe na nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini uongo,

TH2 2:12 Removed trailing space in v~: na wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu.

TH2 2:12 Removed trailing space in s1: Simameni Imara

TH2 2:13 Removed trailing space in v~: Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu, ndugu mpendwao na Bwana, kwa sababu Mungu aliwachagua ninyi tangu mwanzo ili mwokolewe kwa kutakaswa na Roho kwa kuiamini kweli.

TH2 2:14 Removed trailing space in v~: Kwa kusudi hili Mungu aliwaita kwa njia ya kuhubiri kwetu Injili, ili mpate kushiriki katika utukufu wa Bwana Yesu Kristo.

TH2 2:15 Removed trailing space in v~: Hivyo basi, ndugu wapendwa, simameni imara na myashike sana yale mafundisho tuliyowapa ikiwa ni kwa maneno ya kinywa au kwa barua.

TH2 2:16 Removed trailing space in v~: Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe na Mungu Baba yetu, aliyetupenda na kwa neema yake akatupatia faraja ya milele na tumaini jema,

TH2 2:17 Removed trailing space in v~: awafariji mioyo yenu na kuwaimarisha katika kila neno na tendo jema.

TH2 3:0 Extra space after chapter number

TH2 3:0 Removed trailing space in c: 3

TH2 3:0 Removed trailing space in s1: Hitaji La Maombi

TH2 3:1 Removed trailing space in v~: Hatimaye, ndugu, tuombeeni ili Neno la Bwana lipate kuenea kwa haraka na kuheshimiwa kila mahali, kama vile ilivyokuwa kwenu.

TH2 3:2 Removed trailing space in v~: Ombeni pia ili tupate kuokolewa kutokana na watu waovu na wabaya, kwa maana si wote wanaoamini.

TH2 3:3 Removed trailing space in v~: Lakini Bwana ni mwaminifu, naye atawaimarisha ninyi na kuwalinda kutokana na yule mwovu.

TH2 3:4 Removed trailing space in v~: Nasi tuna tumaini katika Bwana ya kuwa mnafanya na mtaendelea kufanya yale tuliyowaagiza.

TH2 3:5 Removed trailing space in v~: Bwana aiongoze mioyo yenu katika upendo wa Mungu na katika saburi ya Kristo.

TH2 3:5 Removed trailing space in s1: Onyo Dhidi Ya Uvivu

TH2 3:6 Removed trailing space in v~: Ndugu, tunawaagiza katika Jina la Bwana Yesu Kristo, jitengeni na kila ndugu ambaye ni mvivu na ambaye haishi kufuatana na maagizo tuliyowapa.

TH2 3:7 Removed trailing space in v~: Maana ninyi wenyewe mnajua jinsi iwapasavyo kufuata mfano wetu. Sisi hatukuwa wavivu tulipokuwa pamoja nanyi,

TH2 3:8 Removed trailing space in v~: wala hatukula chakula cha mtu yeyote pasipo kukilipia. Badala yake tulifanya kazi kwa bidii usiku na mchana, ili tusimlemee mtu yeyote miongoni mwenu.

TH2 3:9 Removed trailing space in v~: Tulifanya hivi, si kwa sababu hatukuwa na haki ya kupata msaada kama huo, bali ndio sisi wenyewe tuwe kielelezo.

TH2 3:10 Removed trailing space in v~: Kwa maana hata tulipokuwa pamoja nanyi, tuliwapa amri kwamba: “Mtu yeyote asiyetaka kufanya kazi, hata kula asile.”

TH2 3:11 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa tunasikia kwamba baadhi ya watu miongoni mwenu ni wavivu. Hawafanyi kazi bali hujishughulisha na mambo ya wengine.

TH2 3:12 Removed trailing space in v~: Basi watu kama hao tunawaagiza na kuwahimiza katika Bwana Yesu Kristo, kwamba wafanye kazi kwa utulivu kwa ajili ya chakula chao wenyewe.

TH2 3:13 Removed trailing space in v~: Kwa upande wenu, ndugu, ninyi kamwe msichoke katika kutenda mema.

TH2 3:14 Removed trailing space in v~: Ikiwa mtu yeyote hayatii maagizo yetu yaliyoko katika barua hii, mwangalieni sana mtu huyo. Msishirikiane naye, ili apate kuona aibu.

TH2 3:15 Removed trailing space in v~: Lakini msimhesabu kuwa adui, bali mwonyeni kama ndugu.

TH2 3:15 Removed trailing space in s1: Salamu Za Mwisho

TH2 3:16 Removed trailing space in v~: Basi, Bwana wa amani mwenyewe awapeni amani nyakati zote na kwa kila njia. Bwana awe nanyi nyote.

TH2 3:17 Removed trailing space in v~: Mimi, Paulo, ninaandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndio alama ya utambulisho katika barua zangu zote. Hivi ndivyo niandikavyo.

TH2 3:18 Removed trailing space in v~: Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi nyote. Amen.

