Freely-Given.org Bible TI1 Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in TI1 -1:0

Showing 1 out of 153 priority errors

Fix Text Errors

TI1 -1:0 Removed trailing space in id: 1TI - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

TI1 -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

TI1 -1:2 Removed trailing space in h: 1 Timotheo

TI1 -1:3 Removed trailing space in toc1: 1 Timotheo

TI1 -1:4 Removed trailing space in toc2: 1 Timotheo

TI1 -1:5 Removed trailing space in toc3: 1Tim

TI1 -1:6 Removed trailing space in mt1: 1 Timotheo

TI1 1:0 Extra space after chapter number

TI1 1:0 Removed trailing space in c: 1

TI1 1:1 Removed trailing space in v~: Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa amri ya Mungu Mwokozi wetu na ya Kristo Yesu tumaini letu.

TI1 1:2 Removed trailing space in v~: Kwa Timotheo, mwanangu halisi katika imani:

TI1 1:2 Removed trailing space in p~: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.

TI1 1:2 Removed trailing space in s1: Maonyo Dhidi Ya Walimu Wa Uongo

TI1 1:3 Removed trailing space in v~: Kama nilivyokusihi wakati nilipokwenda Makedonia, endelea kubaki Efeso, ili kwamba upate kuwaagiza watu wasiendelee kufundisha mafundisho ya uongo

TI1 1:4 Removed trailing space in v~: wala wasitoe muda wao kwa hadithi za kubuniwa na orodha za majina ya vizazi visivyo na mwisho, ambazo huchochea mabishano badala ya mpango wa Mungu utokanao na imani.

TI1 1:5 Removed trailing space in v~: Kusudi la maagizo haya ni upendo utokao katika moyo safi, dhamiri njema na imani ya kweli.

TI1 1:6 Removed trailing space in v~: Watu wengine wamepotoka kutoka haya na kugeukia majadiliano yasiyo na maana kwa kuwa,

TI1 1:7 Removed trailing space in v~: wanataka kuwa walimu wa sheria, lakini hawajui mambo yale wanayosema wala hayo wanayoyatumainia kwa uthabiti.

TI1 1:8 Removed trailing space in v~: Tunajua kwamba sheria ni njema ikiwa inatumika kwa halali kama ilivyokusudiwa.

TI1 1:9 Removed trailing space in v~: Lakini tunajua ya kuwa sheria si kwa ajili ya wenye haki, bali kwa ajili ya wavunja sheria na waasi, kwa ajili ya wasiomcha Mungu na wenye dhambi, wasio watakatifu na wanaokufuru; kwa wale wawauao baba zao au mama zao, kwa wauaji,

TI1 1:10 Removed trailing space in v~: kwa wazinzi na wahanithi, kwa wale wauzao watu, na kwa waongo na waapao kwa uongo, na kwa chochote kingine kilicho kinyume na mafundisho ya kweli,

TI1 1:11 Removed trailing space in v~: ambayo yanakubaliana na Injili ya utukufu wa Mungu anayehimidiwa, ambayo mimi nimewekewa amana.

TI1 1:11 Removed trailing space in s1: Neema Ya Mungu Kwa Paulo

TI1 1:12 Removed trailing space in v~: Namshukuru Kristo Yesu Bwana wetu, aliyenitia nguvu, kwa sababu aliniona mwaminifu, akaniteua kwa kazi yake.

TI1 1:13 Removed trailing space in v~: Ingawa wakati fulani nilikuwa mwenye kukufuru, mtesaji na mwenye jeuri, lakini nilipata rehema kwa sababu nilitenda hivyo kwa kutojua na kutoamini kwangu.

TI1 1:14 Removed trailing space in v~: Neema ya Bwana wetu ilimiminwa juu yangu kwa wingi, ikiambatana na imani na upendo ulio katika Kristo Yesu.

