Freely-Given.org Bible TI2 Checks

<Up>

Priority Errors

Extra space after chapter number in TI2 2:0

Showing 1 out of 85 priority errors

Fix Text Errors

TI2 2:0 Extra space after chapter number

TI2 2:0 Removed trailing space in c: 2

TI2 2:0 Removed trailing space in s1: Askari Mwema Wa Kristo Yesu

TI2 2:1 Removed trailing space in v~: Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu.

TI2 2:2 Removed trailing space in v~: Nayo mambo yale uliyonisikia nikiyasema mbele ya mashahidi wengi, uwakabidhi watu waaminifu watakaoweza kuwafundisha watu wengine vilevile.

TI2 2:3 Removed trailing space in v~: Vumilia taabu pamoja nasi kama askari mwema wa Kristo Yesu.

TI2 2:4 Removed trailing space in v~: Hakuna askari yeyote ambaye akiwa vitani hujishughulisha na mambo ya kawaida ya maisha haya kwa sababu nia yake ni kumpendeza yule aliyemwandika awe askari.

TI2 2:5 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, yeye ashindanaye katika michezo hawezi kupewa tuzo ya ushindi asiposhindana kulingana na kanuni za mashindano.

TI2 2:6 Removed trailing space in v~: Mkulima mwenye bidii ya kazi ndiye anayestahili kuwa wa kwanza kupata fungu la mavuno.

TI2 2:7 Removed trailing space in v~: Fikiri sana kuhusu haya nisemayo, kwa maana Bwana atakupa ufahamu katika mambo hayo yote.

TI2 2:8 Removed trailing space in v~: Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, yeye aliye wa uzao wa Daudi. Hii ndiyo Injili yangu,

TI2 2:9 Removed trailing space in v~: ambayo kwayo ninateseka hata kufikia hatua ya kufungwa minyororo kama mhalifu. Lakini neno la Mungu halifungwi.

TI2 2:10 Removed trailing space in v~: Kwa hiyo ninavumilia mambo yote kwa ajili ya wateule wa Mungu, kusudi wao nao wapate wokovu ulio katika Kristo Yesu, pamoja na utukufu wa milele.

TI2 2:11 Removed trailing space in v~: Hili ni neno la kuaminiwa:

TI2 2:11 Removed trailing space in p~: Kwa maana kama tumekufa pamoja naye,

TI2 2:11 Removed trailing space in p~: tutaishi pia pamoja naye.

TI2 2:12 Removed trailing space in v~: Kama tukistahimili,

TI2 2:12 Removed trailing space in p~: pia tutatawala pamoja naye.

TI2 2:12 Removed trailing space in p~: Kama tukimkana yeye,

TI2 2:12 Removed trailing space in p~: naye atatukana sisi.

TI2 2:13 Removed trailing space in v~: Kama tusipoamini,

TI2 2:13 Removed trailing space in p~: yeye hudumu kuwa mwaminifu,

TI2 2:13 Removed trailing space in p~: kwa maana hawezi kujikana mwenyewe.

TI2 2:13 Removed trailing space in s1: Mfanyakazi Aliyekubaliwa Na Mungu

TI2 2:14 Removed trailing space in v~: Endelea kuwakumbusha mambo haya ukiwaonya mbele za Bwana waache kushindana kwa maneno ambayo hayana faida yoyote bali huwaangamiza tu wale wanaoyasikia.

TI2 2:15 Removed trailing space in v~: Jitahidi kujionyesha kwa Mungu kuwa umekubaliwa naye, mtendakazi asiye na sababu ya kuona aibu, ukilitumia kwa usahihi neno la kweli.

TI2 2:16 Removed trailing space in v~: Jiepushe na maneno mabaya, yasiyo na maana, yasiyo ya utauwa, kwa maana hayo huzidi kuwatosa watu katika kukosa heshima kwa Mungu.

TI2 2:17 Removed trailing space in v~: Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto

TI2 2:18 Removed trailing space in v~: ambao wameiacha kweli, wakisema kwamba ufufuo wa wafu umekwisha kuwako, nao huharibu imani ya baadhi ya watu.

TI2 2:19 Removed trailing space in v~: Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, ukiwa na muhuri wenye maandishi haya: “Bwana anawajua walio wake”; tena, “Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu.”

TI2 2:20 Removed trailing space in v~: Katika nyumba kubwa si kwamba kuna vyombo vya dhahabu na fedha tu, bali pia vimo vyombo vya miti na vya udongo; vingine kwa matumizi maalum, na vingine kwa matumizi ya kawaida.

TI2 2:21 Removed trailing space in v~: Basi ikiwa mtu amejitakasa na kujitenga na hayo niliyoyataja, atakuwa chombo maalum, kilichotengwa na ambacho kinamfaa mwenye nyumba, kimeandaliwa tayari kwa kila kazi njema.

