Freely-Given.org Bible ZEP Checks

<Up>

Priority Errors

Trailing space at end of line in ZEP -1:0

Showing 1 out of 274 priority errors

Fix Text Errors

ZEP -1:0 Removed trailing space in id: ZEP - Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version

ZEP -1:1 Removed trailing space in rem: Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.

ZEP -1:2 Removed trailing space in h: Sefania

ZEP -1:3 Removed trailing space in toc1: Sefania

ZEP -1:4 Removed trailing space in toc2: Sefania

ZEP -1:5 Removed trailing space in toc3: Sef

ZEP -1:6 Removed trailing space in mt1: Sefania

ZEP 1:0 Extra space after chapter number

ZEP 1:0 Removed trailing space in c: 1

ZEP 1:1 Removed trailing space in v~: Neno la \nd Bwana\nd* lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda:

ZEP 1:1 Removed trailing space in s1: Onyo La Maangamizi Yanayokuja

ZEP 1:2 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* asema,

ZEP 1:2 Removed trailing space in p~: “Nitafagia kila kitu

ZEP 1:2 Removed trailing space in p~: kutoka kwenye uso wa dunia.”

ZEP 1:3 Removed trailing space in v~: “Nitafagilia mbali watu na wanyama;

ZEP 1:3 Removed trailing space in p~: nitafagilia mbali ndege wa angani

ZEP 1:3 Removed trailing space in p~: na samaki wa baharini.

ZEP 1:3 Removed trailing space in p~: Wafanyao maovu watapata tu kokoto,

ZEP 1:3 Removed trailing space in p~: nami nitamkatilia mbali mwanadamu atoke katika dunia,”

ZEP 1:3 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

ZEP 1:3 Removed trailing space in s1: Dhidi Ya Yuda

ZEP 1:4 Removed trailing space in v~: “Nitaiadhibu Yuda

ZEP 1:4 Removed trailing space in p~: na wote wakaao Yerusalemu.

ZEP 1:4 Removed trailing space in p~: Kutoka mahali hapa nitakatilia mbali

ZEP 1:4 Removed trailing space in p~: kila mabaki ya Baali,

ZEP 1:4 Removed trailing space in p~: majina ya wapagani na makuhani

ZEP 1:4 Removed trailing space in p~: waabuduo sanamu:

ZEP 1:5 Removed trailing space in v~: wale ambao husujudu juu ya mapaa

ZEP 1:5 Removed trailing space in p~: kuabudu jeshi la vitu vya angani,

ZEP 1:5 Removed trailing space in p~: wale ambao husujudu na kuapa kwa \nd Bwana\nd*

ZEP 1:5 Removed trailing space in p~: na ambao pia huapa kwa Malkamu,

ZEP 1:6 Removed trailing space in v~: wale wanaoacha kumfuata \nd Bwana\nd*,

ZEP 1:6 Removed trailing space in p~: wala hawamtafuti \nd Bwana\nd*

ZEP 1:6 Removed trailing space in p~: wala kutaka shauri lake.

ZEP 1:7 Removed trailing space in v~: Nyamazeni mbele za \nd Bwana\nd* Mwenyezi,

ZEP 1:7 Removed trailing space in p~: kwa maana siku ya \nd Bwana\nd* iko karibu.

ZEP 1:7 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* ameandaa dhabihu,

ZEP 1:7 Removed trailing space in p~: amewaweka wakfu wale aliowaalika.

ZEP 1:8 Removed trailing space in v~: Katika siku ya dhabihu ya \nd Bwana\nd*

ZEP 1:8 Removed trailing space in p~: nitawaadhibu wakuu

ZEP 1:8 Removed trailing space in p~: na wana wa mfalme

ZEP 1:8 Removed trailing space in p~: na wale wote wanaovaa

ZEP 1:8 Removed trailing space in p~: nguo za kigeni.

ZEP 1:9 Removed trailing space in v~: Katika siku hiyo nitaadhibu wote ambao

ZEP 1:9 Removed trailing space in p~: hukwepa kukanyaga kizingiti,

ZEP 1:9 Removed trailing space in p~: ambao hujaza hekalu la miungu yao

ZEP 1:9 Removed trailing space in p~: kwa dhuluma na udanganyifu.”