TI1 1:15 Removed trailing space in v~: Msemo huu ni wa kweli na unaostahili kukubalika, usemao kwamba: Kristo Yesu alikuja ulimwenguni kuokoa wenye dhambi, ambao mimi ndiye niliye mbaya kuliko wote.

TI1 1:16 Removed trailing space in v~: Lakini kwa sababu hiyo nilipata rehema, ili katika mimi, niliyekuwa mwenye dhambi kuliko wote, Kristo Yesu apate kuonyesha uvumilivu wake usio na kikomo, ili niwe kielelezo kwa wale watakaomwamini na wapate uzima wa milele.

TI1 1:17 Removed trailing space in v~: Basi Mfalme wa milele, asiye na mwisho, asiyeonekana, aliye Mungu pekee, apewe heshima na utukufu milele na milele. Amen.

TI1 1:18 Removed trailing space in v~: Mwanangu Timotheo, ninakupa agizo hili, kwa kadiri ya maneno ya unabii yaliyosemwa kukuhusu, ili kwa kuyafuata upate kupigana vita vizuri,

TI1 1:19 Removed trailing space in v~: ukiishikilia imani na dhamiri njema, ambazo wengine wamevikataa, na hivyo wakaangamia kwa habari ya imani yao.

TI1 1:20 Removed trailing space in v~: Miongoni mwao wako Himenayo na Aleksanda, ambao nimemkabidhi Shetani ili wafundishwe wasije wakakufuru.

TI1 2:0 Extra space after chapter number

TI1 2:0 Removed trailing space in c: 2

TI1 2:0 Removed trailing space in s1: Maagizo Kuhusu Kuabudu

TI1 2:1 Removed trailing space in v~: Awali ya yote, nasihi kwamba dua, sala, maombezi na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote:

TI1 2:2 Removed trailing space in v~: kwa ajili ya wafalme na wale wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi kwa amani na utulivu, katika uchaji wote wa Mungu na utakatifu.

TI1 2:3 Removed trailing space in v~: Jambo hili ni jema, tena linapendeza machoni pa Mungu Mwokozi wetu,

TI1 2:4 Removed trailing space in v~: anayetaka watu wote waokolewe na wafikie kuijua kweli.

TI1 2:5 Removed trailing space in v~: Kwa maana kuna Mungu mmoja na mpatanishi mmoja kati ya Mungu na wanadamu, yaani mwanadamu Kristo Yesu,

TI1 2:6 Removed trailing space in v~: aliyejitoa mwenyewe kuwa fidia kwa ajili ya wanadamu wote: jambo hili lilishuhudiwa kwa wakati wake ufaao.

TI1 2:7 Removed trailing space in v~: Nami kwa kusudi hili nimewekwa niwe mhubiri na mtume (nasema kweli katika Kristo wala sisemi uongo), mwalimu wa watu wa Mataifa katika imani na kweli.

TI1 2:8 Removed trailing space in v~: Nataka kila mahali wanaume wasali wakiinua mikono mitakatifu pasipo hasira wala kugombana.

TI1 2:9 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa,

TI1 2:10 Removed trailing space in v~: bali kwa matendo mazuri kama iwapasavyo wanawake wanaokiri kuwa wanamcha Mungu.

TI1 2:11 Removed trailing space in v~: Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utiifu wote.

TI1 2:12 Removed trailing space in v~: Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya.

TI1 2:13 Removed trailing space in v~: Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva.

TI1 2:14 Removed trailing space in v~: Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji.

TI1 2:15 Removed trailing space in v~: Lakini mwanamke ataokolewa kwa kuzaa kwake, kama wakiendelea kudumu katika imani, upendo na utakatifu, pamoja na kuwa na kiasi.

TI1 3:0 Extra space after chapter number

TI1 3:0 Removed trailing space in c: 3

TI1 3:0 Removed trailing space in s1: Sifa Za Waangalizi

TI1 3:1 Removed trailing space in v~: Hili ni neno la kuaminiwa, kwamba mtu akitamani kazi ya uangalizi, atamani kazi nzuri.