TI2 2:22 Removed trailing space in v~: Zikimbie tamaa mbaya za ujana, ufuate haki, imani, upendo na amani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi.

TI2 2:23 Removed trailing space in v~: Jiepushe na mabishano ya kipumbavu na yasiyo na maana, kwa kuwa wajua ya kwamba hayo huzaa magomvi.

TI2 2:24 Removed trailing space in v~: Tena haimpasi mtumishi wa Bwana kuwa mgomvi, bali inampasa awe mwema kwa kila mtu, awezaye kufundisha, tena mvumilivu.

TI2 2:25 Removed trailing space in v~: Inampasa kuwaonya kwa upole wale wanaopingana naye, kwa matumaini kwamba Mungu atawajalia kutubu na kuijua kweli,

TI2 2:26 Removed trailing space in v~: ili fahamu zao ziwarudie tena, nao waponyoke katika mtego wa ibilisi ambaye amewateka wapate kufanya mapenzi yake.

TI2 3:0 Extra space after chapter number

TI2 3:0 Removed trailing space in c: 3

TI2 3:0 Removed trailing space in s1: Hatari Za Siku Za Mwisho

TI2 3:1 Removed trailing space in v~: Lakini yakupasa ufahamu jambo hili, kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari.

TI2 3:2 Removed trailing space in v~: Kwa maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kumkufuru Mungu, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio watakatifu,

TI2 3:3 Removed trailing space in v~: wasio na upendo, wasiopenda kupatanishwa, wasingiziaji, wasiozuia tamaa zao, wakatili, wasiopenda mema,

TI2 3:4 Removed trailing space in v~: wasaliti, wakaidi, waliojaa majivuno, wapendao anasa zaidi kuliko kumpenda Mungu:

TI2 3:5 Removed trailing space in v~: wakiwa na mfano wa utauwa kwa nje, lakini wakizikana nguvu za Mungu. Jiepushe na watu wa namna hiyo.

TI2 3:6 Removed trailing space in v~: Miongoni mwao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu na kuwachukua mateka wanawake wajinga, waliolemewa na dhambi zao na kuyumbishwa na aina zote za tamaa mbaya.

TI2 3:7 Removed trailing space in v~: Wakijifunza siku zote lakini kamwe wasiweze kufikia ujuzi wa kweli.

TI2 3:8 Removed trailing space in v~: Kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Mose, vivyo hivyo watu hawa hupingana na ile kweli. Hawa ni watu wenye akili zilizopotoka, ambao wamekataliwa kwa mambo ya imani.

TI2 3:9 Removed trailing space in v~: Lakini hawataendelea sana, kwa sababu upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote, kama ulivyokuwa dhahiri upumbavu wa hao watu wawili.

TI2 3:9 Removed trailing space in s1: Paulo Amwagiza Timotheo

TI2 3:10 Removed trailing space in v~: Lakini wewe umeyajua mafundisho yangu, mwenendo, makusudi, imani, uvumilivu, upendo, ustahimilivu,

TI2 3:11 Removed trailing space in v~: mateso na taabu, yaani mambo yote yaliyonipata huko Antiokia, Ikonio na Listra, mateso yote niliyostahimili, lakini Bwana aliniokoa katika hayo yote.

TI2 3:12 Removed trailing space in v~: Naam, yeyote anayetaka kuishi maisha ya utauwa ndani ya Kristo Yesu atateswa.

TI2 3:13 Removed trailing space in v~: Lakini watu waovu na wadanganyaji watazidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika.

TI2 3:14 Removed trailing space in v~: Bali wewe, udumu katika yale uliyojifunza na kuyaamini kwa uthabiti, ukitambua ya kuwa ulijifunza hayo kutoka kwa nani,

TI2 3:15 Removed trailing space in v~: na jinsi ambavyo tangu utoto umeyajua Maandiko matakatifu, ambayo yanaweza kukuhekimisha upate wokovu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu.

TI2 3:16 Removed trailing space in v~: Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki,

TI2 3:17 Removed trailing space in v~: ili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.

TI2 4:0 Extra space after chapter number

TI2 4:0 Removed trailing space in c: 4

TI2 4:0 Removed trailing space in s1: Maagizo Ya Mwisho

TI2 4:1 Removed trailing space in v~: Nakuagiza mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu, atakayewahukumu watu walio hai na waliokufa wakati wa kuja kwake na ufalme wake, kwamba:

TI2 4:2 Removed trailing space in v~: Hubiri Neno; kuwa tayari wakati ufaao na wakati usiofaa; karipia, kemea na utie moyo kwa uvumilivu wote na kwa mafundisho mazuri.