ZEP 1:10 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* asema, “Katika siku hiyo

ZEP 1:10 Removed trailing space in p~: kilio kitapanda juu kutoka lango la Samaki,

ZEP 1:10 Removed trailing space in p~: maombolezo kutoka mtaa wa pili,

ZEP 1:10 Removed trailing space in p~: na mshindo mkubwa kutoka vilimani.

ZEP 1:11 Removed trailing space in v~: Ombolezeni, ninyi mnaoishi katika eneo la sokoni;

ZEP 1:11 Removed trailing space in p~: wafanyabiashara wenu wote wameangamizwa,

ZEP 1:11 Removed trailing space in p~: wote ambao wanafanya biashara ya fedha

ZEP 1:11 Removed trailing space in p~: wataangamizwa.

ZEP 1:12 Removed trailing space in v~: Wakati huo nitasaka mji wa Yerusalemu kwa taa,

ZEP 1:12 Removed trailing space in p~: na kuwaadhibu wale ambao

ZEP 1:12 Removed trailing space in p~: wanakaa katika hali ya kuridhika,

ZEP 1:12 Removed trailing space in p~: ambao ni kama divai

ZEP 1:12 Removed trailing space in p~: iliyobaki kwenye machicha,

ZEP 1:12 Removed trailing space in p~: ambao hudhani, ‘\nd Bwana\nd* hatafanya lolote,

ZEP 1:12 Removed trailing space in p~: jema au baya.’

ZEP 1:13 Removed trailing space in v~: Utajiri wao utatekwa nyara,

ZEP 1:13 Removed trailing space in p~: nyumba zao zitabomolewa.

ZEP 1:13 Removed trailing space in p~: Watajenga nyumba,

ZEP 1:13 Removed trailing space in p~: lakini hawataishi ndani yake;

ZEP 1:13 Removed trailing space in p~: watapanda mizabibu

ZEP 1:13 Removed trailing space in p~: lakini hawatakunywa divai yake.

ZEP 1:13 Removed trailing space in s1: Siku Kubwa Ya \nd Bwana\nd*

ZEP 1:14 Removed trailing space in v~: “Siku kubwa ya \nd Bwana\nd* iko karibu:

ZEP 1:14 Removed trailing space in p~: iko karibu na inakuja haraka.

ZEP 1:14 Removed trailing space in p~: Sikilizeni! Kilio katika siku ya \nd Bwana\nd*

ZEP 1:14 Removed trailing space in p~: kitakuwa kichungu,

ZEP 1:14 Removed trailing space in p~: hata shujaa atapiga kelele.

ZEP 1:15 Removed trailing space in v~: Siku ile ni siku ya ghadhabu,

ZEP 1:15 Removed trailing space in p~: siku ya fadhaa na dhiki,

ZEP 1:15 Removed trailing space in p~: siku ya uharibifu na ukiwa,

ZEP 1:15 Removed trailing space in p~: siku ya giza na utusitusi,

ZEP 1:15 Removed trailing space in p~: siku ya mawingu na giza nene,

ZEP 1:16 Removed trailing space in v~: siku ya tarumbeta na mlio wa vita

ZEP 1:16 Removed trailing space in p~: dhidi ya miji yenye ngome

ZEP 1:16 Removed trailing space in p~: na dhidi ya minara mirefu.

ZEP 1:17 Removed trailing space in v~: Nitawaletea watu dhiki,

ZEP 1:17 Removed trailing space in p~: nao watatembea kama vipofu,

ZEP 1:17 Removed trailing space in p~: kwa sababu wametenda dhambi

ZEP 1:17 Removed trailing space in p~: dhidi ya \nd Bwana\nd*.

ZEP 1:17 Removed trailing space in p~: Damu yao itamwagwa kama vumbi

ZEP 1:17 Removed trailing space in p~: na matumbo yao kama taka.

ZEP 1:18 Removed trailing space in v~: Fedha yao wala dhahabu yao

ZEP 1:18 Removed trailing space in p~: hazitaweza kuwaokoa

ZEP 1:18 Removed trailing space in p~: katika siku hiyo ya ghadhabu ya \nd Bwana\nd*.

ZEP 1:18 Removed trailing space in p~: Katika moto wa wivu wake

ZEP 1:18 Removed trailing space in p~: dunia yote itateketezwa,

ZEP 1:18 Removed trailing space in p~: kwa maana ataleta mwisho

ZEP 1:18 Removed trailing space in p~: wa wote wanaoishi katika dunia ghafula.”