TI1 3:2 Removed trailing space in v~: Basi, imempasa mwangalizi awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi, anayejitawala, anayeheshimika, mkarimu, ajuaye kufundisha,

TI1 3:3 Removed trailing space in v~: asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha.

TI1 3:4 Removed trailing space in v~: Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia.

TI1 3:5 Removed trailing space in v~: (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu?)

TI1 3:6 Removed trailing space in v~: Asiwe mtu aliyeokoka karibuni asije akajivuna na kuangukia kwenye hukumu ile ile ya ibilisi.

TI1 3:7 Removed trailing space in v~: Inampasa pia awe na sifa njema kwa watu walio nje, ili asije akalaumiwa na kuanguka kwenye mtego wa ibilisi.

TI1 3:7 Removed trailing space in s1: Sifa Za Mashemasi

TI1 3:8 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, mashemasi nao wawe watu wanaostahili heshima, wasiwe wenye kauli mbili au wenye kujifurahisha kwa mvinyo, wala wanaotamani faida isiyo halali.

TI1 3:9 Removed trailing space in v~: Inawapasa kushikamana sana na ile siri ya imani kwa dhamiri safi.

TI1 3:10 Removed trailing space in v~: Ni lazima wapimwe kwanza; kisha kama hakuna neno dhidi yao, basi na waruhusiwe kuhudumu kama mashemasi.

TI1 3:11 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, wake zao wawe wanawake wanaostahili heshima, wasio wasingiziaji, bali wawe na kiasi na waaminifu katika kila jambo.

TI1 3:12 Removed trailing space in v~: Shemasi awe mume wa mke mmoja na inampasa aweze kusimamia watoto wake na watu wa nyumbani mwake vyema.

TI1 3:13 Removed trailing space in v~: Wale ambao wamehudumu vyema katika huduma ya ushemasi hujipatia msimamo bora na ujasiri mkubwa katika imani yao ndani ya Kristo Yesu.

TI1 3:14 Removed trailing space in v~: Ingawa ninatarajia kuja kwako hivi karibuni, ninakuandikia maagizo haya sasa ili kwamba,

TI1 3:15 Removed trailing space in v~: kama nikikawia, utajua jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu, ambayo ndiyo kanisa la Mungu aliye hai, lililo nguzo na msingi wa kweli.

TI1 3:16 Removed trailing space in v~: Bila shaka yoyote, siri ya utauwa ni kubwa:

TI1 3:16 Removed trailing space in p~: Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu,

TI1 3:16 Removed trailing space in p~: akathibitishwa kuwa na haki katika Roho,

TI1 3:16 Removed trailing space in p~: akaonekana na malaika,

TI1 3:16 Removed trailing space in p~: akahubiriwa miongoni mwa mataifa,

TI1 3:16 Removed trailing space in p~: akaaminiwa ulimwenguni,

TI1 3:16 Removed trailing space in p~: akachukuliwa juu katika utukufu.

TI1 4:0 Extra space after chapter number

TI1 4:0 Removed trailing space in c: 4

TI1 4:0 Removed trailing space in s1: Maagizo Kwa Timotheo

TI1 4:1 Removed trailing space in v~: Roho asema waziwazi kwamba katika siku za mwisho baadhi ya watu wataiacha imani na kufuata roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani.

TI1 4:2 Removed trailing space in v~: Mafundisho kama hayo huja kupitia kwa waongo ambao ni wanafiki, hali dhamiri zao zikiungua kwa kuchomwa moto.

TI1 4:3 Removed trailing space in v~: Wao huwakataza watu wasioe na kuwaagiza wajiepushe na vyakula fulani, ambavyo Mungu aliviumba ili vipokewe kwa shukrani na wale wanaoamini na kuijua kweli.