TI2 4:3 Removed trailing space in v~: Maana wakati utakuja watu watakapokataa kuyakubali mafundisho yenye uzima. Badala yake, ili kutimiza tamaa zao wenyewe, watajikusanyia idadi kubwa ya walimu wapate kuwaambia yale ambayo masikio yao yanayowasha yanatamani kuyasikia.

TI2 4:4 Removed trailing space in v~: Watakataa kusikiliza kweli na kuzigeukia hadithi za uongo.

TI2 4:5 Removed trailing space in v~: Kwa habari yako wewe, vumilia mateso, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza wajibu wote wa huduma yako.

TI2 4:6 Removed trailing space in v~: Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia.

TI2 4:7 Removed trailing space in v~: Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda.

TI2 4:8 Removed trailing space in v~: Sasa nimewekewa taji ya haki ambayo Bwana, mwamuzi wa haki, atanitunukia siku ile: wala si mimi tu, bali pia wote ambao wamengoja kwa shauku kudhihirishwa kwake.

TI2 4:8 Removed trailing space in s1: Maelekezo Ya Binafsi

TI2 4:9 Removed trailing space in v~: Jitahidi kuja kwangu upesi

TI2 4:10 Removed trailing space in v~: kwa sababu Dema, kwa kuupenda ulimwengu, ameniacha na amekwenda Thesalonike. Kreske amekwenda Galatia na Tito amekwenda Dalmatia.

TI2 4:11 Removed trailing space in v~: Ni Luka peke yake aliye hapa pamoja nami. Mtafute Marko uje naye kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu.

TI2 4:12 Removed trailing space in v~: Nimemtuma Tikiko huko Efeso.

TI2 4:13 Removed trailing space in v~: Utakapokuja, niletee lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa na vile vitabu vyangu, hasa vile vya ngozi.

TI2 4:14 Removed trailing space in v~: Aleksanda yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Bwana atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda.

TI2 4:15 Removed trailing space in v~: Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.

TI2 4:16 Removed trailing space in v~: Katika utetezi wangu wa mara ya kwanza, hakuna hata mmoja aliyeniunga mkono, bali kila mmoja aliniacha. Namwomba Mungu wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.

TI2 4:17 Removed trailing space in v~: Lakini Bwana alisimama upande wangu akanitia nguvu, ili kupitia kwangu lile Neno lihubiriwe kwa ukamilifu, watu wote Mataifa wapate kulisikia. Mimi niliokolewa kutoka kinywa cha simba.

TI2 4:18 Removed trailing space in v~: Bwana ataniokoa katika kila shambulio baya na kunileta salama katika Ufalme wake wa mbinguni. Atukuzwe yeye milele na milele. Amen.

TI2 4:18 Removed trailing space in s1: Salamu Za Mwisho

TI2 4:19 Removed trailing space in v~: Wasalimu Prisila\f + \fr 4:19 \ft Prisila kwa Kiyunani ni Priska, hivyo tafsiri nyingine zimemuita Priska.\f* na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo.

TI2 4:20 Removed trailing space in v~: Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.

TI2 4:21 Removed trailing space in v~: Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.

TI2 4:22 Removed trailing space in v~: Bwana awe pamoja na roho yako. Neema iwe pamoja nanyi. Amen.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 c: 4    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 24    q1: 4    q2: 5    rem: 1    s1: 8    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 135    v: 83  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 4    q1: 4    q2: 5    s1: 8    p: 24    v: 83    Total: 135  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 4    Paragraphs: 24    Verses: 83  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 4    Paragraphs: 24    Verses: 83  

Characters

All Character Counts

 0: 6    1: 48    2: 26    3: 10    4: 10    5: 9    6: 9    7: 8    8: 7    9: 6    a: 28    A: 3    b: 1    B: 1    e: 11    f: 2    g: 3    h: 9    H: 1    i: 22    k: 6    K: 2    l: 5    m: 9    M: 9    n: 4    N: 2    o: 19    P: 1    r: 4    S: 3    s: 7    Space: 26    T: 6    t: 8    Total: 361    u: 9    w: 7    W: 1    y: 3    Y: 3    z: 4    Z: 3  

All Character Counts (sorted by count)

 W: 1    b: 1    H: 1    P: 1    B: 1    N: 2    K: 2    f: 2    S: 3    y: 3    A: 3    Y: 3    g: 3    Z: 3    r: 4    n: 4    z: 4    l: 5    T: 6    k: 6    9: 6    0: 6    w: 7    8: 7    s: 7    t: 8    7: 8    m: 9    h: 9    u: 9    M: 9    5: 9    6: 9    3: 10    4: 10    e: 11    o: 19    i: 22    2: 26    Space: 26    a: 28    1: 48    Total: 361  

