Freely-Given.org Bible TIT Checks

<Up>

Priority Errors

Extra space after chapter number in TIT 2:0

Showing 1 out of 38 priority errors

Fix Text Errors

TIT 2:0 Extra space after chapter number

TIT 2:0 Removed trailing space in c: 2

TIT 2:0 Removed trailing space in s1: Fundisha Mafundisho Manyofu

TIT 2:1 Removed trailing space in v~: Inakupasa kufundisha itikadi sahihi.

TIT 2:2 Removed trailing space in v~: Wafundishe wazee kuwa na kiasi, wastahivu, wenye busara na wanyofu katika imani, upendo na saburi.

TIT 2:3 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, wafundishe wanawake wazee kuwa na mwenendo wa utakatifu, wala wasiwe wasingiziaji au walevi, bali wafundishe yale yaliyo mema,

TIT 2:4 Removed trailing space in v~: ili waweze kuwafundisha wanawake vijana kuwa na kiasi, wawapende waume zao na kuwapenda watoto wao,

TIT 2:5 Removed trailing space in v~: wawe waaminifu, watakatifu, wakitunza vyema nyumba zao, wema, watiifu kwa waume zao, ili mtu yeyote asije akalikufuru neno la Mungu.

TIT 2:6 Removed trailing space in v~: Vivyo hivyo, himiza vijana wawe na kiasi.

TIT 2:7 Removed trailing space in v~: Katika kila jambo uwe kielelezo kwa kutenda mema. Katika mafundisho yako uonyeshe uadilifu, utaratibu,

TIT 2:8 Removed trailing space in v~: na usemi sahihi usio na lawama, ili wanaokupinga watahayari, wakose neno lolote baya la kusema juu yetu.

TIT 2:9 Removed trailing space in v~: Wafundishe watumwa kuwatii mabwana zao katika kila jambo, wakijitahidi kuwapendeza wala wasijibizane nao,

TIT 2:10 Removed trailing space in v~: wala wasiwaibie, bali waonyeshe kuwa wanaweza kuaminika kabisa, ili kwa kila namna wayafanye mafundisho ya Mungu Mwokozi wetu yawe ya kuvutia.

TIT 2:11 Removed trailing space in v~: Kwa maana neema ya Mungu ambayo inawaokoa wanadamu wote imefunuliwa.

TIT 2:12 Removed trailing space in v~: Nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, ili tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya utaua katika ulimwengu huu wa sasa,

TIT 2:13 Removed trailing space in v~: huku tukilitazamia tumaini lenye baraka na ufunuo wa utukufu wa Mungu wetu Mkuu, aliye Mwokozi wetu Yesu Kristo.

TIT 2:14 Removed trailing space in v~: Ndiye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe kutoka uovu wote na kujisafishia watu kuwa mali yake Mwenyewe, yaani, wale walio na juhudi katika kutenda mema.

TIT 2:15 Removed trailing space in v~: Basi wewe fundisha mambo haya. Onya na kukaripia kwa mamlaka yote. Mtu yeyote asikudharau.

TIT 3:0 Extra space after chapter number

TIT 3:0 Removed trailing space in c: 3

TIT 3:0 Removed trailing space in s1: Kutenda Mema

TIT 3:1 Removed trailing space in v~: Wakumbushe watu kuwanyenyekea watawala na kuwatii wenye mamlaka, wawe tayari kutenda kila lililo jema.

TIT 3:2 Removed trailing space in v~: Wasimnenee mtu yeyote mabaya, wasiwe wagomvi, bali wawe wapole, wakionyesha unyenyekevu kwa watu wote.

TIT 3:3 Removed trailing space in v~: Maana sisi wenyewe wakati fulani tulikuwa wajinga, wasiotii, tukiwa watumwa wa tamaa mbaya na anasa za kila aina. Tuliishi katika uovu na wivu, tukichukiwa na kuchukiana sisi kwa sisi.

TIT 3:4 Removed trailing space in v~: Lakini wema na upendo wa Mungu Mwokozi wetu ulipofunuliwa,

TIT 3:5 Removed trailing space in v~: alituokoa, si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyotenda, bali kwa sababu ya rehema zake. Alituokoa kwa kutuosha kwa kuzaliwa mara ya pili na kwa kufanywa wapya kwa njia ya Roho Mtakatifu,

TIT 3:6 Removed trailing space in v~: ambaye Mungu alitumiminia kwa wingi kwa njia ya Yesu Kristo Mwokozi wetu,

TIT 3:7 Removed trailing space in v~: ili kwamba, tukiisha kuhesabiwa haki kwa neema yake, tupate kuwa warithi tukiwa na tumaini la uzima wa milele.

TIT 3:8 Removed trailing space in v~: Hili ni neno la kuaminiwa. Nami nataka uyasisitize mambo haya, ili wale ambao wamemwamini Mungu wapate kuwa waangalifu kujitoa kwa ajili ya kutenda mema wakati wote. Mambo haya ni mazuri tena ya manufaa kwa kila mtu.

TIT 3:9 Removed trailing space in v~: Lakini jiepushe na maswali ya kipuzi, mambo ya koo, mabishano na ugomvi kuhusu sheria, kwa sababu hayana faida, tena ni ubatili.

TIT 3:10 Removed trailing space in v~: Mtu anayesababisha mafarakano, mwonye mara ya kwanza, kisha mwonye mara ya pili. Baada ya hapo, usihusike naye tena.