TI1 4:4 Removed trailing space in v~: Kwa maana kila kitu alichokiumba Mungu ni chema, wala hakuna kitu chochote cha kukataliwa kama kikipokewa kwa shukrani,

TI1 4:5 Removed trailing space in v~: kwa sababu kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.

TI1 4:5 Removed trailing space in s1: Mtumishi Mwema Wa Yesu Kristo

TI1 4:6 Removed trailing space in v~: Kama ukiwakumbusha ndugu mambo haya, utakuwa mtumishi mwema wa Kristo Yesu, uliyelelewa katika kweli ya imani na yale mafundisho mazuri uliyoyafuata.

TI1 4:7 Removed trailing space in v~: Usijishughulishe kamwe na hadithi za kipagani na masimulizi ya uongo ya wanawake wazee; badala yake, jizoeze kuwa mtauwa.

TI1 4:8 Removed trailing space in v~: Kwa maana mazoezi ya mwili yana faida kwa sehemu, lakini utauwa una faida katika mambo yote, yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa na ya ule ujao.

TI1 4:9 Removed trailing space in v~: Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa,

TI1 4:10 Removed trailing space in v~: (nasi kwa ajili ya hili tunajitaabisha na kujitahidi), kwamba tumeweka tumaini letu kwa Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, hasa wale waaminio.

TI1 4:11 Removed trailing space in v~: Mambo haya yaagize na kuyafundisha.

TI1 4:12 Removed trailing space in v~: Mtu yeyote asikudharau kwa kuwa wewe ni kijana, bali uwe kielelezo kizuri kwa waumini katika usemi, mwenendo, upendo, imani na usafi.

TI1 4:13 Removed trailing space in v~: Fanya bidii kusoma Maandiko hadharani, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.

TI1 4:14 Removed trailing space in v~: Usiache kutumia kipawa kilicho ndani yako, ambacho ulipewa kwa neno la unabii wakati wazee walikuwekea mikono.

TI1 4:15 Removed trailing space in v~: Uwe na bidii katika mambo haya; ujitolee kwa ajili ya mambo haya kikamilifu, ili kila mtu aone kuendelea kwako.

TI1 4:16 Removed trailing space in v~: Jilinde sana nafsi yako na mafundisho yako. Dumu katika hayo, kwa maana kwa kufanya hivyo, utajiokoa wewe mwenyewe pamoja na wale wanaokusikia.

TI1 5:0 Extra space after chapter number

TI1 5:0 Removed trailing space in c: 5

TI1 5:0 Removed trailing space in s1: Maagizo Kuhusu Wajane, Wazee Na Watumwa

TI1 5:1 Removed trailing space in v~: Usimkemee mzee kwa ukali bali umshawishi kama vile angekuwa ni baba yako. Uwatendee vijana kama vile ndugu zako;

TI1 5:2 Removed trailing space in v~: nao wanawake wazee uwatendee kama mama zako, na wanawake vijana kama dada zako, katika usafi wote.

TI1 5:3 Removed trailing space in v~: Waheshimu wanawake wajane ambao ni wajane kweli kweli.

TI1 5:4 Removed trailing space in v~: Kama mjane ana watoto ama wajukuu, hawa inawapasa awali ya yote wajifunze kutimiza wajibu wao wa kumcha Mungu katika matendo kwa kuwatunza wale wa jamaa zao wenyewe, na hivyo wawarudishie wema waliowatendea wazazi wao, kwa kuwa hivi ndivyo impendezavyo Mungu.

TI1 5:5 Removed trailing space in v~: Mwanamke ambaye ni mjane kweli kweli, yaani, yeye aliyebaki peke yake huweka tumaini lake kwa Mungu naye hudumu katika maombi usiku na mchana akimwomba Mungu ili amsaidie.

TI1 5:6 Removed trailing space in v~: Lakini mjane aishiye kwa anasa amekufa, ingawa anaishi.