ZEP 2:0 Extra space after chapter number

ZEP 2:0 Removed trailing space in c: 2

ZEP 2:1 Removed trailing space in v~: Kusanyikeni pamoja, kusanyikeni pamoja,

ZEP 2:1 Removed trailing space in p~: enyi taifa lisilo na aibu,

ZEP 2:2 Removed trailing space in v~: kabla ya wakati ulioamriwa haujafika

ZEP 2:2 Removed trailing space in p~: na siku ile inayopeperusha kama makapi,

ZEP 2:2 Removed trailing space in p~: kabla hasira kali ya \nd Bwana\nd* haijaja juu yenu,

ZEP 2:2 Removed trailing space in p~: kabla siku ya ghadhabu ya \nd Bwana\nd*

ZEP 2:2 Removed trailing space in p~: haijaja juu yenu.

ZEP 2:3 Removed trailing space in v~: Mtafuteni \nd Bwana\nd*, enyi nyote wanyenyekevu wa nchi,

ZEP 2:3 Removed trailing space in p~: ninyi ambao hufanya lile analoamuru.

ZEP 2:3 Removed trailing space in p~: Tafuteni haki, tafuteni unyenyekevu;

ZEP 2:3 Removed trailing space in p~: labda mtahifadhiwa

ZEP 2:3 Removed trailing space in p~: siku ya hasira ya \nd Bwana\nd*.

ZEP 2:3 Removed trailing space in s1: Dhidi Ya Ufilisti

ZEP 2:4 Removed trailing space in v~: Gaza utaachwa

ZEP 2:4 Removed trailing space in p~: na Ashkeloni utaachwa magofu.

ZEP 2:4 Removed trailing space in p~: Wakati wa adhuhuri Ashdodi utaachwa mtupu

ZEP 2:4 Removed trailing space in p~: na Ekroni utangʼolewa.

ZEP 2:5 Removed trailing space in v~: Ole wenu ninyi ambao mnaishi kando ya bahari,

ZEP 2:5 Removed trailing space in p~: enyi Wakerethi;

ZEP 2:5 Removed trailing space in p~: neno la \nd Bwana\nd* liko dhidi yenu,

ZEP 2:5 Removed trailing space in p~: ee Kanaani, nchi ya Wafilisti.

ZEP 2:5 Removed trailing space in p~: “Mimi nitawaangamiza,

ZEP 2:5 Removed trailing space in p~: na hakuna atakayebaki.”

ZEP 2:6 Removed trailing space in v~: Nchi kando ya bahari, mahali ambapo wanaishi Wakerethi,

ZEP 2:6 Removed trailing space in p~: patakuwa mahali pa wachungaji

ZEP 2:6 Removed trailing space in p~: na mazizi ya kondoo.

ZEP 2:7 Removed trailing space in v~: Itakuwa mali ya mabaki ya nyumba ya Yuda,

ZEP 2:7 Removed trailing space in p~: hapo watapata malisho.

ZEP 2:7 Removed trailing space in p~: Wakati wa jioni watajilaza chini

ZEP 2:7 Removed trailing space in p~: katika nyumba za Ashkeloni.

ZEP 2:7 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd* Mungu wao atawatunza,

ZEP 2:7 Removed trailing space in p~: naye atawarudishia wafungwa wao.

ZEP 2:7 Removed trailing space in s1: Dhidi Ya Moabu Na Amoni

ZEP 2:8 Removed trailing space in v~: “Nimeyasikia matukano ya Moabu

ZEP 2:8 Removed trailing space in p~: nazo dhihaka za Waamoni,

ZEP 2:8 Removed trailing space in p~: ambao waliwatukana watu wangu

ZEP 2:8 Removed trailing space in p~: na kutoa vitisho dhidi ya nchi yao.

ZEP 2:9 Removed trailing space in v~: Hakika, kama niishivyo,”

ZEP 2:9 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote,

ZEP 2:9 Removed trailing space in p~: Mungu wa Israeli,

ZEP 2:9 Removed trailing space in p~: “hakika Moabu itakuwa kama Sodoma,

ZEP 2:9 Removed trailing space in p~: Waamoni kama Gomora:

ZEP 2:9 Removed trailing space in p~: mahali pa magugu na mashimo ya chumvi,

ZEP 2:9 Removed trailing space in p~: nchi ya ukiwa milele.

ZEP 2:9 Removed trailing space in p~: Mabaki ya watu wangu watawateka nyara;

ZEP 2:9 Removed trailing space in p~: mabaki ya taifa langu watarithi nchi yao.”