USFMs

Modified Marker List

id rem h toc1 toc2 toc3 mt1
c p v p* v s1 p v* p v* p v*
c s1 p v* p v* s1 p v* p v*
c s1 p v* s1 p v* p v* p v* s1 p v p v p v

All Newline Marker Counts

 c: 3    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 17    rem: 1    s1: 6    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 80    v: 47  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 3    s1: 6    p: 17    v: 47    Total: 80  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 3    Paragraphs: 17    Verses: 47  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 3    Paragraphs: 17    Verses: 47  

Characters

All Character Counts

 0: 3    1: 27    2: 12    3: 6    4: 5    5: 5    6: 5    7: 5    8: 4    9: 3    a: 23    b: 2    D: 1    d: 1    e: 11    h: 8    H: 1    i: 16    I: 1    j: 1    k: 5    K: 1    l: 6    L: 1    M: 4    m: 6    n: 7    N: 1    o: 8    O: 1    r: 2    s: 6    S: 3    Space: 17    t: 6    T: 1    Total: 234    u: 6    U: 1    v: 2    W: 5    w: 1    Y: 2    y: 1    Z: 1  

All Character Counts (sorted by count)

 T: 1    N: 1    K: 1    I: 1    H: 1    j: 1    L: 1    O: 1    y: 1    D: 1    d: 1    U: 1    Z: 1    w: 1    r: 2    b: 2    Y: 2    v: 2    S: 3    9: 3    0: 3    M: 4    8: 4    W: 5    k: 5    4: 5    5: 5    6: 5    7: 5    t: 6    s: 6    l: 6    u: 6    m: 6    3: 6    n: 7    h: 8    o: 8    e: 11    2: 12    i: 16    Space: 17    a: 23    1: 27    Total: 234  

Letter Counts

 a: 23    b: 2    D: 1    d: 1    e: 11    h: 8    H: 1    i: 16    I: 1    j: 1    k: 5    K: 1    l: 6    L: 1    M: 4    m: 6    n: 7    N: 1    o: 8    O: 1    r: 2    s: 6    S: 3    Space: 17    t: 6    T: 1    Total: 159    u: 6    U: 1    v: 2    W: 5    w: 1    Y: 2    y: 1    Z: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 T: 1    N: 1    K: 1    I: 1    H: 1    j: 1    L: 1    O: 1    y: 1    D: 1    d: 1    U: 1    Z: 1    w: 1    r: 2    b: 2    Y: 2    v: 2    S: 3    M: 4    W: 5    k: 5    t: 6    s: 6    l: 6    u: 6    m: 6    n: 7    h: 8    o: 8    e: 11    i: 16    Space: 17    a: 23    Total: 159  

Words

All Word Counts

 --Total--: 26    2The: 1    Dhidi: 1    Hitaji: 1    Imara: 1    Kuasi: 1    La: 1    Maombi: 2    Mtu: 1    Mwisho: 1    Na: 1    Onyo: 1    Salamu: 1    Shukrani: 1    Sila: 1    Simameni: 1    Uvivu: 1    Wa: 1    Wathesalonike: 4    Ya: 1    Yaani: 1    Yule: 1    Za: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 2The: 1    Yaani: 1    Sila: 1    Shukrani: 1    Na: 1    Yule: 1    Mtu: 1    Wa: 1    Kuasi: 1    Simameni: 1    Imara: 1    Hitaji: 1    La: 1    Onyo: 1    Dhidi: 1    Ya: 1    Uvivu: 1    Salamu: 1    Za: 1    Mwisho: 1    Maombi: 2    Wathesalonike: 4    --Total--: 26  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 26    2the: 1    dhidi: 1    hitaji: 1    imara: 1    kuasi: 1    la: 1    maombi: 2    mtu: 1    mwisho: 1    na: 1    onyo: 1    salamu: 1    shukrani: 1    sila: 1    simameni: 1    uvivu: 1    wa: 1    wathesalonike: 4    ya: 1    yaani: 1    yule: 1    za: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 2the: 1    yaani: 1    sila: 1    shukrani: 1    na: 1    yule: 1    mtu: 1    wa: 1    kuasi: 1    simameni: 1    imara: 1    hitaji: 1    la: 1    onyo: 1    dhidi: 1    ya: 1    uvivu: 1    salamu: 1    za: 1    mwisho: 1    maombi: 2    wathesalonike: 4    --Total--: 26  

Headings

Title Lines

TH2 -1:6 Main Title 1:2 Wathesalonike

Section Heading Lines

TH2 1:2Shukrani Na Maombi
TH2 2:0Yule Mtu Wa Kuasi
TH2 2:12Simameni Imara
TH2 3:0Hitaji La Maombi
TH2 3:5Onyo Dhidi Ya Uvivu
TH2 3:15Salamu Za Mwisho

Notes

Footnote Lines

TH2 1:1+ \fr 1:1 \ft Yaani Sila.

Leader Counts

 Footnote leader '+': 1    Footnotes: 1  

Leader Counts (sorted by count)

 Footnotes: 1    Footnote leader '+': 1