TI1 5:7 Removed trailing space in v~: Wape watu maagizo haya pia, ili asiwepo yeyote wa kulaumiwa.

TI1 5:8 Removed trailing space in v~: Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.

TI1 5:9 Removed trailing space in v~: Mjane yeyote asiwekwe kwenye orodha ya wajane isipokuwa awe ametimiza umri wa miaka sitini, na ambaye alikuwa mke wa mume mmoja,

TI1 5:10 Removed trailing space in v~: awe ameshuhudiwa kwa matendo yake mema, aliyewalea watoto wake vizuri, aliye mkarimu, aliyewanawisha watakatifu miguu, aliyewasaidia wenye shida na aliyejitolea kwa ajili ya matendo mema ya kila namna.

TI1 5:11 Removed trailing space in v~: Lakini kwa habari za wajane vijana usiwaweke kwenye orodha hiyo, maana tamaa zao za kimaumbile zikizidi kule kujitoa kwao kwa Kristo, watataka kuolewa tena.

TI1 5:12 Removed trailing space in v~: Nao kwa njia hiyo watajiletea hukumu kwa kukiuka ahadi yao ya kwanza.

TI1 5:13 Removed trailing space in v~: Zaidi ya hayo, wajane kama hao huwa na tabia ya uvivu wakizurura nyumba kwa nyumba, wala hawawi wavivu tu, bali pia huwa wasengenyaji, wajiingizao katika mambo yasiyowahusu na kusema mambo yasiyowapasa kusema.

TI1 5:14 Removed trailing space in v~: Hivyo nawashauri wajane vijana waolewe, wazae watoto na wasimamie nyumba zao, wasije wakampa adui nafasi ya kutushutumu.

TI1 5:15 Removed trailing space in v~: Kwa maana kwa kweli wajane wengine wamepotoka ili kumfuata Shetani.

TI1 5:16 Removed trailing space in v~: Lakini kama mwanamke yeyote aaminiye ana wajane katika jamaa yake, inampasa awasaidie wala si kuwaacha wakililemea kanisa, ili kanisa liweze kuwasaidia wale ambao ni wajane kweli kweli.

TI1 5:16 Removed trailing space in s1: Wazee Wa Kanisa

TI1 5:17 Removed trailing space in v~: Wazee wa kanisa wanaoongoza shughuli za kanisa vizuri wanastahili heshima mara mbili, hasa wale ambao kazi yao ni kuhubiri na kufundisha.

TI1 5:18 Removed trailing space in v~: Kwa maana Maandiko husema, “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka,” tena, “Mfanyakazi anastahili mshahara wake.”

TI1 5:19 Removed trailing space in v~: Usiendekeze mashtaka dhidi ya mzee isipokuwa yawe yameletwa na mashahidi wawili au watatu.

TI1 5:20 Removed trailing space in v~: Wale wanaodumu katika dhambi uwakemee hadharani, ili wengine wapate kuogopa.

TI1 5:21 Removed trailing space in v~: Ninakuagiza mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu na mbele za malaika wateule, shika maagizo haya pasipo ubaguzi wala upendeleo.

TI1 5:22 Removed trailing space in v~: Usiwe na haraka kumwekea mtu mikono wala usishiriki dhambi za watu wengine. Jilinde nafsi yako uwe safi.

TI1 5:23 Removed trailing space in v~: Acha kunywa maji peke yake, tumia divai kidogo kwa sababu ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara.

TI1 5:24 Removed trailing space in v~: Dhambi za watu wengine ni dhahiri nazo zinawatangulia kwenda hukumuni; na dhambi za watu wengine zinawafuata nyuma yao.

TI1 5:25 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, matendo mema yako dhahiri, na hata yale ambayo si mema hayawezi kufichika.