TIT 3:11 Removed trailing space in v~: Kwa kuwa unajua kwamba mtu kama huyo amepotoka na tena ni mwenye dhambi. Yeye amejihukumu mwenyewe.

TIT 3:11 Removed trailing space in s1: Maneno Ya Mwisho Na Kumtamkia Baraka

TIT 3:12 Removed trailing space in v~: Mara nitakapomtuma Artema au Tikiko kwako, jitahidi kuja unione huko Nikopoli, kwa sababu nimeamua kukaa huko wakati wa majira ya baridi.

TIT 3:13 Removed trailing space in v~: Fanya kila uwezalo uwasafirishe Zena yule mwanasheria na Apolo na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji katika safari yao.

TIT 3:14 Removed trailing space in v~: Watu wetu hawana budi kujifunza kutenda mema, ili waweze kuyakimu mahitaji ya kila siku, wasije wakaishi maisha yasiyokuwa na matunda.

TIT 3:15 Removed trailing space in v~: Wote walio pamoja nami wanakusalimu. Wasalimu wale wanaotupenda katika imani.

TIT 3:15 Removed trailing space in p~: Neema iwe nanyi nyote. Amen.

USFMs

Modified Marker List

id rem h toc1 toc2 toc3 mt1
c p v* p v p s1 p v* s1 p v*
c s1 p v* p v* p v* p v* p v* p v
c s1 p v* p v* p v* s1 p v* p v p

All Newline Marker Counts

 c: 3    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 17    rem: 1    s1: 5    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 78    v: 46  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    c: 3    s1: 5    p: 17    v: 46    Total: 78  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 3    Paragraphs: 17    Verses: 46  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Chapters: 3    Paragraphs: 17    Verses: 46  

Characters

All Character Counts

 0: 3    1: 26    2: 7    3: 7    4: 6    5: 6    6: 4    7: 3    8: 3    9: 3    a: 17    B: 1    d: 3    e: 5    F: 1    f: 2    g: 1    H: 1    h: 3    i: 12    K: 4    k: 3    l: 1    m: 4    M: 5    n: 7    N: 1    o: 12    r: 2    s: 3    Space: 14    T: 6    t: 9    Total: 200    u: 7    U: 1    W: 2    w: 1    Y: 2    y: 1    z: 1  

All Character Counts (sorted by count)

 z: 1    H: 1    l: 1    U: 1    g: 1    F: 1    y: 1    w: 1    N: 1    B: 1    Y: 2    r: 2    W: 2    f: 2    k: 3    7: 3    8: 3    9: 3    0: 3    d: 3    s: 3    h: 3    K: 4    6: 4    m: 4    e: 5    M: 5    T: 6    4: 6    5: 6    2: 7    3: 7    u: 7    n: 7    t: 9    i: 12    o: 12    Space: 14    a: 17    1: 26    Total: 200  

Letter Counts

 a: 17    B: 1    d: 3    e: 5    F: 1    f: 2    g: 1    H: 1    h: 3    i: 12    K: 4    k: 3    l: 1    m: 4    M: 5    n: 7    N: 1    o: 12    r: 2    s: 3    Space: 14    T: 6    t: 9    Total: 132    u: 7    U: 1    W: 2    w: 1    Y: 2    y: 1    z: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 z: 1    H: 1    l: 1    U: 1    g: 1    F: 1    y: 1    w: 1    N: 1    B: 1    Y: 2    r: 2    W: 2    f: 2    k: 3    d: 3    s: 3    h: 3    K: 4    m: 4    e: 5    M: 5    T: 6    u: 7    n: 7    t: 9    i: 12    o: 12    Space: 14    a: 17    Total: 132  

Words

All Word Counts

 --Total--: 24    Baraka: 1    Fundisha: 1    Huko: 1    Kazi: 1    Krete: 1    Kumtamkia: 1    Kutenda: 1    Mafundisho: 1    Maneno: 1    Manyofu: 1    Mema: 1    Mwisho: 1    Na: 1    Tit: 1    Tito: 5    Uongo: 1    Wa: 1    Walimu: 1    Ya: 2  

All Word Counts (sorted by count)

 Tit: 1    Kazi: 1    Huko: 1    Krete: 1    Walimu: 1    Wa: 1    Uongo: 1    Fundisha: 1    Mafundisho: 1    Manyofu: 1    Kutenda: 1    Mema: 1    Maneno: 1    Mwisho: 1    Na: 1    Kumtamkia: 1    Baraka: 1    Ya: 2    Tito: 5    --Total--: 24  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 24    baraka: 1    fundisha: 1    huko: 1    kazi: 1    krete: 1    kumtamkia: 1    kutenda: 1    mafundisho: 1    maneno: 1    manyofu: 1    mema: 1    mwisho: 1    na: 1    tit: 1    tito: 5    uongo: 1    wa: 1    walimu: 1    ya: 2  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 tit: 1    kazi: 1    huko: 1    krete: 1    walimu: 1    wa: 1    uongo: 1    fundisha: 1    mafundisho: 1    manyofu: 1    kutenda: 1    mema: 1    maneno: 1    mwisho: 1    na: 1    kumtamkia: 1    baraka: 1    ya: 2    tito: 5    --Total--: 24  

Headings

Title Lines

TIT -1:6 Main Title 1:Tito

Section Heading Lines

TIT 1:4Kazi Ya Tito Huko Krete
TIT 1:9Walimu Wa Uongo
TIT 2:0Fundisha Mafundisho Manyofu
TIT 3:0Kutenda Mema
TIT 3:11Maneno Ya Mwisho Na Kumtamkia Baraka