ZEP 2:10 Removed trailing space in v~: Hiki ndicho watarudishiwa kwa ajili ya kiburi chao,

ZEP 2:10 Removed trailing space in p~: kwa kutukana na kudhihaki

ZEP 2:10 Removed trailing space in p~: watu wa \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.

ZEP 2:11 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* atakuwa wa kuhofisha kwao

ZEP 2:11 Removed trailing space in p~: atakapoangamiza miungu yote ya nchi.

ZEP 2:11 Removed trailing space in p~: Mataifa katika kila pwani yatamwabudu,

ZEP 2:11 Removed trailing space in p~: kila moja katika nchi yake.

ZEP 2:11 Removed trailing space in s1: Dhidi Ya Kushi

ZEP 2:12 Removed trailing space in v~: “Ninyi pia, ee Wakushi,

ZEP 2:12 Removed trailing space in p~: mtauawa kwa upanga wangu.”

ZEP 2:12 Removed trailing space in s1: Dhidi Ya Ashuru

ZEP 2:13 Removed trailing space in v~: Mungu atanyoosha mkono wake dhidi ya kaskazini

ZEP 2:13 Removed trailing space in p~: na kuangamiza Waashuru,

ZEP 2:13 Removed trailing space in p~: akiiacha Ninawi ukiwa

ZEP 2:13 Removed trailing space in p~: na pakame kama jangwa.

ZEP 2:14 Removed trailing space in v~: Makundi ya kondoo na ngʼombe yatajilaza pale,

ZEP 2:14 Removed trailing space in p~: viumbe vya kila aina.

ZEP 2:14 Removed trailing space in p~: Bundi wa jangwani na bundi waliao kwa sauti nyembamba

ZEP 2:14 Removed trailing space in p~: wataishi juu ya nguzo zake.

ZEP 2:14 Removed trailing space in p~: Mwangwi wa kuita kwao utapita madirishani,

ZEP 2:14 Removed trailing space in p~: kifusi kitakuwa milangoni,

ZEP 2:14 Removed trailing space in p~: boriti za mierezi zitaachwa wazi.

ZEP 2:15 Removed trailing space in v~: Huu ndio mji uliotukuka na kuishi kwa furaha

ZEP 2:15 Removed trailing space in p~: wakijisikia salama.

ZEP 2:15 Removed trailing space in p~: Ulisema moyoni mwako,

ZEP 2:15 Removed trailing space in p~: “Mimi ndimi, na wala hapana mwingine ila mimi.”

ZEP 2:15 Removed trailing space in p~: Jinsi gani umekuwa gofu,

ZEP 2:15 Removed trailing space in p~: mahali pa kulala wanyama pori!

ZEP 2:15 Removed trailing space in p~: Wote wanaopita kando yake wanauzomea

ZEP 2:15 Removed trailing space in p~: na kutikisa mkono kwa dharau.

ZEP 3:0 Extra space after chapter number

ZEP 3:0 Removed trailing space in c: 3

ZEP 3:0 Removed trailing space in s1: Hatima Ya Yerusalemu

ZEP 3:1 Removed trailing space in v~: Ole mji wa wadhalimu,

ZEP 3:1 Removed trailing space in p~: waasi na waliotiwa unajisi!

ZEP 3:2 Removed trailing space in v~: Hautii mtu yeyote,

ZEP 3:2 Removed trailing space in p~: haukubali maonyo.

ZEP 3:2 Removed trailing space in p~: Haumtumaini \nd Bwana\nd*,

ZEP 3:2 Removed trailing space in p~: haukaribii karibu na Mungu wake.

ZEP 3:3 Removed trailing space in v~: Maafisa wake ni simba wangurumao,

ZEP 3:3 Removed trailing space in p~: watawala wake ni mbwa mwitu wa jioni,

ZEP 3:3 Removed trailing space in p~: ambao hawabakizi chochote

ZEP 3:3 Removed trailing space in p~: kwa ajili ya asubuhi.

ZEP 3:4 Removed trailing space in v~: Manabii wake ni wenye kiburi,

ZEP 3:4 Removed trailing space in p~: ni wadanganyifu.

ZEP 3:4 Removed trailing space in p~: Makuhani wake hunajisi patakatifu

ZEP 3:4 Removed trailing space in p~: na kuihalifu sheria.

ZEP 3:5 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* aliye ndani yake ni mwenye haki,

ZEP 3:5 Removed trailing space in p~: hafanyi kosa.