TI1 6:0 Extra space after chapter number

TI1 6:0 Removed trailing space in c: 6

TI1 6:0 Removed trailing space in s1: Watumwa

TI1 6:1 Removed trailing space in v~: Wale wote walio chini ya kongwa la utumwa inawapasa kuwahesabu mabwana zao kuwa wanastahili heshima yote, ili jina la Mungu lisitukanwe wala mafundisho yetu.

TI1 6:2 Removed trailing space in v~: Wale watumwa ambao wana mabwana waaminio, haiwapasi kupunguza heshima yao kwa sababu wao ni ndugu. Badala yake, wawatumikie hata vizuri zaidi, kwa sababu wale wanaonufaika na huduma yao ni waaminio, ambao ni wapenzi wao. Fundisha mambo haya na uwahimize kuyafuata.

TI1 6:2 Removed trailing space in s1: Mafundisho Ya Uongo Na Utajiri Wa Kweli

TI1 6:3 Removed trailing space in v~: Ikiwa mtu yeyote atafundisha mafundisho mapotovu wala hakubaliani na mafundisho manyofu ya Bwana wetu Yesu Kristo na yale ya utauwa,

TI1 6:4 Removed trailing space in v~: huyo amejivuna wala hajui kitu chochote. Yeye amejaa tamaa ya mabishano na ugomvi kuhusu maneno ambavyo matokeo yake ni wivu na mapigano, maneno ya ukorofi, shuku mbaya,

TI1 6:5 Removed trailing space in v~: na kuzozana kusikokoma kati ya watu walioharibika akili zao, walioikosa kweli, na ambao hudhani kwamba utauwa ni njia ya kupata faida.

TI1 6:6 Removed trailing space in v~: Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa.

TI1 6:7 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu.

TI1 6:8 Removed trailing space in v~: Lakini kama tuna chakula na mavazi, tutaridhika navyo.

TI1 6:9 Removed trailing space in v~: Lakini wale watu wanaotamani kuwa na mali kwa haraka huanguka kwenye majaribu, na wamenaswa na tamaa nyingi za kipumbavu zenye kudhuru, zinazowazamisha watu katika uharibifu na maangamizi.

TI1 6:10 Removed trailing space in v~: Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.

TI1 6:10 Removed trailing space in s1: Vitu Vizuri Vya Imani

TI1 6:11 Removed trailing space in v~: Lakini wewe, mtu wa Mungu, yakimbie mambo haya yote. Fuata haki, utauwa, imani, upendo, saburi na upole.

TI1 6:12 Removed trailing space in v~: Pigana vile vita vizuri vya imani. Shika uzima wa milele ambao ndio ulioitiwa ulipokiri ule ukiri mzuri mbele ya mashahidi wengi.

TI1 6:13 Removed trailing space in v~: Nakuagiza mbele za Mungu avipaye vitu vyote uhai, na mbele za Kristo Yesu ambaye alipokuwa anashuhudia mbele ya Pontio Pilato alikiri ukiri mzuri,

TI1 6:14 Removed trailing space in v~: uishike amri hii bila dosari wala lawama mpaka kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo,

TI1 6:15 Removed trailing space in v~: ambaye Mungu atamleta kwa wakati wake mwenyewe: yeye ahimidiwaye, aliye peke yake Mtawala, Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana,

TI1 6:16 Removed trailing space in v~: yeye peke yake ambaye hapatikani na mauti, na anakaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa, ambaye hakuna mwanadamu aliyemwona wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye milele. Amen.

TI1 6:17 Removed trailing space in v~: Waagize wale ambao ni matajiri wa ulimwengu huu waache kujivuna, wala wasiweke tumaini lao katika mali ambayo si ya hakika, bali waweke tumaini lao katika Mungu ambaye hutupatia vitu vyote kwa wingi ili tuvifurahie.

TI1 6:18 Removed trailing space in v~: Waagize watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, pia wawe wakarimu na walio tayari kushiriki mali zao na wengine.