Letter Counts

 a: 28    A: 3    b: 1    B: 1    e: 11    f: 2    g: 3    h: 9    H: 1    i: 22    k: 6    K: 2    l: 5    m: 9    M: 9    n: 4    N: 2    o: 19    P: 1    r: 4    S: 3    s: 7    Space: 26    T: 6    t: 8    Total: 222    u: 9    w: 7    W: 1    y: 3    Y: 3    z: 4    Z: 3  

Letter Counts (sorted by count)

 W: 1    b: 1    H: 1    P: 1    B: 1    N: 2    K: 2    f: 2    S: 3    y: 3    A: 3    Y: 3    g: 3    Z: 3    r: 4    n: 4    z: 4    l: 5    T: 6    k: 6    w: 7    s: 7    t: 8    m: 9    h: 9    u: 9    M: 9    e: 11    o: 19    i: 22    Space: 26    a: 28    Total: 222  

Words

All Word Counts

 --Total--: 45    2Tim: 1    Aliyekubaliwa: 1    Amwagiza: 1    Askari: 1    Binafsi: 1    Hatari: 1    hivyo: 1    Kiyunani: 1    Kristo: 1    Kutiwa: 1    kwa: 1    Maagizo: 1    Maelekezo: 1    Mfanyakazi: 1    Moyo: 1    Mungu: 1    Mwema: 1    Mwisho: 3    Na: 2    ni: 1    nyingine: 1    Paulo: 1    Prisila: 1    Priska: 2    Salamu: 1    Shukrani: 1    Siku: 1    tafsiri: 1    Timotheo: 5    Wa: 1    Ya: 2    Yesu: 1    Za: 3    zimemuita: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 2Tim: 1    Shukrani: 1    Kutiwa: 1    Moyo: 1    Askari: 1    Mwema: 1    Wa: 1    Kristo: 1    Yesu: 1    Mfanyakazi: 1    Aliyekubaliwa: 1    Mungu: 1    Hatari: 1    Siku: 1    Paulo: 1    Amwagiza: 1    Maagizo: 1    Maelekezo: 1    Binafsi: 1    Salamu: 1    Prisila: 1    kwa: 1    Kiyunani: 1    ni: 1    hivyo: 1    tafsiri: 1    nyingine: 1    zimemuita: 1    Na: 2    Ya: 2    Priska: 2    Za: 3    Mwisho: 3    Timotheo: 5    --Total--: 45  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 45    2tim: 1    aliyekubaliwa: 1    amwagiza: 1    askari: 1    binafsi: 1    hatari: 1    hivyo: 1    kiyunani: 1    kristo: 1    kutiwa: 1    kwa: 1    maagizo: 1    maelekezo: 1    mfanyakazi: 1    moyo: 1    mungu: 1    mwema: 1    mwisho: 3    na: 2    ni: 1    nyingine: 1    paulo: 1    prisila: 1    priska: 2    salamu: 1    shukrani: 1    siku: 1    tafsiri: 1    timotheo: 5    wa: 1    ya: 2    yesu: 1    za: 3    zimemuita: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 2tim: 1    shukrani: 1    kutiwa: 1    moyo: 1    askari: 1    mwema: 1    wa: 1    kristo: 1    yesu: 1    mfanyakazi: 1    aliyekubaliwa: 1    mungu: 1    hatari: 1    siku: 1    paulo: 1    amwagiza: 1    maagizo: 1    maelekezo: 1    binafsi: 1    salamu: 1    prisila: 1    kwa: 1    kiyunani: 1    ni: 1    hivyo: 1    tafsiri: 1    nyingine: 1    zimemuita: 1    na: 2    ya: 2    priska: 2    za: 3    mwisho: 3    timotheo: 5    --Total--: 45  

Headings

Title Lines

TI2 -1:6 Main Title 1:2 Timotheo

Section Heading Lines

TI2 1:2Shukrani Na Kutiwa Moyo
TI2 2:0Askari Mwema Wa Kristo Yesu
TI2 2:13Mfanyakazi Aliyekubaliwa Na Mungu
TI2 3:0Hatari Za Siku Za Mwisho
TI2 3:9Paulo Amwagiza Timotheo
TI2 4:0Maagizo Ya Mwisho
TI2 4:8Maelekezo Ya Binafsi
TI2 4:18Salamu Za Mwisho

Notes

Footnote Lines

TI2 4:19+ \fr 4:19 \ft Prisila kwa Kiyunani ni Priska, hivyo tafsiri nyingine …iska.

Leader Counts

 Footnote leader '+': 1    Footnotes: 1  

Leader Counts (sorted by count)

 Footnotes: 1    Footnote leader '+': 1