ZEP 3:5 Removed trailing space in p~: Asubuhi kwa asubuhi hutoa haki yake,

ZEP 3:5 Removed trailing space in p~: kila kukipambazuka huitimiza,

ZEP 3:5 Removed trailing space in p~: bali mtu dhalimu hana aibu.

ZEP 3:6 Removed trailing space in v~: “Nimeyafutilia mbali mataifa,

ZEP 3:6 Removed trailing space in p~: ngome zao zimebomolewa.

ZEP 3:6 Removed trailing space in p~: Nimeziacha barabara ukiwa,

ZEP 3:6 Removed trailing space in p~: hakuna anayepita humo.

ZEP 3:6 Removed trailing space in p~: Miji yao imeharibiwa;

ZEP 3:6 Removed trailing space in p~: hakuna mmoja atakayeachwa:

ZEP 3:6 Removed trailing space in p~: hakuna hata mmoja.

ZEP 3:7 Removed trailing space in v~: Niliuambia huo mji,

ZEP 3:7 Removed trailing space in p~: ‘Hakika utaniogopa na kukubali maonyo!’

ZEP 3:7 Removed trailing space in p~: Ndipo makao yake hayatafutiliwa mbali,

ZEP 3:7 Removed trailing space in p~: wala adhabu zangu zote hazitakuja juu yake.

ZEP 3:7 Removed trailing space in p~: Lakini walikuwa bado na shauku

ZEP 3:7 Removed trailing space in p~: kutenda kwa upotovu katika yote waliyofanya.”

ZEP 3:8 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* anasema,

ZEP 3:8 Removed trailing space in p~: “Kwa hiyo ningojee mimi,

ZEP 3:8 Removed trailing space in p~: siku nitakayosimama kuteka nyara.

ZEP 3:8 Removed trailing space in p~: Nimeamua kukusanya mataifa,

ZEP 3:8 Removed trailing space in p~: kukusanya falme

ZEP 3:8 Removed trailing space in p~: na kumimina ghadhabu yangu juu yao,

ZEP 3:8 Removed trailing space in p~: hasira yangu kali yote.

ZEP 3:8 Removed trailing space in p~: Dunia yote itateketezwa

ZEP 3:8 Removed trailing space in p~: kwa moto wa wivu wa hasira yangu.

ZEP 3:9 Removed trailing space in v~: “Ndipo nitatakasa midomo ya mataifa,

ZEP 3:9 Removed trailing space in p~: kwamba wote waweze kuliitia jina la \nd Bwana\nd*

ZEP 3:9 Removed trailing space in p~: na kumtumikia kwa pamoja.

ZEP 3:10 Removed trailing space in v~: Kutoka ngʼambo ya mito ya Kushi

ZEP 3:10 Removed trailing space in p~: watu wangu wanaoniabudu,

ZEP 3:10 Removed trailing space in p~: watu wangu waliotawanyika,

ZEP 3:10 Removed trailing space in p~: wataniletea sadaka.

ZEP 3:11 Removed trailing space in v~: Siku hiyo hutaaibishwa

ZEP 3:11 Removed trailing space in p~: kwa ajili ya makosa yote ulionitendea,

ZEP 3:11 Removed trailing space in p~: kwa sababu nitawaondoa kutoka mji huu

ZEP 3:11 Removed trailing space in p~: wale wote wanaoshangilia

ZEP 3:11 Removed trailing space in p~: katika kiburi chao.

ZEP 3:11 Removed trailing space in p~: Kamwe hutajivuna tena

ZEP 3:11 Removed trailing space in p~: katika kilima changu kitakatifu.

ZEP 3:12 Removed trailing space in v~: Lakini nitakuachia ndani yako

ZEP 3:12 Removed trailing space in p~: wapole na wanyenyekevu,

ZEP 3:12 Removed trailing space in p~: ambao wanatumaini jina la \nd Bwana\nd*.

ZEP 3:13 Removed trailing space in v~: Mabaki ya Israeli hayatafanya kosa;

ZEP 3:13 Removed trailing space in p~: hawatasema uongo,

ZEP 3:13 Removed trailing space in p~: wala udanganyifu hautakuwa

ZEP 3:13 Removed trailing space in p~: katika vinywa vyao.