TI1 6:19 Removed trailing space in v~: Kwa njia hii watajiwekea hazina kama msingi kwa ajili ya wakati ujao na hivyo watajipatia uzima, yaani, ule uzima ambao ni wa kweli.

TI1 6:19 Removed trailing space in s1: Maelekezo Ya Binafsi Na Maombi Ya Baraka

TI1 6:20 Removed trailing space in v~: Timotheo, linda kile kilichowekwa amana kwako. Epuka majadiliano yasiyo ya utauwa na mabishano ambayo kwa uongo huitwa elimu,

TI1 6:21 Removed trailing space in v~: ambayo wengine kwa kujidai kuwa nayo wameiacha imani.

TI1 6:21 Removed trailing space in p~: Neema iwe nanyi. Amen.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 6    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 39    q1: 3    q2: 3    rem: 1    s1: 13    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 184    v: 113  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    q1: 3    q2: 3    c: 6    s1: 13    p: 39    v: 113    Total: 184  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 6    Paragraphs: 39    Verses: 113  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 6    Paragraphs: 39    Verses: 113  

Characters

All Character Counts

 ,: 1    0: 9    1: 70    2: 23    3: 14    4: 14    5: 14    6: 12    7: 9    8: 9    9: 9    a: 55    b: 2    B: 2    D: 1    d: 3    e: 19    f: 4    g: 7    h: 11    i: 32    I: 1    j: 2    K: 8    k: 2    l: 5    m: 15    M: 11    n: 10    N: 4    o: 24    P: 1    r: 4    s: 10    S: 2    Space: 47    T: 6    t: 11    Total: 544    u: 20    U: 3    V: 3    W: 11    w: 6    y: 2    Y: 6    z: 8    Z: 2  

All Character Counts (sorted by count)

 D: 1    P: 1    ,: 1    I: 1    y: 2    b: 2    S: 2    Z: 2    j: 2    k: 2    B: 2    d: 3    U: 3    V: 3    N: 4    f: 4    r: 4    l: 5    T: 6    Y: 6    w: 6    g: 7    K: 8    z: 8    7: 9    8: 9    9: 9    0: 9    n: 10    s: 10    t: 11    h: 11    M: 11    W: 11    6: 12    3: 14    4: 14    5: 14    m: 15    e: 19    u: 20    2: 23    o: 24    i: 32    Space: 47    a: 55    1: 70    Total: 544  

Letter Counts

 a: 55    b: 2    B: 2    D: 1    d: 3    e: 19    f: 4    g: 7    h: 11    i: 32    I: 1    j: 2    K: 8    k: 2    l: 5    m: 15    M: 11    n: 10    N: 4    o: 24    P: 1    r: 4    s: 10    S: 2    Space: 47    T: 6    t: 11    Total: 360    u: 20    U: 3    V: 3    W: 11    w: 6    y: 2    Y: 6    z: 8    Z: 2  

Letter Counts (sorted by count)

 D: 1    P: 1    I: 1    y: 2    b: 2    S: 2    Z: 2    j: 2    k: 2    B: 2    d: 3    U: 3    V: 3    N: 4    f: 4    r: 4    l: 5    T: 6    Y: 6    w: 6    g: 7    K: 8    z: 8    n: 10    s: 10    t: 11    h: 11    M: 11    W: 11    m: 15    e: 19    u: 20    o: 24    i: 32    Space: 47    a: 55    Total: 360  

Punctuation Counts

 ,: 1    Total: 1  

Punctuation Counts (sorted by count)

 ,: 1    Total: 1  

Words

All Word Counts

 --Total--: 61    1Tim: 1    Baraka: 1    Binafsi: 1    Dhidi: 1    Imani: 1    Kanisa: 1    Kristo: 1    Kuabudu: 1    Kuhusu: 2    Kwa: 2    Kweli: 1    Maagizo: 3    Maelekezo: 1    Mafundisho: 1    Maombi: 1    Maonyo: 1    Mashemasi: 1    Mtumishi: 1    Mungu: 1    Mwema: 1    Na: 3    Neema: 1    Paulo: 1    Sifa: 2    Timotheo: 5    Uongo: 2    Utajiri: 1    Vitu: 1    Vizuri: 1    Vya: 1    Wa: 4    Waangalizi: 1    Wajane: 1    Walimu: 1    Watumwa: 2    Wazee: 2    Ya: 5    Yesu: 1    Za: 2  

All Word Counts (sorted by count)

 1Tim: 1    Maonyo: 1    Dhidi: 1    Walimu: 1    Neema: 1    Mungu: 1    Paulo: 1    Kuabudu: 1    Waangalizi: 1    Mashemasi: 1    Mtumishi: 1    Mwema: 1    Yesu: 1    Kristo: 1    Wajane: 1    Kanisa: 1    Mafundisho: 1    Utajiri: 1    Kweli: 1    Vitu: 1    Vizuri: 1    Vya: 1    Imani: 1    Maelekezo: 1    Binafsi: 1    Maombi: 1    Baraka: 1    Uongo: 2    Kwa: 2    Kuhusu: 2    Sifa: 2    Za: 2    Wazee: 2    Watumwa: 2    Maagizo: 3    Na: 3    Wa: 4    Timotheo: 5    Ya: 5    --Total--: 61  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 61    1tim: 1    baraka: 1    binafsi: 1    dhidi: 1    imani: 1    kanisa: 1    kristo: 1    kuabudu: 1    kuhusu: 2    kwa: 2    kweli: 1    maagizo: 3    maelekezo: 1    mafundisho: 1    maombi: 1    maonyo: 1    mashemasi: 1    mtumishi: 1    mungu: 1    mwema: 1    na: 3    neema: 1    paulo: 1    sifa: 2    timotheo: 5    uongo: 2    utajiri: 1    vitu: 1    vizuri: 1    vya: 1    wa: 4    waangalizi: 1    wajane: 1    walimu: 1    watumwa: 2    wazee: 2    ya: 5    yesu: 1    za: 2  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 1tim: 1    maonyo: 1    dhidi: 1    walimu: 1    neema: 1    mungu: 1    paulo: 1    kuabudu: 1    waangalizi: 1    mashemasi: 1    mtumishi: 1    mwema: 1    yesu: 1    kristo: 1    wajane: 1    kanisa: 1    mafundisho: 1    utajiri: 1    kweli: 1    vitu: 1    vizuri: 1    vya: 1    imani: 1    maelekezo: 1    binafsi: 1    maombi: 1    baraka: 1    uongo: 2    kwa: 2    kuhusu: 2    sifa: 2    za: 2    wazee: 2    watumwa: 2    maagizo: 3    na: 3    wa: 4    timotheo: 5    ya: 5    --Total--: 61  

Headings

Title Lines

TI1 -1:6 Main Title 1:1 Timotheo

Section Heading Lines

TI1 1:2Maonyo Dhidi Ya Walimu Wa Uongo
TI1 1:11Neema Ya Mungu Kwa Paulo
TI1 2:0Maagizo Kuhusu Kuabudu
TI1 3:0Sifa Za Waangalizi
TI1 3:7Sifa Za Mashemasi
TI1 4:0Maagizo Kwa Timotheo
TI1 4:5Mtumishi Mwema Wa Yesu Kristo
TI1 5:0Maagizo Kuhusu Wajane, Wazee Na Watumwa
TI1 5:16Wazee Wa Kanisa
TI1 6:0Watumwa
TI1 6:2Mafundisho Ya Uongo Na Utajiri Wa Kweli
TI1 6:10Vitu Vizuri Vya Imani
TI1 6:19Maelekezo Ya Binafsi Na Maombi Ya Baraka