ZEP 3:13 Removed trailing space in p~: Watakula na kulala

ZEP 3:13 Removed trailing space in p~: wala hakuna yeyote

ZEP 3:13 Removed trailing space in p~: atakayewaogopesha.”

ZEP 3:14 Removed trailing space in v~: Imba, ee Binti Sayuni;

ZEP 3:14 Removed trailing space in p~: paza sauti, ee Israeli!

ZEP 3:14 Removed trailing space in p~: Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote,

ZEP 3:14 Removed trailing space in p~: ee Binti Yerusalemu!

ZEP 3:15 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* amekuondolea adhabu yako,

ZEP 3:15 Removed trailing space in p~: amewarudisha nyuma adui zako.

ZEP 3:15 Removed trailing space in p~: \nd Bwana\nd*, Mfalme wa Israeli, yu pamoja nawe;

ZEP 3:15 Removed trailing space in p~: kamwe hutaogopa tena madhara yoyote.

ZEP 3:16 Removed trailing space in v~: Katika siku hiyo watauambia Yerusalemu,

ZEP 3:16 Removed trailing space in p~: “Usiogope, ee Sayuni;

ZEP 3:16 Removed trailing space in p~: usiiache mikono yako ilegee.

ZEP 3:17 Removed trailing space in v~: \nd Bwana\nd* Mungu wako yu pamoja nawe,

ZEP 3:17 Removed trailing space in p~: yeye ni mwenye nguvu kuokoa.

ZEP 3:17 Removed trailing space in p~: Atakufurahia kwa furaha kubwa,

ZEP 3:17 Removed trailing space in p~: atakutuliza kwa pendo lake,

ZEP 3:17 Removed trailing space in p~: atakufurahia kwa kuimba.”

ZEP 3:18 Removed trailing space in v~: “Huzuni katika sikukuu zilizoamriwa

ZEP 3:18 Removed trailing space in p~: nitaziondoa kwenu;

ZEP 3:18 Removed trailing space in p~: hizo ni mzigo na fedheha kwenu.

ZEP 3:19 Removed trailing space in v~: Wakati huo nitawashughulikia

ZEP 3:19 Removed trailing space in p~: wote waliokudhulumu;

ZEP 3:19 Removed trailing space in p~: nitaokoa vilema na kukusanya

ZEP 3:19 Removed trailing space in p~: wale ambao wametawanywa.

ZEP 3:19 Removed trailing space in p~: Nitawapa sifa na heshima

ZEP 3:19 Removed trailing space in p~: katika kila nchi ambayo waliaibishwa.

ZEP 3:20 Removed trailing space in v~: Wakati huo nitawakusanya;

ZEP 3:20 Removed trailing space in p~: wakati huo nitawaleta nyumbani.

ZEP 3:20 Removed trailing space in p~: Nitawapa sifa na heshima

ZEP 3:20 Removed trailing space in p~: miongoni mwa mataifa yote ya dunia

ZEP 3:20 Removed trailing space in p~: wakati nitakapowarudishia mateka yenu

ZEP 3:20 Removed trailing space in p~: mbele ya macho yenu hasa,”

ZEP 3:20 Removed trailing space in p~: asema \nd Bwana\nd*.

USFMs

Modified Marker List

All Newline Marker Counts

 b: 9    c: 3    h: 1    id: 1    mt1: 1    p: 1    q1: 111    q2: 138    q4: 2    rem: 1    s1: 8    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    Total: 332    v: 53  

All Newline Marker Counts (sorted by count)

 id: 1    rem: 1    h: 1    toc1: 1    toc2: 1    toc3: 1    mt1: 1    p: 1    q4: 2    c: 3    s1: 8    b: 9    v: 53    q1: 111    q2: 138    Total: 332  

All Text Internal Marker Counts

 nd: 1    nd*: 1    Total: 2  

All Text Internal Marker Counts (sorted by count)

 nd: 1    nd*: 1    Total: 2  

Functional Marker Counts

 Book Header: 1    Book ID: 1    Chapters: 3    Paragraphs: 1    Verses: 53  

Functional Marker Counts (sorted by count)

 Book ID: 1    Book Header: 1    Paragraphs: 1    Chapters: 3    Verses: 53  

Characters

All Character Counts

 0: 4    1: 32    2: 8    3: 7    4: 6    5: 6    6: 5    7: 5    8: 5    9: 4    a: 31    A: 2    b: 2    B: 1    D: 5    d: 6    e: 7    f: 6    g: 1    h: 7    H: 1    i: 23    j: 1    k: 2    K: 2    L: 1    l: 2    M: 2    m: 4    n: 9    N: 1    O: 1    o: 4    r: 2    S: 6    s: 4    Space: 20    t: 2    Total: 263    u: 10    U: 1    w: 2    y: 2    Y: 10    z: 1  

All Character Counts (sorted by count)

 O: 1    L: 1    g: 1    z: 1    j: 1    B: 1    U: 1    N: 1    H: 1    y: 2    M: 2    k: 2    K: 2    b: 2    w: 2    l: 2    t: 2    A: 2    r: 2    o: 4    m: 4    9: 4    0: 4    s: 4    D: 5    6: 5    7: 5    8: 5    S: 6    f: 6    d: 6    4: 6    5: 6    e: 7    3: 7    h: 7    2: 8    n: 9    Y: 10    u: 10    Space: 20    i: 23    a: 31    1: 32    Total: 263  

Letter Counts

 a: 31    A: 2    b: 2    B: 1    D: 5    d: 6    e: 7    f: 6    g: 1    h: 7    H: 1    i: 23    j: 1    k: 2    K: 2    L: 1    l: 2    M: 2    m: 4    n: 9    N: 1    O: 1    o: 4    r: 2    S: 6    s: 4    Space: 20    t: 2    Total: 181    u: 10    U: 1    w: 2    y: 2    Y: 10    z: 1  

Letter Counts (sorted by count)

 O: 1    L: 1    g: 1    z: 1    j: 1    B: 1    U: 1    N: 1    H: 1    y: 2    M: 2    k: 2    K: 2    b: 2    w: 2    l: 2    t: 2    A: 2    r: 2    o: 4    m: 4    s: 4    D: 5    S: 6    f: 6    d: 6    e: 7    h: 7    n: 9    Y: 10    u: 10    Space: 20    i: 23    a: 31    Total: 181  

Speech Marks

Possible Matching Errors

ZEP 1:14 Unclosed speech marks matching '“ (opened at 1:10:v)' before q1 marker

Words

All Word Counts

 --Total--: 33    Amoni: 1    Ashuru: 1    Bwana: 1    Dhidi: 5    Hatima: 1    Kubwa: 1    Kushi: 1    La: 1    Maangamizi: 1    Moabu: 1    Na: 1    Onyo: 1    Sef: 1    Sefania: 4    Siku: 1    Ufilisti: 1    Ya: 7    Yanayokuja: 1    Yerusalemu: 1    Yuda: 1  

All Word Counts (sorted by count)

 Sef: 1    Onyo: 1    La: 1    Maangamizi: 1    Yanayokuja: 1    Yuda: 1    Siku: 1    Kubwa: 1    Bwana: 1    Ufilisti: 1    Moabu: 1    Na: 1    Amoni: 1    Kushi: 1    Ashuru: 1    Hatima: 1    Yerusalemu: 1    Sefania: 4    Dhidi: 5    Ya: 7    --Total--: 33  

Case Insensitive Word Counts

 --Total--: 33    amoni: 1    ashuru: 1    bwana: 1    dhidi: 5    hatima: 1    kubwa: 1    kushi: 1    la: 1    maangamizi: 1    moabu: 1    na: 1    onyo: 1    sef: 1    sefania: 4    siku: 1    ufilisti: 1    ya: 7    yanayokuja: 1    yerusalemu: 1    yuda: 1  

Case Insensitive Word Counts (sorted by count)

 sef: 1    onyo: 1    la: 1    maangamizi: 1    yanayokuja: 1    yuda: 1    siku: 1    kubwa: 1    bwana: 1    ufilisti: 1    moabu: 1    na: 1    amoni: 1    kushi: 1    ashuru: 1    hatima: 1    yerusalemu: 1    sefania: 4    dhidi: 5    ya: 7    --Total--: 33  

Headings

Title Lines

ZEP -1:6 Main Title 1:Sefania

Section Heading Lines

ZEP 1:1Onyo La Maangamizi Yanayokuja
ZEP 1:3Dhidi Ya Yuda
ZEP 1:13Siku Kubwa Ya \nd Bwana\nd*
ZEP 2:3Dhidi Ya Ufilisti
ZEP 2:7Dhidi Ya Moabu Na Amoni
ZEP 2:11Dhidi Ya Kushi
ZEP 2:12Dhidi Ya Ashuru
ZEP 3:0Hatima Ya Yerusalemu